This is so soulful and passion filled track,,Niki mbishi has blended his part with emotive lyrics ,,in short the track has enchanted recipe of HipHop exellence ..."amani ni utulivu ila utulivu sio amani" big up to yah'll
Dah nitaonekana muongo kwa wajukuu zangu kwamba Hawa jamaa hawakuuza na Wala walikuwa hawapewi airtime kwenye radio ase kwa uwezo huu wajukuu zangu wataniona muongo sana
Hiphop imebaki tamaduni tu,. Wengine wangese tu, wamebakiwa kuolewa na mimama ya kizungu masikini,wenyew wanajiona wajanja,.. Lunduno ndipo zilipobaki nguzo za hiphop,.. Wanajiamini,macoscious,maguineas, hawateteleki na game ata km hakuna ela,... ILA NASEMA IVI TAMADUNI MUSIC WANAENDA KUTUSUA GAME,...