Wewe koma has she ever met this guy, nyinyi huandika tu headings zenye hazina maana Unatata kuona aje mtu mwenye ata hujawai date😢😢 wanaume sikuizii mmekuwa wapumbavu kabisaa
Uuuuuuuuii mtatumaliza , mnataka bibi ya Obina, painkiller ya Obina, sabuni ya roho ya Obina,furaha ya Obina.poleni guys Kila mwanaume ajioshee Dem wake period.
Mothers inlaws tuko ndani ndani na maombi ya kijana wetu oga obinna sisi wazazi wa kenyan hatukuutaki na pesa zako tunataka obinna dem wa facebook nii wa obinna mambo ya Mungu God is good all the time full stop
😂😂😂nakuambia wameanza vita kali yeye na bebi wake,ndio maana Obina amekimbiza syllabus ya gari na mjengo ya wazazi, ikifika December mambo ikuwe poa😂😂😂
Waaaaa obinna your words has come true aty utaosha watu wengine wamchukue lkn for the confidence she has with you no worry bro book another flight back home dem wa fb ametulishwa kwa penzi upo
😂😂😂😂😂aii wee hapana msipee obinna stress wakati amejioshea kienyeji wake na akambuyia gari pole Sana Dem wa fb ako na mtu😂🤣😂🤣team bebii na bebii wake gonga like tukisonga🤣😂🤣
Kwani wanaume siki hizi hawapendi tena nyash?😂😂kila mutu ana mtaka sasa bebi,nakuambia iyi dunia kosa kila kitu, usikose nyota, leo bebi amekuwa type ya kila mwanaume sababu ya nyota yake❤❤❤
TEAM BEBIII NI WAKATI TUSHIKILIÈ BEBI NA MAOMBI COZ WENGINE SI UPEDO NI NYOTA YAKO YATAKIKANA PLEASE BEBI KUO MUOMBAJI SANA PIA TUKIKUSHIKILIA NA MAOMBI PLEASE 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
mwabie akomee,we are still children chasing for future not marriage for now, (ninaenda kumuosha in 5yrs to come watu watajitongeza na kujaa kwa dm,,in obinna's voice)i wonder na ndio tuko mwezi wa sita😅😅
Kindly Obinna i beg you to propose Bebi * Dem wa fb* because now everyone need her after umemuosha.... Please do it if you love her from your heart you cant work on her like that and everyone knows that . then mafish wadadie...no way
Komaa wewe aaahhh😂😂😂😂.....utaharibu our serious relationship. Hizo hela wacha hapa tununue gari ingine zikue mbili. Wewe rudi tu Burundi please, hapo kwa gold hatubanduki😂
Bebi belongs to 🇰🇪 Kenya and that’s it wewe hauna bahati! You want to buy her so you can sacrifice her because she is a virgin nooooo she belongs to home ground Kenya!! ❤❤❤❤
Ati kutafuta mke wako Demu wa Fb😂😂😂😂😂mambo ni mengi ki ukweli ,Demu wa Fb kuja uskie ati kagari obinna atarudishiwa😂😂😂😂😂,iyi vita sasa sijuwi itaishiya wapi😂😂😂😂😂😂😂
Wewe wachana na bebiii,ashatolewa soko kitambo kwa Nini hamna macho,enda utafute wako umwoshe Kisha umnunulie hiyo gari yako.ukome hii ndoa na sio tafadhali kaka.