Тёмный

NILIACHA UJADIDAH NI UVUNDO, Sheikh Muhammad Bachu 

AL MUBAJJAL TV
Подписаться 11 тыс.
Просмотров 36 тыс.
50% 1

#Gusa_SUBSCRIBE_kupata_mazur_yajayo.

Опубликовано:

 

16 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 172   
@LuqmanAndrew-nu9rx
@LuqmanAndrew-nu9rx 6 месяцев назад
Najaribu kuwaza jinsi alivokua Mzee Nassoro Bachu alafu na jinsi huyu mwanae vitu viwili tofauti, uyu ana shida kwelii Allah atujaalie mwisho mwema kwakwel huu nao mtihan.
@user-jt1gz2pl5f
@user-jt1gz2pl5f 3 месяца назад
Mashaallah kaka wewe
@hashimiddi4789
@hashimiddi4789 2 года назад
Mashallah we nimkweli hutaki chengachenga
@mchagagaspar6649
@mchagagaspar6649 Год назад
SUBIRI MTONDOGO ATAHAMIA JINAJINGINE NA ATATUSI 2 ,AIGIZA KUMBO LAH PAMBATUPU WEWE BACHU !!!
@adamrajabu231
@adamrajabu231 Год назад
ALLAH AKULIPE KILA LA KHERI INSHA ALLAH
@Its_me_hanseif
@Its_me_hanseif 3 месяца назад
Alahamdulillah waswalaatuwassalaam alaa Nabiyyina Muhammad(ﷺ),alakhy katika dua usitumie neno inshaallah nimakosa,kwani nikuwa na wasiwasi juu ya uwezo wa Allah.
@athumanimdoembazi5465
@athumanimdoembazi5465 2 года назад
Mashaalah jazakakalah kheir
@vyamunguabdulkarim4313
@vyamunguabdulkarim4313 Год назад
Wallah nazidi kubainikiwa kuwa jihadi ndio mpango mzima kwasasa alhamdulillah tunaona neema ya jihadi
@binuqaasha675
@binuqaasha675 25 дней назад
Allahu akbar
@hamisikanyama984
@hamisikanyama984 Год назад
Nafikir muone unaumuhim wakujifunza elimul akhlaq (waman uutia hekimata faqadi uutia khayran kathira) swadaqa ALLHAH
@CalvinVenance
@CalvinVenance 5 месяцев назад
Hio ndio shida watu hawana hekma
@malcomx2774
@malcomx2774 2 года назад
Linganieni uislamu
@shadhiriissabweraboymanda7732
@shadhiriissabweraboymanda7732 8 дней назад
Assalamu alykum warahmatullah wabarakatuh shekh wang hapo ulijitoa au ulitolewa.maneno yako yanaonekana ni yenye kujigonga gonga saana kwann msom!!!!!!!
@Zainabnoor0087-ze
@Zainabnoor0087-ze 5 месяцев назад
❤❤❤
@abubakarngao6549
@abubakarngao6549 6 месяцев назад
Wallah uwahabi utawapoteza
@al-murabbi4664
@al-murabbi4664 Год назад
جميل
@hassanmahamed8744
@hassanmahamed8744 2 года назад
Wamaa ursilu alaykum hafidhuun! Faaina tadhhabuun? In huwa illa DHIKRUN lil AALAMIN........
