Тёмный

Nyota ya Ng'ombe | Ijue nyota yako | Fahamu kila kitu kuhusu nyota hii basics | Taurus | Star sign 

Rakims Spiritual
Подписаться 28 тыс.
Просмотров 27 тыс.
50% 1

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia;
Email: rakimsspiritual@gmail.com
Whatsapp: +255 783 930 601
Hii ni nyota ya pili katika mlolongo wa nyota 12. Nyota hii ni kwa watu waliozaliwa kati ya tarehe 20 April hadi May 20 au wenye majina yalioanza na herufi B au V au U jinsia ya nyota hii ni Jike.
Nyota hii ya Ng'ombe ni Nyota ya mtu mkimya, mwenye upendo, mvumilivu, mwenye utulivu, mwenye dhamira na vitendo, mkaidi, na anayepinga mabadiliko.
Ng'ombe ni nyota yenye sifa za ukimya, upole, sikivu, usawa, ujeuri na kutokukubali kubadilika.
SAYARI YAO:
Venus (Zuhura) kwa historia za kale Nchini Roma ilikuwa ikiaminiwa kama moja kati ya miungu yao ya kike ambaye ni Mungu wa Urembo na Sanaa vile vile raha na mihemko.
Kinyota Sayari hii ni sayari inayoshawishi kupelekea kupenda anasa na uweze wa kipekee wa ubunifu,
UBORA WAKE:
Ni nyota isiyohamishika (fixed sign)
ALAMA YAO:
Ng'ombe DUME: Ambayo huwakilisha Nguvu, mkaidi, mwenye kujivuta, anayeweza kuwa na tabia mbili kwa pamoja mkali na mpole.
Rakims Spiritual

Опубликовано:

 

8 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 127   
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 Год назад
Yeye hataki kabisa kunielewa na mim pia nashindwa kumuacha Yani Kila siku mim kama ndo namuanza vile mpaka nahisi kama najipendekeza vile ila nataman kumsahau ila nashindwa kabisa mpaka Yan najuta kumfaham nakuja kwenye maisha yangu Yani,,sijui nafanyaje
@francinelumuna8470
@francinelumuna8470 Месяц назад
Wewe ninyota ya kaa I think 😅mimi huyo
@husnahusney
@husnahusney Год назад
Apo kwenye sauti nikweli kabisa asa sauti yng mm maisha yote ni kavu 😅 subra na uvumilivu msimamo ubishi mpk jambo lng liweeee Yani umenizungumza asa
@adelaadolph2042
@adelaadolph2042 5 месяцев назад
Umenipatia kabsa yaan ukiingia ndan kwang nmejaza pink tu😢 skuwah kujua kwann nipo addicted na hyo rang
@هشامسلام-ف7س
@هشامسلام-ف7س Год назад
Aisee kweli nimejijua vizuri kabisa umeongea umenidadavua utazni nilikiadithia saut nikiongea ambae hajaniona akiisikia anafanya mpango lazm anione najivuta lkn ni mchapa kazi natumiwa sawa mtu akitaka jambo lake lazima anishieikishe nimuwezeshe naweza kaa nawatu wakanizoea wakaonyesha kuto kunijali lkn nikiondoka tu lazma wanimiss waombe na msamaha juu ni mbish saana hata lama mimedunga wakinambia fungulia kunywa dawa sifungulii nina misimamo yaan ni mimi kabisa huyu
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual Год назад
Hongera kwa kujitambua.
@lonalini8304
@lonalini8304 2 года назад
I like your teachings sir keep bringing light to us
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual 2 года назад
Thank you, my God bless you.
