Ila Mzee Moses Katoa Jitu Mwehu san Yan Daah Ya Juzi Nilishangaa Huyu Mtu Kamuoa Hajra Hajakaa Sawa Kaharib kwa mama mkwe afu anakuja kujifanya mwehu kwa mtu mzima nakubali saNA yEMUGHABOOO 😂😂😂😂
Nani alipenda dakika 3:56_58 kama Mimi? Bonyeza hapo kwa upendo jamani❤ hhh kazi kubwa kbs .shukran Steve mwenyewe na kundi lake . tunawatakia heshima nzuli kutoka kwa mola , mi naitwa Kwizera=(kuamini) Hamza from Rwanda " mnatufulahisha sana Balaq'allah feekhum .