To bring out the ideal picture of the challenges facing citizens at large #kenyanpolitics #nuruokangake #citizendigital #kenya #difmedia #ruto #bungelamwananchi #raila #railaodinga #kenyanyoutuber
Tuliongea sana kuhusu huyu mzee raila na nikiwambia huyu hana msimamo na atakae mfata ataumia sasa ameshindwa na kenya sasa ataka kuhamia africa akawe kiingozi. Sasa na nyinyi mutaelekea wapi munao upenda ukabila??.??. Sasa raila ameenda kwa raisi kuomba msaada amsaidie apate kazi OAU na nyinyi sasa amewaacha mutafanya nini badilikeni wacheni ujinga na ukabila
Wewe ndio mkabila WA kwanza, Raila hata akienda atatupatia mwelekeo, na ukae ulikuwa hiyo kiti ya AU inaexpire 2027, Raila c mjinga, ni mtu Ako na akili, sio kama wewe mwenye hufikirii, Wachana na Raila kabisa.
Baba you are done, Uhuru gang ed up with Ruto to kick you out of presidency in last election,now Uhuru and Ruto are together again,Mzee you are being played and you will never see, continue sleeping all the way to the grave.