Тёмный

PART 1:AKIDAH MWENYE WAKE WAWILI KAMA DR.MWAKA/AONESHA UTAJIRI WAKE/KURUSHIANA VIJEMBE/ILIKUWA NGUMU 

Carrymastory
Подписаться 481 тыс.
Просмотров 108 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 793   
@jossywakish4079
@jossywakish4079 4 года назад
Bi mkubwa Mashallah yuaongea vizuri kisha ni mrembo black beauty 😘😘😘
@haamidmuhdimuhdi7925
@haamidmuhdimuhdi7925 3 года назад
ol
@sofiasofia7557
@sofiasofia7557 3 года назад
Nampenda kumwona bi kubwa mzur mashaallah
@rahmaramadhan9773
@rahmaramadhan9773 4 года назад
Mkemkubwa mashallah utasema Ana mtoto mmoja a jomwoniiipenda Sana mungu awajaalie mdumu Maisha yenu yotee 🤲
@najma3268
@najma3268 4 года назад
Bimkubwa nimempenda bure , maana unakekma na mwenyezimungu kakujaza imani mashaallah
@allykhamis8751
@allykhamis8751 4 года назад
Najmaaa nkutftaaa Sanaa ndugu ynguuuu
@abdurafabdallah7276
@abdurafabdallah7276 4 года назад
Dada kila ninapoingia upo love you muvh am mwanaidi athuman
@ummoislam4832
@ummoislam4832 4 года назад
Mashaallah bi mkubwa ni mzuri mpaka rihi yake ni safi..Allah aluzidishie moyo huo huo
@fatumahamimu5527
@fatumahamimu5527 4 года назад
@Ummo Islam Allahumaa Amiin
@mauayusufumauayusufu7862
@mauayusufumauayusufu7862 4 года назад
Mke mkubwa mrembo hadi raha😍😍💋na bi mdogo nae mrembo jomon 😍💋
@yusragundia5089
@yusragundia5089 4 года назад
Mke mkubwa mzuri Masha'Allah 😘😘😘
@khadijamalifedha4786
@khadijamalifedha4786 4 года назад
Ndo maana hateteleki ila mume akiowa mzuri kuliko bi mkubwa unaweza kufa
@daishajumanne5990
@daishajumanne5990 4 года назад
Bi mkubwa jicho MashaAllah rangi hadimu hiyoo una pesa zako lakini hutaki kujichubua nime kupenda sana tena sana
@upendowakwelinaamani1060
@upendowakwelinaamani1060 4 года назад
Bimkubwa mzuri mashaallah hadi raha japo hata bi mdogo si mbaya ila bi mkubwa manshaallah mabrouq
@gaudinamosnchobe4909
@gaudinamosnchobe4909 4 года назад
Apo ndipo mnapofeli wanawake uzuri mshaambiwa sio ulembo
@esterelias8189
@esterelias8189 4 года назад
@@gaudinamosnchobe4909 kuna utofauti kati ya uzuri na urembo elewa urembo nikujilemba.
@estamelejomah572
@estamelejomah572 4 года назад
Wote tu mashaallah
@angeljasson4376
@angeljasson4376 4 года назад
Watoto watano na bado kisu mashallah Bimkubwa kisu sana black beautiful
@lovvy854
@lovvy854 4 года назад
Cheusi ni dawa she is really beautiful
@azzamahamdu7039
@azzamahamdu7039 4 года назад
Sanaaa mashalaah bi mkubwaa.mremboooo
@ayshazsalim397
@ayshazsalim397 4 года назад
Pesa mama
@angeljasson4376
@angeljasson4376 4 года назад
@@ayshazsalim397 true
@Zainab-sq1tc
@Zainab-sq1tc 4 года назад
Na pesa inachangia
@africa7479
@africa7479 4 года назад
Watoto watano ila bado mbichi mashallah,
@daishajumanne5990
@daishajumanne5990 4 года назад
Pesa hiyoooo
@aishaabdallah4560
@aishaabdallah4560 4 года назад
Aliridhika nafs yake
@irenemacha7457
@irenemacha7457 4 года назад
@@daishajumanne5990 ngoja aishiwe tuwaone
@mutwalesylvie7443
@mutwalesylvie7443 4 года назад
Atari sana
@saadarashid8174
@saadarashid8174 4 года назад
Five kids mashallah mashallah ❤ super women your are so so beautiful black is beautiful 😍
@mosesbusanya3528
@mosesbusanya3528 4 года назад
Bi mkubwa n mzuri sana....
