Тёмный

Nikikupea Utawezana? Kilonzo Anataka Madam Wambui X Mwalimu Mayoyo & Waithaka 

MC Piento a.k.a. Kilonzo
Подписаться 64 тыс.
Просмотров 645 тыс.
50% 1

Shule zimefungwa na Kilonzo amepewa likizo na Auntie Jemimah sasa ako na free time, ameamua hii likizo itabidi ameambia Mwalimu Wambui anamtaka kama mpenzi. Kilonzo anampenda mwalimu Wambui na atafanya chochote ili kumpata. Je Mwalimu Mayoyo atajua?

Приколы

Опубликовано:

 

9 апр 2020

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 138   
@stefanogizzler
@stefanogizzler 3 года назад
Nice one Kilonzo, Na Wambui pia ako Sawa amejibeba Sawa Sawa naomba unilink up I do collabo nayeye!!
@clemomwangi2413
@clemomwangi2413 3 года назад
Guys let's us put our talent in use
@Kirimikilea
@Kirimikilea 2 года назад
nice
@jodongo2005
@jodongo2005 4 года назад
Good and inspiring
@seniorbonnietv9319
@seniorbonnietv9319 4 года назад
Napenda sana
@paulkarugu7745
@paulkarugu7745 4 года назад
Imeweza
@simonngoci8712
@simonngoci8712 4 года назад
Mob love
@muthokissalver1194
@muthokissalver1194 4 года назад
Hahaha..you're at it again..I love this one piento
@PIENTOMC
@PIENTOMC 4 года назад
😊😊😊 thank you
@fredysamizi9877
@fredysamizi9877 4 года назад
nimecheka kinomaaa daaaa....hatari sana
@ahmedabdikadir6672
@ahmedabdikadir6672 4 года назад
Go go kalonzo
@estherogembo4683
@estherogembo4683 3 года назад
Nice
@MRMORECOMEDY
@MRMORECOMEDY 4 года назад
noma sana
@jaymanjuma6819
@jaymanjuma6819 4 года назад
Nic
@someaafrika.3379
@someaafrika.3379 4 года назад
Ahahahaa huyu mjinga kwelikweli.
@cheruiyotharon6081
@cheruiyotharon6081 4 года назад
Mr kilonzo sir ..best luck
@PIENTOMC
@PIENTOMC 4 года назад
Asante sana Mr. Cheruiyot
@izackom5202
@izackom5202 4 года назад
Hakuna mtu atasema vile huyu madam ameweza 😍
@alanomuka1637
@alanomuka1637 4 года назад
Huyu madam anaweza sana
@nibeeboy6482
@nibeeboy6482 4 года назад
Kilonzo uko juu
@wanjikukiamukawa6314
@wanjikukiamukawa6314 4 года назад
Ati nikikuona naskia kutunga wimbo 😂😂😂utawezana na unajificha
@josephmwangi9556
@josephmwangi9556 4 года назад
Madam ako there
@stringmelody1936
@stringmelody1936 4 года назад
Ok haaaaa
@ck6684
@ck6684 3 года назад
Hiyo kivua imelala sana
@nelsonkisiaswaras9714
@nelsonkisiaswaras9714 4 года назад
Haha haha Uza shamba bro
@bigdatatechnician6532
@bigdatatechnician6532 4 года назад
Noma sana comes to 🤣🤣🤣🤣
@mumblessed001
@mumblessed001 4 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣ati kilo uko na corona na unataka madam utaweza 😎
@henrykimani3280
@henrykimani3280 4 года назад
Hehehe sawa kama unaskia kutunga nyimbo 😆😆🤣🤣🇰🇪🇰🇪
@carolyneelekia5607
@carolyneelekia5607 4 года назад
Mr.piento a.k.a kilonzo unachora maps z nn n kuchezacheza au umeshindwa kurusha mistari
@alicewambui3979
@alicewambui3979 4 года назад
Kiroo una GMC hapo kwa uanja peke yako, but anyway l ♥️u jokes 💪👌😅🤣
@PIENTOMC
@PIENTOMC 4 года назад
😂😂😂😂
@tonitokirishjuneweather2008
@tonitokirishjuneweather2008 4 года назад
😀😀😀😀eti ukimuona unasikia kutunga nyimbo...
