Huyu KRG anamuongea Otile Brown nayeye mwenyewe Huwa haeleweki chenye yee huimba, amesema Otile Brown amenona mpka kichwa ambapo yee mwenyewe hukaa dehydrated.Anafaa kwanza akule vizuri aache kukaa kama mtu Hana nguvu mwili...KRG punguza shobbies .. Otile is a very humble guy
interview imekua poa but ukimalizia ukawa mjinga kusema wenye walikua hapo mbele ndio waliiba kwa hiyo maneno sijakupenda,wewe na entire kenya kwanza hakuna tofauti wizi tu
K RG wee n falatu ingekua Otile ame attend apo kwa ali ange perform wee ulienda naata akuna mtu aliku recognize 😂😂 na unajiita artist unamchana OB shame on you
Huyu ni bangi na sifa za kibwege anazopewa nilimuona wa maana kumbe hovyoo😂 ufananishe Nigeria na Kenya kweli? Nchi Yenye ipo Tatu bora kwa utajiri na maendeleo Africa, South Africa, Egypt na Nigeria ukananishe nchi yenye ipo katika kumi bora kwa madeni nchi za Afrika kenya imo na huwezi ikuta Tanzania hata nafasi ya 20 kwenye nchi za madeni makubwa Africa,
Nimeamini huyu ni puppet mdoĝo mdogo A.k.a snitchy na wala si uzalendo. Anaongea sana asee duu buwezi msaidia mtu ukamsema ama ukatangaza, a really man can never do that. Taja wasanii watatu wakubwa wa Kenya kenya na uwalinganishe na wa Nigeria, Davido, Burna boy, Wiz kid, ulinganishe na Wakenya na wewe mwenyewe ukiwemo.