Kitu kizuri lazima kiogelelewe vibaya siku izi hata kanisani wale wambaya wamenijificha apo na dio wengi so katombi Akuna makosa amefanya mungu ndiye upeana vipaji acheni porojo ,,bona wanganga wanaeda kanisani na akitoka anaeda kazi yake kama waida na hamsemi acheni izo tunaambundu mola mmoja
Ezra 7-26 Na kila mtu asiyekubali kuitenda sheria ya Mungu wako, na sheria ya mfalme, na apatilizwe hukumu kwa bidii, kwamba ni kuuawa, au kwamba ni kuhamishwa, au kuondolewa mali yake, au kufungwa.