@mwenja_fitness6486
@mwenja_fitness6486 4 года назад
Kabisa bro , lazima utwezana 😂 kazi safi
@junejunitashows
@junejunitashows 4 года назад
Hehehehehe
@teddykanondo5753
@teddykanondo5753 3 года назад
Tatizo la sisi Watanzania tunakua na tabia ya kubishana bila kutaja vigezo vilivyofanya Tanzania ifikie "UCHUMI WA KATI" Mimi binafsi nimesomea mambo ya uchumi nijiuliza hawa watu kila kukicha Watanzania walio wengi wanawaita Wazungu "MABEBERU". Watu walioko kwenye Bank ya Dunia walio wengi ni Wazungu. Inakuwaje wanasema tumefikia "UCHUMI WA KATI" wakati Dola 1 ya Marekani ni shillingi za Tanzania 2310/=, Paundi 1 ya Uingereza ni shilingi za Tanzania 2290/=, Euro 1 ni shilingi za Tanzania 2740/=, Dinari 1 ya Kuwaiti ni shilingi za Tanzania 7600/=, Dila 1 ya Marekani ni sawa na Kenyan shillings 100/=, sasa niapeni vigezo vilivyotumika kuiweka Tanzania kwenye uchumi wa Kati wakati Watanzania walio wengi kipato chao ni chini ya dola 1 ya Marekani kwa siku. Wazungu ni watu wenye mbinu nyingi sana katika kuweka hadharani maendeleo ya nchi. Wanajua kabisa wakiambia Serekali ya Tanzania "UCHUMI WENU UMEKUWA" wasomi na wana Siasa watapinga tena kwa hoja. Majukwaa yote ya Siasa za Tanzania wapinzani wanapinga kwa nguvu zote na sababu kubwa ni kwamba hali za Watanzania ni mbaya sana. Miradi mikubwa ya kuzalisha kipato imekufa vikiwemo viwanda, Uwekezaji wa ndani na nje, Mashirika ya Umma yamekufa, Miradi ya vijiji imefilisika, Wafanya biashara wakubwa wamefilisika na wengine wamekimbia nchi. Magufuli amefanya kazi kubwa kwa upeo wa fikra zake lakini akasahau ajira za Watanzania na ndizo zinamtesa sasa hivi. Wapinzani wamevuna wanachama wengi sana kutoka ndani ya CCM, wale unaoona wanarudi CCM toka upinzani ni watu waoga wanaosikiliza hotuba za mheshimiwa Magufuli ambazo mara nyingi amekuwa akijisahau kuwa aliwahi kusema tena hadharani kuwa "MAENDELEO HAYANA CHAMA". Akarudi akajisahau kule Musoma akasema "MKICHAGUA MADIWANI NA WABUNGE WA UPINZANI SITAPELEKA MAENDELEO MAENEO HAYO". Kiongozi wa nchi ukisha kuwa na mtoto wa Tumboni na Mgongoni umeigawa nchi na ndio maana sasa hivi kuna watu wa Magufuli, Tundu Lissu, Zitto Kabwe, na wengineo. Angalia mikutano ya Wana Siasa ilivyoigawa nchi. Mheshimiwa Magufuli anaenda na Wana Muziki kwenye mikutano yake sasa huwezi jua watu wamefuata Sera zake au Muziki. Lissu akiwa kwenye Mikutano yake amejaza watu huwezi jua wanamfuata kwa Sera zake au kwa mshangao kuwa Binadamu atakuaje hai huku amepigwa risasi 16 wakati Tembo anapigwa risasi moja tu na kufa. Watanzania wanajiuliza nchi yenye utwala wa kisheria binadamu