@Naomysinkonde-t8i
@Naomysinkonde-t8i Месяц назад
Jmn Kil kitu jmn WOW Asante Kaka il mim kwenye rang tu ndonimebaki nampenda merun
@rutatv8358
@rutatv8358 Год назад
Asante sana umenigusa
@magneticofficialtz
@magneticofficialtz 5 месяцев назад
Mmmh nilikuwa sijawahi kujua kuhusu nyota and 4 de 1st time I know it,🎉🎉🎉
@lilianmzuka
@lilianmzuka 9 месяцев назад
Mm nmezaliwa August 13 na jina ni letter L na nko na mahusiano na mwenye amezaliwa October 20 jina A tumekaa muda lkn uwa kuna muda tunagombana je tukioana tunaeza ishi pamoja juu nyota zetu zimebishana
@RehemaSelemani-t1v
@RehemaSelemani-t1v Месяц назад
Asante sana ni mm kbc
@SimonMutinda-g7t
@SimonMutinda-g7t Год назад
asante sana
@BARBERJAY001
@BARBERJAY001 Месяц назад
Mimi yaani ukija kwangu full green nyumba yangu 🤸🤸💯💪
@jamesmbale2067
@jamesmbale2067 Год назад
Asante mwalimu nimejipata
@ErickRichard-l5n
@ErickRichard-l5n 8 месяцев назад
24/10. ng'e Herufi B ng'ombe Kitaalamu inakuwaje
@beaurykumwenda3529
@beaurykumwenda3529 3 года назад
Nimekukubali umenichambua vizuri Sana
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual 3 года назад
Asante na karibu
@YuddieAhly
@YuddieAhly 4 месяца назад
Mie huyoooo😅
@EmmakulathaKijangwa
@EmmakulathaKijangwa 5 месяцев назад
Mbn umenieleza kabisa Yani
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 Год назад
Yani umechambua vizur sana yani Nina rafiki yangu alafu yupo ivyoivyo alafu tulikuwa tunapendana lakini kwasasa hatupo na nashindwa kumuacha na yeye inaonekana kama tunashindana Yan ni mkaidi Sana namim nashindwa kumuacha kabisa sijui nifanyeje yan
@MagingaNassoro
@MagingaNassoro 9 месяцев назад
Mimi nimezaliwa tareh 26/4 jina langu ni anifa je nyota yangu niipi
@AminaRashid-q5m
@AminaRashid-q5m 7 месяцев назад
Ni ya punda
@rehemamsekeni8972
@rehemamsekeni8972 8 месяцев назад
Mimi ni nita ya ng'ombe ni kweli kabisa naomba namba kaka maana mambo yangu kwasasa ni mbaya ki maisha.
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual 8 месяцев назад
Pole sana
@carlos20444
@carlos20444 10 месяцев назад
Mimi nimezaliwa mwezi june 27 But jina linaanza na "B" lakin sifa za ng'ombe full ndo zangu direct apo hujakosea boss ,,🔥
@BARBERJAY001
@BARBERJAY001 Месяц назад
Wewe huna ya Ng,ombe Yako ya mbuzi😂😂
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib Год назад
Yani nilikuwa napenda vyakula vya mafuta paka mama alikuwaga ananisemaga
@RukiaMdide
@RukiaMdide 5 дней назад
Mimi jina ni mashuke tarehe ya kuzaliwa ni ng'ombe je mimi nijiite ni nyota gani
@maryammohammed1991
@maryammohammed1991 2 года назад
nanyota yangee naomba kujua
@JanethJames-dl7sw
@JanethJames-dl7sw 11 месяцев назад
Samahani jina langu ni salome mama angu doto nisaidie
@giftedhand773
@giftedhand773 6 месяцев назад
Mimi sijazaliwa mwezi wa nyota hii lakini ninaiota sana hii nyota
@StephanoJoseph-j5b
@StephanoJoseph-j5b 7 месяцев назад
Duuh mungu atubariki jamani
@dianaokode2388
@dianaokode2388 7 месяцев назад
Hopo umesema ukweli, Mimi Niko hivyo❤
@CuttyZerish
@CuttyZerish 5 месяцев назад
Hapo kwenye madini ya kopa sijaelewa kakaangu Yani kopa ninini?
@mgenirasimi7771
@mgenirasimi7771 3 года назад
Nakutafta sana since mwaka juzi, sjafanikiwa kupata namna ya kukufikia. Naomba mawasiliano yako.
