Тёмный

OFISI ILIYOGHARIMU MILIONI 13.5, MASWALI YA WAKIMBIZA MWENGE YAMTOA JASHO MKANDARASI 

Wasafi Media
Подписаться 4,8 млн
Просмотров 104 тыс.
50% 1

Wakimbiza wenge wa Uhuru mwaka 2022 wakiongozwa na Sahihi Geraruma wameonesha kutoridhishwa na gharama zilizotumika kujenga ofisi ya mradi wa maji uliopo katika kijiji cha Itete njiwa wilayani Malinyi mkoani Morogoro.
Baada ya kutembelea mradi huo na wamepewa taarifa ya ujenzi wa mradi huo ambayo pia ilibainisha kuwa ujenzi wa ofisi hiyo (Pump House) umegharimu Shilingi milioni 13 jambo ambalo hawakukubaliana nalo.
Mradi huo una vituo vya kuchotea maji 5, kati ya hivyo 2 vimekamilika na vinatoa huduma, Kwa sasa kazi ya ujenzi wa tenki inaendelea
Kwa upande wake mkandarasi Ramadan Mwerere anayetekeleza mradi huo alisema gharama hizo zinajumuisha jengo,umeme pamoja na Uzio unaozunguka jengo hilo, majibu ambayo hayakukubalika na wakimbiza mwenge hao.
Hadi sasa bado hakuna fedha iliyolipwa, Mkandarasi huyo atalipwa tathmini ikifanyika, atalipwa kulingana na thamani ya kazi itakayotathminiwa
Aidha mradi huo unaogharimu millioni 364.3 bila VAT kwa kutumia fedha za NWF. baada ya kukaguliwa na viongozi hao walikubali kuweka jiwe la msingi na kuelekeza kufanyiwa kazi marekebisho yaliyopo pamoja na kuongeza kasi ya utekelezaji wa mkataba.
#WasafiDigital
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Опубликовано:

 

5 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 313   
@johnmalambo4434
@johnmalambo4434 2 года назад
nabado。tutapigwa。sana hapo hata bati kumi mbilihazijafika magu alikua mwanaume hizo
@johnmalambo4434
@johnmalambo4434 2 года назад
sasa niwambie。binadamu。bila。fimbo kazi。haiendi。pesa zinazo ibiwa nizamasikini wanao kula mara moja kwasiku natozo kibao viongozi wetu badilikeni msaidie watanzania elufu mbili 25 mtamuomba nani kula wakati。nihao hao wanainchi wanao ibiwa。usiku namchana
@mohamedmatogoro4067
@mohamedmatogoro4067 2 года назад
Hizi tozo zetu ndio zinavyotumika kisenge ndio maana wananchi tunalalamika sio Kama atupendi maendeleo lakn mambo yakisenge Kama haya ndio yanatukatisha tamaa
@barakarobert1029
@barakarobert1029 2 года назад
Kwel aisee
@yohanasport5929
@yohanasport5929 2 года назад
Sio mpka tozo madini yanakazi gani
@awathislammwalile4537
@awathislammwalile4537 2 года назад
@@yohanasport5929 si yanapelekwa mambele tena bure bila kodi
@chazy7ya216
@chazy7ya216 2 года назад
Usenge juu ya usenge
@mwigakatumpula5695
@mwigakatumpula5695 2 года назад
Mtangazaji ni mbea kweli kweli eti Naam ni Zaid ya million 13 kwa msisitizo mkubwa 🙌🙌😄😄
@shabanimanguja390
@shabanimanguja390 2 года назад
Duuuuh commandor marwa mpaka tape measure unayooooo umetishaa sna pigeni kazi inch yetu hii
@adamhashim3352
@adamhashim3352 2 года назад
Jamaa kanifrahisha
@tiffanyakramJr822
@tiffanyakramJr822 2 года назад
Mama Samia kwa kushindwa kusimamia rushwa ya wazi hivi, uchaguzi wa 2025 utaupata kwa taabu sana, ukweli tuseme tu, mama unadekeza wanao🤗 mpaka wanadeka hadharani
@georgesamwelihuri7562
@georgesamwelihuri7562 2 года назад
