Тёмный
No video :(

OUR MULTIMILLION HOUSE TOUR IN KISII❤️ 

Angie B.
Подписаться 67 тыс.
Просмотров 111 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

20 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 437   
@Waithiramburu
@Waithiramburu 6 месяцев назад
Atleast pesa za kucon watu hazikupotelea. Congratulations Kenyans. Sasa muwachangie wajengee the parents.
@Jfjf-zx3vo
@Jfjf-zx3vo 2 месяца назад
Eweeeeee 🤣
@AnnettewilliamsKenya
@AnnettewilliamsKenya 7 месяцев назад
Lazima mutuonyeshe vile tuliwachangia waaa
@ReginaEliud
@ReginaEliud 7 месяцев назад
😂😂
@faith5935
@faith5935 7 месяцев назад
😂😂😂😂
@Jibambeshow254k
@Jibambeshow254k 7 месяцев назад
🤣🤣🤣🤣🙌 imagine n wanajitapa nayo pesa z scamm 15000K yngu ilikunyua maji tu hivyo
@user-fh4zg6ez9h
@user-fh4zg6ez9h 7 месяцев назад
😂😂😂
@user-gl8nl4qn7u
@user-gl8nl4qn7u 7 месяцев назад
😂😂😂😂😂​@@Jibambeshow254k
@gladysmuthoni6670
@gladysmuthoni6670 7 месяцев назад
Congratulations,, hapa mmejalibu mwenye wivu ajinyonge,, God bless you 🙏🏾
@nesbitmiriti4366
@nesbitmiriti4366 6 месяцев назад
Lakini usisahau mla visivyo halali mwishowe humtoka kwa pua🤔🤔
@itsraha8702
@itsraha8702 6 месяцев назад
Allow me to give positive criticism. I wish you could buy a 5/6 bed since the master bdrm is very small. Sasa vile Inatoshana hivi na mkiweka wardrobe? Hata kugeuka huwezi!! If you had money, ungeanza foundation ya gorofa so that bedrooms zikuwe upstairs to create more and spacious rooms. So room hizo zingine hazitakuwa na wardrobes? Just asking mimi Sina ubaya. There's so many mistakes mlifanya while putting up that beautiful house na in future, unaweza rectify. Unaweza ongea na fundi abomoe side moja ya rooms to expand them mpate enough spacious rooms..my thoughts though! Sina ubaya
@obisaproduction254
@obisaproduction254 6 месяцев назад
❤❤❤
@leahwanjiru1004
@leahwanjiru1004 6 месяцев назад
Well said. My thoughts too
@everlyneiranogwa6698
@everlyneiranogwa6698 6 месяцев назад
My exact thought too. Wardrobes very important in a house like this. i too feel something is missing out.
@allaboutbetty
@allaboutbetty 7 месяцев назад
Congratulations 🎉 hakuna kitu poa ka kujenga home 🏠
@user-jf5sy2ve1m
@user-jf5sy2ve1m 6 месяцев назад
Congratulations 🎉🎉🎉 at that age na mmejenga nyumba kubwa ivo is not easy. Ni GOD siku zote👏👏👊👊💪💪🙏🙏
@MercykemuntoNyonga-te6yu
@MercykemuntoNyonga-te6yu 7 месяцев назад
Congratulations guys mwenye wifu anjinyonge amese nyasi ama wembe❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
@ivydan506
@ivydan506 7 месяцев назад
Ata akijui spelling 😂😂eti amese iyo ndo nn unawatetea ndo wakulipe au
@MercykemuntoNyonga-te6yu
@MercykemuntoNyonga-te6yu 7 месяцев назад
@@ivydan506 gasia ata kama sijui na mbona umejua vile nimemaniza ata ukisikia wifu na vitu za watu sitakupereka wapi tafuta zako ata ww upost
@Jibambeshow254k
@Jibambeshow254k 7 месяцев назад
😂😂😂 keep on supporting scammer wachangie wamalize nyumba
@pamelawafula761
@pamelawafula761 7 месяцев назад
Mjinga wewe wewe ndio uko Na wivu nyumba ya kucon watu PESA ndio wakajenga ndio unakwambia hapa 😂🤣😂🤣😂🤣
