Тёмный

Nimekosa Nihurumie Chang'ombe Catholic Singers Dsm-Mtunzi/ Mratibu-Aloyce Goden Nyimbo za Kwaresma 

Aloyce Goden Kipangula
Подписаться 92 тыс.
Просмотров 3,6 млн
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 840   
@msonobarizakaria100
@msonobarizakaria100 4 года назад
Nimeyafanya yasio faa nikasababisha jina lako lilatumanwa bure nihurumie mungu wangu
@nkafukingsley1627
@nkafukingsley1627 3 года назад
Natoka Kamerun. Nimefurahia muziki huu. kukusanyika hapa ikiwa bado uko hai katika # 2021
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula 3 года назад
Tumshukuru Mungu kwa yote. Karibu Sana Nkafu kutoka Cameron
@nkafukingsley1627
@nkafukingsley1627 3 года назад
@@AloyceKipangula thanks
@tarisilakimariokimariotari4661
@tarisilakimariokimariotari4661 2 года назад
Nimemkumbaka raisi wangu john pombe magufuli lala mahali pema baba
@denniskipngetich1842
@denniskipngetich1842 4 месяца назад
😭😭😭😭
@moseskapyuku114
@moseskapyuku114 4 года назад
Mbarikiwe wote mnaousikiliza na kutizama huu wimbo pamoja nami hakika Mungu wetu atatusamehe tutubuni makosa yetu kwa muumba wetu.Amen
@rehemamohammed4215
@rehemamohammed4215 3 года назад
Nimekosa nihurumie baba
@brysonuronu5862
@brysonuronu5862 3 года назад
Amen
@PlasidoMaulaga
@PlasidoMaulaga 8 месяцев назад
​Nvxvnb NC ñ NC v CgsxXñ v been ññgññx bXxggggcxxxdgggggvgggggggvggggg g CNN NC vñvvnvvxgggnzzznzzn NC cdm5v NC ggvxvg jjgg g nxxdggvgg MN vg5yygggjnnugm NC nxxxgh NC
@KelvinKasuga-ij7lg
@KelvinKasuga-ij7lg 4 месяца назад
Amen
@ThadeiAndrea
@ThadeiAndrea 2 месяца назад
Amina
@wardawarda3427
@wardawarda3427 4 года назад
nimekosa baba nihurumie mie na nchi yangu ndugu jamaa na jirani tuhurumie na CORONA VIRUS Ameen
@elizabethkeya828
@elizabethkeya828 5 лет назад
Mimi ni mtenda dhambi baba niurumie
@RoseKachecheba-jj2xz
@RoseKachecheba-jj2xz 8 месяцев назад
Hakika wimbo huu unanibariki sana shukrani kwa mtunzi,pia unanikumbusha kuwa mm ni mkosaji nahitaji msamaha wa mungu,
@teddykaeni45
@teddykaeni45 4 года назад
Hakika mimi Ni mwenye dhambi ewe mwenyezi mungu naomba unihurumie
@carolinaadolf6955
@carolinaadolf6955 Год назад
Nihurumie Baba Nimekosa🙏😔 2023 march
@christinamwakibolwa3000
@christinamwakibolwa3000 5 лет назад
Nimekosa ee Baba nihurumie asanteni waimbaji mnatusaidia kubadilisha maisha yetu kwa kupitia kwenye uimbaji
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula 5 лет назад
Tumshukuru Mungu
@maikpiuce3754
@maikpiuce3754 4 года назад
Ee mungu sikia kilio changu amina
@rosaliamusila3812
@rosaliamusila3812 Год назад
Proud catholic
@blessed9449
@blessed9449 6 лет назад
Baba Nihurumie nimekosa....what a sad song yet so beautifully sung. Mimi ni mwenya dhambi. Nitakaze Baba niweze kukaa nawe milele. Tuhurumie sisi wana wa dunia hii. Twajinyenyekea mbele yako. Msamaha BABA!