Yeye alisema hawezi kuhesabu mabati wala tofali kama alivyo kuwa akifanya jpm, na akasema kila mmoja atakula kwa urefu wa kamba yake, acha watu wale, kutumbua pia anasema siyo kazi yake Sasa acha watu wapige tu hakuna majipu Kipindi hiki, ila naumia sana pesa ya mshahala wangu inakatwa kodi, Ikifika benk Kuna makato ya bank nikitoka kwe ATM nakatwa nikisha itoa Nachukuwa naenda kumtumia mzazi wangu nakatwa na yeye akiitoa anakatwa, Yani maisha yanazidi kuwa magumu sana,
@julianamasato5655
@julianamasato5655 2 года назад
Utaambiwa ameupiga mwingi
@maryjoseph6973
@maryjoseph6973 2 года назад
Jamani tumekwisha kwa garama hizo,du wapiga Dili ,hamuogopi mungu,nchi ni yetu na pesa ni zetu muwe na huruma na kizazi Cha nyuma🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@abdallahkikungulu9141
@abdallahkikungulu9141 2 года назад
Cha mama hakina makali
@babuafya3446
@babuafya3446 2 года назад
mie niko na kibada cha sebule na master nilitumia m 8 tu kila kitu mpka kuweka umeme so hii 13 inatoka wapi na nilitumia mm 12 ground na beam
@hajiussi6641
@hajiussi6641 2 года назад
Hapa mwigulu atueleze vizuri nawenzake wanatusosomola tuzo kubwa kumbe ujinga wenyewe ndio huu duh inauma sana
@rehemamdoro5165
@rehemamdoro5165 2 года назад
Ee Mungu wangu naomba tunusulu Watanzania hata mtoto wachekechea huwezi kumdanganya
@ibrahimyusuph4908
@ibrahimyusuph4908 2 года назад
Dah akiyamungu watu Awana aibu ety milionikumi ofisi Kam Banda la nguruwe jmn dah🙌🏾
@jayzablon7281
@jayzablon7281 2 года назад
Hata nguruwe yenyewe hiwezi enea mle
@starlonejadamskp8224
@starlonejadamskp8224 2 года назад
Kazi iendelee
@emanueltobias3420
@emanueltobias3420 2 года назад
Hii ndiyo tozonia yetu jaman
@vincentmushi1247
@vincentmushi1247 2 года назад
Hahahaaaa yaani hicho choo 13 millioni Huyo mzee ana utani...afadhali hata angesema millioni 7 kidogo tungemfikiria Ila kamanda yuko vizuri sana.. anajua bei ya matirio mpaka tape measure anayo Saluti kwako kamanda
@athumanimpanda4734
@athumanimpanda4734 2 года назад
Wao hawakupaswa kuhoji walitakiwa wapokee taarifa kama haina uhalisia tumbua mtu basi, kwa mtazamo wangu kazi za kandarasi kwa jengo kama hilo inawezafikia hiyo 13m usipokuwa makini kwenye mkataba
@edinamgulila8827
@edinamgulila8827 2 года назад
Bora ww umeliona hilo ..
@maribaisack2097
@maribaisack2097 2 года назад
Yaani mmejenga choo kwa milioni 13.5
@jenifapiter2065
@jenifapiter2065 2 года назад
Nawakubali makamanda sana
@yahyahamad1802
@yahyahamad1802 2 года назад
ungemuliza mwenyewe apange Hisabu mpaka ifike iyo m 13
@antonnadenade4597
@antonnadenade4597 2 года назад
Ndio upigaji nchi hii Naona kila anapofika mkibiza mwenge anafika ktka mrandi kasoro kweli
@tolutolu2970
@tolutolu2970 2 года назад
Mkandarasi yupo sawa. Sema siasa zinawazidi vijana wengi
@rajabramadhani1941
@rajabramadhani1941 2 года назад
Hakuna hata ungechambaje haiwez fka milion kum mzeee
@aminikingazi273
@aminikingazi273 2 года назад
Reasonable
@yayananajota5838
@yayananajota5838 2 года назад
All its well god bless,
@mkombozifreshoil
@mkombozifreshoil 2 года назад
Tobaaaaa
@isakakidolile2708
@isakakidolile2708 2 года назад
I miss you father Magufuli😭😭😭
@Myplusbee
@Myplusbee 2 года назад
Kwani wakati wa huyo Magufuli watu walikuwa hawaibi?!
