Тёмный

NINGESAINI WANYONGWE TU. 

WACHOKONOZI
Подписаться 8 тыс.
Просмотров 3,7 тыс.
50% 1

WACHOKONOZI

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 113   
@عمرانالحجري
@عمرانالحجري 7 часов назад
Uyu mwamba mwenye kofia ni mtata sana nakubari. Uyu kipara anachochea tunapata madini bhana.
@ZakariaEdward-eq1gq
@ZakariaEdward-eq1gq 23 часа назад
Wachokonozi endeleeni kutupa dozi Africa tunawapenda sana hii elimu ni kubwa sana alafu bule duuh
@saidmabanga388
@saidmabanga388 4 часа назад
Mlindokoooo family
@BarnabasFabiani
@BarnabasFabiani День назад
Kazi nzuri ❤####
@FellaMbogela
@FellaMbogela 4 часа назад
Wachokonozi MUNGU YUPO HAPO C WAUNGI MKONO ILA NIMEFUATILIA SANA MNA MIKAKATI MINGI SANA YA KUTUAMSHA WAAFRICA NI KWELI TUMELALA FOFO , ENDELEENI KUPIGA MSASA
@AnjelMwaluka
@AnjelMwaluka 8 часов назад
Uyo jamaa mwenye shat nyeupe ni mnafiki msikilize maswal yake 😂😂 ndo mchokonozi mwenyewe anang'ata anapuliza 😂
@mosesmarekan
@mosesmarekan 2 часа назад
Naitwa mchokonozi kid❤❤
@ismailnaramba6438
@ismailnaramba6438 44 минуты назад
Nyie mungu yupo itakula kwenu
@FabriceKassim
@FabriceKassim День назад
100% right 100% kweli kabisa vijana waki Africa 👊🏿🫵🏿 well done 👍🏿💯
@beatricechitopela5798
@beatricechitopela5798 День назад
Big points🔥🔥🔥
@NusaiybRashid
@NusaiybRashid День назад
One love. Pa1 sana broo. Mpaka waelewe dadeq zao
@kmotivation1130
@kmotivation1130 20 часов назад
Mungu yupo ,shetani yupo ,wachawi wapo,mizimu ipo, Imani ipo, achezi kupotezwa na hawa majomba
@eksielo
@eksielo 17 часов назад
Wewe ndo umepotezwa mkataa kwenu wewe
@NaaliSimba-t2p
@NaaliSimba-t2p 8 часов назад
unapotezwa kwan we ni mnyama hujielewi yan mafala kama nyie niwakuuwa huna maana yakuishi kama huwaelewi hawa vijana
@eksielo
@eksielo 7 часов назад
@@NaaliSimba-t2p kweli kabisa mwambie huyo
@benjaminmasanilo4179
@benjaminmasanilo4179 4 часа назад
Mvi hazina content😂😂😂😂
@heavenonearthchannel3748
@heavenonearthchannel3748 11 часов назад
Anzisheni group, harakati zianze. Nchi ndio urithi wa vizazi na vizazi,
@ben4xhze832
@ben4xhze832 18 часов назад
Mrindoko kiboko🙌🙌
@magrethprosper3397
@magrethprosper3397 День назад
Mnafanya vizuri sana🎉
@joomoney8003
@joomoney8003 День назад
Nakbali sana wanangu m najua
@arlonmwaka8077
@arlonmwaka8077 5 часов назад
😂😂 very conscious
@NusaiybRashid
@NusaiybRashid День назад
To be honest nawapenda sana mnavotufungua akili. Daah! Big love broo
@shozoboy99
@shozoboy99 День назад
Nomaaaa iyo❤
@ZakariaEdward-eq1gq
@ZakariaEdward-eq1gq 22 часа назад
Kweli sisi waafrica ni wasengeee😂😂
@zakariachacha7574
@zakariachacha7574 День назад
Kwakweli mko vizuri
@StyleIrambona
@StyleIrambona 21 час назад
Sema Mzee wangekuwepo watu 100 Tz saa ivi tungekua watu wakubwa saaivi
@adambaton5521
@adambaton5521 День назад
Nimejikuta nacheka peke yangu hapa endeleeni kutupa madini walimu wangu😂😂😂
@barrynzeyimana6270
@barrynzeyimana6270 День назад
