Тёмный

NILINYIMWA VISA NA NDOA YANGU MKONONI | CHANGAMOTO NILIZOPITIA NA NAMNA NILIVYOZIKABILI 

Official Dating Assistance
Подписаться 43 тыс.
Просмотров 12 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

12 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 101   
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 4 месяца назад
Shule za kusoma Kijerumani Goethe institute Hertz connecting Tanzania - Sinza
@user-th8bo9lu8n
@user-th8bo9lu8n 4 месяца назад
Da shena kusoma kijeruman inaweza chukua Ata mda gan mwanafunzi kuelewa na je Canada wanatumia lugha gan nipo Oman inshallah Mungu akujalie mwakan naweza kwenda Canada
@aishwaryakapoor6772
@aishwaryakapoor6772 4 месяца назад
Lkn daa shena ujatwambia bado mmeo mlipatana kwa njia gani intro kias inaongeza ladha ya stori😊
@maimukanabora8751
@maimukanabora8751 2 месяца назад
Hongera madam nimezidi kujifunza kutoka kwako ila kupatikana kwako kazi kweli
@nicedavid8536
@nicedavid8536 2 месяца назад
Leo ndio nimesikiliza hiii Story, pole sana kwa ajili.
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 4 месяца назад
Waah huo mtihani wakuvunjika mwezi mmoja tu baada ya kuingia nchi za wenyewe ni mtihani haswaa. Glory to God kwa kukuvusha
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 4 месяца назад
Yani siku 10 tu nikiwa hapa Glory to God
@user-th8bo9lu8n
@user-th8bo9lu8n 4 месяца назад
Wowii madam barikiwa Sana kwa elimu nzuri Love you more ❤❤
@samtushi1759
@samtushi1759 4 месяца назад
Pole sana kwa majaribu. Our God He is faithful always.
@hildajoel5
@hildajoel5 4 месяца назад
Uwiii shena asante sana haki unatusaidia sana aisee. Haya mambo wengi tulikua hatuyajui lkn ashukuriwe Mungu aliyekuongoza kuanzisha hii channel. Thank you Shena and God bless you and your family ❤
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 4 месяца назад
Shukran Kwetu sote ameen 🙏
@ashurajuma2024
@ashurajuma2024 4 месяца назад
Nakupenda tu shena .mungu akupe nguvu zaid
@naomijoseph7749
@naomijoseph7749 4 месяца назад
Barikiwa Sana kwa napenda unavyo jielezea hadi raha pole kwa viuma utapona dear
@zainabkazige7388
@zainabkazige7388 4 месяца назад
Ushauri mzuri sana❤ pole pia kwa changamoto uliyopitia
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 4 месяца назад
Shukran dear
@mariambakari8065
@mariambakari8065 4 месяца назад
Pole sana shena, na pia hongera kwakutuelexea vizuri kwa undani na kwaupole utafika mbali
@flaziaisack4038
@flaziaisack4038 4 месяца назад
Pole Shena kwa changamoto na asante kutujuza hizo nondo muhimu❤
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 4 месяца назад
Shukran sana
@graceandrew3988
@graceandrew3988 4 месяца назад
Pole Shena na Hongera sana kwa kila kitu wewe ni mpambanaji.Hongera kwa kazi nzuri Mungu atazidi kukuinua
@ashakassanga1
@ashakassanga1 4 месяца назад
Beautiful keep it up👍
@zahramsangi3632
@zahramsangi3632 4 месяца назад
Pole sana kwa ajali uliyoipata Mungu atakuafu In Shaa Allwah
@aurelialema3945
@aurelialema3945 4 месяца назад
Point taken, dear. Hakuna kushangaashangaa ukifika nchi za watu
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 4 месяца назад
Exactly 🥰
@angelinakakulu1615
@angelinakakulu1615 3 месяца назад
Ulivunjika kwa ajali gani? Uko vizuri dada Mungu akubariki.
@patricialuande9540
@patricialuande9540 4 месяца назад
Mie Uk...wee nilianza from the scratch😅😅pole sana kwa matatixo...❤
@user-ky2ru7hl9j
@user-ky2ru7hl9j 4 месяца назад
Ahsante Shena kwa taarifa zako mzuri M/akubariki.
@zahrababygarl1568
@zahrababygarl1568 2 месяца назад
Pole sana dada angu aise nimeumia sana 😢😢😢😢😢
@fortunenova6242
@fortunenova6242 4 месяца назад
Jirani Jirani... Asante sana kutuhamasisha❤️❤️☺️☺️....hopefully na Mimi one day ntatoa testimony 🫶🏾🙏🏾
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 4 месяца назад
Amen Jirani 🙏❤️
@safiam5338
@safiam5338 4 месяца назад
Pole sana dada myezi mungu akuseheliye kwa kila mtihani mabaya akuepushe
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 4 месяца назад
Ameen kwetu sote
@valenakomba7686
@valenakomba7686 4 месяца назад
Umependeza sana.