@kassimali2273
@kassimali2273 2 года назад
Ameingiaje apo Magofuli acha ulaza pambana ww
@ambakisyemwakinunu2002
@ambakisyemwakinunu2002 2 года назад
@@Myplusbee iko hivi uizi/rushwa kamwe hauzi kuisha, kinachotizamwa ni ukubwa wa uizi/rushwa labda wakati wa JPM kwenye 100%, 98% ilifanya kazi 2% iliibiwa kwa sababu kiongozi wa juu alikuwa mkali inamaana hadi viongozi wa chini wakaiga ule ukali na kuogopa kupiga kabisa ama kupiga kidogo sana,ni tofauti na kwenye 100%, 50% ikafanya kazi na 50% ikapigwa kwa sababu kiongozi wa juu ni mpole hadi wa chini wanajiachia, cha kuzingatia ni kwamba MAMA SAMIA hajaruhusu waibe ila namna ya uongozi wake ndio Inayotafsriwa vibaya na watu kwamba karuhusu wizi ufanyike,kikubwa tujue karama ya aliyopewa mama na aliyokuwa amepewa JPM ilikuwa tofauti hata namna ya uongozi lazima iwe tofauti #TUISHI HUMO
@Myplusbee
@Myplusbee 2 года назад
@@ambakisyemwakinunu2002 Kwani hicho kiwanja kiliuzwa kitapeli wakati wa nani?! The problem watu mlikuwa mnadanganyika sana na drama za majukwaani! Yaani kabisa unaamini wakati wa Magufuli mambo yalikuwa safi kwa 98%?! Hivi yaliyokuwa yanaendelea huko serikalini yalikuwa yanasemwa?! Ni magazeti na online tv ngapi zilifungiwa?! Katika mazingira kama hayo ulitarajia maovu yanayoendelea huko yatolewe na nani wakati magazeti ilikuwa yakifanya fyokofyoko tu yanafungiwa?! Hivi uliwahi kujiuliza kwanini Samia alipoingia madarakani alimtaka CAG afanye ukaguzi wa miaka ya nyuma?! Najua Wabongo huwa hamfuatilii taarifa kutoka vyanzo vya ndani bali mnameza yale yanayosemwa na Wanasiasa pamoja na Wapambe wao!! Ukitaka kujua usanii ambao ulikuwapo, jaribu kuchunguza Ujenzi wa Bwawa la Nyerere! Tulikuwa tunaambiwaje kama sio ujenzi unakaribia kwisha?! Hivi unafahamu kabla JPM hajatangulia mbele za haki ujenzi ulikuwa hujafikia hata 30%?! Sasa ikiwa jambo la wazi kama hilo mlikuwa mnadanganywa, ndo utarajie mtaambiwa madudu yanayoendelea serikalini?! Au umesahau yule dada aliyekuwa amefutwa kazi kisa tu kutoa takwimu za wagonjwa wa corona wakati hiyo ilikuwa kazi yake?! Man, najua Mashabiki wa Magufuli hawatanielewa kwa sababu ukipenda, chongo utaita kengeza! Na Magufuli alikuwa bingwa sana wa kuvheza na akili za watu! Lakini jiulize jambo moja!! Je, hivi Tanzania hii kuna Wala Rushwa wakubwa na Mafisadi kama viongozi wa juu wa kisiasa pamoja na viongozi wa juu serikalini?! Tunajua Magu aliwafungia kazi vizuri mafisadi kama akina Yusuf Manji, Rugemalila, na Wafanyabiashara wengine!! Je, hivi Mfanyabiashara mkubwa unaweza kuiba au kufanya ufisadi bila kushirikiana na viongozi wakubwa serikalini?! Sasa wakati akina Manji na Rugemalila wakipigishwa mchaka mchaka, unaweza kumtaja ANGALAU KIONGOZI MMOJA ambao alihusishwa nao?! Achana na issue za akina Manji, Je, unaweza kunitajia kiongozi yoyote ambae alifanywa chochote na serikali ya Magu?! Nini kilitokea kwa Zimamoto?!
