MASHALLAH MASHEIKH WETU KWA KAZI BORA ZAIDI YA KAZI ZOTE. WAKRISTO WOTE WANASEMA YESU ALIKUJA KUFA KWA AJILI YA DHAMBI ZAO, LAKINI HIYO HAIJA ANDIKWA NDANI YA BIBLIA. KILICHO ANDIKWA NI YESU AKISEMA " MIMI NAENDA ZANGU, NANYINYI MTAKUFA NA DHAMBI ZENU" PIA KILA MTU ATAUBEBA MZIGO WAKE MWENYEWE SIKU HIYO ITAFIKA..
huyu pastor nimenuelewa anakataa tu lakini yeye pia nikama huwa anaunga utatu mtakatifu lakini nikujifanya tu ...Alhamdulilahi mimi pia nilikua namwabudu yesu kama mungu
Hawa wakristo wachekesha kweli kweli. Wakiulizwa maswali rahisi wababaika huku na kule, mara andiko hili yesu ni mwana wa mungu, mara ni mungu, mara ni mungu aliyevaa mwili wa mwanadam. Haijulikani waeleza nini. Maskini wamevurugwa akili nao wakashindwa kutumia akili zao sasa wamekuwa mazezeta!!
Imani yetu ni yetu, si nyinyi mnaamini majini ni viumbe na pia wameslimu. Mbona imani yetu kuwa Yesu ni Mungu, mwana wa Mungu n.k. inawapa tumbo joto hivyo? Ninaomba mtutolee maandiko katika Quran yenye mafunzo bali sio kushindania jambo moja kila wakati. Mbona sijibiwi kwa haya??? Quran 2:191 "Wauweni makafiri popote muwakutapo." Quran 3:28 "Waislamu wasiwafanye makafiri kuwa marafiki" Quran 3:85 "Dini yoyote isipokuwa Uislamu haikubaliki" Quran 5:33 "Waume na wasulubishe makafiri ikiwa wanaukosoa Uislamu" Quran 8:12 "Waogopeni na wakateni vichwa wale wanaoamini vitabu visivyokuwa Quran." Quran 8:60 "Waislamu lazima wakusanye silaha zote ili kuwatia hofu makafiri" Quran 8:65 “Makafiri ni wajinga; wahimize Waislamu kupigana nao” Quran 9:5 "Inapotokea fursa, wauweni makafiri popote mtakapowakamata" Quran 9:123 "Pigeni vita na makafiri waishio jirani zenu" Quran 47:4 “Msitamani amani na makafiri; wakate vichwa ukiwakamata Haki iko wapi hapa?
kama vile huyo shetani wenyu anaitwa allah alibalisha na kusema mamake yesu nini dada ya Aaron na moses? wajinga nyinyi hata hamueliwi dini yenu ni ya kishetani
Mashallah Allah awape wepec mzdd kuwaelimisha wasijua din ya hakka mpo vzr kwa kupangua hoja ambazo hazina mashiko. Allah awape mema hpa na kesho Akhera. Allahumma Amiiyn.
Tabarak Allah Team. Hakuna Mtu anaye itwa 'yesu'! . 'E'ssa' ndio original name. Na WAZUNGU wa KWANZA kui soma Quran, na ku jaribu kui TAFSISIRI Neno 'ESSA', katika lugha ya WaZUNGU, ali kuwa ni Mu GREEKI anaye itwa ERASMUS, in 1516AD. And ERASMUS while reading the Quran in ARABIC, translated the Name 'ESSA', as: 1) 'Essus' in GREEK, in 1516. Then the Germans translated ESSUS as... 2) ....J-Essus* in German, in 1526 *The German 'JEssus', is Pronounced as 'Yessus' in German. The letter 'J' in GERMAN is read with a 'Y' sound. 3) Then in 1611, the English borrowed the word 'Jessus' from the GERMANS, and it became 'Jesus' in English. 4) 'Jeyzee' in French 5) 'Issus' in Yugoslavian 6) 'Hesus' in Philipines. 7) 'Yasoo Masi' in Indian. And how the English/ German word 'Jesus' BECAME 'Yesu' in Kiswahili, i will never understand! Because a NAME cannot be translated! Now..... This PASTOR is repeatedly pointing to his ENGLISH Bible, and calling it the 'Injeel', and the 'TORAT'.!! Ustad, WHY did you NOT ask this Pastor to OPEN his ENGLISH Bible, and then SHOW you the SINGLE Books called the 'INJEEL' and 'TORAT', inside his ENGLISH Bible??? Because, if you OPEN any ENGLISH Bible, you CANNOT find a Book called 'INJEEL', or a Book called the 'ZABUR', or the Torat! Because the WORD, or the BOOK called the 'Injeel' is NOT mentioned in ANY ENGLISH Bible. Similarly, the WORD 'Torat', does NOT EXIST in ANY ENGLISH Bible! THIS is HOW you would have PROVED that the 'INJEEL' and the 'TORAT' are NOT in ANY ENGLISH BIBLE, in the WORLD!! Similarly, the WORD 'ZABUR' does NOT EXIST in any ENGLISH Bible NOW, if these THREE BOOKS of the Injeel, Torat and ZABUR do NOT EXIST in ANY ENGLISH Bible, THEN HOW on EARTH, did they SUDDENLY appear in the SWAHILI Bible, from 1952 ONWARDS? HOW???? How? Through UFISADI by the TANZANIAN Bishops, who SNEAKED these THREE WORDS of 'Injeel', 'Zabur' and 'Torat', INTO their SWAHILI BIBLE, in 1952! And WHERE did these Swahili BISHOPS STEAL these 3 Names from? The SWAHILI Bishops STOLE the NAMES of these THREE Previous BOOKS, from the QURAN! Because the these THREE Previous BOOKS are ONLY mentioned in the QURAN ! SIMPLE as that! Now... The Torat was a SINGLE BOOK, written in the MISR Language of IBRANI!. The Torat is NOT the 5 different European Story Books, collected in the Biblos! MashaAllah Team!
