Тёмный
No video :(

Nimeahidi Yesu Kukutumikia | Sauti Tamu Melodies | Mwisho wa Misa (Imbeni Aleluya) 

Sauti Tamu
Подписаться 152 тыс.
Просмотров 2,2 млн
50% 1

Imbeni Aleluya, aleluya imbeni, shangwe kwa Bwana Yesu, ndiye mweza wetu
Wimbo wa kumaliza/kutoka misa
Umeandaliwa na Martin Mutua Munywoki
Umeimbwa na Sauti Tamu Melodies
Tazama nyimbo nyingine katika channel hii kama vile Nijaposema kwa Lugha vile nikupe nini mungu wangu, nitakwenda mimi mwenywe, roho yangu na ikuimbie, wanameremeta, nendeni na amani mkayatangaze mliyosikia, sasa wakati umefika, utukuzwe ewe baba na nyinginezo nyingi za zamani zilizopendwa
Nimeahidi Yesu, kukutumikia
Wewe u Bwana wangu, urafiki pia
Sitaogopa vita, wewe ndiwe mweza
Sitaiacha njia ukiniongoza
#SautiTamu #SautiZaKuimba #Zilipendwa

Опубликовано:

 

19 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 747   
@sauti_za_kuimba
@sauti_za_kuimba 2 года назад
1. Nimeahidi Yesu, kukutumikia, Wewe u Bwana wangu, u rafiki pia, Sitaogopa vita, wewe ndiwe mweza Sitaiacha njia, ukiniongoza Imbeni aleluya, aleluya imbeni Shangwe kwa Bwana Yesu Ndiye mweza wetu 2. Dunia i karibu, Bwana siniache Na mengi majaribu, yako pande zote Siku zote adui, ni ndani na nje Bwana Yesu nivute, karibu na wewe 3. Nikusikie wewe, nena nami Bwana Kelele za dunia, ndizo nyingi sana Nena kunihimiza, au kunionya Nena nikusikie, mwenye kuniponya 4. Umewapa ahadi, wakufuatao, Kwenda uliko wewe, wawe huko nao Nami nimeahidi, kukutumikia Nipe neema Bwana, ya kukwandamia 5. Hatua zako Bwana, na nizikanyage Wewe u mwenye nguvu, mimi ni mnyonge Niongoze nivute, nishike daima Mwishoni niwasili, mbinguni salama
@lifeaplenty
@lifeaplenty 2 года назад
Beautiful work💝💝💝💝
@gracewamaitha7382
@gracewamaitha7382 2 года назад
Barikiwa sana
@euniwamago6106
@euniwamago6106 2 года назад
Be blessed all
@Nicholus166
@Nicholus166 Год назад
Kweli wewe ndiye mwenza wangu
@patrickkaranja2604
@patrickkaranja2604 Год назад
Pp,
@ambrosenjeru910
@ambrosenjeru910 8 дней назад
Naupenda wimbo huu kwa dhati;nyimbo kutoka kitabu cha Tumshangilie Bwana zilikuwa enzi hizo na hizi zagusa nyoo za wakristu na watu wote wenye nia njema!This is my prayer song and pledge to my Lord and Saviour Jesus Christ. ⛪
@monicaaima
@monicaaima 3 месяца назад
I'm here in May 2024,I was searching for this song, I've sing it and enjoyed it,may the Almighty God continue blessing us all🙏
@godwinkirema3302
@godwinkirema3302 3 месяца назад
Still here. God bless you
@BillPurkayastha
@BillPurkayastha 9 месяцев назад
Over 30 years ago I learnt this song from my Kenyan friends during my college days in Lucknow. If any of you are reading this - Thomas Ogutu, Evans Ojijo, Saleem Abdallah, and most of all Felix Feisal Mboya - I still remember.
@SautiTamu
@SautiTamu 9 месяцев назад
Thank you so much for sharing the memory
@nessi1003
@nessi1003 6 месяцев назад
Nice Melodie’s feel like an filled with Holy spirit whenever I listen to this song.
@petermcmjumbe3887
@petermcmjumbe3887 Месяц назад
Really nostalgic. Praise be to Almighty God who made you into a wonderful choir.
