Shukran Shekhe huwa sichoki kusikiliza mawaidha Yako kwani najikuta yanaimarisha imaan yangu hata kwa kiasi flani Allah akujaalie jannah tena ya firdaus.
We ni neema kwetu twapaswa Tushkur Allah Kwa ailm yenye Manufaa kwetu kupitia ww...Allah atkutanishe Cku Ya Malpo na Nyuso Zilzoneemeka Inshaallah Sheikh Best 4Islam Umma Bora!!!!
Inaumiza na inaliza allah atujaliye tuwe wenye kutoa kodogo kikubwa na atujaliye tuwe wenye kukumbuka wazee wetu ndugu zetu waislam wenzetu wote waliofika mbele ya haki kwa duwa kwa sadaka
Ma sha Allah Rahman shekh othuman nakuombea umri mrefu yarabbiy wenye afya na siha njm uwe nimwenye kutuhusia na jannaty Fridaus akatukutanishe pamoja na rasuli wa Allah swala na salam zimuendeee kwa wing yarabbiy