@Jibambeshow254k
@Jibambeshow254k 7 месяцев назад
@@ivydan506 🤣🤣🤣✌️ please pitia kwngu pia nisuport achana n watu akili nusukijiko
@marcybaba7152
@marcybaba7152 7 месяцев назад
Wow so beautiful house 🏠 ❤❤ like 👍
@lizzywandera2558
@lizzywandera2558 6 месяцев назад
From grass to grace, nothing to something, bravoo 👏🏽👏🏽
@marthakimanzi812
@marthakimanzi812 7 месяцев назад
After kyibia watu kwa youtube
@keneemabonnie2949
@keneemabonnie2949 7 месяцев назад
My first time here, impressed by the hardwork of you guys. More wins IJN
@mayatamnai3080
@mayatamnai3080 7 месяцев назад
Through conning
@sylviawambui748
@sylviawambui748 7 месяцев назад
Nice house ,,Aggy sasa Mungu awasaindie mfence na mawe na mweke gate na nusu🥰
@mercykhamili9204
@mercykhamili9204 7 месяцев назад
You can kidnappe your mum mchangishe
@DianaMuhonja-oi9co
@DianaMuhonja-oi9co 7 месяцев назад
Congratulations 👏👏👏🎉🎉 Brighton just move on mwenye anaongea atachoka
@dennismacharia7911
@dennismacharia7911 6 месяцев назад
Congrats guys for that beautiful Achievement. Wish you more goodies.
@janendungu3036
@janendungu3036 7 месяцев назад
Nyumba n supuu n kubwa❤na mkubwa congratulations 🎉
@AnnahMbevi-yt4rh
@AnnahMbevi-yt4rh 7 месяцев назад
Am proud of you guys dispite of all negativities contuning moving more blessing acha mahaters waongee kam wanasem ni wizi waende waibe pia wakasikie vibaya na ukoo endeleani kuomoka na bado hawajasema na mtasema san alooo❤❤❤proud of yu mamaa angie❤❤
@AngieBNetwork
@AngieBNetwork 7 месяцев назад
Thanks alot
@gulfexpert
@gulfexpert 6 месяцев назад
Congratulations 🎊 mmejipanga vizuri sana at your age
@winnienyambura4762
@winnienyambura4762 6 месяцев назад
Amazing 😍 l tap the blessings
@MaryMmm233-yh3hf
@MaryMmm233-yh3hf 7 месяцев назад
Congratulation my dear God bless you more 🙏 😊 ❤️ 😘 wenye wivu wajinyonge😂😂😂😂😂
@Jackline139
@Jackline139 5 месяцев назад
Congratulations young couples may God protect you guys msikubali shetani aingilie ksti after hii yote,angiee b also be prayerful woman 💪🙏
@sallyasoro3713
@sallyasoro3713 7 месяцев назад
Congratulations girl but hiyo dresscord sio ya kuvaa kwa ma grandma
@LydiaLydia-iw6qt
@LydiaLydia-iw6qt 7 месяцев назад
Wow wow wow ,watchdog ako kuanza kubweka
@jumaaggy
@jumaaggy 7 месяцев назад
Apewe mfupa atulie
@nesbitmiriti4366
@nesbitmiriti4366 6 месяцев назад
Ni kama walifanyia watu jambo nzuri sana.
@Jessicabrown187
@Jessicabrown187 7 месяцев назад
My house,My house.. welcome to my house ulijenga peke yako ama Aggy
@rozzyfosh
@rozzyfosh 7 месяцев назад
Even if it’s the husband that built…the house is always known to be the wife’s
@user-vm8ql1un2w
@user-vm8ql1un2w 7 месяцев назад
Mbona unakaa kam mutu hakulangi wewe umekonda mifupa juuuuu mumeshajenga nyumba na zile Pisa sawatu munafurahia san nyiye mutacomeka😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@user-gv6ul4bs9c
@user-gv6ul4bs9c 7 месяцев назад
My goodness. Do not talk about God's creation. Jealous people do not ever get blessed. Was it your money. Stop your negativity. The family is great and going on with their life you go on with yours.
