I mean you should check his tbt songs ..his lyrics are damn on fire 🔥🔥🔥hapo tu ...anafunika industry bila tafasali...from hip hop... gospel.. singing..na gengetone💯🔥 nipeni likes kaiga though 🙈💞
Hiyo si shida yangu, kwenye watu 80k wewe ndio umeona kelele, hii ni reaction ukipenda kusikiliza nyimbo why hauendi kuisikiliza official au nimekuwea link chini kuisikiliza......hii ni reaction/review video , pia usisahau kuna copyrights ✌
@@handsomejagabantv4601 Huwezo sema napiga kelele wakati wewe haujui inavyofanya kazi au wasanij wa kiswahili walivyo invest kwenye kupiga copyrights... ila usisahau kusikiliza nyimbo kwenye official channel za wasanii.....mie nafanya reaction...na reaction yangu ndio hizo kelele zinazo kukera🤣🤣