anapoteaje, Waandishi wa habari wanapoteaje, Raia wa kawaida wenye mapenzi na vyama vya upinzani wanapoteaje, Wafanya Biashara wenye mapenzi na upinzani wanafilisiwa. Madakitari wametishwa wasitoe ripoti za COVID19, Tanzania na Kenya nani wanajua kwenda Kanisani na Misikitini. Katika watu wenye mpaka mrefu sana ni Kenya na Tanzania. Kutoka Lake Victoria mpaka Indian Ocean. Wafanyakazi hawaongezewi mishahara, Wafanyakazi wametumbuliwa sana na kufukuzwa bila kulipwa stahiki zao. Rais wa nchi anaweka ndugu zake HAZINA ya umma ili akichukua fedha isijulikane. Rais wa nchi ni mbaguzi, Mkabila, Mnafiki, Mwongo, Jeuri, Katili, uliona wapi Rais anatoa amri watu Wachome vifaranga. Rais anauliza risiti za wanywaji wa chai lakini hakuna mradi hata mmoja wa Serekali aliofanya Magufuli wenye risiti. Magufuli amejipatia dola Miloni 390 kwenye manunuzi ya ndege za Air Tanzania. Kama anazo aweke kwenye gazeti la Serekali. Wasimamizi wa uchaguzi Mwaka huu watashuhudia makubwa Tanzania. Kama Tume haitatenda haki na kusimamia uchaguzi kwa umakini mkubwa sana Wataingiza Tanzania kwenye uvunjifu wa amani na hili litasababisha baadhi ya viongozi au Tume yenyewe kufikishwa Mhakama ya Kimataifa ICJ. "SAFARI HII CCM WAJIPIME"
@joshuaadams6594
@joshuaadams6594 4 года назад
😃😃😃
@unclemusawhite254
@unclemusawhite254 3 года назад
Kilonzo bro
@PIENTOMC
@PIENTOMC 3 года назад
Vipi bro
@AFANDECATEMONARI
@AFANDECATEMONARI 4 года назад
Sahani za hio shule zitaisha itabidi wakufungulie road block urudi ukambani
@PIENTOMC
@PIENTOMC 4 года назад
😂😂😂😂😂 itabidi or else hawatapata sahani
@michaelscortfield8139
@michaelscortfield8139 4 года назад
🙁🙁🙁👍
@anthonyonuti8473
@anthonyonuti8473 4 года назад
Mr. Piento, jina lake nani, wana follow her DM Cheers
@PIENTOMC
@PIENTOMC 4 года назад
follow her on instagram "callmewambui" wacha nisaidie boychild mwenzangu..
@hiscanopy9336
@hiscanopy9336 3 года назад
Kilonzo hio ni mwaki.
@alfredmelli7104
@alfredmelli7104 4 года назад
Ho God kujia maji ya keringet water
@jerryitonemedia
@jerryitonemedia 4 года назад
Keep up brother. Utawezana
@zulfajuma3115
@zulfajuma3115 4 года назад
Huyu madam siamejazaa 😋
@TREASUREZION8
@TREASUREZION8 4 года назад
Wauwezanii🤣🤣🤣Kilonzo wacha ufalaaa
@PIENTOMC
@PIENTOMC 4 года назад
Wacha tu nipewe nijaribu
@faidamasegenghe3379
@faidamasegenghe3379 4 года назад
Hahahah nimebaki kucheka
@daviddefatjoe
@daviddefatjoe 3 года назад
Kilonzo I thought we agreed on unitumie number ya Wambui
@PIENTOMC
@PIENTOMC 3 года назад
Follow her pale IG ujitetee kwa inbox yake
@daviddefatjoe
@daviddefatjoe 3 года назад
@@PIENTOMC IG name ni ?
