Тёмный

Njia Ya Kufika HOLLYWOOD SIGN Huku USA | How To Get The Best View Of The Hollywood Sign- Huku Yues 

Jack Wa USA
Подписаться 54 тыс.
Просмотров 52 тыс.
50% 1

Kwenye hii video, Nilitembelea kivutio maarufu huku Marekani kinachoitwa "HOLLYWOOD SIGN'. Nimeonesha njia za kupitia na namna gani utaweza kufika kwa urahisi. Kama una mpango wa kufika mitaa ya Hollywood, bhasi ni vyema ukafanikiwa kupita Hollywood Sign pia ambapo utajipatia picha nzuri na utazitunza kama kumbukumbu ya Trip yako ya Hollywood, California. Tazama hii video ujionee njia rahisi ya kufika Hollywood Sign huku USA!
Pia nakuomba usubscribe ili usimiss video mpya nitakazokua nikipost. Asante kwa kutazama, Nakupenda sana!
My previous video ya mtaani Hollywood;
• Tazama Jinsi Watu Wana...
🔸FOLLOW ME ON;
INSTAGRAM: / jacchalz
TikTok: www.tiktok.com/@jackchalz
#hukuyues #losangeles #mtaani

Опубликовано:

 

12 фев 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 287   
@jackwausa
@jackwausa Год назад
Please Subscribe pia kwenye hii channel yangu nyingine ili ujionee zaidi ⬇️ ⬇️ youtube.com/@Jackchalz
@theopistamluge4487
@theopistamluge4487 Год назад
Big up Brother 💪 tunapenda Sana hii kazi unafanya
@jrochuboy5802
@jrochuboy5802 Год назад
Tupe habari kaka japo wengine tufike marekani kwa macho
@bobstar2737
@bobstar2737 9 месяцев назад
Naomba unuambie kuusu maswali ma5 utakayoulizwa siku ukikanyaga airport ya marekani
@robatenamacoma-326
@robatenamacoma-326 Год назад
Thanks a lot for showing us.sometimes we think negativitily, being in USA is everything solved
@princehancesam9892
@princehancesam9892 Год назад
Aliyesikia nyimbo ya DIAMONDI PLATNUMZ like tujuane
@mohamadjaziry2247
@mohamadjaziry2247 Год назад
Mzee tupereke new youk tukapaonevzuri harafu itapendeza zaid kama ukiwa unatepereka hata maeneo ya wanayoish wasanii ata wanapopenda kutemberea ili tuinjoy zaid nakukubali mzee salute kwako god blss u
@calvinqatar4321
@calvinqatar4321 Год назад
TAking Tanzania to the international level, big up young
@ChoroTesla
@ChoroTesla Год назад
am glad kuona mtz ana Vlog yake mezoea wakenya tu lets goooooopp homie
@jackwausa
@jackwausa Год назад
Thanks and welcome to my channel!
@eliakitungo8642
@eliakitungo8642 Год назад
Hongera sana kwa kazi nzuri kaka! Umenitoa tongotongo sana. My hope nitakanyaga USA kabla sijaonja mauti. Big up sana.
@medrickchris2653
@medrickchris2653 Год назад
Hongera sana ninapenda unavyojiamin utafikri uko chalize ...bigup HOMEBOY
@jackwausa
@jackwausa Год назад
Pamoja sana!
@bryanmussa2508
@bryanmussa2508 Год назад
Uko vizuri very creativity we need more about UsA
@SwahiliTheTraveller
@SwahiliTheTraveller Год назад
Hongera sana Home boy 🇹🇿
@immanuelkamau1614
@immanuelkamau1614 Год назад
Kazi bomba Jack. Hapa kenya twafurahia video zako.
@misheckmisheck6350
@misheckmisheck6350 Год назад
Kazi nzuri,tembelea sokoni utuonyeshe wamachinga wakizungu
@jackwausa
@jackwausa Год назад
Next video coming soon!
@imranvaalvlogs2060
@imranvaalvlogs2060 Год назад
Vipi kaka kazi nzuri nakufuatilia toka Nairobi
@AndreaPesambili
@AndreaPesambili Год назад
Big up upo vizuri kiongozi ILa nilitamani uelezee kuhusu apo
@FreeGod368
@FreeGod368 Год назад
We jamaa una create content kwa ubunifu na swags nyingi af zinapata quick response sjui akunt ikikolea itakuaje
@jackwausa
@jackwausa Год назад
Asante sana. Hopefully watu wataendelea kusupport zaidi!