@domnicochieng5362
@domnicochieng5362 2 года назад
I'm happy of being a Catholic and a choir member, may God strengthen the faith of all christians in the world.
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Thank you Dominic, be blessed
@amboka2001
@amboka2001 2 года назад
I’m singing along.. I still remember every word now over 30 years..
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Be blessed Lydia
@wangarimuriithi8748
@wangarimuriithi8748 2 года назад
Me too. Word for word. The memory is an amazing thing. And they did an amazing job. Hoiya yee is another song they did a superb job with.
@Samia_lady254
@Samia_lady254 3 месяца назад
Am proud to be a catholic ❤❤❤
@jothamkimathi9831
@jothamkimathi9831 Год назад
It makes me wonder how heaven looks like
@SautiTamu
@SautiTamu Год назад
🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@moraakokello
@moraakokello 3 года назад
🌄sounds like youths rushing out of church because mass is over😂😂 nice memories
@SautiTamu
@SautiTamu 3 года назад
🤣🤣Thank you 🙏🙏
@mjkinuthia386
@mjkinuthia386 3 года назад
This song is as *Catholic* as they come. More importantly, it is a personal dialogue with God. We are invited to renew our baptismal promises even as we acknowledge total dependence on HIM. Sauti Tamu, SHUKRANI 🙏
@SautiTamu
@SautiTamu 3 года назад
Asante sana MJ. God bless you
@kaweesahenryk
@kaweesahenryk Год назад
I love this song. It's so special in all aspects. Thank you for sharing it here
@solomongitau7668
@solomongitau7668 Год назад
Huwa naitazama karibu kila siku ,,, the best
@SautiTamu
@SautiTamu Год назад
Shukrani sana. We truly appreciate
@gracekinyanjui3914
@gracekinyanjui3914 3 месяца назад
Same
@joseambeyi3543
@joseambeyi3543 3 месяца назад
Am in love with the voices... Message well received
@STELLANZISA
@STELLANZISA 2 месяца назад
Hallelujah 🙌 imbeni shangwe kwa bwana yesu ndio mwenza wetu🙏🙏 13/06/2024❤
@claudioabongo7569
@claudioabongo7569 2 года назад
Whenever I listen to such wonderful and powerful Catholic songs 🎵 It remind me my 15 years down the line , my journey of being a priest ... but it never worked .... continue with such wonderful work ..... Proud Catholic
@ndiwamark5948
@ndiwamark5948 2 года назад
Born a priest forced to....
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Thank you so much Claudio Ndiwa
@immaculatekutto2121
@immaculatekutto2121 Год назад
Mwenyezi mungu Awabariki sna wanakwaya Naipenda sna hii nyimbo ya kwaresima, 🙏🙏🙏🙏🤲🙌🙌🙌🙌👌💓👂👀👏👏👏👏👏💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💖💝
@SautiTamu
@SautiTamu Год назад
Amina Ubarikiwe nawe pia
@immaculatekutto2121
@immaculatekutto2121 Год назад
@@SautiTamu Afwan 🙏🙏🙏👌🙌🙌
@jeffmwangi6384
@jeffmwangi6384 5 месяцев назад
Am proud to be a Catholic.. this takes me back many years n gives me those good memories 🤔🙏🙏
@dennisjuma3940
@dennisjuma3940 2 года назад
I heard the song long time ..it's encouraging to our faith as Christians.. Wow lovely
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Thank you Dennis. Be blessed
@gladysgesare9549
@gladysgesare9549 3 года назад
Nyx song i like it am proud to be a catholic
@SautiTamu
@SautiTamu 3 года назад
Thank you Gladys🙏🙏🙏
@wafabian8116
@wafabian8116 3 месяца назад
What can we do without Christ
@blessedperson8221
@blessedperson8221 3 года назад
Remembering my life at mukumu Catholic Church.
@SautiTamu
@SautiTamu 3 года назад
Blessings to you
@catherinekarimi9993
@catherinekarimi9993 2 года назад
Hii wimbo surely inanipea nguvu ykila siku Amen
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Amen
@syphrinewandabusi9925
@syphrinewandabusi9925 2 года назад
Mungu ni yule tu.
