Safi sana kaka angu Mimi nazidi kukuombe kwa Mungu na ninajifunza vitu vingi sana kutoka kwako Achana nao hao wanao kupiga vita Mimi nipo pamoja na wew Mtumishi
Ongera kijana kwa kulima ila bado viwango vya kilimo kwa umeonyesha mwelekeo mzuri njoo kwetu zaidi mkoa wa songwe tukufundishe zaidi kuna mbegu heka moja unavuna gunia 30