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual 3 года назад
Habari unaweza kuwasiliana nami kupitia +255 783 930 601
@zuhurashabani365
@zuhurashabani365 2 года назад
@@rakimsspiritual mm naitaji kuijua nyota yangu
@sheylarashidmohamedrashidm4159
@sheylarashidmohamedrashidm4159 6 месяцев назад
Mm jina langu ni zainabu hila sijuw tarehe wala mwezi je nyota yangu ni ip
@nyakahangahospital7943
@nyakahangahospital7943 2 года назад
Ni kweli Kabsa 🥰🥰🥰🥰
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual 2 года назад
Karibu
@fhyubhhh2881
@fhyubhhh2881 2 года назад
Bless you Ameen
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual 2 года назад
You too
@Zainab-u9q
@Zainab-u9q 5 месяцев назад
​@@rakimsspiritual mbona heruf z haipo makubwaa
@jumankonko6221
@jumankonko6221 5 месяцев назад
Nahitaji kurekebishiwa nyota yang naomba Muongozo
@mshihiliramadhani9088
@mshihiliramadhani9088 2 года назад
Umedanganya nyota ya ng,ombe herufi zake ni N B Z
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual 2 года назад
Habari mkuu, huenda ikawa unazungumzia herufi za abjad kwa mpangilio wa matalasimu au manazil elewa kwamba ni tofauti na mpangilio wa kinyota kwa maana hata ukilazimisha hizi herufi ziende kwa mpangilio wa herufi zako bado herufi Z itarudi kwenye nyota ya saba maruhani wa herufi ز na hizo ن na ب zitaenda kwenye maruhani ya Abjad na sisi hapa hatuangalii utawala wa nyota za maruhani(majini) au herufi tunaangalia nyota za binadamu hatutafuti manazil wala Abjad za kuunda majini mkuu tunatafuta nyota za binadamu. Sasa instead of focusing on me nimekosea rejea kwenye mada husika inahusu nini na cha nani. Nb: Elimu bahari endelea kujifunza Rakims
@rosechemaiyo4900
@rosechemaiyo4900 Год назад
Ni ukweli ndugu yangu Niko hivi🙏🙏
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual Год назад
Asante
@fetynzowa1979
@fetynzowa1979 2 года назад
Nilikuwa nateseka sana kuhusu nyota
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual 2 года назад
Karibu
@DusabeSadjida
@DusabeSadjida Год назад
Umenigusa kbs
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual Год назад
Karibu
@radyumofficial7901
@radyumofficial7901 Год назад
Nakuelewa Sana kaka
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual Год назад
asante sana na tupo pamoja
@mustaphnauli2197
@mustaphnauli2197 Год назад
Tarehe 13/01/1993 Na eruf ya jina ni c
@YuddieAhly
@YuddieAhly 4 месяца назад
Nakipataje hicho kito jaman
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual 4 месяца назад
0783930601
@bhokesaid3264
@bhokesaid3264 6 месяцев назад
Mimi huyu kila kitu na sasa imekuwa tatzo kwenye mahusiano yangu
@AnnaGibson-r1l
@AnnaGibson-r1l 5 месяцев назад
Jmn sas ni mkoa gan ndan ya tanzania mana
@OmarySaliboko
@OmarySaliboko 9 дней назад
Najuaje kama Nina nyota gani
@MwanaShesha
@MwanaShesha 6 месяцев назад
Uani kaka mimi b kila ulikosema kama unaniona jaman ndio niko ovyo kabisa kila kitu duh
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual 6 месяцев назад
Tupo pamoja mkuu
@kazubeats
@kazubeats 3 года назад
Mimezaliwa tar 10 mwez Wa 5 na herufi yangu ya jina inaanza na K je Mimi nitakua na nyota gani?
