Тёмный

NSYUKA 2 ( 2003 ) 

ALL MOVIES
Подписаться 54 тыс.
Просмотров 179 тыс.
50% 1

Dorin anajikuta katika mazingira magumu baada ya kuarifiwa kuwa hapati ujauzito kwa sababu ya Nsyuka, roho hatari ya ukoo wa ukoo wake. Mambo yanakuwa magumu baada ya kuambiwa na kasisi wa jadi Kaningola kwamba anapaswa kufanya mapenzi naye ili kuondoa shida yake.‪@swahiliwood‬ ‪@BongoCinematv‬ ‪@bongofive‬ ‪@millardayoTZA‬ ‪@middlesimba‬ ‪@Wasafi_Media‬ ‪@CLOUDSMEDIA‬ ‪@BongoCinematv‬ ‪@negrombavu5889‬ ‪@ITVTanzaniaTz‬ ‪@TBC_Online‬ ‪@globaltv_online‬ ‪@bmtvtanzania‬ ‪@SinemaGo‬ ‪@mambo_media-KTz‬ ‪@CinemaSins‬ ‪@BongoBDMovies‬‪@allmovies8606‬ ‪@madebelidai10‬ ‪@SimuliziNaSauti‬ ‪@SamMisagoTV‬ ‪@Bongo-BD‬ ‪@BongMotivation‬

Опубликовано:

 

15 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 214   
@NdayishimiyeDjuma-is8gg
@NdayishimiyeDjuma-is8gg 7 месяцев назад
Oyawe sis weny tunaitizam 2024 tujuwane hapa kw like
@user-zw6jb4gh7u
@user-zw6jb4gh7u 2 месяца назад
Tunaoangalia mwaka 2024 like hapa 😅
@PelesianaBukuru
@PelesianaBukuru Месяц назад
wanaoiangalia kwa mara ya kwanza 2024 tujuanee
@simtowesteven64
@simtowesteven64 Месяц назад
Watoto wa 2000 hawawezi elewa mateso tuliyo pitia kwa izi move😅😅
@fridamwansasu6157
@fridamwansasu6157 День назад
yaani acha tyu😂😂
@albertmwakimi9449
@albertmwakimi9449 5 месяцев назад
2024,gonga like hapa
@salmamganga6584
@salmamganga6584 4 года назад
ongeza tena jmn ... i will watch of all these❤️❤️❤️❤️
@johnsonmarick45
@johnsonmarick45 2 года назад
The best of the rest from TANZANIA🇹🇿. ALL ACTORS deserves enough 💵 not only appreciation, they did great job,.
@muhammadsungura9270
@muhammadsungura9270 3 года назад
Safi sana hivi ndio vitu vya kiutu uzima leten mpk mwisho watazamaj tupo
@calvinraymond8375
@calvinraymond8375 3 года назад
🤣🤣🤣daaah kaka una moyo wa kuangalia
@AliHassan-ph4cm
@AliHassan-ph4cm 3 года назад
Sana broo
@erickmidomsodock8716
@erickmidomsodock8716 8 месяцев назад
Nipo hapa kuuaga mwaka 2023 welcome 2024
@wilsonmbilimbi7144
@wilsonmbilimbi7144 2 года назад
2022 bado nkiangalia hii movie naogopa jmn
@joymsupagladysijeya8384
@joymsupagladysijeya8384 3 года назад
Mm. Apa nop siwezi lala 😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌 Nime enda 🙋‍♀️🙋‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️💃💃💃💃💃
@tinahfredy7066
@tinahfredy7066 3 года назад
Yani nimeangalia hii muvi nimecheka sana leoo mm niliyekwa siendi ata kuoga wala kulala pekeangu kumbe ni hawa watu walopakwa unga na tomato 😹😹😹😹😹🤣
@azzaally9335
@azzaally9335 Год назад
Utakom 😂😂😂😂
@husnamkumba1359
@husnamkumba1359 2 года назад
Azam wangetuwekea sinema zetu
@azzaally9335
@azzaally9335 Год назад
Bora,👌👌
@salimkombora2742
@salimkombora2742 3 года назад
move kama hizi zirudiwe tena...wazimu balaa
@ashaomary249
@ashaomary249 2 месяца назад