@FreeGod368
@FreeGod368 Год назад
@@jackwausa sure🙏
@lirastanley390
@lirastanley390 Год назад
Already told him kwamba atafika mbali sana yani ngoja tu apate matukio mawil matatu makubwa yan atapiga viewers million +
@Goalscores12
@Goalscores12 Год назад
Noma yan juz tu nmesabscribe tulikua 400 leo 4k aisee😂🙌👏👏👏👏kazi nzuri inaonekana aisee😀
@FreeGod368
@FreeGod368 Год назад
@@Goalscores12 🤣🤣🤣jamaa ana nyota ya chips mayai
@all-africdesings5634
@all-africdesings5634 Год назад
Hio machine yako inasonga kweli kweli kazi safi ....niko Nairobi..hongera ....nafika huko hivi karibuni
@jackwausa
@jackwausa Год назад
Karibu sana
@vivianfortunatus5518
@vivianfortunatus5518 Год назад
Content safi kabisaa....endelea kutusanua na maeneo ya huko....huku wengine tukiendelea kuomba Mungu tushinde green card lottery tufike huko
@jackwausa
@jackwausa Год назад
Mungu akufungulie milango ili upate ushindi. Hopefully utafika marekani pia!
@vivianfortunatus5518
@vivianfortunatus5518 Год назад
@@jackwausa Amen
@ibrackibrahim6909
@ibrackibrahim6909 Год назад
@@jackwausa bro je Wewe ahuji husishi n'a maswala yakusafirisha Watu ? Kama una uwakika Nitumiye Namba Kwenye email yangu
@omarmohammed5157
@omarmohammed5157 Год назад
Shukran unatupa uwelewa wa mambo ya nchi za wenzetu shukran
@vandeesup7942
@vandeesup7942 Год назад
Umenitembeza Los angels nikiwa zangu kitandani
@voa5484
@voa5484 Год назад
Thanks for all things you show us, I'm from DRC
@user-ns7xn9or9o
@user-ns7xn9or9o Год назад
Jack uko vizuri kutoonyeha marekani na Mitaa yake hongera sana
@Bachubazonlinetv
@Bachubazonlinetv Год назад
Safi sana kaka contents zako ziko powa sana
@dennismuna3681
@dennismuna3681 Год назад
I always watch your post, unatuonyesha jinsi ya kutembelea US kwenye maeneo muhimu ya kihistoria...big up bro!
@kasalaraphael4029
@kasalaraphael4029 Год назад
Kaka nimependa sana kitu unachofanya endelea kutupatia mwendelezo wa Halisi wa life style ya marekani
@faridakinyaga8179
@faridakinyaga8179 Год назад
Aisee unaupiga mwingi well done brother
@amosmahona433
@amosmahona433 9 месяцев назад
Uko vizuri sana.tena sana aiseee kwa contents
@jacobsadock3530
@jacobsadock3530 Год назад
I'm history teacher huku bongo, so unanipa content,madini yakutosha km nshafika kipande hicho
@francisnjuguna5168
@francisnjuguna5168 Год назад
Kudos Jack. Watching from Kenya .You are doing a good job. May God bless you
@chindemasoftware
@chindemasoftware Год назад
du! tulocheza GTA 5, ndo tunapata live zote, maaana humo mote ni mule mnamoonekana kwa GTA 5 love it
@mambomabula3545
@mambomabula3545 Год назад
Ok nimependa, but jaribu kuelezea kiundani background ya eneo husika na ni eneo maarufu kwa nn ili kuweza kumuelewesha mtu ambaye hajui au ni mara yake ya kwanza kusikia kwa mfano hapo Hollywood background yake ni nn ni maarufu kwann na kwann watu wanapenda kutembelea hapo, mi Mambo Mabula kutoka Tz asante sana nimependa sana video zako hasa ile ya homeless people wanaoishi marekani nilikuwa silijui hilo, good job.
