Тёмный

Pastor EZEKIEL ODERO wa KENYA atua Bongo kwa ajili ya jambo hili kubwa, afunguka A to Z kilichomleta 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 45 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

20 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 128   
@mariammohammed9229
@mariammohammed9229 7 месяцев назад
Acha kuhukumu watumishi wa Mungu,Mungu ndiye anaye wajuwa,wellcome pastor Ezekiel in Tanzania
@lulanjamd3886
@lulanjamd3886 7 месяцев назад
We love pastor Ezekiel welcome to 🇹🇿
@monirangerera7155
@monirangerera7155 7 месяцев назад
Love you pastor Ezekiel
@OliverFabian-t6n
@OliverFabian-t6n 7 месяцев назад
Ameen🙏 barikiwa Baba.
@DorcusAlex
@DorcusAlex 7 месяцев назад
Karibu sana tunakupenda
@wakywenaky3674
@wakywenaky3674 7 месяцев назад
Karibu sana Tanzania ,MAN of GOD
@christinemeri8189
@christinemeri8189 7 месяцев назад
AMEN AMEN AMEN in JESUS MIGHTY NAME
@agneselia9000
@agneselia9000 7 месяцев назад
Ameni jina la BWANA litujuzwe karibu baba Tanzania 🇹🇿
@AnastaziaPeter-ue7pd
@AnastaziaPeter-ue7pd 7 месяцев назад
Karibuu saaaaaaaaaaan baba yangu wa kiroho pastor ezekiel na mungu akulinde kwakila jambo
@vellyshayo6790
@vellyshayo6790 7 месяцев назад
Welcome man of God in Tanzania
@DorcusAlex
@DorcusAlex 7 месяцев назад
Tunakupenda sanaaaa paskaribu tanzania
@lazaruswasike
@lazaruswasike 7 месяцев назад
Amen pst Ezekiel,sisi kama wakenya twakubaliana na wewe kupeleka ujumbe wa Mungu Tanzania
@threebrothers..
@threebrothers.. 7 месяцев назад
Mimi NI mkenya na ninaita ezekiel nabii WA uwongo,nikimpima na vigezo vya bibilia,huyu sio nabii WA mungu
@Marymami-qp2su
@Marymami-qp2su 7 месяцев назад
We love Kenya, Tanzania pia...
@happymwakapala3425
@happymwakapala3425 7 месяцев назад
The man of God karibu
@greysonmalila1296
@greysonmalila1296 7 месяцев назад
Tunakusubiri 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 my spiritual father❤❤❤
@JosephIkera
@JosephIkera 7 месяцев назад
Karibu paster tz tunategemea mungu atatendaiujiza na binafsi anitendee na mimi amini
@marthanatumwa
@marthanatumwa 7 месяцев назад
KARIBU BABA YETU WA KIROHO,TUNAKUPENDA SANAAAAAAA,SANAAAAAA❤❤
@hategekimanamariespeciose5701
@hategekimanamariespeciose5701 7 месяцев назад
Nawapenda sana
@hategekimanamariespeciose5701
@hategekimanamariespeciose5701 7 месяцев назад
BURUNDI pasta utakuja rini tunakuitaji Baba❤❤🎉🎉😢😢🎉
@MaryDunstanngalomba-f4t
@MaryDunstanngalomba-f4t 7 месяцев назад
Amen pastor❤❤❤❤❤
@JacklinekaimuriGitonga-ru2dz
@JacklinekaimuriGitonga-ru2dz 7 месяцев назад
May God bless you daddy
@elizabethjackson3865
@elizabethjackson3865 7 месяцев назад
Amen mtu wa Mungu
@EzzyK438
@EzzyK438 7 месяцев назад
Huyu mchungaji kanikosha kweli. May God keep him as a world's treasure 🙏
@naseriannamelok7146
@naseriannamelok7146 7 месяцев назад
Amen be blessed
@LoishieMollel
@LoishieMollel 7 месяцев назад