@tausihussein2118
@tausihussein2118 4 года назад
Maa shaa allah bimkubwa mrembo jaman nimempenda bureeeeee
@rehemabakar8800
@rehemabakar8800 3 года назад
Kamuoe
@wahidaabeid5712
@wahidaabeid5712 2 года назад
Mashallah mungu akupeni madkilizano mema katoka nyumba zenu na mapemzi mazuri nimefurahi sana huskiliza na kuona aditokee kidudu mtu akavunja mahusiano yenu mungu awabariki ameen
@aishahussein3879
@aishahussein3879 4 года назад
Pole dadangu bi mkubwa unajikaza na kuilazimisha nafc tu bado haupo sawa na si rahisi kiivyo pole love
@mutwalesylvie7443
@mutwalesylvie7443 4 года назад
Kabisa
@rahmaoman5122
@rahmaoman5122 4 года назад
Ma sha Allah hongereni sana. Lakn huyo bi mdg mmh kazi ipo maana kwamacho yangu 2 aman haipo kabisa
@salhaoman5002
@salhaoman5002 4 года назад
Mke mkubwa mzuri kwelii mashaallah...!!!
@asmahanyally3225
@asmahanyally3225 4 года назад
Bi mkubwa ma shaa Allah upo smothiiiiii👌 Allah akujaze khekma.....Amiin
@sikudhanimohammad7692
@sikudhanimohammad7692 4 года назад
Mnaosema bi mkubwa mzuri sana, hata mke mdogo ni mzuri sana.
@abufauzan9417
@abufauzan9417 3 года назад
Nawewe nimzuri zaidi
@arqamibnarqam.7185
@arqamibnarqam.7185 3 года назад
@@abufauzan9417 Hata wewe Nimzuri zaidi zaidi
@abufauzan9417
@abufauzan9417 3 года назад
@@arqamibnarqam.7185 mzuri anakuwaga mwanamke bhana
@zuhurambonde1982
@zuhurambonde1982 3 года назад
Uzuri unazidiana hujui
@abufauzan9417
@abufauzan9417 3 года назад
@@zuhurambonde1982 wako umezidi zaidi
@neemaberny3598
@neemaberny3598 4 года назад
Bimkubwa MashAllah...bi mdogo anaonekana hana heshima kwa mwenzie anailazimisha tu..kwanza hata anavyo m refer mwenzie anamuita huyo hayo mara yulee lakini mwenzie anamuita bimdogo
@lovvy854
@lovvy854 4 года назад
Mashallah mashallah mashallah mungu awahifadhi nyote na awabashiriye pepo ya janathil firdawus insha'Allah Khair
@fatumahamimu5527
@fatumahamimu5527 4 года назад
Amiin Inshaallah
@surayakhan3955
@surayakhan3955 4 года назад
Jamani mimi nimempenda bi mkubwa sijui kwanini na rangi yake mashalaah dada usipake caro light rangi tamu adhimu
@yunyun799
@yunyun799 4 года назад
🔥🔥🔥
@fatumahamimu5527
@fatumahamimu5527 4 года назад
Usijali sipaki carolite ,,,,,I am cheusi mangara
@rehemabakar8800
@rehemabakar8800 3 года назад
Wote wazur acha roho mbaya
@sarasalum4554
@sarasalum4554 4 года назад
B mkubwa mzuri na pia anaonyesha ana roho safi ila hyu mdogo mna mashaka nae!