@zawadimasha5823
@zawadimasha5823 7 месяцев назад
Wanadamu hamna wema kabisa mtu akinona mnasema anatumia familiy planing akikonda mnasema ako na mifupa hakuli akikuwa maskini mnasema akifanikiwa mnasema cjui ako na madevial,oooh ameibia watu,oooh sijuli nn Mungu halali na hakuna mwanadamu mkamilifu duniani ukimuona anafanya makosa muombee sio kushinda kumtusi haisaidii hii tabia muachee
@edmondkiptoo4674
@edmondkiptoo4674 6 месяцев назад
My goodness,,,why say that?
@carenitow
@carenitow 6 месяцев назад
😂😂😂😂ni Dhambi ya kuchangisha ndo imeanza kuwachapa
@user-gl8nl4qn7u
@user-gl8nl4qn7u 7 месяцев назад
Na pesa ya kucorn wakenya😂😂😂😂shame on you,,,God is watching.....si hata usaidie mamako anateseka Ukambani
@selinamusita4450
@selinamusita4450 6 месяцев назад
The mother lives in Nairobi
@Winnjoynewti9bb
@Winnjoynewti9bb 7 месяцев назад
Congratulation guys but Angie aki kula food manzeeeey
@anthonyguto162
@anthonyguto162 6 месяцев назад
More blessings, praise 👏 God.
@musengyapatricia1928
@musengyapatricia1928 6 месяцев назад
The house is soo beautiful.. congratulations 👏💐
@pamelawafula761
@pamelawafula761 7 месяцев назад
Mijango ya watu ndio mnajilingia mlicon watu 5millon hahaha sai hakuna kujanga tena 😂😂😂😂😂
@Jibambeshow254k
@Jibambeshow254k 7 месяцев назад
Imagine scamming people one day kitawaramba 😂
@hellenanyango1498
@hellenanyango1498 7 месяцев назад
Ghaiii ni wezi🤣🤣
@Jibambeshow254k
@Jibambeshow254k 7 месяцев назад
@@hellenanyango1498 wakubwa sana 🤣🤣🤣 bibi n bwana wote wanafanya kazi y scammer
@edithmuthoni5230
@edithmuthoni5230 7 месяцев назад
😂😂😂😂
@pamelawafula761
@pamelawafula761 7 месяцев назад
@@hellenanyango1498 Yaa wezi wakubwa hapa Kenya khuyu Na Jay katombe khiyo nyumba Na Macari walicon watu Kwa vipindi Na mjango ndio wakajenga Na kununua Macari hehehe siku yenu 40 imefika
@bahatiwaeldoret9241
@bahatiwaeldoret9241 6 месяцев назад
Nisipokufa na socio pressure huu mwaka sitawaikufa tena😂😂😂😂❤❤
@MaryMatereadvicer011
@MaryMatereadvicer011 7 месяцев назад
Mlipe kina fai pesa ya vipindi ndio mpate amani, pesa za watu mrudishe
@Jibambeshow254k
@Jibambeshow254k 7 месяцев назад
😂😂😂 wanapinga kelele n doo zamichango
@MaryMatereadvicer011
@MaryMatereadvicer011 7 месяцев назад
@@Jibambeshow254k imagine mungu anawaona
@Jibambeshow254k
@Jibambeshow254k 7 месяцев назад
@@MaryMatereadvicer011 wamelaaniwa bibi pia anasaidia bwana kuiba 🤣🤣wezii wawili please pitia kw Chanel yngu pia mnisuport
@lilianmmbone3194
@lilianmmbone3194 7 месяцев назад
Eiii mai lodi
@share-love
@share-love 6 месяцев назад
Thankyou for the interesting video.That's a nice house but are the colours not too many? i think one peaceful colour like either a very light blue(almost white),very light green or cream is best for interior. The kitchen and Verandah are beautiful though. I think is a good decision to remove that inside green colour completely, let the grass outside be that green my dears. You have a nice home anyway, i love the location.