@RamadhaniAlysalafi-rv6hi
@RamadhaniAlysalafi-rv6hi 6 месяцев назад
wee enyewe jadida🎉
@zaidechafim2613
@zaidechafim2613 Год назад
Bado kijana kasome auna mambo soma wallah soma pepo ni ya Allah
@IbrahimSuleyman-j8n
@IbrahimSuleyman-j8n 6 месяцев назад
We umesoma
@abamohamed7092
@abamohamed7092 2 года назад
Hii ndio kazi kubwa waliyonayo kila kukicha kukatana mapande huyu anamdharau huyu na yule kumchukia huyu na kujiona yeye ndio bora kwa kila kitu,masheikh wachamungu waliokuwepo zamani hawakuwa kama walivyo hawa wa sasa,hawaheshimiani hata kidogo
@ilhamhaji8650
@ilhamhaji8650 Год назад
Innalillahi wainna ilayhi raajiuun
@abbaspaziaog2188
@abbaspaziaog2188 9 месяцев назад
Vipi kumefiwa au
@ahmadsayyeed7910
@ahmadsayyeed7910 6 месяцев назад
Huyu mtoto ana sifa sana anajiona mwanazuoni dah inauma sana LAKINI acha DUNIA imfunze
@alimakame1476
@alimakame1476 2 года назад
Maleghe inamuhangaisha huyu kijana akikuwa atatulia inshaallah
@ausatmwangi6464
@ausatmwangi6464 Год назад
😂😂😂😂Umesema kweli
@MattarOnlineTV
@MattarOnlineTV Год назад
Yani ww 😢
@abbaspaziaog2188
@abbaspaziaog2188 9 месяцев назад
Nyie mushaakua au bado
@IbrahimSuleyman-j8n
@IbrahimSuleyman-j8n 6 месяцев назад
Tatizo kubwa sana
@ShakimTyger-vw4ly
@ShakimTyger-vw4ly 5 месяцев назад
Tatizo anasifa nyingi mno anajiona kamaliza . Alaf mbona hatuelekezi aliko hamia tumafate waumini sis tunataka kheri bwana!!
@mussafrancophonetours1356
@mussafrancophonetours1356 Год назад
Mashekhe wasikuhizi hawasubiri hata kuachiswa wakijiona washakua tu walimu wao hawajuwi kuliko wao
@ameirzapy1318
@ameirzapy1318 Год назад
Eti tumekwenda hicho kimsikiti kdg, Subhanallah, ujana na dawa tuwe makini
@amritwaha-kp3hu
@amritwaha-kp3hu Год назад
Kumbe unatukana mpaka masalafi wenzako
@shamsuddin4582
@shamsuddin4582 6 месяцев назад
Hiyo ni athar ya lugha ya Zanzibar wacha kukuza mambo , pengine hujui.
@KassimSalim-fi1me
@KassimSalim-fi1me 8 дней назад
Halingani hata sent nababa yake baba yke alikuwa aalim na alifundisha Elimu kwa maslahi ya akhera huyu anatafuta umaarufu
@kadoditsa3805
@kadoditsa3805 Год назад
Upuziii mtupu... hakuna Dinii hapooo
@ismailmsangule1380
@ismailmsangule1380 Год назад
Dini Afrika yote hii imesomeshwa na masufi kumbukeni tu na msifiche ukweli
@mohamedamiri4597
@mohamedamiri4597 Год назад
Allah akbar
@HafidhiBugi
@HafidhiBugi 8 дней назад
alokutoa tongo alokuzidisha ujinga
@abuuintisaar2104
@abuuintisaar2104 2 года назад
Waaachen watarud walipo tokea
@BuiKishkOnlineTv
@BuiKishkOnlineTv 2 года назад
Abuu Mu'aawiyah Allah AMUHIFADHI tulikuwa nae masjid Taqwah AMANI.
@zubeirelhanaf
@zubeirelhanaf Год назад
Assalam alaykum
@adamkali3627
@adamkali3627 Год назад
Yaan huyu shekh du kituko sana Maan kwanza hana adabu
@ismailmsangule1380
@ismailmsangule1380 Год назад
Zungukeni tu lakini ukweli ni uleule kuwa masheikh wa kisalafi ni watu wapya katika Uislamu wenye mpango wao maalum na mmedhihir 1992 kwenda juu
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo 11 месяцев назад
Hata wakati Allah alipokuwa akitumia Mitume yake kuna watu walikuwa wakiona walioletewa wakiyaona ni watu wapya na waliyoyaleta pia huyaona ni mapya! Sasa usemalo Leo ni Sawa!maana mumezama ktk Yale waliyokuwa waliyokuwa nayo wazee wenu
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo 11 месяцев назад
Na wengine hata kuambiwa ni wendawazimu na kupata pingamizi nyingi tuu!lkn suala la Maulidi hili ndilo jipya zaidi ktk Uislamu maana Mtume na Maswahaba hawalijuwi?