@mukiwaradjabu5391
@mukiwaradjabu5391 4 года назад
Ni mukubwa tabia yako nzuri Mashallah keep up nyinyi ni mufano bora kwa society, ongera kwa familia zenu kuwapa malezi bora, inaonekana roho zenu na tabia zenu nzuri, nawapongeza sana
@alhabsialhabsi1098
@alhabsialhabsi1098 2 года назад
Maashaaallah hongera sana bi mkubwa una rohoo mzuri na mdogo wako adi rahaa
@abdallahsuleiman5286
@abdallahsuleiman5286 3 года назад
Masha Allah Niko ktk ndoa miaka 10 sasa lkn sijawahi wake zangu kukaa pamoja Kama hivi daa m mungu awabariki sana
@sekundambilinyi5450
@sekundambilinyi5450 4 года назад
Bimkubwa black beauty😍
@immah_deo19
@immah_deo19 4 года назад
Raha Sana Aiseee Kikubwa Mkwanja Tu
@tumeerewamiki7490
@tumeerewamiki7490 4 года назад
Hta mimi nimeona mkwanja tu
@mariamibrahim6738
@mariamibrahim6738 2 года назад
Umeongea vizuri
@joymsupagladysijeya8384
@joymsupagladysijeya8384 3 года назад
Eeee bimkubwa ni mrembo balaa 🔥🔥😍😍😍😍😍👍👍👍
@salmaathuman9156
@salmaathuman9156 4 года назад
Bi mkubwa anajikaza tu lakini bado anaumia 😂😂lakini ndo hivyo
@subiradalabu6616
@subiradalabu6616 4 года назад
Kweli...
@ggtt8145
@ggtt8145 3 года назад
Ukweli
@lilianelias4137
@lilianelias4137 4 года назад
Mke mkubwa ana akiri sana hata uongeaji wake anaonekana n dada mwenye IQ kbw....... Ukila na kipofu usimshike mkono....... Bi. Mdogo nakupa pole sana
@bintiiddy7043
@bintiiddy7043 4 года назад
Mchawi pesa tu na mwanaume Kuwa na msimamo kapuku igaufe kwa presha 😂😂🤣🤣🤣🤣🤣😁😁😁
@rahmaramadhan2476
@rahmaramadhan2476 4 года назад
Yaani natamani ungekua karibu ningekupa zawadi jamani nimefurahishwa na comment yako Udugu wangu kweli mchawi Pesa apo Pesa IPO na wanatimiziwa ata kama akioa wanne
@bintiiddy7043
@bintiiddy7043 4 года назад
@@rahmaramadhan2476 kabsa mme hapo akikoroma kama hutaki mke mwenza tembea mbele mwanamke ukiangalia maisha hko nje yalivyo madume kwann nisikae nlevyombo tu kwani shida ikowapi na chapatikana kilakitu
@elizabethgasper2909
@elizabethgasper2909 4 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@wahidashabaz5982
@wahidashabaz5982 4 года назад
@@rahmaramadhan2476 😁😁😁
@wahidashabaz5982
@wahidashabaz5982 4 года назад
😁😁
@maryamshabani6024
@maryamshabani6024 4 года назад
Bi mdogo maresh uke wenza unauweza una matashtit👌 ady raha
@twalebleboss9687
@twalebleboss9687 4 года назад
MAASHAALLAH.....Kutokana na hali ha kujiweza kwa mwanaume na sheria za kidini NIMEMUELEWA....Ila NIMEWAPENDA ZAIDI wake zake kwa jinsi walivyokuwa HURU kujieleza kiundani na bila woga...na pia unapotazama " WAKE HAWA" BODY LANGUAGE zao wakiti wakitazamana unaweza kuona wazi kwamba WANAWEZA KUISHI PAMOJA na kusiwe na MATATIZO na kama yatatokea matatizo na kukoseana heshima ..BASI MUME WAO YUKO VIZURI na ana uwezo wa KUYATATUA...NIMEWAPENDA WOTE...#MAASHAALLAH
@azzaalmaamry5817
@azzaalmaamry5817 4 года назад
Maashaa Allah bi mkubwa napenda una heshima hata mie ni bi mkubwa lkn sipo Benet na bi mdogo hongeren saana
@yousramutwale2463
@yousramutwale2463 2 года назад
Nambie uliyapokea vipi
@aishahela1735
@aishahela1735 4 года назад
Hongeren allah amfanyie wepes
@ladymashaallahilikeuaadvis997
@ladymashaallahilikeuaadvis997 4 года назад
Hamna kupendana hapo,Mimi naona roho kichaka ,yani wanajikaza thuu, Lakini hamna upendo hapa movie hii
@mwanasitimpole8746
@mwanasitimpole8746 4 года назад
Kabsa
@aishafransic8749
@aishafransic8749 4 года назад
Awapenda sana Mungu aendelee kuwalindia ndoa yenu
@salmamakau4688
@salmamakau4688 4 года назад
Bimkubwa Masha Allah jamn nimempenda bureeeeeeeeeeee
@ummukulthummohd5403
@ummukulthummohd5403 2 года назад
Hawako sawa hawa ..mke mdg anaonekana mswahili sana..hakuna mapenz hapa
@mwamotomussa3710
@mwamotomussa3710 4 года назад
Safi brother,itasidia kufundisha kwa wengine
@spreadlove2119
@spreadlove2119 4 года назад
Bi mkubwa maashalaah, utasema anakogea maziwa. 😍
@agneslohay4026
@agneslohay4026 4 года назад
Waoooo bi mkubwa mzuri bwana daaah
@sturbbornvideoz8547
@sturbbornvideoz8547 3 года назад
Bibi mkubwa is matured and very couraging masha Allah
@fatumahengo6849
@fatumahengo6849 4 года назад
Bi mkubwa mashaalah mzuri jamani halafu ana jicho flani hivi
@elizabethmwandu6937
@elizabethmwandu6937 4 года назад
Hongereni sana wanawake wenzangu kwa mioyo yenu ya ujasiri duuu kushare Mume ni kazi ngumu sana.Ila hapa naona kama kachuki kapo kabisa hata ukiwaangali unaona.
