Тёмный

NOEL (Official Video-HD)_HT 

KWAYA YA MT THERESIA MARUKU
Подписаться 9 тыс.
Просмотров 8 тыс.
50% 1

Karibu kutazama video ya wimbo NOEL kwa ajili ya Kusherekea sikukuu ya kuzaliwa Mkombozi wetu YESU KRISTO.
Wimbo: NOEL
Waimbaji: Kwaya ya Mt.Theresia wa Mtoto Yesu-Maruku
Mtunzi: G. S. MASOKOLA
Audio: HOLY TRINITY STUDIOS
Video: HOLY TRINITY STUDIOS

Опубликовано:

 

4 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 38   
@imeldakabadi472
@imeldakabadi472 Год назад
Hakika kazi nzuri saanaaa♥️♥️♥️Mungu awabariki na kuwapitia hitaji la mioyo yenu wote🙏🙏
@lucasrwegesira127
@lucasrwegesira127 Год назад
Kazii nzurii Sanaa hongerni San
@ansbertanthony9337
@ansbertanthony9337 Год назад
Kazi nzuri sana👏
@monikamadahamasanja2868
@monikamadahamasanja2868 Год назад
Mungu Awabariki kwa wimbo Mzuri
@daudiwilliam1971
@daudiwilliam1971 Год назад
Duuuh!! Hakika Mnastahili sifa👏 kwa kazi nzuri mlioifanya ya kumsifu na kumtukuza Mungu kwa njia ya uimbaji. Nawaombea kwa Mungu awabariki sana wote waliofanikisha kazi hii Takatifu.
@djwymaakababayao3135
@djwymaakababayao3135 Год назад
a nice song
@tumusiimeomukama3151
@tumusiimeomukama3151 Год назад
Yani nilisubiri toleo jipya la Noel, kwa kweli nimefurahi kupata kitu amazing. Mbarikiwe Sana Wana wa Mungu. 🎂❤️😍😍😘 Merry Christmas and a great new year to all of you.
@gabriellukosi8852
@gabriellukosi8852 Год назад
Amina
@MichaelThomas-xc7rn
@MichaelThomas-xc7rn Год назад
ooooh woow! Hongereni sana ndugu zetu, hakika mmempa zawadi mtoto Yesu! wimbo mzuri, quality, mavazi, mpangilio, hakika kila mmoja wenu abarikiwe mwili mzima na roho!
@gabriellukosi8852
@gabriellukosi8852 Год назад
Asante ubarikiwe pia
@princepiusgabriel8998
@princepiusgabriel8998 Год назад
Kama ulaya, hongereni sana
@collinarweyemamu4493
@collinarweyemamu4493 Год назад
Hongereni sana. Noel kweli
@andersonrwiza8776
@andersonrwiza8776 Год назад
Safi sana hamjawahi kutuangusha
@leonciakemilembe7056
@leonciakemilembe7056 Год назад
Kwa kweli mmetisha sana, hongeleni sana.
@lyncasmir3755
@lyncasmir3755 Год назад
Mko 🔥🔥🔥🔥hongereni sana🤝
@avithanold1543
@avithanold1543 Год назад
Viwango vya xmass
@kwayayamttheresiamaruku8296
Tunashukuru sana kwa support Yako. Mungu akubariki
@kennoscar8319
@kennoscar8319 Год назад
Amaaaaaaaaazing
@jovinusdidas-t9n
@jovinusdidas-t9n Год назад
Kazi ni nzuri na mungu aendelee kuwatia nguvu waendelee kupambana wako vizuri
@happiwille7380
@happiwille7380 Год назад
Hongereni sana
@shedy_marie
@shedy_marie Год назад
Amen wimbo bora saut nzuriii ❤❤
@elrachum3866
@elrachum3866 Год назад
NOEL !!!!!!!!!! KAMA ITALIA VATICAN kabisa
@recodaycarecentre
@recodaycarecentre Год назад
SUPER
@isackmasanja1088
@isackmasanja1088 Год назад
Hongereni sana kwa kazi nzuri kama ulaya vile🙏🙏🙏
@tatianuskato9200
@tatianuskato9200 Год назад
Noeeeeeeeeeeeeeeel👍🙏
@akimuwaziri4089
@akimuwaziri4089 Год назад
Jaman mnatupotosha wakrosto. mbona hamna walipoandika kua tarehe 25 mwezi wa 12 kuzaliwa kwa yesu? alaf mbona yesu hakushelekea hii krismas? Alishelekea pasaka tu?
@marydominic4599
@marydominic4599 Год назад
🔥🔥🔥🔥
@nicerahans5590
@nicerahans5590 Год назад
Mwakola muno,mungu awabariki
@felisterligwa
@felisterligwa Год назад
🙏🙏🙏🙏👏👏👏👏👏
@emmanuelaaron5592
@emmanuelaaron5592 Год назад
🔥🔥😋
@kabadiabel4038
@kabadiabel4038 Год назад
Kama kawaida ya wanamaruki, hongereni sana
@kwayayamttheresiamaruku8296
Mungu ni mwema. Tunashukuru sana kwa support yako kwetu.
@philipokabadi3553
@philipokabadi3553 Год назад
VATICAN 🙌🙌🙌
@janneyrebby2878
@janneyrebby2878 Год назад
Hongereni wana wa Maria kwa utume wimbo mzuri sana
@michaelbaseke9894
@michaelbaseke9894 Год назад
Mko vzr sana
@juliethfifi9742
@juliethfifi9742 Год назад
Waooo hongereni sana wapendwa mumetisha ebyaa hatari
@elviraedmund1192
@elviraedmund1192 Год назад
🙏🔥🔥
@kabadiabel4038
@kabadiabel4038 Год назад
Asanteni sana wadau wetu kwa supporting zenu kwa njia ya comment's zenu nzuuri zinatupa nguvu ya kuhamasika na kuyafanya yaliyo mazuri zaidi. Asantenisana na Mungu awabarikisana. Endeleeni kutuunga mkono jamani
Далее
LEO
9:58
Просмотров 15 тыс.
FARAJA - TMY // Mtunzi: PIUS PAUL FUBUSA(PPF)
7:49
Просмотров 47 тыс.
Blue vs Green Emoji Eating Challenge
00:33
Просмотров 2,9 млн
MUNGU WA ISRAEL ( Official video )_ HT
7:20
Просмотров 24 тыс.
FURAHA YA KWERI
6:53
Просмотров 18 тыс.
Blue vs Green Emoji Eating Challenge
00:33
Просмотров 2,9 млн