Тёмный

PATANISHO: EUGENE - NILIKOSANA NA BABU YANGU KWA KUMWAMBIA MKE WAKE NI MCHAWI NA ALITAKA KUNIUA 

Radio Jambo KENYA
Подписаться 417 тыс.
Просмотров 7 тыс.
50% 1

Radio Jambo Kenya | Ongea Usikike | Ni kituo nambari moja Kenya kwa matangazo ya kiswahili. Vipindi vyake vina jumuisha Spoti,Mijadala moto moto na muziki wa Kiafrika
#RadioJamboKenya #gidinaghostasubuhi #patanisho
Subscribe to RadioJambo RU-vid - bit.ly/39wwc6u
Mitandao ya Kijamii
Instagram - rb.gy/e154d1
Facebook - rb.gy/09d1b9
Twitter - rb.gy/e23220

Опубликовано:

 

5 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 18   
@MagdalineAtieno-x9u
@MagdalineAtieno-x9u 3 месяца назад
Kama kuna maisha naomba wenzangu wasiwahi experience ni kulelewa ujombani😢, what we went through na my 2 sisters only God can tell, especially being abused wueh , kitu ikipotea nyi ndio wezi, kila nyumbani ya auties na uncles nyi ndio wafanyikazi , majina yenu inawekwa kando na kubatizwa jina maumbwa😢 wageni kija saa ya introduction eti hawa ni maids wangu, hakuna mtu atasema eti watoto wa my sister😢, Mungu awasamehe especially waluhya 😢wana roho mbaya sana na watoto wa watu wengine😢
@softymoha5484
@softymoha5484 3 месяца назад
ukweli kabisaa....
@wanjikuwaweru8541
@wanjikuwaweru8541 Месяц назад
Pole mami😢
@celinejudy1496
@celinejudy1496 3 месяца назад
iyo umri niya bonus mbna unakata msamaha 78yrs uko karibu kufa tubu dhambi zako samea mtoto aiiii
@rachelmuch5788
@rachelmuch5788 3 месяца назад
Very true mzee kiburi na amefikisha Bonus
@mwendapoleee
@mwendapoleee 3 месяца назад
Nivizuri ajue tu alikotoka watoto wasije wakaona,tena ni vizuri,mambo na ardhi lazima babu Aiadikishe bure kijana anaweza pata shida.Babu amsamehe vijana ukosea wamama jamani tuwaoyeshe watoto ama wanaume uko yao watoto wasi teseke kutafta watu wao.
@mumbisandtmann8931
@mumbisandtmann8931 3 месяца назад
Ni hatari mtu kama hajui ukoo wake ata anaweza kuoa madada zake bila kunjua
@worrylesstv
@worrylesstv 3 месяца назад
Naomba unipitie please I do comedy 😢
@worrylesstv
@worrylesstv 3 месяца назад
Naomba mnipitieko tafasali nafanyako comedy 😢😮
@Fraizah
@Fraizah 3 месяца назад
Mnipee hata 1sub aki 😊
@user-cg3vf2bl6b
@user-cg3vf2bl6b 3 месяца назад
Uluyani sio rahisi kulelewa ujombani thats why most of them uwacha watoto penye wamezaa ,unlestupate mjanja mwenye amechsnuka aknunua shamba akajenga bt is not easy,
@sylvia3999
@sylvia3999 3 месяца назад
😂😂 waluhya Waa 😂😂
@cindy8588
@cindy8588 3 месяца назад
Ati shamba work hard buy your own land n make a family home...
@marrieann5278
@marrieann5278 3 месяца назад
Babu samea kijana mbona ako na uzito na anajuwa ni yy amekuwa kama Baba mlezi,amsamehe wasuluhishe hayo maneno atlst amwambie kama anajuwa kwao ama hapana
@user-cg3vf2bl6b
@user-cg3vf2bl6b 3 месяца назад
Nasema na ninarudia please ukizaa mtoto ata awe umemzaa na wazimu julisheni watoti wwnu na wazazi wwnu kwa jumla hakuna mtu asiye na kwao,
@babewajeff
@babewajeff 3 месяца назад
Hamujambo wanajambo????
@worrylesstv
@worrylesstv 3 месяца назад
Hatujambo naomba unipitie please i do comedy 😂😂
@CheronoKiptoon
@CheronoKiptoon 3 месяца назад
Ajikaze atafute shamba lake. Ajijengee
Далее
PATANISHO: Marafiki wa mpenzi wangu wananitongoza
20:42
Miekethano 4th - 6th October 2024
7:56
Просмотров 229
PATANISHO - WEWE ITABIDI UTULIE
24:08
Просмотров 12 тыс.
PATANISHO : APIA - NATAKA KUSOMA KWANZA
15:36
Просмотров 11 тыс.
PATANISHO : ALIKUTOKA KAMA MWIZI JUU HUJALIPA MAHARI
17:15