@MAYOYOke
@MAYOYOke 4 года назад
Usicheze na madam 😂😂
@PIENTOMC
@PIENTOMC 4 года назад
😂😂😂😂😂
@teacherrobotcomedy6462
@teacherrobotcomedy6462 4 года назад
Hii
@abigailzawadi8770
@abigailzawadi8770 4 года назад
🤐🤐🤐🤐
@quibianca8762
@quibianca8762 4 года назад
😂😂😂😂😂😂🙋‍♂️kilonzo damu inagmduu
@liverpoolfootballclub9985
@liverpoolfootballclub9985 4 года назад
Mkutano imevurugwa
@shebbieeudias9637
@shebbieeudias9637 4 года назад
Sasa unaona umesleki kama bado unachora map
@josephatonyamo6315
@josephatonyamo6315 4 года назад
Tunga wimbo Kwani iko nini🤣🤣🤣🤣🤣
@PIENTOMC
@PIENTOMC 4 года назад
😂😂 Wimbo iko ready cheki kesho the new Video
@joyobessa1364
@joyobessa1364 4 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣
@assahmeromungwe7478
@assahmeromungwe7478 4 года назад
Ati uko na corona na unataka huyo madam
@silasgatuthuchegr1120
@silasgatuthuchegr1120 3 года назад
Kilonzo kukaushwa😭
@samwelndungu7122
@samwelndungu7122 4 года назад
As anti kwakupenda K G B tv
@richardgaya3965
@richardgaya3965 4 года назад
K. fanyaga chap chap...si waona umeponea chupu chupu kutupwa isolation. Hehehe!
@PIENTOMC
@PIENTOMC 4 года назад
😂😂😂😂
@kaparobabayao4942
@kaparobabayao4942 4 года назад
Kilonzo noma xna 🤣🤣
@joewamwai315
@joewamwai315 4 года назад
Kilo next tyme usiongee mambo ya corona ,ongea ingine..mjinga!..
@PIENTOMC
@PIENTOMC 4 года назад
😂😂😂😂😂 story iliisha...
@erickayako2575
@erickayako2575 4 года назад
In a we za, kilonzo wacha kuchora map
@mgwenosamwel9670
@mgwenosamwel9670 4 года назад
Hahahaa
@user-jq1zo2ln1w
@user-jq1zo2ln1w 3 года назад
خاننا
@ruthkavindu4055
@ruthkavindu4055 4 года назад
Kilonzo si utamaliza sahani jikoni
@PIENTOMC
@PIENTOMC 4 года назад
Hii mapenzi sio mchezo..
@svenwesh1891
@svenwesh1891 4 года назад
Kilonzo ukipewa hautawezana hahaha
@PIENTOMC
@PIENTOMC 4 года назад
😂😂😂 itabidi amejaribu
@mavitu3666
@mavitu3666 3 года назад
Hapa sio gashororo juja huko chini
@PIENTOMC
@PIENTOMC 3 года назад
Hapana
@truthseeker3857
@truthseeker3857 4 года назад
Wanted to see more of the girl 😣
@PIENTOMC
@PIENTOMC 4 года назад
The story continues
@wanjiru3171
@wanjiru3171 4 года назад
Kiilllls Utawezana .. na hii coloona😂😂
@johnsonmwaura131
@johnsonmwaura131 4 года назад
Atoe nguvu wapi
@wilberforceaguko3052
@wilberforceaguko3052 4 года назад
Vero Ben lko xmat
@wanjiru3171
@wanjiru3171 4 года назад
@@wilberforceaguko3052 sana😂
@duttelking2883
@duttelking2883 4 года назад
Naangusha sahani jikoni, msijifanye hamkuskia hii hahaha
@AuraNness
@AuraNness 4 года назад
Uyo madam hajajua yeye ndo ameitwa ng'ombe. Haha
@monalizotz
@monalizotz 3 года назад
Ao wanawake wenye mashep unawatowaga wapi🤭
@PIENTOMC
@PIENTOMC 3 года назад
😂😂😂😂😂
@RATEMO0718
@RATEMO0718 4 года назад
Enyewe Huyu madam Amebeba Ata natamani Hiyo kitu Amebeba Huko nyuma
@PIENTOMC
@PIENTOMC 4 года назад
😂😂😂😂😂😂
@liverpoolfootballclub9985
@liverpoolfootballclub9985 4 года назад
Utawezana wapi na unajificha nyuma ya mti.