@elizabethmwalo8424
@elizabethmwalo8424 6 месяцев назад
But don't even appreciate that work that was done from innocent people's money!
@share-love
@share-love 6 месяцев назад
@@elizabethmwalo8424 🤣🤣 really? OMG! I had no idea
@ayataleb353
@ayataleb353 7 месяцев назад
The house is supu sanaaaaaa🎉🎉🎉🎉
@peridamtweve7152
@peridamtweve7152 6 месяцев назад
Mtarogwa mnamasifa sana maskini akipata matako hulia mbwata
@face-to-face98
@face-to-face98 6 месяцев назад
wacha wivu mkuu
@frankolorkijape8383
@frankolorkijape8383 7 месяцев назад
Lakini mchunge to kilio ya watu coz ni mbaya although mimi sijawahi changia kitu but kama story watu wanasema ety waliwachagia ....eeeee chungeni
@sellahmerande3326
@sellahmerande3326 7 месяцев назад
Angie pliz kitanda the headside haifai kuwa to the window if the it has that design. Your bed must be to the plain wall without a window
@salomematewa3601
@salomematewa3601 7 месяцев назад
Pesa ya wizi
@Jibambeshow254k
@Jibambeshow254k 7 месяцев назад
😂😂😂😂 imagine n wanapigia watu kelele bwana n bb wote ni materrorist
@zipporahkirigwy6783
@zipporahkirigwy6783 6 месяцев назад
Mliimbiwa ngapi
@LilianCute-
@LilianCute- 7 месяцев назад
Congratulations ❤ Nipitie tukisonga
@CarlbaniceShiro
@CarlbaniceShiro 7 месяцев назад
Much luv gaiz may almighty bless yu abundantly
@itsraha8702
@itsraha8702 6 месяцев назад
Congratulations but simuongee poa as in normal?! Did that lady build that house na pesa yake? She keep saying I did this I did that? Wow
@LitherMuthama
@LitherMuthama 7 месяцев назад
Yaani pesa ya watu ndio mnajitajirisha nayo😢😢😢😢may u never know no peace it may be not today bt it surely will☹️☹️
@kibetlelgo9205
@kibetlelgo9205 6 месяцев назад
Wezi wakubwa Kabisa
@annabelyouseef
@annabelyouseef 7 месяцев назад
Woow congrats,,perimeter wall ndo tu imebaki
@sylviakiptanui9847
@sylviakiptanui9847 7 месяцев назад
Nataka kutrend😂😂😂😂"hiyo nyumba rangi ni kama police station"🤣🤣🤣congratulations my pple
@mercymurithii8046
@mercymurithii8046 6 месяцев назад
😂kama hile ya kioko😂😂😂😂😂mimi sijasema kitu
@leashawright-brown5610
@leashawright-brown5610 6 месяцев назад
Congratulations! Stay safe! Beautiful to your daughter 🫶🏼🫶🏼🫶🏼🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@felistermakena5371
@felistermakena5371 3 месяца назад
Nice one❤ nipitieni guys
@BentaJuma-hm4ul
@BentaJuma-hm4ul 4 месяца назад
Good job maze
@Double_R2T
@Double_R2T 7 месяцев назад
Kijana uko ni kiburi sana bana
@margaretmuna-fk2xu
@margaretmuna-fk2xu 7 месяцев назад
Congratulations guy's ❤
@chetrizaza610
@chetrizaza610 7 месяцев назад
Congratulations guys good job 👏🏼
@evansmichira5428
@evansmichira5428 7 месяцев назад
Wezi ..kijana laaan zitakuqnza soon
@dorisgaichugi4137
@dorisgaichugi4137 7 месяцев назад
Ukweli,
@user-il4yk3sh3s
@user-il4yk3sh3s 7 месяцев назад
Acha wivu ni mbaya 😏
@boslayogero8329
@boslayogero8329 6 месяцев назад
Sitting room inatoshana choo ya mulanwah Ile ya nyumba yake😅
@roselynebosire
@roselynebosire 6 месяцев назад
Kitu sijapenda kwa hii nyumba ni colours. You got it wrong almost everywhere. Change colours completely and you will never regret. The orange colour and the green colour zimeharibu.