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Amina
@wolf-xq5yf
@wolf-xq5yf 2 года назад
My favorite song, love it and I replay more than 5 times a day. Blessings
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Thank you so much Visca, be blessed
@nancykorir6360
@nancykorir6360 2 года назад
Once a catholic always a catholic ,thumbs up my people this songs takes me back to them days when were alter boys/girls n l don't regret being a CWA mama
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Thank you Nancy
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Thank you Nancy. Blessings
@jacobodhiambo2020
@jacobodhiambo2020 2 года назад
I love this song it reminds me last gospel song when it is being sang l feel like the mass has ends and love it. Jacob from kisumu St Peter's manyatta
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Thank you Jacob God bless you
@BillPurkayastha
@BillPurkayastha Год назад
I learnt this from Kenyan friends back in college in the early 1990s. I can still sing it 😊
@SautiTamu
@SautiTamu 8 месяцев назад
Thank you Bill
@kimanijohn9529
@kimanijohn9529 3 года назад
Favour will locate and follow y'all guys, this is wonderful and I never get enough of this, proud to be a Catholic, stay safe and remember to Mask up guys, I salute y'all
@SautiTamu
@SautiTamu 3 года назад
Amen. Blessings
@prosperpuro1712
@prosperpuro1712 2 года назад
Only legends can understand the gravity of this song so I remember a lot of the past #ProudCathoric ❤
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Asante, be blessed
@wachirakazungu620
@wachirakazungu620 2 года назад
This song reminds me of my late aunt (Jane). She would sing it on repeat so sweetly back then. How I wish she would listen and enjoy this beautiful rendition. Thumbs up Sauti Tamu.
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Thank you Kazungu, and sorry for the sad memories. She is singing with angels.
@yonithodamian3635
@yonithodamian3635 Год назад
You are the best choir to me. Your songs give me joy and happiness I deserve everyday. I don't finish a day without listening to your songs. May God bless you
@SautiTamu
@SautiTamu Год назад
Thank you so much. We are much humbled
@maarifake7581
@maarifake7581 3 года назад
Am proud to be a Catholic member ♥️ The song encourage us to stand firm on our faith🔥cheers
@SautiTamu
@SautiTamu 3 года назад
Amen, thank you
@mainakiarie810
@mainakiarie810 2 года назад
Greatness tupu
@hellenkarimi4311
@hellenkarimi4311 2 года назад
Amen
@mbuguavetlinee7884
@mbuguavetlinee7884 2 года назад
Wimbo pia ni maombi,amina
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Amina🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@paulinekioko1166
@paulinekioko1166 Год назад
Imenibaba joh, congrats, catholisian forever 🔥🔥
@SautiTamu
@SautiTamu Год назад
Thank you Pauline
@jacklinekamene-iv7vp
@jacklinekamene-iv7vp 2 месяца назад
Hio wimbo is my best when I wake up,proud to be a catholic
@SautiTamu
@SautiTamu 2 месяца назад
Shukrani Be blessed
@fayamina2560
@fayamina2560 2 года назад
Nzuri sana, haichoshi kutazama na kurudia mara kadhaa. Kazi safi Director, Munywoki, you are the best
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Asante Fay, blessings
@bettylukano163
@bettylukano163 2 года назад
Wow it brings me back to Jesus
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Thank you
@grammamresh8848
@grammamresh8848 3 года назад
Wow I love it 💕,hongera Sauti Tamu
@SautiTamu
@SautiTamu 3 года назад
Shukrani Gramma
@francisnjai116
@francisnjai116 2 года назад
Proud be a Catholic,listen to that tune fellow Kenyans
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Thank you Francis
@user-tr2ud6ib5l
@user-tr2ud6ib5l 21 день назад
Naipenda wimbo huu, RC KWELI WAMEFUATA ILIYO KWELI
@SautiTamu
@SautiTamu 17 дней назад
Shukrani sana 🙏🙏🙏
@user-fw8wm2xd8x
@user-fw8wm2xd8x 2 месяца назад
Asntn sana wimbo mzur ujumbe mzuri
@davidkipsang3808
@davidkipsang3808 2 года назад
pure traditional. i love traditional hymns alot
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Thank you David, be blessed
@thomasrianga2102
@thomasrianga2102 2 года назад