Kwenye Mungu nadhani haujafundisha watu kilichopo. Kwakua mala nyingi unasema kua inisaidie nini! Ungesema kua dini zimeletwa lakini sisi tulikua na vya kwetu. Neno Mungu sio la wazungu, hata kwenye kabila lako wana neno ambalo wanatumia
@AllyMaingo-w9v
@AllyMaingo-w9v 8 часов назад
Mtuorohozee japo vitabu viwili tuanze navyo
@Norrisnoriega
@Norrisnoriega День назад
msimuliaji afungamani afungamani namisalaba wala alama alama za mwezi na nyota msimuliaji achagui upande niafya kumlinda msimuliaji jamani by dizasta vina
@innowatamaduni9248
@innowatamaduni9248 11 минут назад
Dizasta vina
@LoneWolf-ng8yg
@LoneWolf-ng8yg День назад
Nakubal sana bro endelea kuwa fungua watu maana wengi awajui wapi walipo ,wanaenda wap na walitoka wap 😅
@muhan_de_coco3567
@muhan_de_coco3567 День назад
hii ni ya 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@blueboybajos6880
@blueboybajos6880 День назад
bro kma hawakujengei sanamu usihofu me niko naudongo apa niko nakutengenezea sanamu lako nikimaliza tu utaniambia tuliwke wapi😂😂😂
@Norrisnoriega
@Norrisnoriega День назад
jaman msimuliaji kulindwa niafya jamni na msimuliaji hana upande wachokonozi 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
@ASHURASHARIFU-bc5lx
@ASHURASHARIFU-bc5lx День назад
USENGEEEE 😂😂😂
@chrissmalloy9
@chrissmalloy9 День назад
Kabisaaa
@bulayaconfidential7212
@bulayaconfidential7212 День назад
Tunafurahi kusikia na kuelimika kupitia masomo yenu, Ila nchi zetu za ki Africa ukiwa msemaji wa kuikosoa serikali unaonekana adui, jitahidi bro uachane na mambo ya siasa bado tunakupenda hawachelewi kukupoteza
@kwisa4899
@kwisa4899 День назад
Toto la ovyo 😮
@lampadshigonko3006
@lampadshigonko3006 День назад
weee ndo makali kabisa ww
@mbugifx7935
@mbugifx7935 День назад
Kijana la kiseng na ogaaa inaonekna badoo unanyonyaa usisahau uwahiii kurudii nyumbanii ukamsaidiee mama kuoshaaa vyombooo fal kabisaaa😅😅😅😅
@djsafourmdy782
@djsafourmdy782 День назад
wazee wa facts nawakubali sana
@Jerryatz
@Jerryatz День назад
full respect 🔥🔥
@ConfusedBonsaiTree-zs5lp
@ConfusedBonsaiTree-zs5lp 6 часов назад
WACHOKONOOZI💪🔥
@Haleem_07
@Haleem_07 День назад
Sabuni ya ubongo 🧠🙌🙌
@ladislausmagori7939
@ladislausmagori7939 21 час назад
Ni kweli
@mwl.michaelsainethmlowe2641
@mwl.michaelsainethmlowe2641 День назад
😂 Madudu 😂😂
@johnbundala7596
@johnbundala7596 2 часа назад
Hahahah hapo kwenye kunyonga apo dah
@simonmalegesi414
@simonmalegesi414 День назад
Sana mwamba
@japhetkavishe2347
@japhetkavishe2347 День назад
Sheria ya hakika, nchi haiongozwi na watu inaongozwa na mifumo
@jacksonseleman4292
@jacksonseleman4292 День назад
Mimi wa 2 🙌🙌🙌
@NokiMbona
@NokiMbona День назад
Changia hoja
@OmariChanja
@OmariChanja День назад
Wa kwanza ku comment
@mhabimina4023
@mhabimina4023 День назад
Kweli kbisa 👌
@OdiloMganga
@OdiloMganga День назад
Nawapenda mnooo
@eksielo
@eksielo 17 часов назад
Siwapingi wakuu
@omaiyakitto
@omaiyakitto 19 часов назад
Lakini Makala kama za Prof. Shivji zinaelezea Sana juu ya haya Mambo kama Contrived togetherness, disoriented people n so forth.. Vijana muda wetu kutafta Maarifa.
