Тёмный

PATANISHO : FELISTARS - SIRUDI KWAKO HATA NA DAWA, KANYANGA KUBWA KUBWA UKIENDA 

Radio Jambo KENYA
Подписаться 422 тыс.
Просмотров 61 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

30 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 136   
@saryhguusfv1025
@saryhguusfv1025 3 года назад
Caro kemunto watching from saudia Team saudia mko wapi?? gonga likes zetu hapa tukiendanga
@alicekmusic3925
@alicekmusic3925 3 года назад
Hoodi??? Sijachelewa sana.. Hi patanisho fans?? I missed you Jana.. Nipeeni likes kwa kuwamiss hata kama ni Tatu nitashukuru
@denilsonmecha2370
@denilsonmecha2370 3 года назад
Plus comment
@ednanyangarisamamakealex6571
@ednanyangarisamamakealex6571 3 года назад
Team strong 🤣🤣🤐najua hapa ni kazi tu cause cjawaona huku kama siku zingine 💪💪💪 Nawapenda bure be blessed guys +961 ndani kabisa
@mzeeniwewe136
@mzeeniwewe136 3 года назад
+961 tuko hapa bora masare😁😁😂
@rotundajane3426
@rotundajane3426 3 года назад
Hello mama Alex mi pia 961
@ednanyangarisamamakealex6571
@ednanyangarisamamakealex6571 3 года назад
@@rotundajane3426 hello dear siz Beirut hama
@rotundajane3426
@rotundajane3426 3 года назад
Nko inje ya Beirut 15km to mahali nko uko poa lakini?
@rotundajane3426
@rotundajane3426 3 года назад
@@ednanyangarisamamakealex6571 dollar ina leta noma mimi ni mm Bramuel.
@jackienduri4303
@jackienduri4303 3 года назад
Mwanamke akichoka amechoka kila mtu aangazie maisha yake
@penanauae316
@penanauae316 3 года назад
Truly 🤛
@matrianjili4242
@matrianjili4242 3 года назад
Ndio maana ujaolewaa
@jackienduri4303
@jackienduri4303 3 года назад
@@matrianjili4242 shenzi
@auntiemylee3157
@auntiemylee3157 3 года назад
Hajui ivo mpaka ihappen
@auntiemylee3157
@auntiemylee3157 3 года назад
@@matrianjili4242 tukichoka n basi inakuuma ukiwa wap
@moreenmbatha1147
@moreenmbatha1147 3 года назад
number1 nipewe like
@joneskahi3537
@joneskahi3537 3 года назад
Woye , to sad to see family breaking up... We wish them the best
@alexwahu1842
@alexwahu1842 3 года назад
When a woman is fed up! And from this story, i think Titus has been mistreating Felistas for long and she's had enough.
@wasfyhassan401
@wasfyhassan401 3 года назад
Ghost makes this program to be more fun.I wish he was there
@clemencianyaboga8946
@clemencianyaboga8946 3 года назад
Watching from qatar, 🤔🤔🤔🤔
@agnesladasha5641
@agnesladasha5641 3 года назад
From Saudi nko ndani kama kawaida
@getrayamboyeamboye8563
@getrayamboyeamboye8563 3 года назад
Ndio kuingia kutoka kuunda shurba na sambuza😂😂😂
@wasfyhassan401
@wasfyhassan401 3 года назад
Well done it's v.good to remember home.east or west home is the best.
@nancynjogu4
@nancynjogu4 3 года назад
Pamoja saudi
@karanjajane4322
@karanjajane4322 3 года назад
Dammam ndani
@baldie1495
@baldie1495 3 года назад
#Agy hajez swee
@janetsimba8277
@janetsimba8277 3 года назад
Huyu mwanamke ashaa kata kauli....Big big steps🚶‍♀️
@wasfyhassan401
@wasfyhassan401 3 года назад
I love this show
@penanauae316
@penanauae316 3 года назад
Mbona watu ku.comment before topic kuisha why why???????coz ya like ama??
@annmwariri8119
@annmwariri8119 3 года назад
I wonder the same... Eti unaona mtu ooh first to comment ooh brah brah 😂😂😂
@rackemakunda4047
@rackemakunda4047 3 года назад
Wasenzi hawa instead waskize then watoe maoni wanakimbilia kuvmcomment na kuitisha likes for. what?