Amina Kwa kweli sauti tamu Mungu awatangulie ktka uimbaji wenu wema🙏
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Ubarikiwe nawe pia Thomas
@bunnybinky8263
@bunnybinky8263 Год назад
My all time favourite ❤️
@SautiTamu
@SautiTamu Год назад
Thank you 🙏🏻🙏🏻
@fayamina2560
@fayamina2560 2 года назад
Rewatching this over and over
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Thank you Fay. Be blessed
@paulinemaina655
@paulinemaina655 5 месяцев назад
Sweet Melodies, God bless them alot
@kuriam.patrick795
@kuriam.patrick795 2 года назад
Wow am blessed with this song💪💪💪💪
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Thank you Patrick, be blessed
@sebastiansteven
@sebastiansteven Год назад
Tangu nimeanza kuwafatilia nabarikiwa sana na nyimbo zenu zenye ujumbe mzuri na Sauti tamu..Mungu awabariki sana siku hadi na awalinde na yule mwovu mzidi kumtumikia Mungu katika wito mlioitiwa..Amen
@SautiTamu
@SautiTamu Год назад
Tunashukuru sana Sebastian 🙏🏻🙏🏻🙏🏻 Ubarikiwe
@sebastiansteven
@sebastiansteven Год назад
Amen
@raphaelngoy1680
@raphaelngoy1680 2 года назад
Tu kutumikiya mpaka mwisho wa maisha yangu eeeeehe mungu wangu
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Amina
@kasamcynthiack
@kasamcynthiack 2 года назад
Nice one. Reminds me of my Highschool life. God bless.
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Thank you Cindy God bless you too
@isaackihoro5396
@isaackihoro5396 9 месяцев назад
Nimeishi kutafuta huu wimbo asante kwa mungu ....
@SautiTamu
@SautiTamu 9 месяцев назад
Amina. Ubarikiwe
@maryukumu9593
@maryukumu9593 2 года назад
This is sooo sweeet I love it❤❤
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Thank you Mary, be blessed
@guygerardmaindo3202
@guygerardmaindo3202 2 года назад
Une belle mélodie et un bon clip.Je vous love trop depuis Kinshasa république démocratique du Congo
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@malk8152
@malk8152 2 года назад
Kwa yesu hakuna kuchoka!Msifuni Bwana wa mabwana.
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Amina
@justinediyami6393
@justinediyami6393 10 месяцев назад
NIMEAHIDI KUKUTUMIKIA YESU KATIKA HATUA ZAKO ZOTE ILI MAPENZI YA MUNGU YATIMIE KATIKA MAISHA YETU...AMINA.
@SautiTamu
@SautiTamu 10 месяцев назад
🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@janaleokesho8374
@janaleokesho8374 3 года назад
❤️❤️❤️Sauti tamu ❤️❤️❤️ Alleluia imbeni ❤️❤️❤️🔥🔥
@SautiTamu
@SautiTamu 3 года назад
Shukran Izoh.
@nellyouncemutheu4931
@nellyouncemutheu4931 3 года назад
Woooow sauti tamuu🔥🔥🔥
@SautiTamu
@SautiTamu 3 года назад
Shukrani sana Mutheu. Blessings to you
@lampardlagat8425
@lampardlagat8425 3 года назад
Wow my mom loves this song sana..be blessed Sauti Tamu
@SautiTamu
@SautiTamu 3 года назад
Asante Lampard, be blessed
@theresamasanja9925
@theresamasanja9925 2 года назад
Siku zote adui ni ndani nje,Bwana Yesu nivute karibu na wewe🙏🙏🙏
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
🙏🙏🙏
@Jonathan99-9
@Jonathan99-9 2 года назад
Great song indeed 👌..the young pianist boy deserves an award for being well talented 👏
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Amen
@EzekielMwanzia-xv4kk
@EzekielMwanzia-xv4kk 10 месяцев назад
Best of my favorites
@SautiTamu
@SautiTamu 10 месяцев назад
Thank you
@samuelkimani6792
@samuelkimani6792 Год назад
Once I hear that voice I do remember my mom.Continue resting mummy
@SautiTamu
@SautiTamu Год назад
Amen. May her soul rejoice with angels forever
@loyfordkinyua5685
@loyfordkinyua5685 3 года назад
This is awesome, the song takes me back to Holy redeemer Iruma parish t/nithi county, when, as small boys, going to church was the most revered ritual those days. Big up sauti tamu, saying Hi from Temeke Daressalaam
@SautiTamu
@SautiTamu 3 года назад
Thank you. Receive blessings @Dar
@merciemuriuki5183
@merciemuriuki5183 2 года назад
Representing st charles lwanga. Muthambi parish t/nithi county. Watching from dubai. This makes me miss home
@lodioemma
@lodioemma 2 года назад
The most beautiful oned
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Asante Lodio, be blessed🙏🙏🙏
@martinkauna4225
@martinkauna4225 2 года назад
Thank you. May the Almighty God continue blessing.
