Тёмный

OMO APIGWA MASWALI MAZITO NA WAANDISHI KICHWA KINAUMA KURA YA MAPEMA UHAKIKA UPO ITAPIGWA SIKU MOJA 

Tifu Tv
Подписаться 29 тыс.
Просмотров 19 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

27 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 75   
@sadih5333
@sadih5333 2 месяца назад
Yes, viongozi wahalifu waliopita walikua na msalaba mkononi huyu wa sasa atakua muhalifu mwenye tasbihi mkononi.
@omarmohammed5157
@omarmohammed5157 2 месяца назад
Nampenda hazingumzi pumba ALHAMDULILAH ❤❤❤❤❤❤
@ibrahimgwasma1223
@ibrahimgwasma1223 Месяц назад
Amezungumzia mambo unayoyapenda au cyo
@omarmohammed5157
@omarmohammed5157 Месяц назад
@@ibrahimgwasma1223 hatakama wewe una akili timamu basi utayapenda
@omarmohammed5157
@omarmohammed5157 5 дней назад
@@ibrahimgwasma1223 anazungumzia uhalisia
@HamadiFaki-rh4oq
@HamadiFaki-rh4oq 2 месяца назад
Hongera sna huondio ukwl
@JumaOmar-kp8rx
@JumaOmar-kp8rx 2 месяца назад
Kajibu vizur sana
@HassanshibuMakame
@HassanshibuMakame Месяц назад
Nzuri sana
@RayaHamad-f9o
@RayaHamad-f9o 2 месяца назад
Hongera omo
@نوفل-س5ر
@نوفل-س5ر 5 дней назад
sasa km Walikubaliana na maalim mbona hayo mengine hayatekelezi,
@mangofish9079
@mangofish9079 2 месяца назад
ccm hakuna mwenye akili yake timamu aliekuwa hawajui vitimbi vyao hapo OMO umesema jambo kubwa kuwa ktk uchaguzi hao viongozi wenye mamlaka huwa makatili mno lkn ukisha uchaguzi ndio wanakuwa na sura za ubinadam na tasbihi mikononi na kuomba maridhiano huku wakijinasibisha na amani na utulivu yaani kwa hapo umemaliza kila kitu kuhusu hao watu hivyo ndivyo walivyo.
@hajihassan5433
@hajihassan5433 2 месяца назад
Suluhisho la Zanzibar tupigane ili heshima irudi kama Ruanda au Burundi lakini best solution kwa mimi ni kugawana visiwa ili chama upande kiliokuwa na nguvu kiongoze huko.
@AhmedSeif-il1xx
@AhmedSeif-il1xx 2 месяца назад
Bora kieleweke tu tumechoka kuongozwa namapunda
@jaffaralimakame1533
@jaffaralimakame1533 2 месяца назад
PUNDA MAMAAKO NA BABIO MBWA WE
@knight6757
@knight6757 2 месяца назад
🫏
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 месяца назад
Ahmed punda wewe maana hulijui hata kabila lako mtumwa tu wewe
@sadih5333
@sadih5333 2 месяца назад
​@@margarethpolepole7438ni mapunda kweli maana hata thamani ya mzigo walio because hawajui
@Abs-tz8dl
@Abs-tz8dl Месяц назад
@@margarethpolepole7438punda ccm
@HassanshibuMakame
@HassanshibuMakame Месяц назад
Act hawana makubaliano na serikali hivi ila makubalia nicuf na ccm
@AbdulMajidi-i9m
@AbdulMajidi-i9m 2 месяца назад
Aloandik heading hili ni bunju kufuru muongo kajib safe san
@MasoudKhamis-ew6gb
@MasoudKhamis-ew6gb 2 месяца назад
Sio kweli hilo hajapigwa masuali magumu
@kassidpandu866
@kassidpandu866 2 месяца назад
Mbona www Nakuona kwa urais badooo
@Abs-tz8dl
@Abs-tz8dl Месяц назад
Bado tusubiri umaskini uzidi ? Au yesu afufuliwe?
@jumA-th7rs
@jumA-th7rs 2 месяца назад
Mimi nakwambia hii Zanzibar imepinduliwa na hawa wanaongoza ndio walio PINDUA kama mnaweza na nyinyi pinduweni bila ya hilo msiwadanganye watu CCM hawaitoi
@AbdallahFaki-h9g
@AbdallahFaki-h9g 2 месяца назад
Wewe unafaidika nn
@hajihassan5433
@hajihassan5433 2 месяца назад
Suali sio ananufaika na nini anasema ukweli hata kama hapati chochote.
