To bring out the ideal picture of the challenges facing citizens at large #kenyanpolitics #nuruokangake #citizendigital #kenya #difmedia #ruto #bungelamwananchi #raila #railaodinga #kenyanyoutuber
Hakufanya kazi tulinze wenye tuko mashimo nimekuja kuiona Mombasa hata ushago kuko afadhali Barabara ya kutoka Mombasa kufika shimo la tewa ilikua mashimo tupu saa hii ndio inatengenezwa
Kwanini hili bunge wanapenda kuingilia Okanga??? Kuna siku mtaheshimu Okanga huyu jamaa hesabu zake hamzijui anataka certificate ya form4 aanze na udiwani hapo ndio mtajua huyu jamaa sio fala vile mnafikiria