❤❤❤❤❤We love tz.kenya we love Ezekiel we love gospel
@atanasiokessy3756
@atanasiokessy3756 7 месяцев назад
Amen mtumishi wa mungu karibu mtumishi Tanzania
@annaelimallya4942
@annaelimallya4942 7 месяцев назад
Karibu Sana TZ
@stellajohn8486
@stellajohn8486 7 месяцев назад
Kalibu Sana tz
@nuruhabibasally
@nuruhabibasally 7 месяцев назад
Mungu akusamehee samuel maana wew na ezekiel kwa mtazamo n mawaidha yupi anapotosha watu wew kama injili yake haikuridhishi tulia kwenye unaridhika na hubiri kile cha kusaidia wengine hatuamin binadamu tunaamin Mungu
@AnastaziaPeter-ue7pd
@AnastaziaPeter-ue7pd 7 месяцев назад
Umemjibu vyema
@MaryWainaina-j5u
@MaryWainaina-j5u 7 месяцев назад
Watu Wa Mungu wanapotea Kwa kukosa maarifa
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc 7 месяцев назад
His Calmness
@IbrahimSokoine-b2c
@IbrahimSokoine-b2c 7 месяцев назад
Kariba mtumishi by Ibrahim
@sikitugeorgette
@sikitugeorgette 7 месяцев назад
Amen Amen 🙏
@MosesMwangi-ni7hm
@MosesMwangi-ni7hm 7 месяцев назад
Fanya kazi Fanya ya bwana
@GloryAdrianGloryadrian
@GloryAdrianGloryadrian 7 месяцев назад
Ushatua teyariiiiiiiiiii nakusubiri kwahamu
@mshaimariam2955
@mshaimariam2955 7 месяцев назад
I you don't know any servant of God pls don't put a curse in your life be careful. He is a blessing to my life I'm out side the country I'm living abroad. Keep your attitude.
@Reginajohnson19884
@Reginajohnson19884 7 месяцев назад
Kaja kuuwa Tanzania pia
@dozenleonard6339
@dozenleonard6339 7 месяцев назад
❤❤❤
@Marymami-qp2su
@Marymami-qp2su 7 месяцев назад
Amen..
@samuelmwakasungula178
@samuelmwakasungula178 7 месяцев назад
Kama mtumishi wa Mungu nitaongea ili kubadilika, unaposema jambo lazima utaje dhambi ya ntu ili abadilike je ni wapi kumemkosea Mungu, ukweli utaambiwa tu maana hats Youana mbatizaji akiuwawa kwa kumwambia Hello dhambi zake hivyo sitishwi na kitu chochote.
@oliviabarrack231
@oliviabarrack231 7 месяцев назад
Halleluia 😊
@QueenethNcube
@QueenethNcube 7 месяцев назад
Bwana Yesu asifiwe sana Nabii mwingine Nabii Utukufu kwa Bwana 😂😂😂 ni mdogo wake Nabii Mkuu 😂😂😂
@threebrothers..
@threebrothers.. 7 месяцев назад
Pastor Ezekiel nabii WA uwongo,watanzania someni bibilia muweze kuwafahamu,
@naomnyaboe8163
@naomnyaboe8163 7 месяцев назад
Ukweli kabisa sisi wote tunafanya kazi Kwa yesu christo lakini tuko office difference.
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 7 месяцев назад
Pastor Mckenzie best friend. Occultic leaders
@Churchofecclesia
@Churchofecclesia 7 месяцев назад
OCCULTIC LEADER ya familia yako, fool
@samuelmwakasungula178
@samuelmwakasungula178 7 месяцев назад
Veronica umetoa wapi tena hii
@RobertsonNandime-eo9fp
@RobertsonNandime-eo9fp 7 месяцев назад
AMEEEEEEEEEEEN ❤❤❤
@ameedamilja7992
@ameedamilja7992 7 месяцев назад
I hope Pastor Ezekiel hana elements za Yuke pastor mwingine aliyeua watu na Njaa akiwadanganya wafe njaa wataemda ku.wona Yesu.