@kipronotanui8246
@kipronotanui8246 7 месяцев назад
Mnafurahi pesa ya kucone watu😂😂😂😂😂😂
@jumaaggy
@jumaaggy 7 месяцев назад
Wewe endelea kuongea na watu wanaendelea
@kipronotanui8246
@kipronotanui8246 7 месяцев назад
Kucon watu ndo kuendelea,
@thekigofamily4444
@thekigofamily4444 6 месяцев назад
Good job, nipee naba ya fundi nimpee kazi please
@emmanuellapatience
@emmanuellapatience 7 месяцев назад
Congratulations to this fam🎉❤to more wins😊mnipitie
@theedouglas8887
@theedouglas8887 7 месяцев назад
Inakaa police station
@eunicekingori-kx5se
@eunicekingori-kx5se 6 месяцев назад
Nipitie
@emmanuellapatience
@emmanuellapatience 6 месяцев назад
@@eunicekingori-kx5se did kitambo
@WillyOgega
@WillyOgega 7 месяцев назад
I real like your house, May God bless you more much love from my side ❤
@jacklinewabomba4119
@jacklinewabomba4119 7 месяцев назад
Congratulations 👏 but don't show your achievements on media dear . anyway we are happy for you ❤️
@carenkosgei2851
@carenkosgei2851 7 месяцев назад
Watu mlichanga Asanteni sana 😂😂😂😂😂😂😂pesa yenu imefanya kazi mzuri 😅😅😅😅
@marceilobiero4063
@marceilobiero4063 7 месяцев назад
😂😂😂😂niueee
@divinahorina1894
@divinahorina1894 6 месяцев назад
I can't imagine vituko za pl. Kuchangisha watu doo
@swiryjekalungi1090
@swiryjekalungi1090 7 месяцев назад
U guys hunifurahisha walahi 😂😂 congratulations more blessings
@justusogeto6288
@justusogeto6288 7 месяцев назад
Pesa za waganga na kidnapping zimefanya kazi kweli , congratulations 👏
@Evenichol-uw2ku
@Evenichol-uw2ku 7 месяцев назад
Wakijikidnap Tena wajenge orofa😂😂😂😂
@pamelawafula761
@pamelawafula761 7 месяцев назад
😂😂😂😂 Waja washukuru watu Wa majuu ndio walijanga Sasa kkhuyo mganga wao Pia Nae amejenga
@oriaolekibe9793
@oriaolekibe9793 6 месяцев назад
Maconmen, after kucon watu mlienda kujenga.. kilio za watu hiyo nyumba amtaishi na amani..
@Kithsfamily
@Kithsfamily 7 месяцев назад
Congrats Guys 👏🎉God Has done it for you this year ❤❤
@AngieBNetwork
@AngieBNetwork 7 месяцев назад
Thanks alot
@sharonchebichi3022
@sharonchebichi3022 7 месяцев назад
Congratulations naomba mnifikisheni 500subcribes ntashukuru saana aki
@emmaculatehendricahjuma3045
@emmaculatehendricahjuma3045 7 месяцев назад
Nipitie pia
@kssycaren
@kssycaren 7 месяцев назад
​@@emmaculatehendricahjuma3045tupitiane mamie
@Slimfamily777
@Slimfamily777 7 месяцев назад
Ah beb leo ntakukula 😂😂😂Briton wah😂😂😂😂
@user-ti1xc4bu5j
@user-ti1xc4bu5j 6 месяцев назад
Congratulations guys mko na nyumba smart ❤❤❤
@lennahkasyoka9813
@lennahkasyoka9813 6 месяцев назад
Wakora one day mtapatana na mungu conning innocent people
@philipomache6846
@philipomache6846 7 месяцев назад
Love you guys so encouraging ❤️
@hklfgh9297
@hklfgh9297 7 месяцев назад
Baby boy and baby girl good work
@sheidahkerry3806
@sheidahkerry3806 7 месяцев назад
Congrats guys❤❤❤💪💪💪 building a house is not easy manze 💪💪💪💪
@harrisonodiwa7248
@harrisonodiwa7248 7 месяцев назад
Ukijikidnap na kuchangiwa it's very easy.