@zainabsibuma-omary7061
@zainabsibuma-omary7061 4 месяца назад
Pole sana kwa ajali. Hope unaendelea salama sasa.
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 4 месяца назад
Shukran Sijambo Mungu ni mwema
@MartinaMsimbe-qk8ug
@MartinaMsimbe-qk8ug Месяц назад
Nimependa hiki kipindi kimenielimisha
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Месяц назад
Shukran sana Nafurahi kusikia 🙏🙏
@dayana5513story
@dayana5513story 4 месяца назад
Pole shena kwa mapito hakika everything happened for reason, ubarikiwe sana naendelea kujifunza kila siku Katika hii channel 😊
@user-xn8jh1yw1h
@user-xn8jh1yw1h 4 месяца назад
Pole sana kwa ajali uliyoipata. Pia hongera kwa kupata matibabu na kufanikisha mapema taratibu za Bima.
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 4 месяца назад
Shukran 🙏
@samniza9015
@samniza9015 3 месяца назад
It was easy then, like in the UK1991 tumekuja bila visa.
@tausilifestyle795
@tausilifestyle795 4 месяца назад
Asante sana shena tunajifunza na unatufumbua macho❤❤❤
@Ibrahim-om2lu
@Ibrahim-om2lu 2 месяца назад
Shukran
@aidaanatory9330
@aidaanatory9330 4 месяца назад
Dada pin huyo mtu ulosema ameamia sinza pls
@shamzone388
@shamzone388 4 месяца назад
Kweli kila mahali ukiwa na leseni ya manual unaendesha gari zote manually na automatic
@glorymasy7687
@glorymasy7687 4 месяца назад
Waoh God is good
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 4 месяца назад
Sana
@maimukanabora8751
@maimukanabora8751 2 месяца назад
Hakika kila binadamu angalia anapumua ana maana kubwa sana
@MajutoElliasi
@MajutoElliasi 3 месяца назад
Bona wengi mkienda uraya munakuwa na furaha inamana tz kunashida ya maisha sana hari gumu
@atuamohamed9664
@atuamohamed9664 4 месяца назад
Pole moinangu kwa changa moto zilokukuta Miye npeda sana kusikiliza hii mipango unayoiipitisha hapa ni mafuzo kwa wengi
@glorymasy7687
@glorymasy7687 4 месяца назад
Jmn pole kipnz
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 4 месяца назад
Ukifeli mara tatu unaruhusiwa kufanya mara ya nne lakini utapelekwa kwa mwana saikolojia kuhojiwa kwanza😅
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 4 месяца назад
Yani nimesikia
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 4 месяца назад
Lakini ukienda kwa huyo saikojia wala siyo shida. Unajieleza tu kuwa unakosea kwa vile unapata hofu ukiwa na huyo officer wakati wa kutainiwa. Mara nyingi mtu anafeli kwa sababu ya hofu tu siyo kwamba ameshindwa kuendesha gari. Unajitetea kuwa ni hofu lakini kuendesha unajua . Mara ya nne unapewa afficer mpole na friendly. Najua watu kadhaa walipita baada yakujieleza kwa hao saikolojia.
@user-dv7zs9wk2b
@user-dv7zs9wk2b 4 месяца назад
your doing well👏
@Ibrahim-om2lu
@Ibrahim-om2lu 2 месяца назад
Ok
@samniza9015
@samniza9015 3 месяца назад
Kituo cha red cross.
@mariambakari8065
@mariambakari8065 4 месяца назад
Pole sana kipenzi chetu
@tanzanite9944
@tanzanite9944 4 месяца назад
Sauti iko Chini kama unajiongelesha mwenyewe.
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 4 месяца назад
Oooh pole sikua najua kama sauti iko chini
@othmanhajivi.s3682
@othmanhajivi.s3682 3 месяца назад
Pole sana sister
@linkreuben3108
@linkreuben3108 4 месяца назад
Nice story sister! Mwaka gani ulisoma Goethe Institut? Nilifanya kazi pale, Karibu Ujerumani 😊
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 4 месяца назад
Shukran kaka Link Nilisoma 2013, then nikasoma tena 2020
@samniza9015
@samniza9015 3 месяца назад
Yaani Mimi kwa mambo hayo ya kuomba visa mbona ningeshindwa! Ninashukuru wakati tumekuja kila kitu serikali ili fanya obviously tulikua tunakuja shuleni 1986. Hata kwenda Uingereza Summer holiday Watanzania tulikua hatukuhitaji kwenda omba visa kutoka Czechoslovakia then in 1986. Tulikua tunakwenda ubalozi wa ujerumani tu kuomba visa/transit visa on our way to the UK.