@robert.maganya1051
@robert.maganya1051 5 лет назад
Amina utuhurumie , bwana awabariki waimbaji nasi tumeguswa na nyimbo hiii tunahitaji kutubu dhambi zetu na wakati ndio huu krstu utuhurumie
@oscarpatrick2900
@oscarpatrick2900 2 года назад
Amina
@rodgersbosco575
@rodgersbosco575 4 года назад
Nimekosa baba nihurumie. very nice song mpaka nalia jameni
@paschalluwanda1364
@paschalluwanda1364 6 лет назад
Ni wimbo wenye ujumbe ulioletwa kwetu kwa njia halisia ya mtu aliyekosa, waimbaji wamevaa vazi la mtu anayejutia makosa yake. Umenigusa sana
@joyceandrea7150
@joyceandrea7150 3 года назад
Mipia
@Irene-tm3ti
@Irene-tm3ti Год назад
Bwana nihurumie mmi mwenye makosa
@piterndanamba6287
@piterndanamba6287 5 лет назад
Wimbohuu nihamasa kubwasana yakutubu makosa yetu nakufngua miyomigumu iliyojaa maasi na maov .baba nimekosa nihurumie
@JustinAganze-l5t
@JustinAganze-l5t 8 месяцев назад
Mungu aturumiye makosa yethu tusikilize iyi wimbo muzuru tu aca Zambie tuombe musamaha sana kwa mungu kama nili kukoseyaka unirumiye.
@reynemike5279
@reynemike5279 3 года назад
Nimekosa baba nmekosa sana nihurumie na unisamehe makosa yangu yote
@zephaniasikujua4200
@zephaniasikujua4200 5 лет назад
Hakika baba tumekosa tuhurumie,maana wewe ndo kimbilio letu,tumsifu yesu kristu.
@frankkibasa7089
@frankkibasa7089 4 года назад
Hakika mungu tumekosa tunahitaji huruma yako mungu tuongoze katika kipindi hiki cha mateso tukumbushe ukuu wako mungu
@agnettaogoma6676
@agnettaogoma6676 2 года назад
Am proud to be a catholic😍😍
@jeaninenzigire
@jeaninenzigire 7 месяцев назад
Ninapo imba nyimbo iyi nnasikia kuwa karibu na Mungu mubarikiwe
@patrickmukambilwa584
@patrickmukambilwa584 5 лет назад
Nimekosa babanimekosa kwa mawazo nakwamatendo nakuomba uni urumie miminimkosefu naombunijalie neema unijalie mapendo miminimkesefu baba uni urumie
@henureckemmanuel8469
@henureckemmanuel8469 4 года назад
Nimekosa nimekosa baba nimekosa nihurumie moyo wangu unauma
@leoncesarwat8878
@leoncesarwat8878 6 лет назад
ukikosa jaribu kusema nisamehe ewe binadamu mwenzangu kama jinsi wimbo inavyojieleza amen.
@veronicaleonce5006
@veronicaleonce5006 5 лет назад
Kila naposikiza hii nyimbo nalia kabisa nimekosa baba nimekosa nihurumie
@monicachristopher5134
@monicachristopher5134 5 лет назад
ninakiri kweri nimekosa baba ni hurumie nimeachana namambo ya dunia nimerud kwako
@petermeliyo4404
@petermeliyo4404 4 года назад
Yesu wangu tumekosa inginge taifa letu na ndugu zetu kWa ugonjwa wa corona na dunia nzima .Amina
@floramnzava4977
@floramnzava4977 6 лет назад
Nimekosa nimekosa baba nihurumie nimetenda yasiyofaa Baba nihurumie Nimebarikiwa Sana na wimbo huu mbarikiwe waimbaji na mtunzi
@leogardmbisa3767
@leogardmbisa3767 7 лет назад
nimekosa yesu nihurumie na kunitasa dhambi zangu zote baba na family yangu pia tuhurumie bwana yesu
@robertkipkiruimutai4008
@robertkipkiruimutai4008 3 года назад
Nimekosa nionyeshe njia zako
@paschalmasanyiwa5851
@paschalmasanyiwa5851 7 лет назад
Baraka ziwe kwako mtunzi huu wimbo ni baadhi ya nyimbo chache zenye hisia na mvuto na sio rahisi kuchuja haraka nautabilia kuwa utavuma kwa mda mrefu sana.