@bellam.vyampi5528
@bellam.vyampi5528 2 года назад
Viongozii waangaliee hayaa mamboo
@hansmaston5136
@hansmaston5136 2 года назад
Ulale salama uko uliko rais wetu mpendwa magufuri tutakukumbuka daima
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 2 года назад
ulituachia anaupiga mwingi saaana 🤣🤣🤣🤣
@robertphilip385
@robertphilip385 2 года назад
Naniamkumbuke yule dikteta jpm aliyepoteza watoto wa watu Wacha aungue huko kuzimu
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 2 года назад
Hii ndo Tanzania ya leo kila kona mipigo tu 😭😭😭😭😭 Tanzania tutoboa kwa staili hii
@jackmabirangacharles9398
@jackmabirangacharles9398 2 года назад
kweli tunapigwa sana na watendaji
@emanuelmhoja2411
@emanuelmhoja2411 2 года назад
Karibu tena Jakaya
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 2 года назад
Watu kama hawa wezi wangekuwa wanavyongwa tu . Tanzania ya mavi kunuka watu ni wezi sana na maendeleo ya kweli mtayapata hadi kumkianza kunyonga watu kama hawa
@izraeltsaxarra2469
@izraeltsaxarra2469 2 года назад
Duh waizi hawaishi nchi hii
@mrjaula7769
@mrjaula7769 2 года назад
Wanafunzi wa hayati Magufuli 😁😁😁😁😁
@majutomwakibibi5550
@majutomwakibibi5550 2 года назад
Daaa mungu wangu
@ubunifulifestyle3492
@ubunifulifestyle3492 2 года назад
Hahaaaa nimecheka leo, kumbe BABA aliacha urathi, shkilieni hapohapo wanangu nchi yetu wote hii
@hermanmassawe1907
@hermanmassawe1907 2 года назад
Mwenge hadi makao makuuuu! Ohhho ohooo horia!!
@hajiussi6641
@hajiussi6641 2 года назад
imenilazimu nicheke kwanza
@bonifacegasper9508
@bonifacegasper9508 2 года назад
Mama,hanashida,Ila hivi vikatuni vinamharibia mama Samia,wapuuz hawawezi ndo wanapeleka pabaya hii inchi.
@zikenims6167
@zikenims6167 2 года назад
Wanyongeni jamani wanatuchrlewesha kimaendeleo
@keshenidaniel770
@keshenidaniel770 2 года назад
Ukipewa furusa itumie ipasavyo hao wapo sahihi coz upigaji upo kuanzia ngaz Za juu
@yunislemnge5558
@yunislemnge5558 2 года назад
Jamani hata kama wanazalisha faida kanyumba hako hela zote hizo jamani si waibe tu ya nyama choma
@mtegemeemungusiomwanadamu6618
@mtegemeemungusiomwanadamu6618 2 года назад
Hivi bado tuna wezi wa namna hii nchi hii?
@benjaminkapelah7664
@benjaminkapelah7664 2 года назад
Ni resonable kabisa
@kiehbhzh7044
@kiehbhzh7044 2 года назад
Saizi angekua magufuri kz ungekua auna🤣🤣🤣🤣mtieni vidole uyu mama maana vidore vinapita tu mpk tumbonj
@charlesmwamlima3923
@charlesmwamlima3923 2 года назад
Sio kila mtu anaweza kuiba ila tambua lazima faida ipatikane kama mtu kapeleka kampuni yake ya kandarasi toka lini serikali inasimamia vitu vyake yenyewe? Serikar inatoa tenda na kampuni zinapewa huku tayar zikiwa na gharama za faida zimeingizwa kwenye project, so obvious nyumba ya milion 50, ukimpa kandaras kampuni haiwezi kujengwa kwa gharama hiyo lazima kuwe na extra money kwa ajiri ya faida kwahyo inaweza kufika hadi 60mil lkn tusijaji saana hatujui foundation yake ilikuwaje uwenda kuna base ya nondo za 12mm ground & beam!! Wazo langu kwenye ujenzi mzuri 13 milioni si kitu hata kidogo
@MohdAli-cx7bc
@MohdAli-cx7bc 2 года назад
Mjinga ww hulipi kondi sie wafanyakazi wa serikali tunalipa kodi kwa mwezi laki moja na elf 10 bado matozo ya kwenye cm pumbavu zako humii kibanda kile milioni 14
@fredrickmatiku7783
@fredrickmatiku7783 2 года назад
Kweliiii mimi nilitumiaaa milioni 10 msingii tu Bado kujengaaaa huo msingi tu zegeeeee nondo michanga cement msingi imekula 10m
@sigfredmawole2336
@sigfredmawole2336 2 года назад
Huyu scout ajui bei za vitu aisee
@bulugubujashi6378
@bulugubujashi6378 2 года назад
@@MohdAli-cx7bc sio kwamba wewe ndio mjinga,umelazimishwa kufanya kazi serikalini????,umeona nature ya Hilo eneo Hadi unakataa gharama zilizotumika?
