Allah akujaalie kila la kheri shekh Ramadhan na wenzako wote kwa kazi ya Daawa kazi ya Mitume, Allah ndiye ajuaye ukubwa wa malipo yenu. Pamoja na yote Allah akulipeni pepo ya fir-daus na waislam sote. Jamani kila mwenye UWEZO aichangie hii channel izidi kufanya kazi ya Daawa
Surah An-Nasr 1. Itakapo kuja nusura ya Mwenyezi Mungu na ushindi, 2. Na ukaona watu wanaingia katika Dini ya Mwenyezi Mungu kwa makundi, 3. Zitakase sifa za Mola wako Mlezi, na umwombe msamaha; hakika Yeye ndiye anaye pokea toba.
Takbiriii Allah Akbar karibuni sana ktk Dini ya haki Dini ya Manabii na Dini ya Mwenyezi Mungu. Walio toa ardhi kwa ajili ya kujenga msikiti namuomba Allah awalipe hapa Duniani na awape Pepo ya Firidausi Allahuma Amiin.
ALLAHU AKBAR, kazi mnayoifanya ni ya kumpendeza sana ALLAH straight path association tunawaombea Kwa AL MAALIK aidumishe kazi yenu na aijaalie iwe na kheri nyingi milele na walio toa ardhi kwa ajili ya ALLAH wabarikiwe sana na sisi pia tuko pamoja nanyi
MashaAllaah MashaAllaah Munaa fungu lenuu mbelee ya mwenyezimngu Allaah Azidii kuwapa nguvu kuitengangazaa dini ya haki wasojuwaa waeleweee Alhamdulillah
Mungu awabariki nyinyi wote yesu wa kinfu bay na ndugu yetu mpendwa ramadhan mungu awape nguvu ya kuendelesha dini ya uislamu tafadhalini tuko nanyi ,watu wasipotee uislamu ni kushika elimu na mafunzo asanteni
Mashallah Allah awepesishe Kila jambo la kheri mi napenda nipate nafasi ya kufunza quraan nitafanyaje nipo PEMBA huku nafuatilia sana harakati zenu hizo na nimepeda NAMI nichangie kwa nafasi aliyonijalia mw/ mungu
Masha Allah tabaraka Rahman welcome back brothers to your original faith. Allah Akbar Alhamdulilah Rabbil Aalamiin. Allah bless you all and all the Muslims Umma. Allahumma Ameen Yaarabil Aalamiin ♥️
Assalamu alaykum Alhamdulillah nimeona jinsi ummah ulivyoingia katika Uislamu Naomba jina la hiyo Qaswida uloiweka back qround Allah akuzidishieni kila la kheri Ni ndugu yako katika Uislamu kutoka Uk Shukran
brother ramadhan unafanya kazi nzuri mno uneamua kuingia vijijini kuwajuza watu kuhusu haki ya dini ya uislsm,wengi wa masheikh wapo mijini wanapigania kuwa maimamu ktk misikiti huko mjiji!!
Asalamu Alaikum Warahmatullah Wabarakatuh! Ndugu zangu sote tuliojaaliwa kutazama video hii nawasisitiza sana Ndugu zangu tusiwawache ndugu zetu hawa peke yao, tuendelee kuwaunga mkono kwa hali na mali. Tuhakikishe Msikiti huu na mengine inasimama Insha'Allah!!! Allah awalipeni kheri nyote Amiym!!!
Huyo mzee aliyetoa ardhi kwa kujenga msikiti mungu ambariki na awe muislamu mpaka kifo chake na siku ya mwisho tuonane ndani ya bustani ya peponi Janna fardows
Jamaa amali iyo imekuja paka mikononi mwetu nikimaanisha kwenye simu ztu ambazo twatumia Tujitahidini kwa kila kichwa 1000 au ata 500 kwa Watu 5000 tutakaribia biidhnllah
Shekh ramadhan hapotezi anazidi kuleta mazuri na mema mbele ya mwenyezi mungu dini ya uislamu inakataza mabaya inaamrisha mema utasemaje shekh ramadhani anapoteza