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Amen🙏🙏 be blessed too
@reubenmusyoka3192
@reubenmusyoka3192 3 года назад
Catholic and SDA choirs are one my favorites. The distinct voices are incredible!❤️
@SautiTamu
@SautiTamu 3 года назад
Thank you Reuben. God bless you
@bennjanja2382
@bennjanja2382 3 года назад
Those 2 r the only serious churches on earth ..well organized too
@jeanboscosibomana9182
@jeanboscosibomana9182 2 года назад
Good
@johniligha7181
@johniligha7181 2 года назад
Nice song
@martinmunywoki
@martinmunywoki 2 года назад
My favourite. Appreciation to the entire team
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Thank you Director n Producer
@AmosKmedia
@AmosKmedia 5 месяцев назад
When i hear this song,it takes. Me back to that hard moment when we received the body of my late father in the church for the burial mass...I shed tears and years later now the pain still remains,the big gap will never be filled.may his soul continue resting in peace😢
@kiiomoses6470
@kiiomoses6470 2 года назад
Such nice songs ..I love listening to them always ❤️❤️❤️
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Thank you Kiio
@moraavic6144
@moraavic6144 2 года назад
The sweetness of being a catholic member 🙏
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Amen
@mainakiarie810
@mainakiarie810 2 года назад
Ni greatness tupu
@moraavic6144
@moraavic6144 2 года назад
@@mainakiarie810 you can say that again
@cornelmail3465
@cornelmail3465 3 года назад
Beautiful song I love Sauti Tamu my favourite.
@SautiTamu
@SautiTamu 3 года назад
Thank you Cornel
@winfridatillya5382
@winfridatillya5382 2 года назад
Safi sanaaaa!!!
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Shukrani Winfrida
@jeffmukshie642
@jeffmukshie642 2 года назад
Nice melody indeed.. Love it from Kenya.
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Thank you
@isaacwabomba577
@isaacwabomba577 3 года назад
I really love this song...it reminds me so much... God bless you
@SautiTamu
@SautiTamu 3 года назад
God bless you too Isaac
@Lady_Naomi
@Lady_Naomi Год назад
Amen. Amen. I will serve you and you alone God.
@SautiTamu
@SautiTamu Год назад
Amen
@georgemakori248
@georgemakori248 3 года назад
Good work Munywoki for the memories you are preserving in youtube for the future generations thanks for nurturing the young people in the song and the young organist Vincent Makori. Be blessed my brother as you bless us with the old golden songs
@SautiTamu
@SautiTamu 3 года назад
Thank you so much George. Vincent is a great gift
@martinmunywoki
@martinmunywoki 2 года назад
🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@georgewambugu9393
@georgewambugu9393 3 года назад
I wonder who in his/her right mind can dislike such a performance. Let's learn to appreciate good! Kudos #SautiTamu
@SautiTamu
@SautiTamu 3 года назад
Thank you George, well put, be blessed
@sarahkenga4137
@sarahkenga4137 2 года назад
So, so sweet voices. May you live to serve the Lord as the song goes. Beautiful. May God bless you all.
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Thank you Sarah, be blessed
@angelineomoya3015
@angelineomoya3015 Год назад
This one is taking me back to my childhood around 2002... Glory to God.
@SautiTamu
@SautiTamu Год назад
Thank you Angeline, blessings
@mish1193
@mish1193 2 года назад
Continues with that spirit
@SautiTamu
@SautiTamu Год назад
Thank you Mish
@user-xp2gg6sy1r
@user-xp2gg6sy1r Год назад
I love 'sauti tamu choir beautiful ❤️
@SautiTamu
@SautiTamu Год назад
Wow. Be blessed
@krystynaha2455
@krystynaha2455 3 года назад
This is what I've been waiting for 😘 Bado "Yesu Kristu ni Mfalme"
@SautiTamu
@SautiTamu 3 года назад
Asante sana Krystynah.