@Reginajohnson19884
@Reginajohnson19884 7 месяцев назад
Walishirikiana wote wafuasi wa shetani
@norahfrank
@norahfrank 7 месяцев назад
Mkutano utakuwa wapi???
@ANETHKANSHWI-op8ow
@ANETHKANSHWI-op8ow 7 месяцев назад
Aje mwanza
@huldamichael4445
@huldamichael4445 7 месяцев назад
Wapi mkutano utafanyika
@annacyril5832
@annacyril5832 7 месяцев назад
Biafra, kinondoni, Dar.
@samuelmwakasungula178
@samuelmwakasungula178 7 месяцев назад
Roho mtakatifu anasema mungu wako ni tumbo lako , kama sivyo umevutika na nini na Ezekiel
@shivobs4485
@shivobs4485 7 месяцев назад
Tuna muhitaji MBEYA
@samuelmwakasungula178
@samuelmwakasungula178 7 месяцев назад
Ili mtu asemehewe ni lazima ajue dhambi ndipo atubu ndiyo maana Yesu akisema katika kitabu cha Luka 13:3 kama msipo tubu mtaangamia nanyi hivyo hivyo kwa hiyo ili mtu apate msamaha wa dhambi unapaswa kutambua dhambi kisha utubu. Tatizo yako nikufundwa mafunzo ya mwanadamu ambayo anajitungia kichwani badala neno la Mungu kutoka Biblia, tafuta kanisa ambalo litaweza kusaidia kukua katika maarifa ya neno la Mungu badala mafundisho ya kutungiwa na mwanadamu, madhara yake ndiyo maana watu walipelekwa mlimani na outta kafara, ukiongozwa na hekima ya wanadamu badala ya Mungu utaangamia
@roselynealima3618
@roselynealima3618 7 месяцев назад
Nawaombeni mjifunze kujiombea Mungu pia anasikia sio lazima uombewe sai ni kubaya anyway much love from kenya ❤
@Churchofecclesia
@Churchofecclesia 7 месяцев назад
Endelea kujifanya unajua kila kitu
@ChumanaSusi
@ChumanaSusi 7 месяцев назад
Kwani ukanena hivyo 🇰🇪?
@SleepyCoyote-vf8vy
@SleepyCoyote-vf8vy 7 месяцев назад
Uko sawa bro, mwenye ana uwezo wa kuponya aende hospitali wagonjwa wako huko tuwachane na hao wa kuletwa madhabahuni
@samuelmwakasungula178
@samuelmwakasungula178 7 месяцев назад
Haha ina maana haukuione link wakati serikali ya Kenya unamkamate kwa tuhuma ya kushirikiana na Makenzi kutoa watu kafara mlimani, ngoja nitume tena
@ChristinaWallasch
@ChristinaWallasch 7 месяцев назад
Susi hatufungi mpaka kufa,
@samuelmwakasungula178
@samuelmwakasungula178 7 месяцев назад
John kama sio matepeli kitu gani ambacho kumevuta kwa Ezekiel kama sio hela zake Alizo nazo, tunapaswa kuvutika na neno la Mungu pekee na sio mali
@samuelmwakasungula178
@samuelmwakasungula178 7 месяцев назад
Dada Rachel kama serikali ya Kenya ilikuwa na wasiwasi naye na kumtuhumu kwamba alihusika kuwapeleka watu mlimani na kuwaua huko kwanini usihoji hilo, anatakiwa aongelee hilo kwanini serikali ya Kenya limshitumu kwamba alishirikiana kuwaua watu mlimani,
@WilsonKogo-rz7fw
@WilsonKogo-rz7fw 7 месяцев назад
Na mbona mikutano yako mingi wamama ni wengi?