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual 3 года назад
Ongeza details zako za kuzaliwa ili niweze kukujibu kwa usahihi mkuu
@QueenMchomvu-t5p
@QueenMchomvu-t5p Год назад
Nimezaliwa tr2/5/1994 na jina lang ni linaaza na heruf q
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual Год назад
Wasiliana nasi kupitia 0783930601 kwa uchambuzi wa nyota binafsi
@QueenMchomvu-t5p
@QueenMchomvu-t5p Год назад
Nimezaliwa tr 2/5/1994na jina lang linaaziwa na q nyota yang ni ipi
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual Год назад
Wasiliana nasi kupitia 0783930601 kwa uchambuzi wa nyota binafsi
@nasibumsekwa5643
@nasibumsekwa5643 2 года назад
Nimezaliwa mwez wa 2 na jina lang linaanza na heruf N je nyota yang ni ipi!
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual 2 года назад
Details hazijitoshelezi
@swalleykasereka6851
@swalleykasereka6851 Год назад
Mimi sijuwi nyota yangu unaweza kunisaidia
@RehemaSelemani-t1v
@RehemaSelemani-t1v Месяц назад
UmeZaliwa tar ngap mwezi gan
@soothingandemotionalgrowth4679
@soothingandemotionalgrowth4679 2 года назад
Mm nimezaliwa mwezi wa kumi tarehe moja na jina langu linaanza na herufi A nyota yngu ni gani
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual 2 года назад
Mizani
@soothingandemotionalgrowth4679
@soothingandemotionalgrowth4679 2 года назад
Asante ubarikiwe sana🙏
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual 2 года назад
@@soothingandemotionalgrowth4679 karibu sana
@adrisinamsangi6377
@adrisinamsangi6377 16 дней назад
Nimezaliwa tarehe 24/4 jina langu linaanza na herufi A je nyota yangu ni ng'ombe?
@nassiryahya7769
@nassiryahya7769 Год назад
Vip ukiwa na nyota ya mbuzi na unamahusian na mwenye nyota ya ng'ombe je kunauwezekan wa kumuowa na mkapata mafanikio
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual Год назад
Ndio zote ni udongo
@jumankonko6221
@jumankonko6221 5 месяцев назад
Naomba na namba yako ya cm?
@shuukuchy6350
@shuukuchy6350 3 года назад
Upo vzr kaka... Endelea kutujuza nyota zote nakufuatilia nimesubscrb 🥰✔️
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual 3 года назад
Asante sana, karibu tena
@rabanifrance6379
@rabanifrance6379 7 месяцев назад
Nyota ya mbuzi ikoje kaka
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual 7 месяцев назад
Endelea kufuatilia channel hii tutazungumzia pia
@maryammohammed1991
@maryammohammed1991 2 года назад
nyota yange mimi nasumbuliwa namiguu jina h
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual 2 года назад
Maradhi ya miguu mara nyingi huwa ni nyota ya samaki na kwa uchache ng'e
@zuhrakhamis6508
@zuhrakhamis6508 5 месяцев назад
sifa zote hujakosea kakaangu
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual 5 месяцев назад
Asante tupo pamoja ndugu
@deekaneza5285
@deekaneza5285 2 года назад
Je mimi tabia zangu zote ni ng'ombe lakini talehe na Mwezi niliozariwa pia na helifi ni tofauti kabisa, je nikweli ama?
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual 2 года назад
Nitajie niweze kukupa majibu fasaha
@noelymnyachi8599
@noelymnyachi8599 2 года назад
Hiii ni elimu ndefu izo nyota ziko 12 zipo nani ya sayari nne
@muniraramadhani1557
@muniraramadhani1557 2 года назад
Kwahiyo kaka mtu wa ng'ombe anashauriwa kuoana na Ng'ee?