@sheidahkerry3806
@sheidahkerry3806 7 месяцев назад
@@harrisonodiwa7248 wow really????🤣🤣🤣
@AngieBNetwork
@AngieBNetwork 7 месяцев назад
Thanks alot
@carenitow
@carenitow 6 месяцев назад
​@@harrisonodiwa7248😂😂
@trizaharujaru8551
@trizaharujaru8551 7 месяцев назад
Congratulations 😂😂😂but punguzeni maringo yaawa
@ImmaculateGesare
@ImmaculateGesare 7 месяцев назад
😅😅😅😅😅
@AngieBNetwork
@AngieBNetwork 7 месяцев назад
Maringo yapi tena😂
@user-fy9pw2zr8l
@user-fy9pw2zr8l 7 месяцев назад
malingo njo nini siwanawaoecha
@sharonkemboi7864
@sharonkemboi7864 7 месяцев назад
Waaaah hawa sasa wako na maringo,,,,iyo yako ni wivu pooo😊😊
@doreenjepkemei6101
@doreenjepkemei6101 7 месяцев назад
Aki c uko na wivu surely 😂
@victoriamwongeli
@victoriamwongeli 7 месяцев назад
Mimi ni artist mnaeza nilipa niwachore in your bedroom real arts
@verashiku9126
@verashiku9126 7 месяцев назад
Very beautiful. Meanwhile watu wangu nipitieni kwangu pia please 🙏
@beverlynewere7363
@beverlynewere7363 7 месяцев назад
Acha kuturingia hiyo ni pesa mlituibia, wezi nyinyi
@Jibambeshow254k
@Jibambeshow254k 7 месяцев назад
😂😂😂😂 2 scammer 🤣 in the making laana tupu
@emmanuelopiyo6408
@emmanuelopiyo6408 6 месяцев назад
Mapema ndiyo best
@salomewamuhu2252
@salomewamuhu2252 7 месяцев назад
Angie vaaga poa ukiwa home juu ya wazazi bt atleast Leo umejaribi kiasi
@Lornalrz
@Lornalrz 7 месяцев назад
Aaii hiii ni generation ingine .. wewe shinda hapo
@Mumy2546
@Mumy2546 7 месяцев назад
Angie vaa braa matiti Inakaa papai😂😂😂😂😂😂
@Lornalrz
@Lornalrz 7 месяцев назад
Si ananyonyesha
@lynnmwangi1923
@lynnmwangi1923 7 месяцев назад
😂😂😂😂
@dorisgaichugi4137
@dorisgaichugi4137 7 месяцев назад
😂😂😂😂 eti papai,, spare my ribs, aki haujamwambia Poa.. 😂😂 sio papai n mihogo 😂😂
@dansonmutugi8639
@dansonmutugi8639 7 месяцев назад
Good ❤
@shikusteve
@shikusteve 7 месяцев назад
Congratulation to you mnatuencourage pl na aggie
@OdhiamboOnyango-xb9nb
@OdhiamboOnyango-xb9nb 7 месяцев назад
Congratulations bor
@AngieBNetwork
@AngieBNetwork 7 месяцев назад
Thanks
@drinnerfuraha1161
@drinnerfuraha1161 7 месяцев назад
Congratulations guys ❤❤
@AngieBNetwork
@AngieBNetwork 7 месяцев назад
Thanks alot
@eusabia7082
@eusabia7082 6 месяцев назад
Msijifanye hamjaskia ascent ya Brighton anyway congratulations
@Vel42
@Vel42 7 месяцев назад
Ww hata ufanye nn mkisii lazima ataoa mkisii mwenzake utashashangaa at long last😂😂😂😂😂
@pamelawafula761
@pamelawafula761 7 месяцев назад
😂😂😂😂
@user-rl6yi9uj2d
@user-rl6yi9uj2d 7 месяцев назад
Whaaat nonsense
@Ruth-wm6gq
@Ruth-wm6gq 7 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂😂
@AnnettewilliamsKenya
@AnnettewilliamsKenya 7 месяцев назад