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 3 месяца назад
Karibu sana kwa kipindi tupate kujifunza mengi ya enzi za 1986 Litakua ni darasa kubwa sana kwetu +4367764790884
@dorothyronald2445
@dorothyronald2445 4 месяца назад
Tunaomba jina la ile shule iliyoko Sinza.
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 4 месяца назад
Ashapin hapo juu
@amourmtungo623
@amourmtungo623 4 месяца назад
🤔Ulikosea kidogo Shena lakini umeshajifunza. Ungeomba fiancé visa ambayo ungetakiwa kufunga ndoa ndani ya miezi sita kabla haija expire. Ungetumia njia hio tena ungepewa visa ya indefinite leave to remain. Hapo tena ungekuwa mambo yamekaa vizuri zaidi. Anyway, tayari umeshapata uzoefu sasa hongera na asante kwa kushea🤝
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 4 месяца назад
Nilikua nimeshafunga ndoa Tanzania Na visa ya kwanza ya matembezi nilikuja kama mke ila nilikua kazini Ukipewa visa ya kufunga ndoa ni valid kwa few months tu muwe mshafunga ndoa bila hivyo inakua terminated
@margaretachie-narcdiary7954
@margaretachie-narcdiary7954 3 месяца назад
Ingekuwa spousal visa
@berthaworner5936
@berthaworner5936 4 месяца назад
Hiyo ya kuendesha gari ni kama huku uingereza
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 4 месяца назад
Ooh sheria zinaewiana Kumbe Karibu sana kwa kipindi 🙏 +4367764790884
@dn.n4983
@dn.n4983 4 месяца назад
Ni kweli mradi drive lience
@YusuphShabani-wk5bv
@YusuphShabani-wk5bv 3 месяца назад
pole sana dada 😢😢
@Ki-l7s
@Ki-l7s 4 месяца назад
Mimi ni mkenya naishi Ujerumani. Nikija Austria nitakuita 📞 labda tunaweza tukaonana tunyue kahawa 😍
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 4 месяца назад
Ahsante sana Karibu Na pia Karibu sana kwa kipindi 🥰
@Ki-l7s
@Ki-l7s 4 месяца назад
@@OfficialDatingAssistance Nashukuru 🙏🏾
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 4 месяца назад
Mlete huyo mwalimu wako jamani atoe madini kwa vijana wetu.
@fatmamansour676
@fatmamansour676 4 месяца назад
Ni nzur kufanya kila kitu mapema hata mie nimefanya mapema
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 4 месяца назад
Hongera sana
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 4 месяца назад
Pia passport tenda aliwin mmarekani passport zetu ni.mmarekani anayetengeneza
@zahramsangi3632
@zahramsangi3632 4 месяца назад
Ulipata ajali ukiwa na drive au ukiwa unasafiri?
@enerstchimbala
@enerstchimbala 4 месяца назад
Pole dada mungu wa mbingu akuchunge sana mimi na itua Mr Ernest natamani unitumiyeko number Yako ya what's kusudi twanze kuongeya maswali mazuri sana kuhusu ya maendeleyo yetu ya maisha Asante dada usi saulike
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 4 месяца назад
Shukran +4367764790884
@valenakomba7686
@valenakomba7686 4 месяца назад
BASI HUKO NI KUZURI , UBELGIJI HIYO HAWANA KABISA. WEWE NI KUANZA MWANZO. THEORIE, THEN PRACTICAL.
@donaldchacha
@donaldchacha 4 месяца назад
Una watoto wangapi?
@user-ky2ru7hl9j
@user-ky2ru7hl9j 4 месяца назад
Da shena mbona husomi comment zangu.
@ameerabdalla3820
@ameerabdalla3820 4 месяца назад
Nauliza ajali ulopata imetokana na nini
@betricemainoya4176
@betricemainoya4176 4 месяца назад
Baiskeli
@betricemainoya4176
@betricemainoya4176 4 месяца назад
Alikuwa anaendesha baiske
@atuamohamed9664
@atuamohamed9664 4 месяца назад
Nipatiye namba yako ya whatsap
@ninjaisma7983
@ninjaisma7983 4 месяца назад
Bantu app mbona haifunguki on my side
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 4 месяца назад
App ipo kwa matengenezo Site inafanya kazi www.bantu.dating
@donaldchacha
@donaldchacha 4 месяца назад
Aliyekuwa analala mlangoni mwa duka ni homeless siyo kichaa
@samtushi1759
@samtushi1759 4 месяца назад
Pole sana kwa majaribu. Our God He is faithful always.
@shamzone388
@shamzone388 4 месяца назад
Kweli kila mahali ukiwa na leseni ya manual unaendesha gari zote manually na automatic
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 4 месяца назад
Exactly
@samtushi1759
@samtushi1759 4 месяца назад
Pole sana kwa majaribu. Our God He is faithful always.
@samtushi1759
@samtushi1759 4 месяца назад
Pole sana kwa majaribu. Our God He is faithful always.
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 4 месяца назад
Amen 🙏