@nassornassor1130
@nassornassor1130 Год назад
Naona hujasema sababu ya kuchia mana kila usemacho sababu
@user-vn6vx1qk5i
@user-vn6vx1qk5i 5 месяцев назад
Bachu ukiangaliwa jinsi unavoongea tu lafdhi zako unaonekana bado hujakomaa kielimu kabisa na tena uko mbali sana, kaa chini fikiria na uendelee kusoma kaka
@abdulmalicktvabdulmalicktv3750
@abdulmalicktvabdulmalicktv3750 6 месяцев назад
Kwan ujadida ndo unini
@huseinsaidy3871
@huseinsaidy3871 2 года назад
Wagawa umma hawa
@muhsinsalim6257
@muhsinsalim6257 Год назад
Mm simsikizi sheikh yeyote coz hawaelimishi watu dini wao kugombana na kutukanana tuuuu hiyo ndio ilimu wakiyonayo
@Abuuabdillah259
@Abuuabdillah259 6 месяцев назад
Kijana ambae hajitambui
@usseneandurabe9733
@usseneandurabe9733 11 месяцев назад
Kama ni kweli dini África wamefundisha masufi basi wamefanya khiyana nyingi sana uwozo mwingi
@KassimSalim-fi1me
@KassimSalim-fi1me 8 дней назад
We ni hizbi usiejielewa unajipendekeza kwa kina barahiyani na Dr Islam unatafuta umaarufu
@mickdadymwinyi1936
@mickdadymwinyi1936 2 года назад
Ambaye humtaji tunamjua ni Issa wa machimbo Temeke DSM
@NaadiriTV
@NaadiriTV 2 месяца назад
Kwel??
@abdukhan4718
@abdukhan4718 11 месяцев назад
Sasa hapa nimepata picha kumbe kibri umerisi Kwa walimu wako
@Seremani-ll2yf
@Seremani-ll2yf 5 месяцев назад
Tupopaja shekh
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 2 года назад
Kwisha majadidaaa
@allyjaffar7072
@allyjaffar7072 2 года назад
UTOTO BADO UNAMSUMBUA HUYU DOGO...UKHAWAARIJ ULISHAMUATHIR KITAMBO SANA
@masoudsalum3816
@masoudsalum3816 2 года назад
Musijitakashe wenyewe Allah ndie anaemjua anaemuogopa,ila nisamehe mm simo katika mechi zenu
@allyjaffar7072
@allyjaffar7072 2 года назад
@@masoudsalum3816 nataka ufaham kuw kwanz hatupo kweny match kama unavyodai pili UACHE KUROPOKWA kam jambo hulijui kaa kimya...Allaah akurehemu
@mkude
@mkude Год назад
Hawa majadida hawana hekma kabisa, SHEIKH Uthymeen anapingana na itikadi zao
@allyjaffar7072
@allyjaffar7072 Год назад
@@mkude Ndio unaamka sio...
@mkude
@mkude Год назад
@@allyjaffar7072 kabisa akhuy ndo tunaamka,hamtengenezi Bali mnaibomoa man haj salafy. Kwa itikadi zenu mbovu
@zuberizuberi7844
@zuberizuberi7844 2 года назад
Shekh muhammad unaweza kuwa na wafuasi wengi pindi tu ukithibitisha udogo wako mbele ya mashekhe waliokuzd kwa hpa Zanzibar
@masoudsalum3816
@masoudsalum3816 2 года назад
Inamaana kumbe Zanzibar kuna masheikh kama huja kubali kama wao niwakubwa unazuiliwa wafuasi,thawabu jee akifanya kheir atalipwa bila yakuthibitisha ukubwa wa hao masheikh.