Nilikuwa naogopa enzi hizo😅😅
@issaahmed8622
@issaahmed8622 Год назад
2023 bado naicheki hii movie
@reubenlameck6225
@reubenlameck6225 3 года назад
Hatariiii kitambo Sana walio itazama hii 2020gonga like
@tashrimabdulqadry5643
@tashrimabdulqadry5643 6 дней назад
Tunaoangalia mwaka 2025 tujuane ,gonga like hapaa 😊🔥
@abdulzackawami7780
@abdulzackawami7780 3 года назад
Hizi ndyo filamu bhana sio siku hizi jini anavuka barabara huku anaangalia magari😂tuletee Kihongwe,mzee wa busara pamoja na Sawaka
@jemxmbiliny8895
@jemxmbiliny8895 2 года назад
Umeonaaa eh
@alexselias9420
@alexselias9420 2 года назад
Mambo ya kina mussa Banzi
@azzaally9335
@azzaally9335 Год назад
Wewee🤣🤣🤣
@hadijahassan6467
@hadijahassan6467 Год назад
Nilitazama hii movie,nmekumbuka mbali 🥺🥺🥺🥺
@jenfan8781
@jenfan8781 2 месяца назад
Nmekutana na nsuuka leo, walai ana ngozi nzuuuri Sana bado kijana yaaaaaaan
@zuwenaothman5134
@zuwenaothman5134 2 года назад
Still watching this movie 2022
@wilsonmbilimbi7144
@wilsonmbilimbi7144 2 года назад
Mimi
@azzaally9335
@azzaally9335 Год назад
Na mm pia
@gracekamelle1553
@gracekamelle1553 3 года назад
Who's still watching this movie 2021🤚
@stevenraphael3262
@stevenraphael3262 3 года назад
🤝
@hmsrashd7910
@hmsrashd7910 Год назад
I loved it
@LeonardChimanda-fn5fr
@LeonardChimanda-fn5fr 8 месяцев назад
Watching this movie in 2054 gonna like hapa
@neemazee1864
@neemazee1864 2 года назад
Tarehe 26 mwezi wa 1 mwaka 2022 naangalia ila bd naogopa sana...!!!
@CareenPapius-je9nx
@CareenPapius-je9nx 8 месяцев назад
2024 tuonane Apa
@nishamwenendi-vh4wk
@nishamwenendi-vh4wk 2 месяца назад
Nilikua na miaka 5 nikiangaalia hi move nilikua naogopa sana 😂😂😂😂
@liberatusulaya2269
@liberatusulaya2269 3 года назад
Hakika Hakuna jipya chini ya Jua, ilkw ni zamani sana sana lakin filamu imebeba madhari ya uhalisia Wa kiafrica ,,,.na kusisimua kongore, wasanii kizazi kipya wanarakw kujifunza utunzi huu,.... 2020.
@rehemasahwi5530
@rehemasahwi5530 3 года назад
Ringo na jimmy mafuru nawapa hi 😂😂😂😂😂
@beautyibrahim8428
@beautyibrahim8428 3 года назад
😂😂😂
@azzaally9335
@azzaally9335 Год назад
Leo tareh 14 /12/2022 bad naogp jamn but npend san movie kam hiz💕💕💕 kaz mzur 👍👍
@ramadhanmohamed1290
@ramadhanmohamed1290 Год назад
tunasubiria ya mwaka 2023
@zuenampandeni3347
@zuenampandeni3347 2 года назад
dah eti aliyeigiza insyuka amelipwa elfu 30
@beesmarttv3792
@beesmarttv3792 2 года назад
😂😂😂😂
@monicakapama9977
@monicakapama9977 2 года назад
Elfu 30 mwaka 2002 ilikuwa kama laki 5 ya sasa
@azzaally9335
@azzaally9335 Год назад
Enzi ezoo et but not now
@esternyamakene206
@esternyamakene206 Год назад
Yeah ilikuwa kubwa Sanaa .... Maan mpk sh 5 zilikuwa Bado zatumika
@RUFUS_97
@RUFUS_97 3 года назад
aisee mpaka leo na miaka yangu 30 bado naiogopa hii muvi kinoma,.........