Hii nayo niuongo juu mi ni mkamba nimeolewa na kisii 20years now all properties under my name and kids although hawa niwezi tu wa online
@victoriasineno
@victoriasineno 7 месяцев назад
Labda we unamtaka pl ndo unasema ataoa mkisii
@MelissaUwimana-zn7dy
@MelissaUwimana-zn7dy 7 месяцев назад
Mbona hunenepi jamn hukur am mumeo anakutomba sana ukitombwa sana hunenepi
@jacklinenafula-zf6lb
@jacklinenafula-zf6lb 7 месяцев назад
😏😏😏😏😏😏Why comment nonsense on people's videos
@esthernyabweye
@esthernyabweye 7 месяцев назад
Unauliza na unajua mkisii vle ana kamateeko hiyo k2😂😂😂
@userunknown1124
@userunknown1124 7 месяцев назад
😂😂😂😂
@rizikibayayi9866
@rizikibayayi9866 7 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂
@MelissaUwimana-zn7dy
@MelissaUwimana-zn7dy 7 месяцев назад
@@userunknown1124 mbona unachek siukwel au
@hannahkarimi6289
@hannahkarimi6289 7 месяцев назад
😅😅😅yaani ata after kukidinapiwa n mumeo adi kweda Hosi hamuwezi jenga choo
@mercymwikali585
@mercymwikali585 6 месяцев назад
Mungu usinipee celeb please😂😂 🙏... Siwezani
@annmuthoni2241
@annmuthoni2241 7 месяцев назад
Sam tollado uko wapi uongelee colours juu unaonanga colours sana
@vivianflora3594
@vivianflora3594 7 месяцев назад
Ingekuwa ya kioko ndo angecomment.....aki watu
@modelvinstrikah5381
@modelvinstrikah5381 7 месяцев назад
Maumbwaaa atiii nyumbaa n ya kitambooo😂😂😂😂😂yaniii pesa za wizi amnge malizia nyumbaaa.....na marangi azina mwelekeo chiethhhh😂😂😂😂😂...have just wasted ma time watchingg na unone sasa
@Jibambeshow254k
@Jibambeshow254k 7 месяцев назад
😂😂😂😂uko rada ✌️
@naomsblessedhairstyles
@naomsblessedhairstyles 6 месяцев назад
I'm from kisii...what part of kisii is this...hamuogopi😂😂😂the house is damn cute...I love it...❤❤❤❤
@user-wu2dj4og7i
@user-wu2dj4og7i Месяц назад
Good job God is good
@boslayogero8329
@boslayogero8329 6 месяцев назад
Sitting room inatoshana choo ya mulanwah Ile ya nyumba yake
@peshkamau8208
@peshkamau8208 6 месяцев назад
huyu mwanamke ni mkonde kwan hakulagi
@terrykaranja4078
@terrykaranja4078 6 месяцев назад
🎉kwani inaka kama ya akina kioko
@Stellajonah
@Stellajonah 6 месяцев назад
Exactly,, inakaa hivo copyright
@user-ws7qg3oz6r
@user-ws7qg3oz6r 7 месяцев назад
Inakaa poa na nini iko wapi, wardrobes za manguo
@kosgeialex4257
@kosgeialex4257 6 месяцев назад
Sasa uyu ndo Bibi ,
@pichunakichuna2111
@pichunakichuna2111 7 месяцев назад
Congratulations kamkamba ketu ❤❤❤
@nancyanderson3599
@nancyanderson3599 7 месяцев назад
Supuu sana and blessed family
@dewanikaur19
@dewanikaur19 7 месяцев назад
Brigton ongea tu kawaida faking unknown English won't help 😂😂😂😂kisii n kamba ywa congrats 😂😂
Далее
Construction site video BEST.99
01:00
Просмотров 304 тыс.
DUKE AND MERCY HOUSE TOUR
7:26
Просмотров 8 тыс.