Kwa maoni au ushauri comment hapo chini bila kusahau ku like na kushare ili kuweza kupata update mbali mbali ndani na nje Ya Tanzania Tufollow katika ukurasa wetu wa instagram @BONGO TRENDY TV Na kulike facebook page Bongo trendy online
Ktk watu watakao kufa mapema ni kina mama kupenda tu pesa za watu kutafuta zenu aaaah! Yaani ndy mana tukaitwa Hawa nyieeee😂 tutafika mawinguni tumechoka sana
Nakosa hata maneno ya kusema, naona aibu, na udhalili mkubwa kuishi Mjini na Bado ukapigie magoti kijana Kama Huyu kwa Senti mbili za chumvi ni uvivu na kuishi maishi ya kutaka kupewa bila jasho
Kwani ukipika supu hutoki halafu watu bwana pendeni tu vya.kupewa bila kivifanyia kazi malipo yake ni kuzimu yeye anatafuta hela ili aje akupe wewe kiraisi tu thubutu yake mimi natafuta pesa kwq jasho langu hivi unaenda kusududua laki mbili rooooo
Huyu Jamaal anafanya biashara ya cryptocurrency pesa za kidigital hizo so vijana tutafute iyo elimu kwa nguvu sana wazungu kutupumbaza sisi wafrica tusizijue wakatuleta ma tik tok instangra porn ma game so hera hafu tumelala nikujisap tu filita kama yote tunafaidisha wao
Mmh badoo ujanishawishi msaada gan unabagua jinsia apo amna lolote ni ovyoo kbs ushetan mtupu wanaopokea hizo pesa watazilipa kwanamna yyt akun chabure we nanii😂😂😂😂