@MyJOSE2013
@MyJOSE2013 Год назад
Sidhani. Their body language shows waneskizana
@latifahud4336
@latifahud4336 11 месяцев назад
Hamna hawapendan hawaa
@judithharisson4063
@judithharisson4063 4 года назад
Awe Buddhist,Muslim ama Christian inabidi tuwaheshimu wanaume wanaokaa na mke mmoja. That's the only true love,mapenzi mengine kama haya ya kuganwanywa sintowahi kuyaelewa,wanawake tunavumilia mengi sana kwa kweli
@mohammedhussein6748
@mohammedhussein6748 3 года назад
Mashallah bi mdogo na bimkubwa wote wazuri Allah AWAPE subra
@jamilapaulo7238
@jamilapaulo7238 4 года назад
Bimkubwa mashaallah na mdogo pia mashaallah ila mkubwa ameshaaazaa watano bado 😘
@patsonmwalwiba3423
@patsonmwalwiba3423 4 года назад
Bi mkubwa mrembo Sana natural colour
@qelseykenya3933
@qelseykenya3933 4 года назад
Napenda bi mkubwa❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@isamony58
@isamony58 4 года назад
Ilauyoo bimdogo mmmmmmmm apo kaziipoo uyoo mkubwa nimtu mwenyerohoo mzuri
@ayubuselemani6127
@ayubuselemani6127 4 года назад
Huu si unzinzi ni halali kabisa dini yake inaruhusu kabisaaa
@sebastianjames3704
@sebastianjames3704 4 года назад
poa
@wisebless5302
@wisebless5302 4 года назад
umeona eeeh mumewe anamwita huyu bi mkubwa anamwita yule Hana adabu
@marthawillium9920
@marthawillium9920 4 года назад
Umenena,na mie nmeona hvohvo
@yunyun799
@yunyun799 4 года назад
@@wisebless5302 😩kwan kakoxea nn c kaelezea tyu au mm cjaelewa
@chancequeen4710
@chancequeen4710 4 года назад
Raha iwe kwenu milele♥️
@aminaami4936
@aminaami4936 4 года назад
Bimkubwa mashaAllah mashaAllah mashaAllah watoto watano na kasura kako kanaita mashaAllah mashaAllah mashaAllah black biuty mashaAllah bimkubwa.
@mahijamasukuzi9246
@mahijamasukuzi9246 4 года назад
Uzuri waukewenza mume awe nahela mwenye macho haambiwi tazama bonge la jumba
@asinatikarim5401
@asinatikarim5401 4 года назад
Kwakweli
@مرافيالدهمشي
@مرافيالدهمشي 4 года назад
Umesema kwe mume hakiwa na pesa watu wata pengana
@veronicaenock7292
@veronicaenock7292 4 года назад
Pangekuwa hapana pesa hapo😂😂hapo kwa bii mkubwa yaani hadi rahaa,mwandishi twende na nyumbani kwa bii mdogo 💃🏻💃🏻tupaone
@subiradalabu6616
@subiradalabu6616 4 года назад
Kweli ndg hata mm nakubali aise...