@PIENTOMC
@PIENTOMC 4 года назад
😂😂😂😂 nitaweza wewe chill tu utaona
@xxtegamerxxroblox9843
@xxtegamerxxroblox9843 4 года назад
Auntie Jamimah akisikia hii mamboz utakipata
@PIENTOMC
@PIENTOMC 4 года назад
Aki usimwambie...😂😂😂🤫🤫🤫🤫
@abdulmalikaftin4619
@abdulmalikaftin4619 4 года назад
Hahaha na umechange topic haraka aje 😂😂😂
@H.sazo.
@H.sazo. 4 года назад
ahaahaaaa haaahaaa jiwe kutoka kenya sasa ndugu zangu maneno hayatoki alafu uyo boya ana tongoza boss wake yani jinga kweli alafu mchunga ng'ombe
@PIENTOMC
@PIENTOMC 4 года назад
😂😂😂😂😂
@marymuiruri7303
@marymuiruri7303 4 года назад
Aki the way una swing😂😂😂
@PIENTOMC
@PIENTOMC 4 года назад
Romantic
@owinopeter2585
@owinopeter2585 4 года назад
Vunja hizo masahani kabisa
@peterkrose672
@peterkrose672 4 года назад
Piento ebu cheza video na yule mtoto wa auntie jemima
@PIENTOMC
@PIENTOMC 4 года назад
Izo zinacome. Thanks
@samndungukiarie
@samndungukiarie 4 года назад
Ati nikikuona naskia kutunga wimbo😂😂
@heavykingdomworship
@heavykingdomworship 4 года назад
Kilinzo wina kau we😂😂😂😂😂
@abdulmalikaftin4619
@abdulmalikaftin4619 4 года назад
Aty kolona😂😂
@alexsamweli7885
@alexsamweli7885 4 года назад
Sitivin Kanumba
@seifseifmohamed7118
@seifseifmohamed7118 4 года назад
Madam ni shida kwa kilonzo. Hupata ndoto akilala anakuwa na madam Wambui.
@PIENTOMC
@PIENTOMC 4 года назад
😂😂😂😂😂😂 ushasema
@shiphiracomedy
@shiphiracomedy 4 года назад
🤣🤣🤣fisi detected
@liambrady2631
@liambrady2631 4 года назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@sallys3229
@sallys3229 4 года назад
Hahahahahahahahaha kilonzo
@shadiahkash8115
@shadiahkash8115 4 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙉
@tunjevictor1178
@tunjevictor1178 4 года назад
Her thighness
@teacherrobotcomedy6462
@teacherrobotcomedy6462 4 года назад
Nice
@paulwaweru8946
@paulwaweru8946 4 года назад
Great
@teacherrobotcomedy6462
@teacherrobotcomedy6462 4 года назад
@@paulwaweru8946 am teacher robot plz ineed your support for subscribe my channel plz write teacher robot and you seeeeee
@felistafrancis1162
@felistafrancis1162 4 года назад
Hahaha,kilonzo,ati ukakuwa chief kwa family gathering
@PIENTOMC
@PIENTOMC 4 года назад
😂😂😂😂 Nitapewa respect
@felistafrancis1162
@felistafrancis1162 4 года назад
@@PIENTOMC Nakwambia bro tena kwa wingi
Далее
🎸РОК-СТРИМ без ФАНЕРЫ🤘
3:12:10
Просмотров 1,4 млн
TWENDE KWANGU TUWATCH MOVIE  - KILONZO
10:08
Просмотров 4,1 тыс.
Kufai at Milestone institute
2:44
Просмотров 5 тыс.
Wagithomo - Getting Married at 35...
7:05
Просмотров 852 тыс.
Шоу СЛАБОЕ ЗВЕНО! 😂 | ExileShow
0:58