@allymahaba3425
@allymahaba3425 Год назад
Huyu mtoto wa Bachu ananitia shaka. Nahisi mgonjwa wa akili. Hivi kweli kuna haja upuuzi wake huu kuutoa mitandaoni!!! Waislam tunanufaika nini hapa?
@abbaspaziaog2188
@abbaspaziaog2188 9 месяцев назад
Kama hufaidiki basi huna akili
@ABUU_SAAD-ut4fd
@ABUU_SAAD-ut4fd 16 дней назад
Walikua na chuki na Abuu Muawiya. Hakua na lingana nao kielimu aliwazidi hadi kusomesha alijitahidi sana ABuu muawiya kwenye kila kona. Ila chuki na uongo walio mzushia wataenda mlipa kwa Allah..
@Mr2161983
@Mr2161983 Год назад
Eti watu wa suna
@bakarsalimu6418
@bakarsalimu6418 6 месяцев назад
Ukimuona ntu masifa jua t hamna kitu nani akuogope
@ShakimTyger-vw4ly
@ShakimTyger-vw4ly 5 месяцев назад
Sasa ulikoenda ni wp ambapo kna kheri kurik kwa masalaf?? Bado unamatamanio ya nafsi dogo wew.uko ktoa ma crup video ndo ulipoona panafaa??. Sifa nying tuu utayumba sana
@user-bx5cn5no5e
@user-bx5cn5no5e 4 месяца назад
Huyu shekh mbn mawaidha yke yte yamejikita ktk ubaguzi au chuki flani kwa mashekh wenziwe kwan hawez kufundisha dini bila kudharau wengine
@alfaqeermuhsinhassan5860
@alfaqeermuhsinhassan5860 Год назад
Ile kukimbia Tu hilo ni tatizo ...hujui kama unaradhi na shekh lako au la
@khamissalum9285
@khamissalum9285 Год назад
Weye wamwambia shekhe wake kauli yakihuni du
@ahmedrageahmedrage9134
@ahmedrageahmedrage9134 2 года назад
Wee hufaaai mpka siku Yaa Eid
@abbaspaziaog2188
@abbaspaziaog2188 9 месяцев назад
Je ww wafaaa
@user-jh3bs3kb2k
@user-jh3bs3kb2k 10 месяцев назад
Sifa ulikuwa nazo ni ulikuwa ni mjinga na bado una ujinga
@matendupiterngoge8707
@matendupiterngoge8707 Год назад
Sasa hivi umenyamazishwa Sasa Kaa kimya katege samaki baharini ndugu zako tumbo Moja wako Madina wametulia wanasoma subir ukikua utajisikiliza hayo maneno yako ndio utakapokuja kujua huana adabu Wala lugha huijui
@mkude
@mkude Год назад
Nyinyi ndo adabu hamuna,watu gani nyinyi mnahaj gani nyinyi mnayoifuata hata hekma hamuna.
@allymahaba3425
@allymahaba3425 Год назад
Eti Hapa ndio anafanya da'waa? Usuna, Ujadida, Usalafi ndio da'waa za siku hizi, sio Uislam. Ndio mtoto wa Bachu huyo. Mwenyewe Anajiona anajua kuliko Kila mtu. Subhaanallah.
@hassanowgennogenno5740
@hassanowgennogenno5740 6 месяцев назад
Jadida,hizbi makhawariji mnamambo nyinyi
@FeisalMbamba
@FeisalMbamba 5 месяцев назад
Hii nadhani ni siasa imezamishwa ndani ya dini sioni nasiha hapo
@halidijuma1884
@halidijuma1884 2 года назад
Kwa Hali hiyo ndio maana hata sisi tuliacha UWAHABI,,, manatumia nguvu kubwa kulikoni akili,,, Vijana wengi wengi walikimbia usalafi kwa tabia zenu,,
@mussamsuya8595
@mussamsuya8595 Год назад
Wew una matatizo kweli
@ahmadsayyeed7910
@ahmadsayyeed7910 6 месяцев назад
Hadithi yako inatufunza nn zaidi ya kuwadhalilisha wenye elimu
@allymahaba3425
@allymahaba3425 Год назад
Mtoto wa Bachu yaani hayo maneno ndio da'waa kweli mpaka uyatangaze mitandaoni? Si mngekutana huko huko? Je na wenzako wakikujibu mitandaoni?