@AhmadMsafiri
@AhmadMsafiri 10 месяцев назад
appreciate you buddy cause we feel like we are there
@richardscofeld9136
@richardscofeld9136 Год назад
Hapo nimeona kitu ambacho niliomba nionyeshwe,Hy nataka nione sas na show room za magari na bei yake pia Kwa sisi tunaotaka kuja huko tusisumbuke jinsi ya kununua gari,alaf kama unayajua hata maswala ya green card,uwe unatengeneza video zake uta grow sana
@Goalscores12
@Goalscores12 Год назад
Lit sana
@shemelaruhinda6113
@shemelaruhinda6113 Год назад
Ndugu zangu watanzania nawaomba kwa moyo mkunjufu mnichangie sh laki mbili naitaji nikakodishe mbuga nilime mpunga morogoro nimekwama nisaidie jamani nimechoka kufukuzwa na migambo barabarani nisaidie nitakushukuru sana🙏
@stevboymacompiuter8393
@stevboymacompiuter8393 Год назад
Nipe no
@standardtv3494
@standardtv3494 Год назад
Jack nimependa hapo kwenye Hollywood sign baba sio mchezo
@gasparlubaga5866
@gasparlubaga5866 Год назад
We jamaa ni noma sana
@JonathanAlex-wr3ef
@JonathanAlex-wr3ef Год назад
umetish jak
@adammartin4139
@adammartin4139 Год назад
Babu wewe ni noma,big up sana,keep up the good work mzee baba
@fernandinyopogbafmj
@fernandinyopogbafmj Год назад
Jack wewe ni mtu bora kbs
@gayanimwansasu
@gayanimwansasu Год назад
Vizuri sana
@kelvinramson2164
@kelvinramson2164 Год назад
Safi sana kiongozi ufike mbali
@gabrielchaba2846
@gabrielchaba2846 Год назад
Nimependa sana
@tplatnumz
@tplatnumz Год назад
Nakubali Nakubali Saaaana
@peninamirembo1309
@peninamirembo1309 Год назад
Duh! Sa hivi naifaham mtaa ya America hata siku nikifika ni kama mwenyeji
@alainndindimaamuri8459
@alainndindimaamuri8459 Год назад
Shukrani Sana ndugu
@paulomagingo21
@paulomagingo21 Год назад
Kazi nzuri sana mzee
@gasparlubaga5866
@gasparlubaga5866 Год назад
Upo vizuri sana tumia na kiingerezam uuze kazi yako zaidi
@jeanbaek7607
@jeanbaek7607 Год назад
Acha uchawi kwenye lugha yetu, usimpotoshe kijana uenda anamtazamo na lugha yake kuliko wew, piga kazi jack noo mara waaaa, amekuwa barozi mzuri kwetu siku moja taifa litaitambua kazi yako na utapata kazi nzuri na hakika utalipwa sawa sawa na kazi kubwa unayoifanya
@papushkamedia3277
@papushkamedia3277 Год назад
Nimejifunz kitu mzee wang 🔥
@ibrashani8012
@ibrashani8012 Год назад
Much respect bro
@samsonowalo
@samsonowalo 11 месяцев назад
Jack namaindi pamba zako kwa sanaa
@katangaculturetravel680
@katangaculturetravel680 Год назад
Bro nakubali moto umewasha amerika
@ayoubomary9336
@ayoubomary9336 Год назад
Salute baharia
@oscaroscar2555
@oscaroscar2555 Год назад
Big up kaka nakuelewa mungu akulinde tu our reporter🙏🙏🙏🙏
@mgenikisinzah1564
@mgenikisinzah1564 Год назад
Milard Ayo wa USA
@johnkimulu4158
@johnkimulu4158 Год назад
Content safi sana. Watching from mombasa kenya.
@RamadhanHashimu-qq1xy
@RamadhanHashimu-qq1xy Год назад
Nimeipenda sana life style yako mwamba
@Elimishatv
@Elimishatv 2 месяца назад
ok sawa kaka
@Dj_anaetumia_kanda_AloyceG
@Dj_anaetumia_kanda_AloyceG Год назад
Good sanaaaaa me nilijua uko Hollywood ni Movie to 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@exaverymwandabale6667
@exaverymwandabale6667 Год назад
Umetisha mkali
@frankub8107
@frankub8107 Год назад
Love ❤️ from MALAWI 🇲🇼
@charlesmakelele4268
@charlesmakelele4268 Год назад
Ubarikiwe broo.