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual 2 года назад
Ndio
@maryammohammed1991
@maryammohammed1991 2 года назад
vp nge nyota yk na mambo yakufanya
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual 2 года назад
Ikifikia muda wake nitaweka endelea kufuatilia
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual Месяц назад
Soon nitaendeleza mlolongo wa nyota
@JesscaMichael-ig3hv
@JesscaMichael-ig3hv Год назад
Kila kitu n kweli kabisaa, ni Mimi huyu
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual Год назад
Asante, karibu
@ZubedaOmary-h9m
@ZubedaOmary-h9m 8 месяцев назад
Nyota ya ng'ombe,, inaweza kufunga ndoa namtu mwenye heruf A nyota ya punda
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual 7 месяцев назад
Hapana ni baina ya Udongo na Moto, Hivyo udongo hautatoa mazao wala moto hautawaka ukifunikwa na mchanga
@elialussingu461
@elialussingu461 2 года назад
Tarehe 02 January, jina Elia, jenipo kundi gani????????
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual 2 года назад
Nyota ya mbuzi au Capricorn
@ZubedaOmary-h9m
@ZubedaOmary-h9m 8 месяцев назад
Z na A wanawwza kuonaaa
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual 8 месяцев назад
Detail ni ndogo kuweza kufanya unajimu hazijajitosheleza. Ingawa kwa wanaobahatisha watakwambia kwa kuwa z ni 7 na a ni 1 hivyo ni baina ya Punda na Mizani. Hivyo kama ni kweli basi huyo ni perfect match wako na mnaendana sana
@AminaRashid-q5m
@AminaRashid-q5m 7 месяцев назад
Ndioo
@ShabaniRamadhan-g7m
@ShabaniRamadhan-g7m Год назад
Mbona kama unanisema mm?
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual Год назад
Karibu tena
@Zainab-u9q
@Zainab-u9q 5 месяцев назад
Mhh mbona heruf z haipo acha uongo
@maryammohammed1991
@maryammohammed1991 2 года назад
nanyota yange
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual 2 года назад
Nitaelezea stay tune
@josphmushi494
@josphmushi494 Год назад
Uzidishiwe zaid kadri ya vile utoavyo
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual Год назад
Allahuma aamin.. tuzidishiwe sote
@maryammohammed1991
@maryammohammed1991 2 года назад
naomba namba yk
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual 2 года назад
0783930601
@NestorySanga-y2j
@NestorySanga-y2j Месяц назад
B N Z ndo wenyota ya ngOMBE mJomba
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual Месяц назад
Z ambayo ni ز = 7 usikariri. Pia kama ni mwenye elimu ya nini uhangaike kwenye channel ya mtu unaehisi hana maarifa? Vile vile ni nani alikufundisha hukumu nyota zinaangaliwa kwa Herufi za majina? Njoo nae miwape elimu msije kupotosha uma.
@niyonagiraclaude1759
@niyonagiraclaude1759 3 года назад
Nami na kuafuata Kwenye yutubi nakushukura kwamasomo yako naomba anywani yako
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual 3 года назад
Habari unaweza kuwasiliana nami kupitia +255 783 930 601
@happykopa9486
@happykopa9486 Год назад
Shauku nini
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual Год назад
Shauku
@happykopa9486
@happykopa9486 Год назад
@@rakimsspiritual ndio nini
@happykopa9486
@happykopa9486 Год назад
Me sijui maana yake nini
@Gee_Lucky
@Gee_Lucky Год назад
Matamanio
@saidabdallah9963
@saidabdallah9963 3 года назад
Asante sana kaka
@rakimsspiritual
@rakimsspiritual 3 года назад
Karibu mkuu
Далее
İlham Əliyev və Vladimir Putin görüşü başladı
00:17
5d Timeline Shift Channeled Message
4:20
HERUFI A,M na Y JIANDALIE MWENYEWE PETE YAKO SASA.
14:22
Jinsi ya Kufungua Jicho la tatu. (Meditation)
56:27
Просмотров 76 тыс.
IJUE NYOTA YAKO (NYOTA YA NG'OMBE)
1:10:25
Просмотров 13 тыс.
Jinsi ya kusafisha nyota | Kung'arisha nyota yako
17:19
İlham Əliyev və Vladimir Putin görüşü başladı
00:17