My suggestion mnaweza change that katwo seat muweke kwenye tv iko then kwa hiyo ukuta iko karibu na mlango mumount tv hapo na utaona vynye nyumba itakaa fiti na itakuwa kubwa it's just a suggestion
❤❤❤❤nawapenda bure the Dantes family ukweli kabisa deposit sijui mbona huwa wanakataa kurudishia mtu may God bless you abundantly the Dantes mama Leon you look mwaa na mimi skirt👌👌👌