Much thanks big bro... Kama itawezeka naomba utuandalie somo kuhusu Matumizi ya Auto tune pia mara nying kwenye tutorial zilizopita nakuta vocal ina autotune tayar sijajua ni wakat gan sahihi wa kuitumia na kwa namna gan ... Ikikupendeza fanya hivo bro..
Kipindi kizuri ,,mtangazaji umetoa muongozo mzuri, labda marekebisho ni kwa Abby mwenyewe amekua sio mtoaji wa maelezo sana mpk naona baadhi ya sehem mtangazaji unafafanua zaidi yake. So kipindi kijacho ni vema afafanue kuonyesha upana wake ktk plugins.