@penanauae316
@penanauae316 3 года назад
@@rackemakunda4047 ukweli kabisa mashahuri ndio msingi hao unataka like jamani!!!!!
@cynthiakawira1804
@cynthiakawira1804 3 года назад
Ni ujinga wanakuanga nayo na kiherehere ati nipee likes 🤣🤣🤣 nikama watakula, huwa hata waskizi patanisho kwanza
@annaauyo1958
@annaauyo1958 3 года назад
@@rackemakunda4047 well spoken mummy.aki huwa Wana boo.
@thatayangoma5200
@thatayangoma5200 3 года назад
Haki ni mehulumia huyo mwanaume ata 😲😲😲haki men move on wanawake tuko wengi huku inje single welcome 🙏
@annaachienganyiko6641
@annaachienganyiko6641 3 года назад
Wonderfull
@florenshalukale7541
@florenshalukale7541 3 года назад
From Bahrain nko locked
@kimberlytv7895
@kimberlytv7895 3 года назад
Mwanamke anaeza choka nawewe na aendelee kukuchekesha tu udhani mambo iko sawa,but moyo ishaakuacha kitambo,akienda ameenda haezi rudi
@estherchebet4394
@estherchebet4394 3 года назад
True
@realnation5315
@realnation5315 3 года назад
Si mwanamke tu...ata mwanamme tuko pia ivo...tukichoka tunaezakosa kuwatafta
@moreh462
@moreh462 3 года назад
Naomba wakati Ghost hayuko sound effects za kicheko yake ziwekwe 🤣🤣
@getrayamboyeamboye8563
@getrayamboyeamboye8563 3 года назад
Hiii shughuli ya ramadhan imenifanya ni chelewe kusikiza patanisho. 😂😂😂wapi likes za kuingia late team hammamu💪💪💪
@vanemomanyi6808
@vanemomanyi6808 3 года назад
Wanawake huvumilia lkn nayo makosa yakiunganishwa inabidi mtu kuamua mara moja wanaume wa kisasa huchosha si kama wa mababu zetu🤔🙏🙏💪
@ramycell9381
@ramycell9381 3 года назад
Niko hapa ku mark register
@christinekraus121
@christinekraus121 3 года назад
Gidi, i know that you are not allowed to give out private details of your clients due to data protection and for privacy purposes. Nevertheless i have been searching for my former Nanny going by the same name Faith felistas Mueni. Going by her voice of this patanisho she sounds exactly like our Faith. Interesting enough then in 2006 she was seeing a one Titus (Taxi driver) residing in kibera line 7. If she is the lady i have been searching for years , hailing from Kitui, my family would love to see her once more. We moved to Europe and would love to see her once again. Let me know if i can leave my contacts so that you can share with her. I would really love to know how she is doing.
@cynthias.8950
@cynthias.8950 3 года назад
Did they get in touch with you? Did you reunite with her?
@MercyKirui
@MercyKirui Год назад
Did you get her?
@kenyanniggar357
@kenyanniggar357 3 года назад
kwenda lingia mbali!
@minsharley3926
@minsharley3926 3 года назад
Kanyaga kubwa kubwa mamaa,karibu join us single parents aluta continua. Wanawake tunavumilia mengi na hawaoni, usiteseke kwa nyumba ya mtu kisa ndoa ni kuvumilia.
@kevohwapipelinetransami4351
@kevohwapipelinetransami4351 3 года назад
Titus enda kwao mke wako utasaidika
@annaauyo1958
@annaauyo1958 3 года назад
Kevo nlijuwa tu ntakupata huku😂😂😂😂
@baldie1495
@baldie1495 3 года назад
#KEVO 🤔🤔
@gladysgladys9845
@gladysgladys9845 3 года назад
Kama hawezi salimia wazazi wa bibiye kwa simu 2, atafungaje safari ya kwenda kutatua maneno huko?