@matendupiterngoge8707
@matendupiterngoge8707 Год назад
Kijana unajua kuongea lakini wallahi huna Elimu
@abbaspaziaog2188
@abbaspaziaog2188 10 месяцев назад
Ww unayo
@mtagalalahmtagalalah1018
@mtagalalahmtagalalah1018 Год назад
Jadida Ni nini ??😢😢
@abbaspaziaog2188
@abbaspaziaog2188 9 месяцев назад
Watu wasunna wapya
@ausatmwangi6464
@ausatmwangi6464 Год назад
Hii ni darsa ama ni show offs 😢😢
@hassanally5678
@hassanally5678 Год назад
Nashangaa pia.
@ShakimTyger-vw4ly
@ShakimTyger-vw4ly 5 месяцев назад
Hahahaaahaha bro😂😂😂😂😂😂😂 kwel n show za kibabe broo umeongea ukwel😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@mashaurimvungi2232
@mashaurimvungi2232 4 месяца назад
Ukichaa wako umebainishwa na said kule mombosa Sasa hivi kimya kama haupo Dunia hii huna ishu kasome
@HassanHamad-rf9tq
@HassanHamad-rf9tq Месяц назад
Upuuz wako unajidhihirisha kuwa wewee ni hizbu salafy
@jumajux8346
@jumajux8346 11 месяцев назад
Bado elimu kaongeze elimu kaka alafu punguza kbiri unapo fahamisha sehemu yoyote
@user-xt3vk9vf6p
@user-xt3vk9vf6p 5 месяцев назад
Muhim n kusom ukisom t hakun mt atakubabaish
@user-xt3vk9vf6p
@user-xt3vk9vf6p 5 месяцев назад
Ubainif gn ndug yang umepat
@ausatmwangi6464
@ausatmwangi6464 Год назад
Tupo mahakamani hapa sasa sio msikitini tena😂😂😂
@matendupiterngoge8707
@matendupiterngoge8707 Год назад
Kwanza niabu kwa mtu anaeijua lugha ya kiarabu kusema jadida
@sadickmguruka
@sadickmguruka 8 месяцев назад
Haukufikia malengo yako tu ndo maaana uliuacha na ipo siku hata hapo ulipo utatoka kwasababu ya kutokufikia malengo
@salimabdallah5176
@salimabdallah5176 Год назад
Tusimame kukataza maovu
@rashid3562
@rashid3562 Год назад
Muongo dogo balaa
@abdullahm6937
@abdullahm6937 2 года назад
Muhammad wacha Uongo Muogope Allah. Hesabu Yaumul Hesabu. Usidanganye watu msikitini
@BilalMkasi
@BilalMkasi Год назад
Ww kijana nimuongo sana hakuna saalafia jadida
@FahadiHamisi-f2w
@FahadiHamisi-f2w 4 месяца назад
Akitambua huyu
@bilalijuma527
@bilalijuma527 6 месяцев назад
Uyu mjinga kweli kwanz adabu yake ni0
@khamisali9907
@khamisali9907 5 месяцев назад
Ao wanao msikiliza wote vitoto km yeye hamna hata mmoja mwenye akili yake
@afhamomar4441
@afhamomar4441 4 месяца назад
Ww n hurafi n hizbi kubwa xn mtu km huyu hatakiwi kusikilizwa n watu wasio n elimu {Maanswar ndugu zenu n matableh n itikadi yenu ya ikhwanul muslimn} Sisi umoja bandia hatuutaki tutaendelea kuwakata mpk muifate njia ilinyooka ety mtu wa sunna ana mapungufu yake sawa endelen kuchukua ilmu kwa Mahajawra ❎
@JafariNyallu
@JafariNyallu 7 дней назад
mziki je, tusikilize?
