nilijaribu pia mimi kuelezea marafiki wengi tufuate uamuzi Wa raisi Uhuru kwa kuwa yeye ana waelewa vizuri sana tena zaidi Raila na Ruto kuliko wakenya wote lakini sikio la kufa halisikii dawa !
Uhuru did not understand what succession means. He also failed to appreciate that he did not have the grip of the Kikuyu, the way Raila has of the Luo. It is now too late for him to try to shape the history of Kenyan politics.
Rais Uhuru Kenyatta, namwomba Mwenye enzi Mungu akubariki. Usichoke kuwakumbusha wa Kenya kuwa lazima waungane bila kuleta ukabila. Na wachague viongozi watayeweza kuiboresha nchi ya Kenya. Mungu ibariki Kenya na watu wake. Mungu ibariki Afrika.
Mungu ibariki Afrika. Dumesha Uhuru na umoja. Wake kwa waume, na watoto. Mungu, ibariki, Afrika, na watu wake…. Excerpt from the Tanzanian national anthem.
@@patricknjoroge749and gow sure were you Ruto is better Kondo ni kondo tu wewe ni chuki tu ndo inakusumbua ssbabu central mwafundishwa kumchukia Raila
Kwa heshima zote.....Mr. President samahani🙏🙏 Tulikosea.....much more....tulikukosea na kukukosoa.....au kukupinga.....but 'vava' mtoto wako aki 'noki' humtemi....you try your best as a loving kind ... compassionate dad! Please hear us one (last) time and guide us.....we are ready and willing to listen. Besides even when we refused to listen to you....yet we still held you in prayers ( personal I did) coz( I ) thought umechanganiwa....but still respected Gods anointing over you( am sure many of us did). We (I... atleast and I believe.....more Kenyans....than you know or you'll evenr think) tuna kupenda ...tunakujali.....and most of all....tuna Penda and jali our Nation. So.....Sir.... kindly....hear us out as a nation.....GOD HEAL YOUR HEART SIR.....Let Go and Let GOD'🙏
If you ask them why they hate Raila they will tell you they believe in so many manufactured lies against him. The Son of the person who started those lies told them all along it has been lies they refused to listen. They decided instead to put their heads on the chopping board. . . now in hind sight they cry every day
Uhuru alikua atusaie wasani waka ita uhuru mlevi na mm sina makao wala sina kaburi nikikufa sina pahali naweza zikwa nikipumzika na niko na talen sina mtu wakuni shika mkono
Bien! Le président Ruto William devrait comprendre que l'ex président Uhuru Kenyatta est un homme sage et constitue le monde entier selon son père Kenyatta Jomo et même les idées de Kibaki autour de Museveni et Nyere, la Magufulification, etc. Bref William Ruto devrait rendre respectueusement ce monsieur. Uhuru Kenyatta et la Russie l'aiment autant que la Chine, etc. Ainsi Ruto devrait travailler avec Odinga
Dad mundu ajikirie ngimera ruto ahana muthua uria uria rufau ukiuria Kai muthua urire haha hakagua reke mine uguo makuhurire na mananathi mafuthu nimaombi sio ujawai Sasa waende waseme ni ujawi sio maombi 😊😊😊😊😊
Zenye ulibomoa Kariobangi zilikua za watu gani, yeyote amejenga kwa sehemu ya maji lazima abomolewe. Moi never allowed anyone to build in the riverain area, your MPs went to an extent of saying "unaweza badilishia maji njia" 🤣🤣🤣
I see alot of support for uhunye hapa.....waaaah....enyewe sisi husahau haraka.....yaaani someone alipata govt na debt ya 2trillion na akitoka akawacha ikiwa 9trillion😂😂😂😂.....anyway lets keep enjoying the theatrics
😂 politicians bana. Mtu ambaye amesepa na mkwanja wote kamwachia mwenzake misala eti Trionea anakuja nyuma yako tena kukudanganyeni daaah the public is never intelligent but an individual can be. Ninaweza sema kwa uthabiti huyu ndo gangster kwa pale Kenya kama Bongo ukitaja Jakaya. Wezi number one hawa ila ndo umma unawapenda balaa😭