@mulasaid2959
@mulasaid2959 2 месяца назад
😮😮😮😮
@issaibrahim7325
@issaibrahim7325 2 месяца назад
Nchi haijapinduliwa na ccm
@Is-hakaRuweikh-k9s
@Is-hakaRuweikh-k9s 2 месяца назад
Huy aliesema kupinduliwa nchi kwanza kumamaye mshenzi yeye alikuwepo ilipopinduliwa Hy nchi?? ALAA!! MUUZ NIN!!
@Omarjumanne-zm9zh
@Omarjumanne-zm9zh Месяц назад
Idirsa mwandishi nakupata vyema toka tabora
@khamisjuma3760
@khamisjuma3760 2 месяца назад
Aloandika heading ni bunju maswala yamejibiwa vizuri tu ubunju ni maradhi mabaya tu
@IbrahimKassim-j8o
@IbrahimKassim-j8o 2 месяца назад
Correct Omo
@hassanmakame4382
@hassanmakame4382 2 месяца назад
Leo ndio nmemuona salma said, kumbe bado ni pice kali
@Abs-tz8dl
@Abs-tz8dl Месяц назад
Hawa ccm ni wakoloni
@SaidHamad-s4j
@SaidHamad-s4j 2 месяца назад
Uyu Mwandishi mwehu nn Viongozi wa Nchi hii wako juu ya Sheria.. Ss utaenda kushtaki wp?
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 месяца назад
Saidi Mwandishi muache afanye kazi yake tatizo hukwenda shule unajua kuruani tu kama ni kiswshili ni lugha ya kawaida mjinga wewe
@SaidHamad-s4j
@SaidHamad-s4j 2 месяца назад
@@margarethpolepole7438 Mtaimbo umeganda huo
@haroubhbm5728
@haroubhbm5728 2 месяца назад
Head line ovyoo
@abrahmanhmd2557
@abrahmanhmd2557 2 месяца назад
HAWA TIFU TV CHANNEL YENU MNAIENDESHA KICHUKU ILO MLIJUE MANA MUNAJIONESHA WAZ WAZ ACHENI IZO TABIA BAS MSHAKUWA CHOMBO KIKUBWA NCHINI
@KhamisOmar-kt4kz
@KhamisOmar-kt4kz 2 месяца назад
Sasa huyu anauliza suali au anatoa risala
@KhamisAbdalla-pq8bo
@KhamisAbdalla-pq8bo 2 месяца назад
Mbona husemi kuwa serekali ya umoja ya kitaifa haina faida ivi hujui kama amani karume alilazimisha
@KhamisAbdalla-pq8bo
@KhamisAbdalla-pq8bo 2 месяца назад
Momo sisi tunataka kura ya mapema na serekali ya umoja wa kitaifa vyote viondoke chama kitakachoshinda kiunde madaraka sio kutubabaisha nyinyi mupate sisi mutudanganye hatutaki hayo bhana
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 месяца назад
Omo kuishinda Ccm siyo rahisi Rais Hussein Mwinyi ameleta maendrleo ya hali ya juu kwa muda mfupi Zanzibar mnyonge Mnyongeni haki yake mpeni Hussein oyeeeee kazi inaendelea ubsrikiwe sanaaaa acha waseme Act Wazalendo hiyo ni Siasa tu Hussein Mwinyi wewe ni mtoto uliyelelewa vizuri sanaaaa
@akaumbo9433
@akaumbo9433 2 месяца назад
Hussein Mwinyi amefanya mengi kweli na ccm wanafuasi wengi ila kwanini waweke uchaguzi wa siku mbili pamoja na kutokuwepo tume huru ya uchaguzi
@akaumbo9433
@akaumbo9433 2 месяца назад
Kitu Cha pili mambo ya Zanzibar huyajui Bora unyamaze kimya
@Abs-tz8dl
@Abs-tz8dl Месяц назад
Umaskini umezidi
@DizanzibarStone
@DizanzibarStone Месяц назад
yeye kaleta maendeleo ila kwanini anaogopa uchaguzi kama kweli watu wanampenda 😅😅
@RukiaSuleiman-j8x
@RukiaSuleiman-j8x 2 месяца назад
7:05
@MuzneOthman-l7i
@MuzneOthman-l7i 2 месяца назад
sisi wananchi wana kindaki ndaki wazalendo wazaliwa wa Unguja tunamsemo mkaanga mbuyu huachia wenye meno watafune Au mchumia janga hula na wa kwao . Tuwe na tahadhari na mtu huyu akili ya kuambiwa changanyana za kuwako.