@kefaprince6250
@kefaprince6250 3 года назад
Hahahaha punguza uoga
@azzaally9335
@azzaally9335 Год назад
Aaaaa😂😂😂😂pol san
@esternyamakene206
@esternyamakene206 Год назад
Mm hata udogon sikutakaga kuangalia nilivoambiwa inatishaaa
@user-xv9me9lm6g
@user-xv9me9lm6g Год назад
​@@kefaprince6250😂😂😂 kulalina
@user-ii8qd6ux1h
@user-ii8qd6ux1h 9 месяцев назад
Nakumbuka hii muvi nilikua nikitoka kuingaria kwenye Banda la video kizaazaa kinaanza wakati was kurudi nyumbani ukisikia hata mbwa kabweka mbiiiooooo😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@nonijonathan-mr2rx
@nonijonathan-mr2rx 9 месяцев назад
😂😂😂😂
@naifalorence6541
@naifalorence6541 2 года назад
Kiukwel mpka Leo hii movie naiogopa
@EliasAmosi
@EliasAmosi 4 дня назад
🎉ila huyu bwege alitutisha
@salimkombora2742
@salimkombora2742 3 года назад
one of the best of bongo move
@mauwapremice7080
@mauwapremice7080 3 года назад
Hakuna filam iliyo nitishaga kama hiyi daah 🤔nilikuwa siwezi kuingiya ndani pekeangu..🤣🤣
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 3 года назад
Ongea ww mm nilikuw nalia mkojo ukiniban au nikitumwa ndani
@mauwapremice7080
@mauwapremice7080 3 года назад
@@aminatanzanya7475 daah 😁😁
@amybrown469
@amybrown469 3 года назад
Hata kuingia bafun ulikua ishu kwahy nkawa mchafu kuoga
@neemadaud7470
@neemadaud7470 3 года назад
Nahic wote hamnifikii na hivyo nili kuwa mdogo
@beesmarttv3792
@beesmarttv3792 2 года назад
@@amybrown469 🤣🤣🤣🤣
@rizikingowa7882
@rizikingowa7882 2 года назад
Inatisha Sana sana
@salmamganga6584
@salmamganga6584 4 года назад
waooooo ahsant jmn
@saedmohamed9262
@saedmohamed9262 2 года назад
leo ni tarehe 7/7/2022 siku ya alhamis naangalia muvi hii na hapa ni usiku lakini bado naogopa.... kazi nzuri hii sio muvi zetu za kipindi hiki za kuhamasisha ngono tu...
@mwajumabakari3730
@mwajumabakari3730 2 года назад
Zilikua love kali sana
@rogerslwitiko3915
@rogerslwitiko3915 11 месяцев назад
Tunaomba Harusi ya Candy,My Darling,Neno,Shamba Kubwa, Behind the Scene,Masaa 24,Mfalme Seuta, Shumileta,Chozi la urithi,Mtemi
@AbdulMpunjo
@AbdulMpunjo 9 месяцев назад
Kuna bosi YA kawambwa, Safar YA chiku Na kapili,mzee Wa busara part 1 YA zinduna Na somoe,jinamizi YA Kisa cha kweli kilichotokea Rufiji, Hasidi,Pete YA usaliti,Noti,mahabati
@mkwindamohamed7876
@mkwindamohamed7876 3 года назад
km vipi irudiwe kw HD
@benedictflorence2870
@benedictflorence2870 3 года назад
Duh Et jini nae linacheza na kuimba ngoma za tambiko 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@azzaally9335
@azzaally9335 Год назад
😂😂😂😂
@enockbusungu3807
@enockbusungu3807 3 года назад
paparazi roho ya mwandishi ihusike pia hapa pls
@mlongomlongo6680
@mlongomlongo6680 Год назад
Jamani inatisha hii movie hata nilikua sikujui wakati huo nangalia 3,12,2022
@aliyjuma5552
@aliyjuma5552 Год назад
Mambo
@zainahassan2726
@zainahassan2726 3 года назад
Naomba weka roho sita ya chuchu hansi
@user-dp7cq5cv1d
@user-dp7cq5cv1d Год назад
Ila zamani walikua wanaigiza bana yan ni 🔥
@nancyg8664
@nancyg8664 Год назад
Sana
@mwajumabakari3730
@mwajumabakari3730 2 года назад
Mpaka leo tarehe 13/7/2022 bado naitizama move hii nawapenda sana jmn
@rahimmwayaga3715
@rahimmwayaga3715 2 года назад
Sijui nitapta wapi jinamizi haki naipenda sana hyo movie
