Eeh Mungu nipe maarifa ya rohoni ili niweze kupenya, vile vyote ambavyo shetani ameiba ili nisifikie hatma yangu namnyang'anya katka jina la Yesu! Vifundo vyote walivyofunga navifungua Kwa jina la Yesu
Tupo pamoja mama yangu Usikate tamaa wala usitishwe na maneno ya watu, nakuombea usonge mbele siku zote Mungu azidi kukuinua kwa viwango vya juu zaidi na zaidi, akupe maarifa makubwa katika kutangaza neno lake katika ROHO NA KWELI. WAEFESO 6:10-23 🙏🙏🙏🙏🙏
AMINA! AMINA!!!!! More Grace to you Mom. We Love you and Thank GOD for you always!!! You are a Great Blessing to This Generation indeed & THE BODY OF CHRIST. 🙏💕💕💕💕
Lina ubaya, mikono mifupi,shingoni upana na anaponyoosha au anapoinua mkono kwapa zinaonekana Kwa wale wa karibu.Enyi wanawake wa nyakati za mwisho vaani mavazi ya kujisitiri ili mkaiepuke JEHANNAM