Imbeni na nia ya kumpendeza muumba, sio kuimba na kuvaa kiusanii ili kuwafurahisha na kuwachekesha watu, maana kilichotukuka machoni pa watu ni chukizo kwa mungu. Nyinyi mnabahati kwa kuwa mnayo idea ya neno la mungu Kwa hivyo natumai mmeokoka na mnajua kuomba, basi ni sharti kumuomba mungu awape roho mtakatifu atakayewaekezeni ninyi na kuwaongoza jinsi ya kumsifu , kuvalia mavazi ya utukufu tokea ndani ya roho zenu na nje kwa miili zenu. Roho mtakatifu ndiye afundishae. Asante sana.
Nini inakuwanga mbaya na ninyi ndio mnamuiga Michael Jackson vile mmevaa na sera zenu zote. Mnamuimbia Mungu lakini mmevaa kama wakanga,! Wachawi! Watu waliojanganyikiwa ! Acheni kuiga mashetani!
Naombeni mnitumie nyimbo zenu Whatsapp ...nazipendaga sana ......kwanza Kuna hii inaitwa sukuma nyuma, shetani muongo,hii Dunia,nasikia Raha,jiangalieni wanadamu,mkong'oto,Mvumilivu,Mungu mkuu,mateso ya Bwana Yesu, ni hatua, tumetumwa kazi,.....I like all songs