@azzaally9335
@azzaally9335 Год назад
Mm tareh 14/12/2022 inatish san sio sir yaan 😖😖😖
@barakastephano9958
@barakastephano9958 3 года назад
Chite ukae please
@Sharobabu
@Sharobabu 4 года назад
Usisahau na fungu la kukosa ya riyama
@sukariyao6537
@sukariyao6537 2 года назад
Ipo you tube
@azzaally9335
@azzaally9335 Год назад
Like this au
@sirbussongo4490
@sirbussongo4490 8 дней назад
Sikio la kufa
@glorylymo958
@glorylymo958 2 года назад
Bora ata hii sauti inaeleweka,,,
@tausytee6623
@tausytee6623 3 года назад
Nsyukaaa,alitutisha huyu baba
@MananeMbelenga
@MananeMbelenga 13 дней назад
Azam wnge2wekea kwenye sinema zetu
@NasraIbrahim-iw3or
@NasraIbrahim-iw3or 4 месяца назад
❤😊 naipenda sana
@abdulrahmankibuo2317
@abdulrahmankibuo2317 Год назад
Best director Mussa banzi
@user-il5mf2dy5r
@user-il5mf2dy5r 7 месяцев назад
2024 tunaitzama ❤❤❤❤❤❤❤❤
@emmyminnah4043
@emmyminnah4043 3 года назад
Chite ukae part2 pls jmn
@user-ip5ht6ly1h
@user-ip5ht6ly1h 2 месяца назад
nilkw silali kwa sababu ya hii move😂😂😂😂😂
@user-bl3ee2vx4d
@user-bl3ee2vx4d 2 месяца назад
Jamn hii move inatisha daah yaan sio kidog
@zayabdala-ky9dg
@zayabdala-ky9dg 7 дней назад
Nyie naogopa 😅😅
@Rahma-h3p
@Rahma-h3p День назад
Tunao iangalia hiii kwa mar ya kwanz tujuane hap jaman watoto wa 2004 😂😂😂😂😂
@peterbyarugaba7507
@peterbyarugaba7507 3 года назад
Ilikua Atari sana hii movie
@user-nb5kw2cy7m
@user-nb5kw2cy7m 3 месяца назад
Jamaa navuruga kikao mzee msisili kakomaa khaaaa
@coreyplatinum
@coreyplatinum Год назад
Mamamamamamaeeee dude hili lilitisha watu wengi enzi hizo sito sahau 😂😂😂 dah
@user-le6eg6qt7z
@user-le6eg6qt7z 10 месяцев назад
Kipindi naangaliya iyi igizo nilikuwa namyaka mi8. Imenikumbusha mbali sana. Izindozilikuwa igizo.
@hadijamagufuli2661
@hadijamagufuli2661 3 года назад
😭😭😭Jamani
@user-wt3tf5xz7b
@user-wt3tf5xz7b 2 месяца назад
Qatar man know Zoe
@rehemasahwi5530
@rehemasahwi5530 3 года назад
Sauti inakatakata jmn
@tosamz643
@tosamz643 Год назад
Watching 2023😅😅😅
@esternyamakene206
@esternyamakene206 Год назад
Kama mm😂😂
@ayyahmalik2408
@ayyahmalik2408 Год назад
Sasa mie nilikuwa naogopa nini hapa 🤣🤣🤣wa 2022 mwez wa 10
@lindakihoro2170
@lindakihoro2170 4 года назад
❤❤
@aliyusufali2521
@aliyusufali2521 3 года назад
Uyo Ringo chili na zimwi Nan kawaona Kam mimi
@zuenampandeni3347
@zuenampandeni3347 2 года назад
ngoja niwaangalie
@pillymakambi9133
@pillymakambi9133 Год назад
nliangalia hii move mwak 2006 daras l kwanza Hadi 2022/22 naogopa bdo
@SaraphinaLyelu
@SaraphinaLyelu 4 дня назад
Director wa hii movie matako yake ulinifanya usiku nione kama una masaa50 kumbe ni 12
@chitwangandembo6302
@chitwangandembo6302 10 месяцев назад
Tujuane hapa tuliokuja kuangali limovie lililotutisha miaka 20 iliyopita😂
@fatmakisanga4486
@fatmakisanga4486 2 года назад
Jamani nimemuona da nai the don wamzingani
@medyhsni4211
@medyhsni4211 3 года назад
Nom sanaaaa
@paulchaula6796
@paulchaula6796 8 дней назад
2024
@hilalijafari7405
@hilalijafari7405 4 года назад
Tuwekee kihongwe na saladin party two tunakuomba
@husseinramadhani2059
@husseinramadhani2059 4 года назад
Tunaomba kihongwe please
@sukariyao6537
@sukariyao6537 2 года назад
@@husseinramadhani2059 iko tayari tizama
@Rahmamatengo6114
@Rahmamatengo6114 Год назад
Inatisha jamn naogop kwel😰😰😰😰