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 14 часов назад
Ni kweli msemayo wachokonozi Makanisa mengi ni Chuma Ulete na sisi tumekuwa Wajinga ndiyo Waliwao
@AnjelMwaluka
@AnjelMwaluka 8 часов назад
Atuwezi changa bilion 3 kujenga kanisan usenge jamaa kaongea Kwa hisia 😂
@Abeidjuma1241
@Abeidjuma1241 5 часов назад
🤣🤣🤣
@isackmachiyanshoka6754
@isackmachiyanshoka6754 День назад
Fact❤
@davidmazengo626
@davidmazengo626 День назад
Mmmh siwasikiliziii tenaaa haiwezekaniii uuuumdharauu Mungu kwa kiwango Cha juuu
@boniphacemsafiri
@boniphacemsafiri 22 часа назад
Fala mwingine
@davidmazengo626
@davidmazengo626 22 часа назад
Asante kwaa majibu yako
@eksielo
@eksielo 17 часов назад
Pumbavu
@mbezzoprince9462
@mbezzoprince9462 17 часов назад
Kwasababu Hana kazi anayofanya
@wisdomfolks
@wisdomfolks 3 часа назад
Sema mnazingua juzi mmetoka kusema maandamano sio njia sahihi leo mnasema wangeandamana hamjielewi au vp?
@fredysigy4771
@fredysigy4771 Час назад
sema ujui anamaanisha nn kijana
@wisdomfolks
@wisdomfolks Час назад
Naona wanaitikadi za kichama chama zinagonganisha mawazo
@omaiyakitto
@omaiyakitto 19 часов назад
Fact ni kuwa Wachina wapo Bongo Wanatengeneza Vioo na wanavunja Bei.
@ezekiellucas8981
@ezekiellucas8981 День назад
Oy mchokonozi vijana tulio na fikra kama hizi tupo wengi nafkri baada y muda tutaibadil hii nchi
@ASHURASHARIFU-bc5lx
@ASHURASHARIFU-bc5lx День назад
upewe spiker wa bungeeeeeeeee
@StyleIrambona
@StyleIrambona 20 часов назад
@@ASHURASHARIFU-bc5lx apewe madaraka anastahili
@ibrahimconte601
@ibrahimconte601 День назад
Magu alitosha kutuongoza sijuwi itakua je maana kwa mungu hamna linaloshindikana
@mbezzoprince9462
@mbezzoprince9462 17 часов назад
Umuue shetani Kwanza ndo tujue Hana linalomshinda
@rapha255.
@rapha255. День назад
😂😂 eti wanatujazia nchi
@JomoKilawe
@JomoKilawe День назад
Fact✍️✍️✍️
@omaiyakitto
@omaiyakitto 19 часов назад
Nilishatoa Idea ya Kutengeneza WACHOKONOZI family as Watsap Group Amini Will Help to Shape Generation Amini.
@Abeidjuma1241
@Abeidjuma1241 6 часов назад
Uhakika ase waunde kitu tuende na maarifa hewan
@anorldmassawe7048
@anorldmassawe7048 2 часа назад
Muda ukifika mimi na wewe tunaweza kutekeleza
@Blessing_uk
@Blessing_uk 11 часов назад
Mnao sema wachokonozi pamoja nachifgodlove wanakadunia kao gongeni like..
@fredrickchisanyo6663
@fredrickchisanyo6663 День назад
Ww unafaa kua rais kabisa
@AmadeMbezy
@AmadeMbezy 2 часа назад
Ukweri unatujenga kaka 🙏🙏
@NaaliSimba-t2p
@NaaliSimba-t2p 19 часов назад
tupe namba ya group tuungane vijana wote tanzania
@أبوشريحابنمهدي
@أبوشريحابنمهدي День назад
Aw ndoo maumbile yenu tu pekee yanawapinga kwa7 yanakiri uwepo wa mungu
@nakalikyumile3234
@nakalikyumile3234 День назад
Kama kwetu mbeya ni aibu kila baada ya hatua tatu au nne ni lazima ukute makanisa!yanajengwa kwa nguvu,hii nguvu ingetumika kujenga viwanda au kuendeleza sekta ya kilimo"nchi ingependeza,ila sasa tumepotezwa na tumekubali kupotea!inashangaza
@bshhdxgdhjjdhd7627
@bshhdxgdhjjdhd7627 День назад
One love
@kgmbara3109
@kgmbara3109 День назад
❤❤❤❤
@babajaden3525
@babajaden3525 День назад
