Тёмный
No video :(

Part 1: Joram Nkumbi, kijana aliye vutia wengi mtandaoni kutokana na anavyo kiongea Kiswahili. 

Jiongeze
Подписаться 1,3 тыс.
Просмотров 2,1 тыс.
50% 1

Vitabu vya Joram Nkumbi vinapatikana AMAZONI. Unaweza kukunua kwa kugonga link chini.
USA, CANADA, EUROPE etc - AMAZON 📚📚📚
www.amazon.com...
Kama utapenda kununua copies za vitabu hivi Tanzania na ku-donate kwa wale ambao hawana uwezo wakifedha kupata nakala lakini wanatamani wangeweza kuvisoma vitabu hivi, unaweza kuwasiliana nami kwa email:
jiongezepodcast@gmail.com

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 24   
@ellihaule2467
@ellihaule2467 3 дня назад
Joram anahekima sana, muulize atagombea kwenye nafasi yoyote ile ya uongozi 2025 au anampango wakuwa kwenye siasa
@jiongezepodcast
@jiongezepodcast 3 дня назад
@ellihaulr2467 @jorumnkumbi
@mohamedsemboja
@mohamedsemboja 9 месяцев назад
Safi sanaaa! Una mazungumzo na Joram Nkumbi na bado unachanganya Kiingereza na Kiswahili? Baadhi ya maneno hapo chini, ungeweza kuyatamka kwa Kiswahili. Segments Ideas Ku’support Ku’ reach out Comments Homework Kuji’introduce
@jiongezepodcast
@jiongezepodcast 9 месяцев назад
Taratibu nitafika. Nadhani katika mazungumzo haya niliomba radhi kutokana na hilo. Asante kwa sapoti yako🙏🏼
@radynnyagaly3692
@radynnyagaly3692 9 месяцев назад
Superb
@jiongezepodcast
@jiongezepodcast 9 месяцев назад
Thanks 🤗
@axmedcumar6196
@axmedcumar6196 4 месяца назад
Bless Him
@jiongezepodcast
@jiongezepodcast 2 месяца назад
Amen
@samsifuni
@samsifuni Месяц назад
Popote anapo kwenda mlumbi lazime nitafute ....napenda anavyo zungumza kwa fisuri , yaana hata mda unavyo kwenda hata sijui
@SUCCESSPAPETERIE
@SUCCESSPAPETERIE 7 месяцев назад
Hongera sana
@tysonjohn6635
@tysonjohn6635 Месяц назад
Hello may you help please.
@robertmasolele3559
@robertmasolele3559 14 дней назад
Mohammed umesema kweli tupu ndugu yangu. Mwenyeji nae hajitambui kabisa. Makovu ya ukoloni hayo. Matokeo yake ni zero katika taaluma. Kachanganya Nyama, Samaki, maharage, twende. Kwa maana hiyo hakumtendea haki Nkumbi.
@tumanicottage
@tumanicottage 9 месяцев назад
Hongera sana
@jiongezepodcast
@jiongezepodcast 9 месяцев назад
Shukran sana!
@MichaelTonga101
@MichaelTonga101 6 месяцев назад
@jiongezepodcast
@jiongezepodcast 2 месяца назад
🙏🏼
@Ammarloliso
@Ammarloliso 5 месяцев назад
Ulumbi
@jiongezepodcast
@jiongezepodcast 5 месяцев назад
Kila Pahala!
@ErickNgoda-gh9sm
@ErickNgoda-gh9sm 9 месяцев назад
Mlumbi wa ulumbi
@jiongezepodcast
@jiongezepodcast 2 месяца назад
Amen!
@SUCCESSPAPETERIE
@SUCCESSPAPETERIE 7 месяцев назад
Hongera sana
@jiongezepodcast
@jiongezepodcast 7 месяцев назад
Asante sana! Natumaini kuna kimoja ama viwili umeweza kujifunza na utatumia vigezo hivyo kufanya MALENGO yako huu mwaka yatimilike❤️. Kama umeipenda basi naomba pia ushee na mwenzako!
Далее
Moto Trial vs Moto acrobática 🏁
00:29
Просмотров 2,4 млн
😱ЖИВОЙ Чехол на Айфон🤪
00:38
Просмотров 273 тыс.
Joram Nkumbi -Part 3: Ulumbi kila PAHALA
30:09