@robertmsilanga7290
@robertmsilanga7290 4 года назад
Mungu aendelee kuwatia nguvu ili niendelee kuhubiri injili kwa njia ya nyimbo, nyimbo zenu ziko juu Mimi nipo mwanza wapendwa kaika bwana
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula 4 года назад
AMINA
@vestinaneema5008
@vestinaneema5008 6 лет назад
Nimeyaona yasiyifaa,nimesikia yasiyo nimekosa Bwana nihurumie
@regnaldmarco6696
@regnaldmarco6696 3 года назад
Baba nimekosea mm nakuomba unihurumie mm kwani Ndie mkosaji ninatubu makosa yangu nihurumie Ee baba
@gladyscherono1445
@gladyscherono1445 Год назад
Mungu nihurumie wewe mwenye huruma nyingi Mimi mkosaji sana
@petermeliyo4404
@petermeliyo4404 4 года назад
Yesu wangu nimekosa Sana katka maisha yangu ya kiroho na ya mwili yesu nihurumia
@obadiasylvester8509
@obadiasylvester8509 5 лет назад
Nimekosa babaa ,nmekosaa babaa nihurumie hakikaa ni wimboo ulonigusa kwa namna moja ama nyinginee asantee waimbajii
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula 5 лет назад
Amina. Tumshukukuru Mungu
@obadiasylvester8509
@obadiasylvester8509 5 лет назад
@@AloyceKipangula ubarikiwee saaana tuko pamojaa
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula 5 лет назад
Asante ndugu tuzidi kuombeana ili injili Isonge mbele
@LeylaMatara-ug4yq
@LeylaMatara-ug4yq Год назад
Wimbo mzuri sana ninausikiliza kila wakati. Hakika unanifarijii sana. Mwenyezi mungu bariki wanakwaya wote
@IreneLeonard-tn5yq
@IreneLeonard-tn5yq 3 месяца назад
Nimesema yasiyofaa na kuyatenda yasiyofaa nimekosa baba nihurumie naileta na familia yangu ninatubu kwaajili yao nihurumie Eeh Mungu wangu😭😭😭😭🙌🙌
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula 3 месяца назад
Asante Sana Irene Endelea kutufuatilia na Kuniombea Ili nitunge nyimbo nyingine kwa Sifa na utukufu wa Mungu
@IreneLeonard-tn5yq
@IreneLeonard-tn5yq 3 месяца назад
@@AloyceKipangula amina mtumishi wa Mungu na utendewe kama unenavyo
@FidelisKilawe
@FidelisKilawe 3 месяца назад
Ee MWENYEZI MUNGU sikia maombi yangu AMEN.
@deussiame711
@deussiame711 2 года назад
Nimekosa Sana baba nisamehe
@theodorachaki5174
@theodorachaki5174 7 месяцев назад
Nimekosa baba nihurumie mbarikiwe
@eradiuskahamba7825
@eradiuskahamba7825 7 лет назад
Hakika huu wimbo unanifanya nizidi kuichukia dhambi.
@JACK80757
@JACK80757 6 лет назад
Eradius kahamba v
@pudensianamsimbe1517
@pudensianamsimbe1517 5 лет назад
barikiwa sana
@piusdidackus5939
@piusdidackus5939 5 лет назад
Hakika Bwana tunahitaji huruma yako
@piusdidackus5939
@piusdidackus5939 5 лет назад
Asante kwa wimbo mzuri
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula 5 лет назад
Eradius kahamba Tumshukuru Mungu
@remigiousmuganga6188
@remigiousmuganga6188 3 года назад
Huu wimbo umeniliza sana kwa hali niliyonayo kwa sasa na familia yangu na ukoo kwa ujumla, Kupoteza ndugu 4kwenye Familia ndani ya mwezi mmoja.