😂😂100% watanzania tunavaa chupi made in china!!sisi ni mafala na nimejikubali mimi na wenzetu ambao nchi yetu tanganyika iliondoka na akili,ujuzi,ufanisi wetu wote😢 NA ELIMU TULIONAYO SIO YETU NI MADE IN ULAYA NDIO MAANA INATUSHINDA HATUNA UKIGUNDUA BUNDUKI LAZIMA JAMUHULI IKUFUNGE
@samuelsimwawa7493
@samuelsimwawa7493 День назад
Ndomana nguvu za kiume zinapungua chupi tunavaaa made in china 😁😁😁😌😌
@Abeidjuma1241
@Abeidjuma1241 6 часов назад
Kwahio ndugu product zote umeona chupi utuvue nguo🤣
@NachaKing-nj7cp
@NachaKing-nj7cp День назад
Moto moto
@chakupewaonlinetv7045
@chakupewaonlinetv7045 День назад
Noma sana
@ezekiellucas8981
@ezekiellucas8981 День назад
Makanisa tuyawekee kodi 100% ya mapato yao
@nixsonmkamba2895
@nixsonmkamba2895 День назад
Hiyo yakunyongwa sas😅
@aristotemohamedmz5979
@aristotemohamedmz5979 День назад
Pinduwa meza
@أبوشريحابنمهدي
@أبوشريحابنمهدي День назад
Acha kuapa kwa jina la mungu wakati huamini uwepo wake
@bulayaconfidential7212
@bulayaconfidential7212 День назад
@@أبوشريحابنمهدي ni misemo iliyozoeleka… wala haifungamani na kuamini uwepo wa mungu, mfano mtu akwambie tembea na ya yesu hata kama anaekwambia hivyo ni muislam au haamini uwepo wa mungu, Ahsante!
@LushidulaJidamawi
@LushidulaJidamawi День назад
Elimika
@bulayaconfidential7212
@bulayaconfidential7212 День назад
@@LushidulaJidamawi ki vp mkuru??
@danielsamwel4432
@danielsamwel4432 День назад
We unajua mungu wake ni yupi?
@أبوشريحابنمهدي
@أبوشريحابنمهدي День назад
@@bulayaconfidential7212 Hakuna kitu kama hicho kila msemo una mahala pake bc ungetumia msemo wa chooni kuombea chakula Usitumie jina (wallah) alafu useme eti ni msemo wakati hata maana hujui Alafu nani akwambie tembea na yes ni msemo kila mtu anatumia umekosa hoja ya kutumia hapo mkuu Kama ni msemo kamuite babaako fala aalfu useme kuwa ni msemo tu
@ASHURASHARIFU-bc5lx
@ASHURASHARIFU-bc5lx День назад
ASANTE UJUMBE KWA MEDIUM ZA TZ NI USENGEEEE MTUPU
@MkonoZacharia
@MkonoZacharia День назад
Wachokonozi iendelee milele ili wakushi na wajadi tusonge mbele
@mj.tv.forpeople992
@mj.tv.forpeople992 День назад
Lakini naona unaakili Sana kwa nini tusianzishe kiwanda cha semeniti
@lampadshigonko3006
@lampadshigonko3006 День назад
kila secta na wahusika wake... huyu ni secta ya upeo
@JomoKilawe
@JomoKilawe День назад
😂😂😂
@fredrickchisanyo6663
@fredrickchisanyo6663 День назад
😂😂😂😂😂
@NakembetwaKitundu-tn7xx
@NakembetwaKitundu-tn7xx День назад
💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪
@lameckbuya7569
@lameckbuya7569 День назад
@ayotv Kuna jambo lako huku
@bakarikayugwa3295
@bakarikayugwa3295 День назад
Hio midea ya mashoga na waramba mikundu na kusifia
Далее
ASINGESOMA ANGEKUWA ZAIDI...
7:00
Просмотров 3,4 тыс.
HATUKUWAHI KUPATA UHURU
6:33
Просмотров 856
How many can you smash?🍫 IB : Florin
00:19
Просмотров 3,2 млн
Which part do you like?😂😂😂New Meme Remix
00:28
NCHI INA UOGA SI AMANI
5:51
Просмотров 4,9 тыс.
wasabato sio wakristo
19:22
Просмотров 8 тыс.
MAFANIKIO JUMUISHI
7:01
Просмотров 3,1 тыс.
MAAJABU PEMBA ...Fundi umeme mwanamke APATIKANA
18:49
KIZAZI CHA WAPUMBAVU
6:46
Просмотров 6 тыс.
MJUKUU WA NYERERE AUTAMANI URAIS.
7:02
Просмотров 86 тыс.
VIJANA WASIENDE CLUB
6:10
Просмотров 3,8 тыс.
How many can you smash?🍫 IB : Florin
00:19
Просмотров 3,2 млн