Naupenda Hashwa kwenye sherehe za kichagga aise tunakunywa bia hadi zinaisha. Sielewi lakini napenda mdundo. Africa is good but East Africa is beautiful. Peace and love
Wachagga na lugha zao ni wagumu kueleweka hata kati yao wenyewe . Kielul anaimba kimochi maneno ya kibiashara zaidi kwa kutunga kutunga, Ameichukua sauti lakini kimameno wimbo huu huimbwa tofauti na asili yake ni Vunjo. Mimi ni Mmamba wa Vunjo "Mwaanjo halisi. Tunaimba wimbo kiasili kabisa la. Wimbo huu huimbwa "Kinatsi kilenguruma....Ote ote kinatsi kilengiruma, halafu huendelea "Papa kacha mbiye chamecha... Kacha na kipata mbiye chamecha..... Hii ndiyo halisi ya wimbo huu... Hauna "Anenyi Ruwa.... au vitu kama hivyo