@dugaman9872
@dugaman9872 2 года назад
apo akuna galama yoyote icho kijumba kama chotu ata tofali mwatano hazi fiki acha kutetea wizi kama
@chazy7ya216
@chazy7ya216 2 года назад
Dah hii tanzania jamani milioni nnetuu nawajengea nyumba nzur zaidi ya iyo
@jacquelinerayamu3187
@jacquelinerayamu3187 2 года назад
Nchi imelaaniwa hii hakika Tanzania ss kama Libya jamani mtalia sana na bado Gaddafi yuakumbukwa...na Magufuli mtamkumbuka sana upuzi kama huu haungesikika hata harufu enzi za hayati Magufuli
@tumlakimwaitumule
@tumlakimwaitumule 2 года назад
Bwana wee Unajifanya report ya CAG umeisahau? Unataka tukukumbushe madudu saizi ya hapo nyuma?
@adamfundikira3554
@adamfundikira3554 2 года назад
@@tumlakimwaitumule tatizo nyinyi ni mapumbavu sanaa awam ya magufuli mambo yalikuwa saizi ya kati Leo kila kitu juu alafu mtu akisema kweli mnaponda majinga
@emmanuelzani2889
@emmanuelzani2889 2 года назад
Hayo ndiyo maendeleo yanayotona na tozo zetu.😳😳😳
@jebellwallace3509
@jebellwallace3509 2 года назад
Kuleni tu,mukishiba mutatuachia hayo makoko.
@dugaman9872
@dugaman9872 2 года назад
kweli kabisa kamanda pinga uyo
@shebbythespyro5393
@shebbythespyro5393 2 года назад
Million 13 .5 mmmmmm jamani mm nimejenga godown million 3 ambayo ninaweza kuifadhi magunia ya mahindi 350
@emanuelmoshama3899
@emanuelmoshama3899 2 года назад
Hahaha material ya uwizii
@charlesmwamlima3923
@charlesmwamlima3923 2 года назад
Acha masihara ndugu godown mil 3 😂😂 hilo litakuwa banda la mkaa 😉
@shebbythespyro5393
@shebbythespyro5393 2 года назад
@@charlesmwamlima3923 kweli kaka nimejenga mie matofali nimefatuwa mwenyewe matofali 2000 each 1 imeni cost 700 nisawa na million 1 na laki 4
@shebbythespyro5393
@shebbythespyro5393 2 года назад
@@emanuelmoshama3899 sio material ya uwizi kaka huku kwetu ni rahisi nimefatuwa matofali elfu 2 kwa m 1 n laki 4 nimepiga floor huko kokoto ni kama bure ndoo ya lita 20 ni elfu 1 tu mabati ya kulaza 35 ambayo ni laki 7 sijapiga plaster wala rangi
@imanmodern
@imanmodern 2 года назад
Endeleeni kutoa tozo watu wa CCM waendelee kupiga hela tu. Maana watumishi wengi ni ccm na ndio hao wanapiga hela
@mitanotena5149
@mitanotena5149 2 года назад
Hivi wee mzee wew! Hahahaaaaaa nimecheka kweli !!huu ndio msimu wao!!
@stevenhinjo9664
@stevenhinjo9664 2 года назад
Sasa ni kamoja kameng'amuliwa lakini vipo vingi tu na vingine ni hatari zaidi.
@bahatikazungu7657
@bahatikazungu7657 2 года назад
Samia oyeeeeeee💃
@ahz6907
@ahz6907 2 года назад
Ndomana hakuna maana ya kuminya wananchi matozo kila kukicha wakati hela zenyewe zinapigwa kirahisi hivyo.
@madamsossi7411
@madamsossi7411 2 года назад
Waaah
@designdesign4426
@designdesign4426 2 года назад
Huu ndo wakati wakupiga pesa kwenye serikari hii,,, make kipindi cha j,p,m, walisema afati sheria anafukuzafukuza sasahivi mseleleko jipigienitu n'a nimalufuku midia kutujuza chochote
@Myplusbee
@Myplusbee 2 года назад
Na ile tenda isiyoeleweka ya 500M pale Zimamoto ambayo ilimwondoa Andengenye na Kangi Lugola zilikuwa wakati wa nani?! Na hata ukifukuza wakati watu washaiba inasaidia nini?! Na nchi hii kila mmoja anafahamu Majizi Makubwa ni Wanasiasa wa Ngazi za Juu na Viongozi wakubwa serikalini. Je, huyo JPM alimshughulikia mwanasiasa gani wa ngazi za juu, na kiongozi gani mkubwa zaidi ya ku-deal na akina Tundu Lissu na akina Manji?!