@mangapmanga1539
@mangapmanga1539 3 года назад
Pole xn mpendwa
@lilianmichaelassenga5368
@lilianmichaelassenga5368 3 года назад
Pole sana mwenyezi Mungu akupatie rehema ya kuyashinda mapito hayo mazito
@PeterVicent-pb3um
@PeterVicent-pb3um 7 месяцев назад
Pole San ndug
@LoniaDamas
@LoniaDamas 6 месяцев назад
Pole sana dunia tu wapitaji kwakweli
@dolisimolisi5121
@dolisimolisi5121 6 лет назад
Nimekosa Baba Nimekosa Naomba Niulumie
@robert.maganya1051
@robert.maganya1051 5 лет назад
Bwana utusamehe sisi tumetenda dhambi utuhurumie, Mimi mwana mpotevu nimerudi Baba nihurumie
@vickyjohn4760
@vickyjohn4760 6 лет назад
Nimekosa Nimekosa Baba nimekosa nihurumie
@catherinejohn9730
@catherinejohn9730 Год назад
This song blesses me..Lord make our hearts soft to love you more and more each day..we have sinned oh Lord and fell short of your glory ...Nimekosa Baba.....
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula Год назад
Endelea kubarikiwa Zaidi mpendwa
@catherinerori5330
@catherinerori5330 4 года назад
Tuombe msamaha kwa wale tumekosea, tuwasamehee na wewe wale wametukosea na tumwombe Mungu ili aweze kutuhurumia
@paschaeltilas3615
@paschaeltilas3615 4 года назад
Dah hakka mungu ni mwingi wa huruma baba naomba huruma yako
@emmanuelkipamba8481
@emmanuelkipamba8481 6 лет назад
kupitia wimbo huu tujifunze kuomba msamaha ili mungu atuhurumie
@cheochajuu6161
@cheochajuu6161 6 лет назад
_Baba nimekosa nimekosa nimekosa sana naomba unihurumie😫_
@flowerkimario3447
@flowerkimario3447 6 лет назад
Wimbo mzuri baba nmekosa naomba nhurumie mm mkosefu
@petertesha6401
@petertesha6401 5 лет назад
Nimekosa EE MUNGU WANGU kwa mawazo kwa maneno na matendo. Ee Mungu wangu naomba toba ya kwel kupitia wimbo huu.
@geoffreyprenge2211
@geoffreyprenge2211 5 лет назад
msaga sumu wanasema lakusema sina
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula 5 лет назад
Tumshukuru Mungu
@gracejoel4145
@gracejoel4145 3 года назад
Nimekosa nimekosaa nimekosa baba nihurumie🙏🙏😭😭
@THeresiadomisian
@THeresiadomisian Месяц назад
Eeh mungu nimekosa nihirimie.
@jamesdaudi8193
@jamesdaudi8193 6 лет назад
nimekoxa baba nihurumie mimi nafamilia yangu
@eripidiussarvator659
@eripidiussarvator659 2 года назад
nimekosa nihurumie mungu tuhurumie sisi wote bina damu tumekosa sana tuhurumie na utuongize ww
@AdamFrednand-ev5ze
@AdamFrednand-ev5ze 3 месяца назад
Nmekosa baba nihurumie
@hildamkucha2593
@hildamkucha2593 4 года назад
Nimekosa baba nabado naendelea kukosa nihulumie mimi nyimbo hua hachokeki kusikika kwenye masikio yangu barikiweni sana waimbaji mungu azidi kuwainua nakuwap kibali kila uchao
@deogratiusmatogoro7891
@deogratiusmatogoro7891 7 лет назад
nimekosa baba nimekosa nihurumie
@mwanahamisnsillah7800
@mwanahamisnsillah7800 2 года назад
Halleluya
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula 2 года назад
Amen. Asante Mwanahamis kwa kupenda kufuatilia Mambo haya yahusuyo imani
@mwanahamisnsillah7800
@mwanahamisnsillah7800 2 года назад
@@AloyceKipangula 🙏🏿🙏🏿🙏🏿nisikiapo huu wimbo nalia san nataman kurud kwny dini😢😢
@mittialloyce9382
@mittialloyce9382 4 года назад
,,,ni nzuri hata ktk ibada tungekuwa kama hivi....!.Juu juu zaiiidi!!!
