MUNGU baba tusadie tutue mizigo yote ambayo inatulemea na kutuzuwia. Tusaidie kilasiku tukumbuke kama safari yetu nii mbingu ,sisi nii wana nchii wa MBINGUNI dunia tuu wapita njia
Tutakaa uko kwetu mbinguni milele.....Mungu Awape nguvu ya kuendelea kumuudumiya ndani ya kweli na haki kupitiya uweza waJina La Yesu Kristu Aliye Hai.Barikiwa!