@sadamchionda1219
@sadamchionda1219 2 года назад
Gharama kubwa itakua imeingia kwenye fensi
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 2 года назад
Ni muda wa kuanza kufilisi halafu unanyonga yaani miaka miwili tu Tanzania mmengekuwa mngeendelea sana
@israeluronu9958
@israeluronu9958 2 года назад
Daaaaaah!!!
@ezekielkashilim9108
@ezekielkashilim9108 2 года назад
Loooh!! 🙄🙄🙄
@mwajemwafula5777
@mwajemwafula5777 2 года назад
Kamanda wa mwenge nmempenda Sana je vp kuusu kuwakamata ambao wanakula hixo pesa ?
@awathislammwalile4537
@awathislammwalile4537 2 года назад
Nae anataka pesa apozwe akiwakamata atapata nini tumia akili
@jameschikolo5515
@jameschikolo5515 2 года назад
daaah Tanzania yangu
@hashimlowela294
@hashimlowela294 2 года назад
😄😄😄halafu kwa staili hiyo sehem ya kujenga kwa million4au5 maxmum mtu anakwambia million13.5 pesa yaserikali imeenda iyo halafu kama hivi eti tusiwekewe matozo yakijinga lazima yawepo mana shida sio kwamba serikali inakosa pesa no pesa zipo watalii wameongezeka madin bandali kila sehem zabiashara mapato yapo lakin wizi umefunguliwa tangu magu afe pesa zinazoibwa nazinaingia kwenye mifumo serikalini nisawa kwasawa nusu kwanusu yan ckuhz watu wanapiga tu pesa mwshoe serikali inakosa pesa ndio unakuta tunakamuliwa sisi huku kwenye matozo tanzania haijawahi kukosa pesa ila kuna wezi wanakula pesa hovyo kuendesha nchi nikama biashara uspokua makin namahesabu unafilisi ndo kilichopo mama nimpole sana kwahyo watu wanaiba mabillion kwamabillion ndio mana serikali unakuta haina pesa jiulize zinaenda wapi pesa zote
@jonasphilemon6956
@jonasphilemon6956 2 года назад
Skuma ndani
@aprow2059
@aprow2059 2 года назад
Huyu kiongozi noma kwa umri wake
@alsinambise9155
@alsinambise9155 2 года назад
Mama ndo mwenye shida a ateuwa watendaji wabovu katk baadhi ya sekta
@linuskyando4155
@linuskyando4155 2 года назад
USIOMBE KUKUTANA NA MKIMBIZA MWENGE ENGINEER
@danielhumble4292
@danielhumble4292 2 года назад
Kuleni tozo chukueni kwangu kwa nguvu zenu za dola
@floramwanja7860
@floramwanja7860 2 года назад
Ujambaz umerud pale pale titamkumbuka magufuli alikuwa tumbua tumbua,majambaz wa nchi hii wamesharud
@khadhiriramadhan5984
@khadhiriramadhan5984 2 года назад
kumaamae hyo inaitwa serikari ya mama fulii kunyonya hzo tozo ulifikri anakula nani😃😃😎😎
@boywahomesimiyutheSbk
@boywahomesimiyutheSbk 2 года назад
Sina furaha sana
@kakamau0384
@kakamau0384 2 года назад
Kama hiko kijengo ni M 13.5 basi sisi hatuta jenga nyumba zetu 😂😂😂
@mako331
@mako331 2 года назад
Yani hapa Mkuu wa wilaya hajaliona hilo mkuu wa mkoa hakuliona hilo! Mpaka mwenge ufike, sasa namkumbuka tena Jpm wetu
@josephkessy4512
@josephkessy4512 2 года назад
Cha ajabu watu wanakosoa lakini ndo mradi umeshafunguliwa Na PESA zimeshatumika utatufanya nini Na ndo mmeamua kutupa fulsa
@maswamills3161
@maswamills3161 2 года назад
.Hongereni mliyofaidi.😲😲😲😲😲 duh!!!