@kipropmesh592
@kipropmesh592 3 года назад
Nimekosa baba, kwa mawazo, kwa maneno, kwa vitendo Na kwa kutotimiza wajibu 😢😢ninaomba msamaha baba, utusamehe Na utuhurumie ee bwana
@RenifridaNgumbi
@RenifridaNgumbi Месяц назад
Yani kuna vitu napitia wakati huu mungu aniguse 😢😢😢
@josephinemecky9278
@josephinemecky9278 5 лет назад
Mimi ni mkosaji ila yupo baba yng wa rehema nihurumie Mungu wng naomba rehema yako Baba yng
@justinashayo3743
@justinashayo3743 3 года назад
Mungu baba naomba unihurumie mimi na familia yangu. Nabarikiwa sana na huu wimbo
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula 3 года назад
Tumshukuru Mungu
@matiasiwimbounanitoamachoz595
@matiasiwimbounanitoamachoz595 5 лет назад
Chang'ombe wanatisha sijaona
@ernestmwanalinze2612
@ernestmwanalinze2612 3 года назад
Nimekosa Baba nimekosa mimi nihurumie,nimkosefu usiku na mchana nimeacha njia zako na nihurumie Bwana..nahitaji kurudi kwako Baba lakini naanguka kila nikitaka kusimama nihurumie
@kipkemboibarno1661
@kipkemboibarno1661 6 лет назад
kwa ajili ya mateso makali ya bwana wetu yesu kristo hutuhurumie sisi na dunia nzima
@emmakifimbo3899
@emmakifimbo3899 5 лет назад
Huu wimbo unafundisha kuomba msamahaa hakika
@paulnsuswa7950
@paulnsuswa7950 4 года назад
Hongereni mnaimba nyimbo za mafundisho
@norbertpaul1056
@norbertpaul1056 6 лет назад
Mungu atuhurumie, maana uovu ni mwingi. Tuombe toba ya kweli kwa Mungu, na reconciliation njema dhidi yetu.
@zelinatelemla4535
@zelinatelemla4535 Год назад
Nakupenda sana
@simonmwangi1057
@simonmwangi1057 4 года назад
Naomba pia nihurumiwe nimevuruga moyo za watu Mara nikawakosea wengi naomba wanisamehe juu kwa kweli dunia duara
@gracelwanba5404
@gracelwanba5404 5 лет назад
Huu wimbo u natufundisha kuishi maisha ya kumpendeza mungu lkn tumrudie mungu atatusamehe.
@reginagaspari6439
@reginagaspari6439 6 лет назад
ninaleta familia yangu ninatubu makosa yao, nimekosa baba nihurumie
@anthonymsofemsofe9646
@anthonymsofemsofe9646 4 года назад
Daaaa nyimbo inanibariki sanaa mpaka hisia za machozi zanijia hongereni kwa uinjilishaji kwa njia ya nyimbo
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula 4 года назад
Tumshukuru Mungu kwa Yote
@margrethmichael1023
@margrethmichael1023 4 года назад
Nimekosa nikosa nimekosa baba nimekosa nihurumie.