@alexselias9420
@alexselias9420 2 года назад
Mamaeee hizi movie enzi hizo usiku siendi kunya chooni😥😥😥😥
@rahimaaaaa5682
@rahimaaaaa5682 2 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@user-xv9me9lm6g
@user-xv9me9lm6g Год назад
Kulalina
@JblalyJoachim
@JblalyJoachim 2 месяца назад
😂😂😂😂😂😂huyu nsyuka alnfanya mm nkashndwa kulala yn nkiiangalia movie kma hii nkiwa sjaoga hakiii siog au uwe unaangalia hii movie ghfla umeme ukatike weeeeh patamujee hapoo😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@emmaeliasndege9436
@emmaeliasndege9436 2 года назад
Movie noma san
@abdallahmkwizu-uf4fx
@abdallahmkwizu-uf4fx Год назад
Muvi ilinitisha ata ndani sikua naingia au kukaa peke yangu
@getrudamartin2409
@getrudamartin2409 2 года назад
Jaman zaman watu walikua wanaigiza bana
@saidmohamed804
@saidmohamed804 2 года назад
✌✌
@azzaally9335
@azzaally9335 Год назад
Really 👍👍👍
@rahimkarim-py1yo
@rahimkarim-py1yo 8 месяцев назад
Huyu mwamba alinifanya nisiende dukan enz hizo atar san😂😂
@reyca_v.i.p
@reyca_v.i.p 2 года назад
Eti ulikua na mwanamke au kinyago sanjo nimekuambia house girl wangu daaah 🤣🤣🤣🤣
@KTMediatv
@KTMediatv 6 месяцев назад
Nani kamuona Mzee Msisiri Kwenye Kikao Cha mazishi Hapo kumbe Kitambo Kwenye game. 😂
@masoudseif3515
@masoudseif3515 Год назад
Enzi zileeeee lakini ulipwaji ulikuwa wa hovyo
@hashimrweabula9
@hashimrweabula9 2 года назад
Aiseee hii movie inlikua na miaka mitatu ndo ilitoka ilaa naiogopa ad sasahv ila ndomovie ya kibabe lete mzee was busala zoote ziludiwe
@nashiruhassani5158
@nashiruhassani5158 2 года назад
Dah nipo hapa kwa ajili ya movie iliyokua ikininyima usingizi 🥴🥴
@azzaally9335
@azzaally9335 Год назад
Pole san 😂😂😂😂
@nungabadest6913
@nungabadest6913 2 года назад
Hii muvi ilinifanya nisiwe naoga kwa kuogopa kuingia bafuni
@nevillysimbeye
@nevillysimbeye Год назад
Aiseee naogopa
@simoninzowah7817
@simoninzowah7817 Год назад
...we inatisha sana hiii picha...
@mariammussa4593
@mariammussa4593 3 года назад
😂😂😂 ugomvi wa mke na mume duuuh
@KTMediatv
@KTMediatv 6 месяцев назад
Huyu bibi Kama Hakuchukua Tuzo Miaka ile Basi labda hazikuwepo Kama ziliwepo na hakupata hajatendewa Haki
@elishajegeje6482
@elishajegeje6482 3 года назад
Leta saradini
@zanelanixon6406
@zanelanixon6406 3 года назад
Kweli aiweke
@benedictflorence2870
@benedictflorence2870 3 года назад
Nahitaji hii filamu sna
@eliasmbise4328
@eliasmbise4328 2 года назад
🤣🤣🤣
@macdonaldchaboka6117
@macdonaldchaboka6117 Год назад
Kmmke nkajua nikiiangaloa ukunwani haitishi🤣🤣 mbona ka yashtua shutua kidogo
@AliNassor-mj2yb
@AliNassor-mj2yb 3 месяца назад
Kwel
@sabrinahomary390
@sabrinahomary390 9 месяцев назад
Movie haijawah chosha
Далее
MZEE WA BUSARA 2003  Part 1 ##maisha ya hofu na mashaka
44:44
KINYAMKELA  (BONGO MOVIE) Part 1
1:01:10
Просмотров 130 тыс.
Fungo la Kukosa  2003 #RIYAMA Ally
1:00:03
Просмотров 256 тыс.
UKWELI wa SALADINA
5:45
Просмотров 253
KABURI LA SOFIA (BONGO MOVIE)
1:38:27
Просмотров 368 тыс.
ZAWADI YA JINI A | SEASON 1 | EP 1- 6
1:09:48
Просмотров 344 тыс.
Maskini Jeuri - Part 1 | Official Bongo Movies|
53:23
Просмотров 426 тыс.
KIPESILE   | 1 |
23:39
Просмотров 330 тыс.
URITHI WABIBI FULL MOVIE
1:17:38
Просмотров 721 тыс.
MTOTO NYOKA  ( FULL EPISODE 1 - 5 )
46:45
Просмотров 873 тыс.