@yusrahemed21
@yusrahemed21 4 года назад
@@veronicaenock7292 mshari wewe hahahaaaaaaa
@agnessmsacky6657
@agnessmsacky6657 3 года назад
Bimkubwa mashaalha maashalha nimzuri saana
@joycemichael8681
@joycemichael8681 4 года назад
Kila mtu bi mkubwa mzuri uyo bi mdogo akija kuangalia coment namuonea huruma 😁
@mastidiadionis3335
@mastidiadionis3335 4 года назад
Kweli bi mkubwa mzuriii sana
@sophiakasim5153
@sophiakasim5153 4 года назад
😁😁😁😁😁
@zuuothman9170
@zuuothman9170 4 года назад
😆😆
@anitamwehonge8287
@anitamwehonge8287 4 года назад
😂😂😂😂😂😂
@shardalove1159
@shardalove1159 4 года назад
Hehehee kweli ila bimkubwa mzuri
@ZaharadaffaZaharadaff
@ZaharadaffaZaharadaff 4 года назад
Mke mkubwa mrembo mmno jamani
@gddh4122
@gddh4122 4 года назад
Bi mkubwa macho shoga mzuri mashaallah
@halimasulaiman3229
@halimasulaiman3229 3 года назад
Bimkubwa maashaallah mzuri macho maashaallah
@yusrasalum
@yusrasalum 3 года назад
Hapa bi mdogo kazi anayo dadaq mke mkubwa anamsimamo mgumu ogopa kukaribishwa na mke ulie mkuta kajipanga 😂😂
@fatmasaid7093
@fatmasaid7093 3 года назад
InshaAllah Allah awazidishie mahaba na mawadha😘😘😘😘
@ameenaameena1224
@ameenaameena1224 3 года назад
Bi mkubwa mzur mashaaallh mwanamke jicho uko vizur dada
@allahakujazekheriwowww5694
@allahakujazekheriwowww5694 4 года назад
Mashallah Allah azidishe imani namapenzi
@najma3268
@najma3268 4 года назад
Mwacheni aoe maana mwenyewe kajitosheleza
@reymapishinaubabyboy9409
@reymapishinaubabyboy9409 4 года назад
Nalo nenoo
@mamubaby3864
@mamubaby3864 4 года назад
Mke mdogo anaonekana Hana furaha vizuri Hawa watakuwa wanatupiana vijembe vya chini
@cobrachristian3685
@cobrachristian3685 3 года назад
Mke mukubwa manshallah mzuri sanaa
@shardalove1159
@shardalove1159 4 года назад
MashaAllah 💞😍 bimkubwa mtu na nyota yake
@filbertnashon7160
@filbertnashon7160 4 года назад
Utakuta vibint kadhaaa kumtunza mume mmoja tu #kelele kibao😀😀😀hv unakuta wamekwama wapi wivu kama lote😀😀😀😀anyway jamaa tumpe hongera amejitahdi
@rukiaomar3369
@rukiaomar3369 2 года назад
MASHALLAH WAKE ZAKO WAZULI BI MKUBWA NIMEMPENDA
@leylahleylah4599
@leylahleylah4599 4 года назад
Mke mkubwa kisu😍😍😍Ila hapo hakuna kupendana kwa kweli bi mkubwa anavyomwangalia mwenzie😀
@jestinabenedict4620
@jestinabenedict4620 4 года назад
Akae macho k
@arafaally2895
@arafaally2895 4 года назад
Mh wanaishi kwa kumfurahisha mwanaume.na si kufurahisha nafsi zao
@yunyun799
@yunyun799 4 года назад
😅😅😅
@irenemacha7457
@irenemacha7457 4 года назад
Arafa umeona mbali
@rehemabakar8800
@rehemabakar8800 3 года назад
Majungu
@nasranassor6796
@nasranassor6796 4 года назад
C kazi rahisi cdhani Kama mke mwenzangu aweza ridhika na Mimi alivyo na roho mbaya
@abdallahsuleiman5286
@abdallahsuleiman5286 3 года назад
Hongereni
@tatuta6529
@tatuta6529 3 года назад
Ongera baba upo vizur sana
@fatumadiriye6162
@fatumadiriye6162 4 года назад
Mke mkubwa very beautiful maa shaa Allah
@zubedadayo871
@zubedadayo871 4 года назад
Allah awaweke salama.awajalie kila la kheir.