@mariakomba2468
@mariakomba2468 7 месяцев назад
🙏🙏🙏🇹🇿
@antonykamau7711
@antonykamau7711 7 месяцев назад
Wacha.maneno tafuta neno mungu akusaidie unajua wewe sio mungu
@AgnessNjeri
@AgnessNjeri 7 месяцев назад
Hizo bango hamjaweka moshi maeneo ya himo
@samwelmatemu8873
@samwelmatemu8873 7 месяцев назад
Unafanyika mkoa gani
@HappyPhilly-oq4bs
@HappyPhilly-oq4bs 7 месяцев назад
Dar
@samwelmatemu8873
@samwelmatemu8873 7 месяцев назад
@@HappyPhilly-oq4bs thanks
@Reginajohnson19884
@Reginajohnson19884 7 месяцев назад
Mashetani wanajuana
@AnastaziaPeter-ue7pd
@AnastaziaPeter-ue7pd 7 месяцев назад
Pastor ezekiel hamlazimishi mtu kufuata injili yake ni sisi wenyew tunatafuta chanel yake,tunaamua kutazama kwa hiari yetu wenyewe,kisha unasikiliza mafundisho alafu unachagua mwenyewe je uendelee kufata mafundisho yake au laaa
@ChumanaSusi
@ChumanaSusi 7 месяцев назад
Usimlinganisha na Makenzi mwenye kuuwa wafuasi wake mia 800 kwa shamba lake kwa kuwambia wasikule chakula
@Jurbeg
@Jurbeg 7 месяцев назад
Amen Amen 🙏🙏🙏🇹🇿
@mako331
@mako331 7 месяцев назад
Yani ukristo umeingiliwa na ujinga sana, chungeni huyu jamaa sana ana ukora mwingi, mtaibiwa nyie mpaka mkidanganywa miujiza mpaka mchoke
@claudiajames2003
@claudiajames2003 7 месяцев назад
Si ndio huyu ilisemekana kushirikiana na yule mwenzie aliezika watu wengi au??
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 7 месяцев назад
Ndio mwenyewe
@yt-tk6uy
@yt-tk6uy 7 месяцев назад
This con is now working with Tanzanians,...mtampa hizo pesa zenu ndogo
@evansogutu4167
@evansogutu4167 7 месяцев назад
Kupiga ukunga ndio Nini tafathali
@pendokihongosi48
@pendokihongosi48 7 месяцев назад
😂😂😂kelele
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 7 месяцев назад
Kupiga nduru
@naseriannamelok7146
@naseriannamelok7146 7 месяцев назад
​@pendokihongosimayowe48
@faustinaurio3703
@faustinaurio3703 7 месяцев назад
Nduru
@ramseyngwejela499
@ramseyngwejela499 7 месяцев назад
😮 Ezekiel aliwauwa watu mlimani? Una ushahidi wowote wa kuthibitisha hilo unaloliongea? Acha kushiriki dhambi za watu wengine. Be careful unapotoa comment yoyote ktk mambo ambayo hujayathibitisha wewe mwenyewe. Acha kueneza uzushi na uongo. Give us evidence.
@samuelmwakasungula178
@samuelmwakasungula178 7 месяцев назад
Kazi wetu kama wahubiri ni kuhubiri uovu, unauchaguo kutubu na kuendelea na uovu.