@joannanaliaka515
@joannanaliaka515 3 года назад
Ashaenda sake bana😂😂😂
@lixmatati4255
@lixmatati4255 2 года назад
Mwanaume kama hana mapato, hua Hana courage ya kuenda kwa in-laws, understand that guy, then hyo event ya Ile siku sio kitu ya kufunya uache mtu, Kuna something else
@lenitygakii9570
@lenitygakii9570 3 года назад
From UAE Niko ndani
@mamanyamiraKemmy2027
@mamanyamiraKemmy2027 3 года назад
Haki hata mimi siuniconnect to.Dubai
@matrianjili4242
@matrianjili4242 3 года назад
🤣🤣🤣🤣from Israel
@kiiaknia7232
@kiiaknia7232 3 года назад
from Kuwait
@estherwafula6932
@estherwafula6932 3 года назад
Niko ndani kama kawa
@koriryo132
@koriryo132 3 года назад
Me niko kwa comments 🤣🤣
@stargal906
@stargal906 3 года назад
Mie hata ukinipiga tu hata Kofi kwako hunioni tena ng'o 😂😂mama kevo rudi kwako mluhya Amelia kweli waah. 🤣🤣🤣Mara yangu ya Kwanzaa kuskia mluhya akiomba radio jambo🤫🤔😝😝😝ni kubayaaa.
@beb829
@beb829 3 года назад
Huyu ni mmeru
@stargal906
@stargal906 3 года назад
@@beb829 kumbe si mluhya 😂😂😂😂
@tonnychege5795
@tonnychege5795 3 года назад
By the way ni mmeru muthomi
@kimberlytv7895
@kimberlytv7895 3 года назад
Huyu jamaa anaongea sana
@peninakariuki2078
@peninakariuki2078 3 года назад
Vita kwa ndoa sio poa...but kukaa 8 yrs kwa marriage sio mob bila kupelelewa mahali....but Titus wazazi side ingine ni poa kuwajulia ...fuliza mpaka kwa ndoa mpaka tubarikiwe
@lilliannelima7009
@lilliannelima7009 3 года назад
Makubwa Makubwa 🏃🏃🏃🏃
@emeldahkwamboka8511
@emeldahkwamboka8511 3 года назад
Always man u need to defend your gumani hata kamA amekosea.
@kevohwapipelinetransami4351
@kevohwapipelinetransami4351 3 года назад
Tuko rada uku
@thinkingkenyan9002
@thinkingkenyan9002 3 года назад
Ndio sisi hao Mr Kevoh 👊🏾👍🏾
@alicekmusic3925
@alicekmusic3925 3 года назад
Ndio ndio
@RoroRoserororo
@RoroRoserororo 3 года назад
Akiangai
@karanjajane4322
@karanjajane4322 3 года назад
Msijifanye hamjasikia... Mama kevo unaendelea aje😵😵
@tiredleavemethefalone9347
@tiredleavemethefalone9347 3 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣 tumeskia
@mirardor8521
@mirardor8521 3 года назад
WE MISS 👻GHOST 😂😂
@bettyoluoch9774
@bettyoluoch9774 3 года назад
😃😂😂😂😂😃😂😂😂 ati makubwa makubwa yawa
@Violetndiolo254
@Violetndiolo254 3 года назад
Felistas mapenzi ni ya wawili na sio wazazi.
@karanjajane4322
@karanjajane4322 3 года назад
Uhuru fungulia watu road wakaone mashemeji
@emilyaholi9009
@emilyaholi9009 3 года назад
🤣🤣🤣🙌🙌
@everygoodthing8506
@everygoodthing8506 3 года назад
She wanted a moment in the spotlight to get back at her husband. She got it. She felt good mocking her own husband's plea. Now life will teach her a bitter lesson.
@susanmuthoni1167
@susanmuthoni1167 3 года назад
Aje sasa?? Siku pati.sasa arudi kwa bwana akateseke??
@everygoodthing8506
@everygoodthing8506 3 года назад
@@susanmuthoni1167 There are a thousand ways to tell someone you have moved on without mocking them while they are on their knees begging you. She was smirking and wanted him to feel worthless. She has gotten her wish.
@susanmuthoni1167
@susanmuthoni1167 3 года назад
@@everygoodthing8506 i dont see it that way.she said it very Clear she is not interested in that relationship.i would have done the same.there is nothing wrong with what she said. Hapo hakuna mocking!!