@@nubianqueen6700 Correct! Our Ustad must make a point of telling them that the 4 GOSPELS are Mzungu StoryBooks written by 4 PAGANS from the CRUSADER Established town of ANTIOCH, in the 1400s!
Father, Son, Mother are TERMS that apply ONLY to HUMANS or CRWATIONS of GOD. Bible ime wa dangaya yesu sio JUSGE yeyote. Allah bdiye ataye JUDGE! A servant cannot JUDGE a Crwation, like himself!
Yaani Pastor ana taka ku toa andiko ambao ita contradict verse inao sema "yesu, a MAN ni mupati nashi"! Yaani kila andiko ambao anao towa USTAD ya Biblos, PASTOR ako na andiko laku CONTRADICT!! Yaani hawa ma Greedy Pastor, wana fundisha kutoka Biblia ambao iko na CONTRADICTIONS thungu Mzima! Total Uwingo, katika Ukristo! Yaani, as long ata TOLESHA Sadaka, he just does NOT care about Contradictions!
Ai, Pastor, anafikiria STORY BOOK , ilio TUNGWA na MuPAGANI King James, in 1611AD, ni Maneno ya MzUNGU na Bebeto, au Jayzey, au jesus, au yesu! Ai, which ONE is the REAL 'jesus' ?? Wewe, Pastor HAKUNA kitabu cha INJEEL na TORAT katika hio ENGLISH Bible mkononi YAKO! Don't danganya Watu, because the 'GOSPELS' are 4 BRITISH BOOKS written by FOUR PAGANS, who were born in ANTIOCH, Turkey! Tabarak Allah Team.
Kweli kabisa! Neno GOSPEL ni Proper NOUN, therefore it CANNOT be translated as the ARAMAIC word INJEEL. Similarly, the ENGLISH word PSALMS cannot be Translated as The ARAMAIC word 'ZABUR', which yas been TAKEN from the Quran! Therefore, the SWAHILI Bible has CORRUPTION done by The TZ BISHOPS, when they SNEAKED in WORDS That are NOT present In The ENGLISH Bible!
Ni ngumu wengi wenyu kuelewa Mungu aliye tengeneza kila kitu ulimwenguni. Muslim and fake christians limit God so much......Huyo Mkristo wa maroon jacket anajielewa kabisa anajua maandiko dhabiti kwa bibilia na quran..... huyu mkristo afaa arudishwe tena kama inaeweza.
Mimi sijasubscribe lakini hupata video zote. Eti huyo ndugu yangu mjaluo amejiita nani! Yaani uislamu kila kitu ni fake kuanzia kwa jina!!! Mbona mwapatie watu majina yenye hayako katika kitambulisho na vyeti muhimu?
@@StraightPathDawah Njooni kwa Yesu jinsi mlivvyo, hamtahitajika kubadilisha majina katika vitambulisho na vyeti vyako wala pia hamtalazimishiwa sheria zitakazokuwa mizigo mikubwa kwenu. Hakuna eti lazima umwabudu Mungu kwa lugha ya wengine bali utamwabudu Mungu kwa lugha unayoelewa. Yesu ndiye yote juu ya yote
@@Catherine-mh8sw Haki iko wapi hapa, mbona Waislamu hamnijibu? Vifungu hivi havidhihirishi haki bali vinaeneza chuki, husuda na vita dhidi ya Wakristo na Wayahudi. Quran 2:191 "Wauweni makafiri popote muwakutapo." Quran 3:28 "Waislamu wasiwafanye makafiri kuwa marafiki" Quran 3:85 "Dini yoyote isipokuwa Uislamu haikubaliki" Quran 5:33 "Waume na wasulubishe makafiri ikiwa wanaukosoa Uislamu" Quran 8:12 "Waogopeni na wakateni vichwa wale wanaoamini vitabu visivyokuwa Quran." Quran 8:60 "Waislamu lazima wakusanye silaha zote ili kuwatia hofu makafiri" Quran 8:65 “Makafiri ni wajinga; wahimize Waislamu kupigana nao” Quran 9:5 "Inapotokea fursa, wauweni makafiri popote mtakapowakamata" Quran 9:123 "Pigeni vita na makafiri waishio jirani zenu" Quran 47:4 “Msitamani amani na makafiri; wakate vichwa ukiwakamata