@samuelmwakasungula178
@samuelmwakasungula178 7 месяцев назад
Umempendea ni ni Ezekiel kama sio tapeli wewe kutoka hela, zake maana umesikia alitoa hela nyingi kwenye mkutano Kenya. Mlikuwa wapi kuambatana naye kabla ya kutoa hizo hela, umelogwa na hela. Wewe ni Yuda akiyensakiti Yesu kriato
@EvaMguss
@EvaMguss 7 месяцев назад
Sio tapeli mfatilie ezekiel ni pasta wa ukweli Mimi ni mtz lakin hiyo ndio mathabahu yangu nimeponywa magonjwa makubwa nimefanikiwa mengi lakin kubwa nimejifunza neno la Mungu sana na zaidi ambayo sikuyajua Toka mdogo ukweli sio Kila mtu ni WA kumbeza nakushauri kwa upendo tu
@samuelmwakasungula178
@samuelmwakasungula178 7 месяцев назад
Wachungaji wa Tanzania ni matapeli, wenyewe wanaangalia hela hawaangalii neno la Mungu, kama mtu hana hela hawezi kufanya mkutano,Mungu awasaidia watanzania maana wanatumikia hela sio Mungu, inabidi pia Ezekiel awe makini kwamba anapendwa kwa ajili ya fedha sio kwa ajili ya huduma Itakuaje mtu ambaye anatuhumiwa pia kuwapeleka watu mlimani na kuwaua huko, je anataka kuleta hiyo roho chafu kwa watanzania. Watanzania muwe makini
@ChumanaSusi
@ChumanaSusi 7 месяцев назад
Unachesha sana ndugu. Ati ametuhumiwa kufanya nini? 🇰🇪
@Jurbeg
@Jurbeg 7 месяцев назад
MiMi ni mtanzania lakini pastor Ezekiel nimtumishi wa MUNGU alie hai nawala sii muuaji Amen 🙏🙏🙏😢
@samuelmwakasungula178
@samuelmwakasungula178 7 месяцев назад
Hakuna mtu ambaye anakipimo cha kumpima mtu kwamba huyu ni mtumishi wa Mungu huyu sio mtumishi wa Mungu. Kipimo ni neno la Mungu, Tatizo ambalo naliona na watumishi wa Tanzania kuvutika na hela Ezekieli na sio neno la Mungu. Ezekiel alituhumiwa kuwa alikuwa pamoja na mtu ambaye aliwapeleka watu mlimani na kuwaua huko, lakini kama aerikali ya Kenya iliona hana hatia, basi vema ila umakini unahitajika
@Jurbeg
@Jurbeg 7 месяцев назад
@@samuelmwakasungula178 mMa naloli kyala akusaje Mundu gwa JESU 🙏🙏🙏🙏
@marynanjala5334
@marynanjala5334 7 месяцев назад
Never judge, may God forgive you
@samuelmwakasungula178
@samuelmwakasungula178 7 месяцев назад
Sila ujue kwamba watu wanapaswa kuvutika na neno la Mungu, na sio miujiza. Mungu atawakataa siku ile ya mwisho, Yesu amesema katika kitabu cha Matthayo 7:21, wewe umekuwa shabiki wa Ezekiel kwasababu umevutika ne hela zake, na sio neno la Mungu na unahisa naye. Bora ukateseka kwa ajili ya neno la Mungu kuliko kuteseka kwa ajili ya Ezekiel. Kumbuka kwamba wajinga ni wengi, hawaishi wajinga,
@LaehMaloba
@LaehMaloba 7 месяцев назад
Wacha mungu akusamee.hujui kile unaongea
@LaehMaloba
@LaehMaloba 7 месяцев назад
Wacha mungu akusamee hujui kile unaongea ndugu .
@samuelmwakasungula178
@samuelmwakasungula178 7 месяцев назад
Mungu atakuhukumu wewe ambaye unavutika na watu kwa ajili ya mali wala sio neno la Mungu. Yesu akisema usipotubu na wewe pia utaangamia vilele Luka 13:3 tambua Mungu hatamsamehe mtu mwovu mpaka aweze kutupu. Umejaa fundisho la mashetani mtu hawezi kusamewa pasipo kutubu, Watu wawili walikuwa wakiteseka pamoja na Yesu msalabani mmoja alimtukana Yesu Kristo na mwingine aliomba msamaha, Yesu alimsamehe alio omba msamaha,
Далее
Evangelist Ezekiel - Natamani Kuomba
41:37
Просмотров 1,1 млн