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 месяца назад
Kuzaliwa Ubguja siyo hoja wewe ni mtoto wa Mtumwa tu taja kabila lako na lugha yako ni ipi Aidi ya kiswahili
@KhamisAbdalla-pq8bo
@KhamisAbdalla-pq8bo 2 месяца назад
Hahaha na wwwe omo uje uwe mbele kwwnye maandamano sio kutaka kuwaulisha watoto wa kimaakini kwaajili ya matumbo yenu
@DizanzibarStone
@DizanzibarStone Месяц назад
Zanzibar kwanza
@MohdIkra-d7s
@MohdIkra-d7s 2 месяца назад
Sasa kichwa kimemuumma ama amjibu masuali kwaa uzito uleule wa suali lilivo ulizwa bali kwa uadilifu kabbisaa, halafu nakushuku wewe ni, ccm, B eee
@jumA-th7rs
@jumA-th7rs 2 месяца назад
Wewe uelewe maneno yako yote ni ya ochechozi umesoma lakini ujue hii unamajibu mbele ya Allwa uelewe hii nchi haiendeshwi kiislam jitahidi iwe nchi ya kiilam bila ya hivyo litalotokea jukumu unalo
@shahidmaftouh1141
@shahidmaftouh1141 2 месяца назад
Mchukie Mr. Othman lakini ni he's next president of Zanzibar for the grace of Allah.
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 месяца назад
Your foolish Man
@thamani5842
@thamani5842 2 месяца назад
Gawaneni mbao
@muzneali4747
@muzneali4747 2 месяца назад
MTOTO MUONGO MPE CHAI YA BAKULI HAUNA LOLOTE
@jumA-th7rs
@jumA-th7rs 2 месяца назад
@@muzneali4747 Kwani kupingua lazima muue kunanjia nyingi za mapinduzi. yapo mengine huuwi hata sisimizi. Na hyo mambo ya hukumu tumuachie Allwa kunamtu aliua watu. mia Allwa kamuingiza Peponi. sasa hukumu tumuachie mwenyewe bwana.
@JabirJabir-c9o
@JabirJabir-c9o 2 месяца назад
Mchawi haaachi tabia yake.
@jumA-th7rs
@jumA-th7rs 2 месяца назад
Wao si mliwambia walinde kura kwann hamkua pamoja kama sio unafiki.
@jaffaralimakame1533
@jaffaralimakame1533 2 месяца назад
SAUTI YAKUWA. RAISI WEWE HUNA HUNA MVUTO HATA WA KUINGA NDEGE MPUNGA.
@FayzFadhil
@FayzFadhil 2 месяца назад
Ww ni mwanaume au hanithi mvuto unautafuta kwa mwanaume mwenzio?
@omarmohammed5157
@omarmohammed5157 2 месяца назад
Ccm akili zao bwana zipo kwenye macho 😂😂😂😂😂
@SaidHamad-s4j
@SaidHamad-s4j 2 месяца назад
Ili sijui Pembe
@SalimLikindy
@SalimLikindy 2 месяца назад
Kwani wewe unataka sauti au ufanisi na usimamizi imara katika nchi?!
@KhamisOmar-kt4kz
@KhamisOmar-kt4kz 2 месяца назад
Mvuto gani unautaka ww utaupata kwa mashoga we zako senge ww
@jaffaralimakame1533
@jaffaralimakame1533 2 месяца назад
SUMU HAIONYWI CCM HOYEEEEEEEEEE
@Is-hakaRuweikh-k9s
@Is-hakaRuweikh-k9s 2 месяца назад
DHULUMA HAIDUMU MUNGU YUPO NA MOTO UPO CCM NI DHULUMA TUUU CC WAZANZIBAR TWASEMA HATUTAKI CCM MANAKE HATUNUFAIKI NA CHOCHOTE WAPUUZ NYIE!!
@kassidpandu866
@kassidpandu866 2 месяца назад
wananchi wepi hao unaowasemea mbona cc Tunapenda kura ya siku mbili
@KhamisOmar-kt4kz
@KhamisOmar-kt4kz 2 месяца назад
Ww tu ndio unapenda kwa sababu ya wizi ila huna hoja Tanzania bara watu millioni 50 wanapiga siku moja watu milioni mbili znz wapige siku mbili nynyi ni wezi wakubwa
@Is-hakaRuweikh-k9s
@Is-hakaRuweikh-k9s 2 месяца назад
IYO KURA YA CKU MBILI UTAENDA KUPGA PEKE YAKO NA WAGUNYA FUPA WEZAKO WACHACHE!!
Далее
MISSION IMPOSSIBLE [60]
23:51
Просмотров 87 тыс.
DCMA Taarab & Kidumbaki Ensemble
29:34
Просмотров 87 тыс.