@halimaomar3280
@halimaomar3280 4 года назад
MASHA ALLAH TABARAKA RAHMANI 👌👌👌
@jacklineulomi772
@jacklineulomi772 4 года назад
Bi mkubwa beautiful sana yaan yaan mashanlaah
@adammjomba1554
@adammjomba1554 4 года назад
Bii mdogo ni mrembo sana Pia anajua kujieleza Na sioni kama ana mashauzi yupo fresh kwakweli jamaa amejitahidi sana kuwaunganisha ,wapo fresh nijambo la heri kuwaoa Wake zaidi ya mmoja ni suna ya mtume lakini Uwe Na uwezo ,sio kuwalundika chakila huna nguo hawana vitoto vinalizana Paka kalala ktk ya jiko , hapo utakua umetenda dhambi sana
@rmmulei8531
@rmmulei8531 4 года назад
Bi mkubwa very beautifull u look very young n 5kids😘😘
@dapiliharun7978
@dapiliharun7978 4 года назад
Bi mkubwa so cute nimempenda bure
@salomefrancis1520
@salomefrancis1520 4 года назад
Uzuri wa mtu tabia huyo mke mkubwa uzuri wake nimuonekano watabia yake huyo mdogo inaonekana kabisa anaigiza tu afanyeje ila huyo bi mdogo hana upendo wake wakufosi
@irenemacha7457
@irenemacha7457 4 года назад
Nikwel my
@mamy8220
@mamy8220 3 года назад
Wote niwazuri 😍😍😍😍😍
@urbanhyera8779
@urbanhyera8779 4 года назад
Bi mkubwa kafanana na Ummy Mwalimu mashallah ni mrembo
@fatumalyanga9661
@fatumalyanga9661 4 года назад
Yeeee👌
@swaiseif2989
@swaiseif2989 3 года назад
😂😂😂😂nimewapenda hao yni wamenifurahisha wazur masha Allah
@mariamruth1335
@mariamruth1335 4 года назад
Mimi siwaoni wakiwa kabisa 😢😢 ama ni macho yangu jmn 😓
@sadahussein7971
@sadahussein7971 4 года назад
Asante
@jokhagadafy2144
@jokhagadafy2144 3 года назад
Mke mkubwa Allah akuzdishie subra hongeta dada ss wanawake kua na moyo km wko Maa shaa Allah kaka unadhi kubwa hpo usione sifa tuu kuwa n matala muhimu wafundishe dini wasali washikamane n dini unadhima kubwa sn hpo
@gullaalex6590
@gullaalex6590 4 года назад
Jaman mapenzi yanauma Ata apo naona bad, masharll bi mkubwa 🥰
@daishajumanne5990
@daishajumanne5990 4 года назад
Hawa wake wadogo wanakuaga na vimbele mbele sana wanajifanya wao ndio wao
@sadahgullam8228
@sadahgullam8228 4 года назад
Sio wote Bi wakubwa pia wapo wakorofi
@mutwalesylvie7443
@mutwalesylvie7443 3 года назад
@@sadahgullam8228 lazima awe mkorofi simkubwa sio unakuja kwenye maisha yawatu na kimbele fronty
@amourmohd3032
@amourmohd3032 4 года назад
Good
@mouzarashidd
@mouzarashidd 4 года назад
Maasha Allah
@fezairambona5
@fezairambona5 4 года назад
Ongereni sana
@halimanasihu1200
@halimanasihu1200 4 года назад
Mashallah allah atufanyie wepesi kwa sote inshallah
@fatumalyanga9661
@fatumalyanga9661 4 года назад
Aaaamin
@fatumamwinyi516
@fatumamwinyi516 4 года назад
Pesa tu hamna upendo wa kweli penzi haigawanyiki
@highvoltages4169
@highvoltages4169 3 года назад
Fatma lkn we ni mtoto wa kiislam
@mariamfritsi9761
@mariamfritsi9761 4 года назад
Alietangulia katangulia na mke mkubwa yupo vizuri sana.alafu mzuri zaidi ila penzi haligawanyiki
@fatmasaid7093
@fatmasaid7093 3 года назад
Bi mkumbwa yani kitu fine MashaAllah 😘😘😘😘
@yasminebottan5139
@yasminebottan5139 4 года назад
Mash Allah
@AishaAisha-rh1fc
@AishaAisha-rh1fc 4 года назад
Kaka mashaallah umejipanga Ila mke mdogo kua makini naiyo tabia ya kutoka bira kuaga
@rehemabakar8800
@rehemabakar8800 3 года назад
Majungu huyo mkubwa nae ndi hiv
Далее