Тёмный

Nyisake Chaula_Namna ya kuishinda hofu katika ulimwengu wa roho 

Nyisake Yuda  Chaula
Подписаться 7 тыс.
Просмотров 14 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

18 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 48   
@lyn254
@lyn254 3 года назад
Alafu mama umependezaa mno 🙏🙏 upendo mwingi kutoka🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@TelesiaSanga
@TelesiaSanga Год назад
Asanteee Yesu hofu byeeee sisi ni washindi ktk kristo
@sikitugeorgette
@sikitugeorgette 5 месяцев назад
Amen Amen Amen 🙏 🙏🙏🇨🇦
@sikitugeorgette
@sikitugeorgette 5 месяцев назад
Amen Amen 🇨🇦🇨🇩❤
@ernesterkasumba974
@ernesterkasumba974 2 месяца назад
Amina nitiwa nguvu MAANA ninalazimishwa nikiri Jambo ambalo sijafanya nilishakataa hata iweje siwezi kukiri Jambo ambalo sijafanya
@monicamongelwa8082
@monicamongelwa8082 6 месяцев назад
Mungu nimwema kwa kinionganisha na mafundisho haya
@sikitugeorgette
@sikitugeorgette 5 месяцев назад
Amen Amen Amen
@noelmbosa2736
@noelmbosa2736 Год назад
Barikiwa mama hakika zMungu wa mbinguni ndiye Mungu wa kweli
@lyn254
@lyn254 3 года назад
Kuna nyakati tunapita ngumu , lakini Mungu bado Yuko anatufuatilia 🙏 .sisi ni washindi zaidi ya washindi 🙏🙏
@kabbltd143
@kabbltd143 10 месяцев назад
This sermon made me shed enough tears,May God answer my prayers by fire..Mama Chaula we need you in Kenya,#muchlove#May God keep you to inspire many who are broken like us🥺
@blessingfavour3198
@blessingfavour3198 3 года назад
Amen . Asante mama, napenda mahubiri yako
@theresiagisberth6197
@theresiagisberth6197 Год назад
Hallelujah tutashinda zaidi ya kushinda katika yeye aliyetupenda Amen.
@Myriamkadet
@Myriamkadet 6 месяцев назад
Aksanti saaana kwa mafundisho mungu akubariki Sana nafurah
@MtotowababaTz.
@MtotowababaTz. 2 месяца назад
mungu akubariki saana mama
@emanwelchalangazi1642
@emanwelchalangazi1642 Год назад
Amina mama nakupenda mtumishi wa MUNGU Alie hai
@mofvcknprodigy
@mofvcknprodigy 3 года назад
Nyisake. mimi natoka Kenya. Wiki iliyopita niliitazama kanda yako ukiongea kuhusu ziara yako ya kuzimu na mbinguni. Imenisaidia sana. Ubarikiwe!!!
@jannrthsimbenga6248
@jannrthsimbenga6248 Год назад
Nime barikiwa mno na mafundisho haya
@noelmbosa2736
@noelmbosa2736 10 месяцев назад
Amina mamá barikiwa saana
@theresiagisberth6197
@theresiagisberth6197 Год назад
Amen 🙏 Ahsante Yesu kwa kuwa unaweza kuanzia Leo Naamini hofu haitaniweza tena kwa Jina laYesu Kristo Amen.
@violethsanga2498
@violethsanga2498 2 года назад
Amen
@hanskamwela7601
@hanskamwela7601 Год назад
Pot mam
@anthonypatrick2491
@anthonypatrick2491 2 года назад
Amen ubarikiwe sana mtumishi
@sempeyoenetupeet6364
@sempeyoenetupeet6364 5 месяцев назад
🎉🎉🎉🎉
@nelphinemasinde
@nelphinemasinde Год назад
God bless 🙏 you pastor
@janewahome212
@janewahome212 2 года назад
Powerful teachings
@margaretmwangi3791
@margaretmwangi3791 2 года назад
Asante sana kwa huu ujumbe kuanzia leo sitakubari hofu ndani ya moyo wangu
@جودي-ط8ج
@جودي-ط8ج 3 года назад
Hii ndiyo injili ya kweli vyenye anafafanua neno vizuri barikiwa mama
@ev.walterkalenga9783
@ev.walterkalenga9783 9 месяцев назад
Mungu akuinue hata zaidi cos wewe hupendi MAKE UP na manywele badia kama wanawake wengi wachungaji hapa Kenya . Wewe ni mfano wa kuigwa.
@neemaalpher8798
@neemaalpher8798 2 года назад
Balikiwa sana mama yani napenda sana mahubiri yako
@violethngailo5088
@violethngailo5088 2 года назад
Nikiona na poa kiroho huwa nakutafuta mama unaniinua kiroho, Mungu akubariki mkinga mwenzangu.
@marymwapiya339
@marymwapiya339 3 года назад
Amen ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu 🙏🙏
@adamscott2601
@adamscott2601 2 года назад
Barikiwa mama. Roho wa Mungu azidi kukutumie.
@dafrosasimon0074
@dafrosasimon0074 2 года назад
Nakupenda Sana mama Nyisaki,mahubili yko kila nikisikiliza napata nguvu mpya
@elizajeremiah774
@elizajeremiah774 3 года назад
Amen Mama barikiwa
@jacquelineblessing6879
@jacquelineblessing6879 Год назад
Asante mama, God bless you 🙏🏾
@ck2633
@ck2633 3 года назад
Amina Amina
@samuelmahamba2422
@samuelmahamba2422 3 года назад
🇨🇩🇨🇩 asante mama
@lyn254
@lyn254 3 года назад
Ata kama kuna giza kutapambazukaaa ..!! Aaaamenn !!
@marthamjelwa8966
@marthamjelwa8966 Год назад
Mungu ajuae kubariki, Akubariki ktk utumishi wako
@noelmbosa2736
@noelmbosa2736 Год назад
Barikiwa sana mama hakika shetani asinichukulie poa
@mosesmunialo3859
@mosesmunialo3859 3 года назад
Aminaaa
@hebronijaluomahuvi1025
@hebronijaluomahuvi1025 2 года назад
Asante sana mama angu
@luhekelondelwa9714
@luhekelondelwa9714 3 года назад
Amina
@francislovemore3858
@francislovemore3858 3 года назад
Aamen!
@biblianenolaukweli5616
@biblianenolaukweli5616 3 года назад
Mama ww ni jembe lamungu kabisa sipendaki unafanya ata wiki mbili bilakuubiri
@mosesmunialo3859
@mosesmunialo3859 2 года назад
Amen
@biblianenolaukweli5616
@biblianenolaukweli5616 3 года назад
Amen
@giftzachariah4485
@giftzachariah4485 3 года назад
Amen
Далее
Nyisake Chaula_Nguvu ya kusikia
47:12
Просмотров 4,2 тыс.
Rev. Abiudi Misholi
41:20
Просмотров 2,1 тыс.
Nyisake Chaula_Mwaka wa kwenda kwa ubora
1:01:59
Просмотров 3,9 тыс.
Nyisake Chaula_Thamani ya muda katika ulimwengu wa roho
1:01:56
MUNGU ANAPO INGILIA KATI VIKAO VYA MAADUI ZAKO!
1:04:52