@edinavedastus2619
@edinavedastus2619 6 лет назад
asate mungu kwa huruma ako, niurumie
@blaisebahatidile.officiel
@blaisebahatidile.officiel 7 месяцев назад
Hiii nyimbo natosha machozi nikiziimba , Asante Mungu nihurumie kabisa
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula 7 месяцев назад
🙏
@aloycejoseph-wn9wp
@aloycejoseph-wn9wp 2 месяца назад
Wimbo wa toba 2024
@patrickmukambilwa584
@patrickmukambilwa584 6 лет назад
Bwana utusame ekwasababutuko wakosefu
@CalmSakura-jr7yy
@CalmSakura-jr7yy 7 месяцев назад
Hakika sisi tuwakosaji kila wakati kwa mungu baba tumuombe msamaha tuilinde imani takatifu ya kanisa katoriki 5:24 5:27
@estherkisy7802
@estherkisy7802 6 лет назад
nimekosa baba nihurumie. mimi ni dhaifu sana tafadhali nihurumie
@erickimathias4253
@erickimathias4253 3 года назад
Kila akosaye yapaswa kuomba msamaha
@christinaroby3025
@christinaroby3025 4 года назад
Romani wanajua sana kuimba nawakubali.
@LukasLukaslaudanusinyaki
@LukasLukaslaudanusinyaki 7 месяцев назад
Hongereni Sana mmetuletea ujumbe mzuri Sana hakika maneno yaliopo kwenye nyimbo hii yanapenya Hadi ndani kwenye moyo hasa ukiwa unajutia dhambi ulizozitenda
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula 7 месяцев назад
Asante Sana Lukas
@robert.maganya1051
@robert.maganya1051 5 лет назад
Ee bwana utuhurumie
@sapphyjohhny7929
@sapphyjohhny7929 5 лет назад
me nmtenda dhambi, nakukosea kW namna moja au nyingine naomba niurumie baba
@adamfimbo5171
@adamfimbo5171 5 лет назад
Tumsifu yesu Kristo Wimbo huu umenigusa sana wajuasisi wanadamu niwakosaji
@stephanokaloto8597
@stephanokaloto8597 4 года назад
Ee Bwana hakika nimekosa nihurumie, nisamehe bure nimekosa Eee BWANA
@jelistakasochela8992
@jelistakasochela8992 5 лет назад
Nimekosa, nimekosa Baba nihurumieee nahisi kutokwa na machozi
@dorothyshadrack2784
@dorothyshadrack2784 6 лет назад
Nimekosa baba; nihurumie.
@leonarddaniely8251
@leonarddaniely8251 4 года назад
Nimependa San hii wimbo inatukumbuusha kutubu
@lucyfweni1161
@lucyfweni1161 7 лет назад
Nimekosa baba, nimekosa Mimi nihurumie . barikiwa sana waimbaji kwa kazi nzuri ya mungu
@marthaamasi2236
@marthaamasi2236 6 лет назад
Kwa dhambi tulizofanya tukiri kwa MUNGU atatusamehe na tuanze upya na MUNGU...
@IsackAgustino-rz9iz
@IsackAgustino-rz9iz 4 месяца назад
Aminan jamani hakika walio imba wimbo huu mungu awabariki sana huu wimbo umeigusa dunia ya sasa vijana wetu sahivi halinimbaya sana maana ukimwambia kijan sahivi habari yakwenda kanisani swali lake nikwamba kuna warembo kanisan jaman mungu atusamehe sana sisi vijana pia atusaidie amina
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula 4 месяца назад
🙏
@kokusimakaiza994
@kokusimakaiza994 6 лет назад
Wimbo mzuri sana Nimekosa Baba Nihurumie kwa kipindi hiki cha toba ili niweze kufufuka pamoja na wewe.
@lidianemarie1921
@lidianemarie1921 6 лет назад
Nime kosa baba nihurumie najuwa me ni mwanadamu sikamiliki Mbele ya usoWako.
Далее
Nimevipiga vita (with lyrics) by M Kavakule
5:19
Просмотров 406 тыс.
진 (Jin) 'I'll Be There' Official MV
03:15
Просмотров 7 млн
NYIMBO ZA KATOLIKI ZA MAMA BIKIRA MARIA 1
21:53
Просмотров 63 тыс.
Naomba Baraka by- Kmk Queens St. Kizito Makuburi
6:34
NYIMBO ZA KUTOA SADAKA LATEST MIX /CATHOLIC
23:58
Просмотров 792 тыс.