@malkavoice2570
@malkavoice2570 Год назад
Naisikia My babe kwa mbaali
@kassimhashi49
@kassimhashi49 Год назад
Gud man
@officialkalengotalent2014
@officialkalengotalent2014 Год назад
Endelea kutusanua kaka kaz nzuri
@officialaftab8760
@officialaftab8760 Год назад
Ok bro tutawasiliana
@georgembise7234
@georgembise7234 Год назад
Ok nimekupenda sana sana unabidii mungu akubariki
@jackwausa
@jackwausa Год назад
Amina!🙏🏾
@dismotv7176
@dismotv7176 Год назад
Naisikia nyimbo ya mond
@JonathanAlex-wr3ef
@JonathanAlex-wr3ef Год назад
Noma Sana kaka wemtu mmbayaa Sana kak nakuku bali😅😅😅😅😅
@magretmoraa3468
@magretmoraa3468 Год назад
Love your work bro
@tumainimchwa2773
@tumainimchwa2773 Год назад
Mmm!! Umechoka sana ila kuzuri kweli, japo umerudia njiani sababu huo umbali
@noahmgaya6687
@noahmgaya6687 Год назад
we noma hiv sahiz sangap brother
@ramadhanothman462
@ramadhanothman462 Месяц назад
uko vizuri na kazi yako
@thehustlerafrica4368
@thehustlerafrica4368 Год назад
Safi sana
@fransiskakimbori3569
@fransiskakimbori3569 Год назад
Good job
@newvisiongames6661
@newvisiongames6661 Год назад
Tunakusoma bro
@tophitske2181
@tophitske2181 Год назад
CANT WAIT TO COME THERE
@jackwausa
@jackwausa Год назад
Welcome to LA
@Denny-x5z
@Denny-x5z Год назад
Kazii nzuri bro 💪
@jackwausa
@jackwausa Год назад
Asante!
@kulwanzobe7657
@kulwanzobe7657 Год назад
Idea nzuri Sana endelea hivyo hivyo
@Brendaa5438
@Brendaa5438 Год назад
This content has made me feel like looking for a visa to US.. Wow beautiful places
@jackwausa
@jackwausa Год назад
Welcome to the US!
@mgenikisinzah1564
@mgenikisinzah1564 Год назад
Kabisa kabisa yaaani lol @jack
@jonathansirkintungi3440
@jonathansirkintungi3440 Год назад
Well-done keep educating guy. God bless you
@Clecadkingtz12
@Clecadkingtz12 Год назад
​@@jackwausa what I can do to come there?
@collinskhaemba7525
@collinskhaemba7525 Год назад
Good job broh. Keep going.
@lidyakisota10
@lidyakisota10 Год назад
Natumaini sijachelewa kujiunga ni hii chanel😊 ....natarajia kujifunza vingi Asante😅🇹🇿
@jacksonnzomo6096
@jacksonnzomo6096 Год назад
Keep up Jack👍
@user-zd8bf5me7s
@user-zd8bf5me7s 20 дней назад
Hongera sana @mwanza
@GracieTyno
@GracieTyno Год назад
Wow!
@pangrasitairo6029
@pangrasitairo6029 Год назад
Hongera sana well done i do enjoy ur videos. Tz one
@wamadoropushthestar4145
@wamadoropushthestar4145 Год назад
Upo Makini Sana
@jackwausa
@jackwausa Год назад
Pamoja sana!
@hamisitza5698
@hamisitza5698 Год назад
Talented
@hemedisafari4599
@hemedisafari4599 Год назад
Nakubali mwana naisi Kama nipo uko
@williammashinji2944
@williammashinji2944 Год назад
Nice
@chemchemstation4754
@chemchemstation4754 11 месяцев назад
Namskia mond hapoo daah anawakilisha
@deveralymgaya978
@deveralymgaya978 Год назад
Uko vzr
@abduliraimmushi2224
@abduliraimmushi2224 Год назад
Brother Watanzania Wote Tunakupa bigp uko vizuriy
@jackwausa
@jackwausa Год назад
🙏🏾
@daktariwakienyeji
@daktariwakienyeji Год назад
Much love from Kenya
@Brendaa5438
@Brendaa5438 Год назад
I love Hollywood sign
@andreahhera8656
@andreahhera8656 Год назад
Safi kakaaaa
@mrishojumaamrisho3212
@mrishojumaamrisho3212 Год назад
Kuzuri
@sintohayuma7281
@sintohayuma7281 9 месяцев назад
Very supper
@zawadisisto8188
@zawadisisto8188 Год назад
Tunashukuru sana
@nassorowaziri3076
@nassorowaziri3076 Год назад
Ebwana Hongera Sana Kwa kazi kubwa unayofanya Big up Sana kwani uko muwazi na bila kinyongo
@jackwausa
@jackwausa Год назад
Pamoja sana!
@christiancalvin2183
@christiancalvin2183 Год назад
wale wa GTA 5 hizi location sio mpya😂
@novatinive3448
@novatinive3448 Год назад
Duuuuu Yani umefika 7k hajabu Dana nilianza na hii RU-vid tangy mwanzo sikutegemea congratulations bro. Tz Moja.
@jackwausa
@jackwausa Год назад
Asante sana kwa support! Mungu azidi kuwabariki!🙏🏾
Далее
😍😂❤️ #shorts
00:12
Просмотров 314 тыс.
Paranoid My First Day in Moscow Russia 2024
18:50
Просмотров 836 тыс.