@syombuambeva696
@syombuambeva696 2 года назад
This song reminds me of my dream of b a nun.i really wanted to serve God but I'm serving Him differently in the hospital giving my best to His people 🙏🙏🙏🙏
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Wow, may God bless you in every capacity
@dominicmusyoki8766
@dominicmusyoki8766 2 года назад
beautiful song,cant miss to listen
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Thank you Dominic. Be blessed
@immaculatekutto2121
@immaculatekutto2121 Год назад
Ee, yesu Wangu na kukaribisha moyoni mwangu. I like this song so much be blessed more and more success Congract 🙏🙏🙏💚💚💓💓💓💓💓💓💓💔
@SautiTamu
@SautiTamu Год назад
Thank you so much Immaculate. God bless you too
@immaculatekutto2121
@immaculatekutto2121 Год назад
@@SautiTamu Afwan 🙏🙏🙏🙏💓
@immaculatekutto2121
@immaculatekutto2121 Год назад
@@SautiTamu Afwan And be bless more and more success 🙏🙏🙏🙏🙏👌💖🤝
@benjaminnjenga9223
@benjaminnjenga9223 2 года назад
So sweet melody, memories are made of this,back to 90s
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Thank you Benjamin, blessings to you
@njunjiedwin7343
@njunjiedwin7343 2 года назад
Wow, just excellent!
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Thank you Ken
@bryantwaf4077
@bryantwaf4077 8 месяцев назад
Another beautiful uplifting Catholic choir song🎉. Wimbo mzuri lakini mfupi
@SautiTamu
@SautiTamu 8 месяцев назад
Thank you so much
@Jptherealme1
@Jptherealme1 2 года назад
Blessings upon you….lovely song
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Thank you, be blessed
@jamesnyamweyamokua7628
@jamesnyamweyamokua7628 2 года назад
God continue blessing you sauti tamu team for the heavenly songs
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Thank you so much James🙏🙏🙏 blessings
@barasageorge497
@barasageorge497 2 года назад
Proud to be a Catholic
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Amen
@catherinekarimi9993
@catherinekarimi9993 2 года назад
I was with a lot of troubles and I remembered this song and I surely moved on even now thex be to God..he is almighty God
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Thank you Catherine Be blessed
@sesikimila1292
@sesikimila1292 2 года назад
Hongereni kwa wimbo mzuri Sana umenibariki Amina
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Shukrani Sesi
@MotorReviesKE
@MotorReviesKE 2 года назад
I truly love ur hymns
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Thank you Koey
@readwithme64
@readwithme64 Год назад
Indeed you are sauti tamu melodies. Absolutely beautiful rendition. Making me miss my childhood. Shout out Majengo Catholic Church Eldoret 🔥♥️ the church that raised me on such songs. Still remembering the Spirit of Fr Elias Kiptoo. Rest in peace Fr
@SautiTamu
@SautiTamu Год назад
Thank you so much @readwithme64. Be blessed
@kiprutokiptala1510
@kiprutokiptala1510 11 месяцев назад
Great Catholic song, reminds me my young days
@SautiTamu
@SautiTamu 8 месяцев назад
Thank you
@phidelcastro7997
@phidelcastro7997 2 года назад
Such a nice song...go,go,go sauti tamu🔥🔥🔥
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Thank you
@millicentmuya9641
@millicentmuya9641 6 месяцев назад
Proud Catholic here, Holy Family kanamkemer parish Diocese of Lodwar.
@michaelthuku7326
@michaelthuku7326 2 года назад
Sauti tamu remain my favorite choir,love you all.Congratulations and keep up.
@SautiTamu
@SautiTamu 2 года назад
Thank you so much Michael, be blessed
@doriskinoti6905
@doriskinoti6905 3 года назад
Wow the young man with the keyboard is doing a great job.Well done team I cannot get enough of this.
@SautiTamu
@SautiTamu 3 года назад
Thank you Doris, be blessed.