@coolruler6820
@coolruler6820 2 года назад
Inaweza kuwa lakini,,,inategemea pana umbali gani toka kupata material, na miundombinu imekaaje, na bado kama ni mkandarasi hajaweka faida,,,inawezekana wezekana japo si kiivyo,,,,wakae wapige magazijuto vizuri kitaeleweka
@judicosmas3075
@judicosmas3075 2 года назад
Hiiiii nchiii hiiii Mijitu haina Uzalendo Inajaza mitumbo yao tu
@emanuelleopod3949
@emanuelleopod3949 2 года назад
Dah halaf Malinyi hii au sijaelewa kido
@cliffsalija4692
@cliffsalija4692 2 года назад
Huo ni mradi wa serikali na kuna mchakato wa tendering ulifanyika na wakakubaliana na gharama, hizo ni siasa. Na bado kuna utitiri wa kodi kibao kwa mkandarasi... waache siasa
@innocentlethisia416
@innocentlethisia416 2 года назад
Umeona tunatopigwa tozo alaf wanakula waoo
@jeremiamwakilimaji8284
@jeremiamwakilimaji8284 2 года назад
KILA MMOJA ANA KULA KULINGANA NA ULEFU WA KAMBA YAKE HONGERA WENYE KAMBA NDEFU. MAGU WE NEVER FORGET.😭😭😭😭😭😭
@anosiata8242
@anosiata8242 2 года назад
Harafu kila siku wanatutoza tozo Jamani ni hatari na nusu.
@floramwanja7860
@floramwanja7860 2 года назад
Hicho choo ndy kimemaliza milion 13?
@atukuzwelameck4869
@atukuzwelameck4869 2 года назад
Eheheheh 🤣 🤣 🙌
@havyanine9430
@havyanine9430 2 года назад
Ila Jamani Au Basi iyo milion 13 si nyumba na fensi yake na fanicha za ndani au Basi tu
@hatibbaraka3956
@hatibbaraka3956 2 года назад
Hapana bwana milioni 13 zinatokea wapi hapo,hata na mimi ukiniuliza gharama naweza kukupangia mpaka ikakaa sawa maana ndio kazi yangu.
@deniccgabriel6153
@deniccgabriel6153 2 года назад
Sema selikali haikagui maendeleo ya jamii Sasa mnalaum nini 🤣🤣 kuleni ndio wakati wa tozo
@patrinussanga519
@patrinussanga519 2 года назад
Ivi viongozi wapo kweli
@judicosmas3075
@judicosmas3075 2 года назад
Hiii nchi
@peterbaton6824
@peterbaton6824 2 года назад
Hata Mm Ningepiga kama Kawa
@lekumolukumay6832
@lekumolukumay6832 2 года назад
Ndio hivo sijui tutafika wapi na upigaji huu
@erasmichuwa4049
@erasmichuwa4049 2 года назад
Huu ni wizi wa wazi kabisa. Hili ndilo tatizo la chama cha mapinduzi
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 2 года назад
Ni choo ama ofisi🤣🤣🤣🤣🤣
@silashemed4849
@silashemed4849 2 года назад
dah! watu wanapiga p......., niacheni na TZ Yangu
@hamedmaskari518
@hamedmaskari518 2 года назад
Nyinyi munadhani bidhaa ni Rahisi na kutaja milioni unaona kubwa thamani hamna petroli tu pengine ni milioni moja kukamatwa na trafic ni gharama nayo kuibiwa namafundi gharama mambo kibao
@mdachimensah1800
@mdachimensah1800 2 года назад
Nimecheka mpk machozi...hv mijitu mingine ya ovyo sana iba sawa lakini kwastaili hi hu sio wizi niubazazi naukosaji wa akili....nakuhujumu kazi za watu wezi wote ruksa kuandamana kupinga hili wamewakosea saana asee.
@jacksonpaulo887
@jacksonpaulo887 2 года назад
serikal itafilka mda itachukua tozo had wananchi tujikute hatuna hela kabisa waanze kutukopesha
@julianamasato5655
@julianamasato5655 2 года назад
Hizi ni zile fedhaa za tozo ?nauliza tu si kwaubaya
@jumasalimu49
@jumasalimu49 2 года назад
Mzee Ametupiga Na Kitu Kizito 😂😂😂
Далее
Mcdonalds cups and ball trick 🤯🥤 #shorts
00:25
Просмотров 821 тыс.
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Просмотров 5 млн
Why they want me impeached-DP Gachagua speaks
1:25:41
Просмотров 321 тыс.
How to win a argument
9:28
Просмотров 587 тыс.