Waah 😂😂Aki na vile kuku hunyonga mtu ama ni mimi tu hukuwa na phobia ya kuku? I've chocked on all types of meat because of not chewing properly, kifo ndogo hapo kwa throat 😭😭
Ati pieces Kinuthia na si mlikua mnakula kuku bahati na vitu zake zote. Tiga guicira Sam nginya neguo agutha iyayi na headi😂 hadi nikaskia njaa woi🥱 well done