Allah kupitia dua hii nakuomba uwape unafuu wagonjwa wote walolala vitandani,uwarehemu waislamu wote walotangulia mbele ya haki,utusamehe makosa yetu,dua hii iwe nisababu ya walopotea kukurejea we Allah,iwe Ni sababu yakufunguliwa vyote vilivyo vigumu kwangu kwakua ww Allah Ni kun faya kun,ya Allah dua hii iwe Ni sababu yakuwafanya wote wenye chuki juu yangu wawe na Upendo Nani,amiin,amiin,amiin
eeeh mwenyezi mungu naomba nisamehe makosa yangu kupitia dua hii inayosomwa na naomba umpunguzie mama yangu adhabu ya kaburi kwa dua hii inayosomwa na naomba umpatie Bibi yangu umri mrefu na naomba muondoshe mume wangu kwenye unywaji wa pombe na uvutaji wa sigara Na pia mkuze mwanangu kwenye maadili mema yakupendezayo wewe.Amin
Ya Allah kupitia Dua hii unijaalie ni mwenye kusamehewa madhambi ya Siri na dhahiri Mimi na family yangu. Ya rabbi tujaalie kila penye zito liwejepesi, penye mafundo uyafungue utukidhie deni zetu ya Allah. Amin Amin Amin
Mashallah naomba Allah azidi kuniajalia niwe mwenye kuzisoma Dua hizi anaponiajalia kuamka salama Kila siku Hadi mwisho wa maisha yangu Amin inshallah ni Dua nzuri mashallah zinaongeza mja wa Allah Iman katika moyo wake na kumpa utulivu zaidi
Mashaalah.M.MUNGU nakuomba nisamee makosa yangu ninayo yajua nanisiyo yajua kupitia dua hii isomwayo.kwa uwezo wako.sie viumbe ni wakosefu si lolote wala si chochote kwako.nisameee
Mashaallah.M.MUNGU Nakuomba nisameee makosa yangu yadhahir nayasiri ninayo yajua nanisiyo yajua katika dunia hii. Kwa uwezo wake sie vimbe tu kwako is chochote...ya ALLAH NAKUOMBA UMREHEMU MAMA YANGU NA BABA YANGU UWASAMEHE MADHAMBI YAO YA DHAHIRI Na yasiri ya ALLAH Nakuomba Uwape pepo wazazi wangu uwaepushe na adhaba ya kabir.. AMMINN🤲