@user-ov9nj7hp1s
@user-ov9nj7hp1s Месяц назад
ما هلك من هلك إلا بحب الشهرة والكذب
@twahaabrahman5725
@twahaabrahman5725 2 года назад
Kasoro akanyee ndooni kikasuku hiki
@Auf-uh3jq
@Auf-uh3jq 2 года назад
Maimamu wetu bwana kazi ni hio kujifanya mwema wengine akawafanya waovu Maimamu wapenda kujiona Bora Sasa huyu ni apendae sifa Karibu atajipa kina la ulamaaa masifa
@kassimtz9567
@kassimtz9567 Год назад
Nahana lolote nimshambatu wailimu Bado Ako mtoto sana
@abbaspaziaog2188
@abbaspaziaog2188 9 месяцев назад
Mvheni ALLAH jina la ulamaa sio kujipa tu
@ABUUDARDAAI
@ABUUDARDAAI Год назад
Wew akh ni hizbi na uyo mafuta wako pia hizbi
@najaributest
@najaributest Год назад
😂😂😂😂he kwanza ncheke hata yaani mulianza kuwatukana masufi sasa mumeshageukiana wenyewe kwa wenyewe munakashifiana munadharauliana yaani bora wale waimbaji taraab wanastahiana kuliko nyie hii clip haina faida yoyote katika kuendeleza uislamu bali kuleta migawano tu upuuzi mtupu ujadida sijui nini uislamu kuuita majina yasiokuwa na maana mutakwenda kuulizwa na allah kama elimu muliyopewa munatakiwa kusemana na kuitana majina au kuelimisha watu wapuuzi wakubwa
@musabomar661
@musabomar661 10 месяцев назад
Kjana huyu jaahil sana
@abdul-rahmanfakijuma1879
@abdul-rahmanfakijuma1879 Год назад
Hujitambui dogo mudi
@MohamednoordubaMohamednoorduba
@MohamednoordubaMohamednoorduba 5 месяцев назад
Jadida
@huseinsaidy3871
@huseinsaidy3871 2 года назад
Kweli nimeamini uislam utagawanyika makundi 72 kweli yanatokea kwa wahabi
@masoudsalum3816
@masoudsalum3816 2 года назад
Jee huyu ambae siwahabi yeye hana kundi,inawezekana kumbe hii kauli ya umma huu utagawanyika makundi 72 hayo makundi hatujayafahamu samahani lakini wewe nisheikh mm nimaamuma tu
@isaliisu3408
@isaliisu3408 Год назад
Sijapata lakujifunza bora bando langu nimsikilize shekh mselem bin Alli wewe sipati faida
@isaliisu3408
@isaliisu3408 Год назад
Yaani wewe kuchukiya kitu tu unanuna
@isaliisu3408
@isaliisu3408 Год назад
Kwani wewe nani hasa hiyo ni Darsa ya dini au ni kuzungumziya ugomvi wenu bado langu utanilipa siku ya Hesabu
@aishaarusha894
@aishaarusha894 Год назад
@@isaliisu3408 lo makasiriko tu halipi
@Seremani-ll2yf
@Seremani-ll2yf 5 месяцев назад
❤❤❤
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 2 года назад
Kwisga majadidaaa
Далее
MAJADIDA WAVULIWA NGUO NA KATIBA
15:45
Просмотров 3,6 тыс.
Sheikh Naasor BACHU - KWENYE UZITO KUNA WEPESI
36:17
Просмотров 683 тыс.
MITIHANI KWENYE DA'AWA |SHEIKH MUHAMMAD BACHU
30:48
Просмотров 1,9 тыс.