@selahselah474
@selahselah474 3 года назад
Mimi nimehurumia this man aki sioni kosa kubwa lenye amefanya
@maryannwanjiku8447
@maryannwanjiku8447 3 года назад
@@susanmuthoni1167 u
@jamesgathaiya6450
@jamesgathaiya6450 3 года назад
It's better to forgive no one is perfect mwanaume enda kwa akina wazazi
@dominickasina1409
@dominickasina1409 3 года назад
Maisha n gum
@morgansjohntymorganskichwa3182
@morgansjohntymorganskichwa3182 3 года назад
No wira tu
@kaibungarose4207
@kaibungarose4207 3 года назад
Tutashanga dowry
@kaibungarose4207
@kaibungarose4207 3 года назад
Kawone murume
@henryachufusi3393
@henryachufusi3393 3 года назад
Ashaa kanyanga makubwa aki
@nikiniki8130
@nikiniki8130 3 года назад
Ghost alienda wapi I miss him
@christinekraus121
@christinekraus121 3 года назад
I have been wondering too. Ama they fired him for laughing too much
@mohammedhadijellyboy8753
@mohammedhadijellyboy8753 3 года назад
He returned to coaching
@janetwanja9501
@janetwanja9501 3 года назад
He's coaching, he's not fired he will be back
@mariamsuu6534
@mariamsuu6534 3 года назад
Mi hupenda vile nyeye hucheka akhi
@susanmuthoni1167
@susanmuthoni1167 3 года назад
@@christinekraus121 🤣🤣🤣
@Elsahkey254
@Elsahkey254 3 года назад
Na miss kicheko ya ghost 😂😂😂😂
@janewanjiru7633
@janewanjiru7633 3 года назад
Nkt! The guy thinks he has a right to beat the wife…aki mwenye atanijaribu we will never leave the corridors of justice untill justice is reached and if justice fails i will take it into my hands…
@josephineobiero4552
@josephineobiero4552 3 года назад
From United Arabic Emirates +971
@danneismail5442
@danneismail5442 3 года назад
Pia mimi niko huku Dubai si tutafutane tujuane pliz
@denilsonmecha2370
@denilsonmecha2370 3 года назад
Gidi mimi niliwai bembeleza Ex wangu na alikua afanye weeding na rich kid akacancel weeding imagine
@mariamsuu6534
@mariamsuu6534 3 года назад
Alikuwa anakusubiri bado mapenzi ilikuwa
@denilsonmecha2370
@denilsonmecha2370 3 года назад
@@mariamsuu6534 😂😂sidhani
@mariamsuu6534
@mariamsuu6534 3 года назад
Nakwambia ukweli
@idonttrustwomen6215
@idonttrustwomen6215 3 года назад
Hahhaha marriage ni funny Sana
@musty2025
@musty2025 3 года назад
Huyu jamaa ana rap kweli kweli apige collabo na OG ama octopizzo
@melvinenaliaka905
@melvinenaliaka905 3 года назад
Mwanamke akishaamua arudi n yy ndo anajua ugumu wenye uko apo
@idonttrustwomen6215
@idonttrustwomen6215 3 года назад
Ghost 👻 ako wapy
@pamelamudogo5551
@pamelamudogo5551 3 года назад
Titus move on huyu msichana ameamua
@chullakoi1508
@chullakoi1508 3 года назад
"No more chances"ukiskia hiyo bas ni muujiza utoke mbinguni.
@koriryo132
@koriryo132 3 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@chullakoi1508
@chullakoi1508 3 года назад
Ukweli hapo bro ajipange punda alichoka
@julianamalinda2357
@julianamalinda2357 3 года назад
Weeeeee mimi leo pia siko eti ni do nini ? makubwa makumbwa
@idonttrustwomen6215
@idonttrustwomen6215 3 года назад
Blacklistiii hahaha 😂
@sarahraymond7719
@sarahraymond7719 3 года назад
😂😂😂😂😂😂😂
@zarabati1750
@zarabati1750 3 года назад
Hahahahahaha
@nkathalisa7271
@nkathalisa7271 3 года назад
Huyo amefika mwisho
@badifamwenyewe8301
@badifamwenyewe8301 3 года назад
Uhuru fungua njia sasa 🤣🤣
@godsfavour5665
@godsfavour5665 3 года назад
Titus jipange sawasawa huyu asha kutoka
@jovialnancy2508
@jovialnancy2508 3 года назад
Yawa mama kevo nguone wadu
@jessicarasigu2220
@jessicarasigu2220 3 года назад
Ojogo min kevo yawa
Далее
PATANISHO : NJERI - ALITUKANA MTOTO WETU 'KAMBWA'
20:16
Always Help the Needy
00:28
Просмотров 19 млн
Miekethano 18th to 20th Oct 2024
7:56
Просмотров 502
PATANISHO : MIMI NISHAPATA MUME,,, JUST MOVE ON
21:34
PATANISHO : WEWE NILIKUAMBIA NARUDI DECEMBER
18:10
Просмотров 13 тыс.