Тёмный

PATANISHO : GIDI, HUYU HAAMBILIKI, WATU WA FAMILIA WAMEJARIBU KUMUONGELESHA MPAKA WAKACHOKA 

Radio Jambo KENYA
Подписаться 413 тыс.
Просмотров 12 тыс.
50% 1

Radio Jambo Kenya | Ongea Usikike | Ni kituo nambari moja Kenya kwa matangazo ya kiswahili. Vipindi vyake vina jumuisha Spoti,Mijadala moto moto na muziki wa Kiafrika
#RadioJamboKenya #gidinaghostasubuhi #patanisho
Subscribe to RadioJambo RU-vid - bit.ly/39wwc6u
Mitandao ya Kijamii
Instagram - rb.gy/e154d1
Facebook - rb.gy/09d1b9
Twitter - rb.gy/e23220

Опубликовано:

 

18 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 38   
@silamnyama1642
@silamnyama1642 3 месяца назад
Nko mtwapa napenda patanisho sana
@jerodinendanu5029
@jerodinendanu5029 3 месяца назад
Ni kitu amezoea na bado unaendelea kuzaa nini
@FranciscaMutua-m2k
@FranciscaMutua-m2k 3 месяца назад
Ni sawa watoto Wanateseka na wewe n mjane ungefanya n mama simama kama mjane ndoa kwisha
@EZEKIELOMOLO-by6gs
@EZEKIELOMOLO-by6gs 3 месяца назад
Jambo,mitabendi yenu imekosakana huku kwetu kwa muda wa miezi mitatu sasa,hatupati radio jambo Kabondo kasipul, Ringa kojwach Owalo market
@kiprotichvinn834
@kiprotichvinn834 3 месяца назад
Huku kericho hampatikani kabisaa, frequencies changed??? Please
@user-cg3vf2bl6b
@user-cg3vf2bl6b 3 месяца назад
Huyu angewacha watoto hapo atoke miaka miwili tu akirudi atawalea vizuri,bt huwezi fanya kitu chochote ukiwa na hao watoto wote heri atafute kwanza doo ndio arudie watoto, hapo nayo mimi siwexi kaa
@janegoandprosper9980
@janegoandprosper9980 3 месяца назад
tafuta chance mama uchuku watoto wako utaletewa ukimwi licha ya kuvumilia ukiteseka na watoto.
@catejumba
@catejumba 3 месяца назад
Niliambiwa na mama kanisa hivi Giddy,usiwai vumilia kwa neno atawai "change" kabisa
@janegoandprosper9980
@janegoandprosper9980 3 месяца назад
FP is free in govern't facility, 14 yrs 6kids ND me hear 10 yrs 2kids uwezo wa m2 lkn y separation?mie kuvumilia some nonsense c Jane is big NO.
@fjzjc1514
@fjzjc1514 3 месяца назад
Mama tafuta kazi uchukuwe watoto wako ulee
@Sabrina1977-y
@Sabrina1977-y 3 месяца назад
FIGHTS FOR YOUR KIDS!!!!!!!!!!! ATAKUPA UKIMWI BWANAKOOOO!!!!!!! LADIESSSSSS!!!!!
@phanicemulongo7098
@phanicemulongo7098 3 месяца назад
Mimi ndoa ya 22years ilishindikana nikatoka sahizi niko inje na 12mouths nasina habari yakurudi huko
@AnyoleMwenyewe
@AnyoleMwenyewe 3 месяца назад
Aki ndoa mingi zimeshikiliwa na watoto...ju mwanamke huangalia akiwacha watoto watateseka ama akitoka nao na hana kazi Bado watateseka so inabidi tu avumilie Kwa hio ndoa
@user-ko3do3hk1z
@user-ko3do3hk1z 3 месяца назад
Wabukukusu hapana kabisaaa
@user-iy7dk7bq5x
@user-iy7dk7bq5x 3 месяца назад
Tafuta kazi mimi nilinyimwa watoto nikatafuta kazi sahii watoto wangu wote walinifata wenyewe tafuta pesa wewe
@julianamalinda2357
@julianamalinda2357 3 месяца назад
NLD tupo chojo sana likes jameni 😂😂
@celinejudy1496
@celinejudy1496 3 месяца назад
Watoto 6 uezi enda pahali we rudi kwa boma apo n kwako mum rudi by force
@MargaretAwinja-ls7hx
@MargaretAwinja-ls7hx 3 месяца назад
By force by fire😂😂😂😂,,no now
@mwendapoleee
@mwendapoleee 3 месяца назад
Bwana amupe ukimwi ama amupige fadhali atafute kazi apange kuchukua watoi.Watoto watasema wanateseka ndio but at least they have a roof over their heads.Ajikaze mummy fanya kazi,rudi soko tafuta sponsor usirudi nyuma utateseka fazali sahi ata ukilala njaa uko na amani jikaze kisabuni utapenya.Peace is paramount alafu uendee watoi kwanza baba yao lazima alipe upkeep ya watoi ,lakini tafuta kakiru kwanza na usijiachilie ka 🫦 lazima.🥰
@Sabrina1977-y
@Sabrina1977-y 3 месяца назад
KUVUMILIA NA KUTOLEWA WATOTO TUUUUUUU????
@JohnSirengo
@JohnSirengo 3 месяца назад
Achana na huyu mtu dadangu,mwanamke nikujiamini mama
@fauzsky5399
@fauzsky5399 3 месяца назад
Haki wanawake wajameni mtu amakutesa na bado unataka kurudi kwake… Fanya kazi ule watoto wako. Ndio ata zidi kuk disrespect.
@newtonkariuki925
@newtonkariuki925 3 месяца назад
The effect of the cucumber 🥒 Yah! Ndio inafanya akae hapo! Yani mtu anapigwa anapigwa! Unamwambia toka! Hataki! Why? The effect of the cucumber! 😅😅😅
@gatimucaroline3591
@gatimucaroline3591 3 месяца назад
I think kenya kugekuwa na free DNA wanaume wafanywe na watoi wao .Incase of separation wanaume wakatwe child support directly from account na kama jamaa ni mtu wa jua kali he should be shown where to pay if not govt should provide for child upkeep n arrest the man until he starts paying.yaani hakuna kumbebeleza hawa wanaume dead beat coz if you lay down with a woman n give her six kids after separation unampee stress eti akufwate n you know you have kids.He should be arrested for child neglect
@hannahwanjala3296
@hannahwanjala3296 3 месяца назад
Ako 30 na ako kwa ndoa kwa 14 years Meaning aliolewa akiwa 16 years Ama ni Mimi sishikanishiii😊
@FaithAyuma-mj6xq
@FaithAyuma-mj6xq 3 месяца назад
Wabukusu sio wanaume
@FaithAyuma-mj6xq
@FaithAyuma-mj6xq 3 месяца назад
Achana na huyo mtu
@JACKLINEOGETO-m5c
@JACKLINEOGETO-m5c 3 месяца назад
Hapo ni kifo peke Hakuna kitu ingine
@debbiethomas9825
@debbiethomas9825 3 месяца назад
30 years...... 6 kids😳😳😳😳 WHY🤷‍♀️ WHAT FOR.... NA UNARUDI HAPO WHY...... KWANN WANAWAKE FULANI HAWAJITAMBUI..... 😠😠😀
@hillahmwesh4861
@hillahmwesh4861 3 месяца назад
The lady was married akiwa 16 years
@luckydubebello1131
@luckydubebello1131 3 месяца назад
Umejuaje ni ile kuzaa bila mpango kila mwaka unaachilia mtoi ok
@lawrencemicheni4807
@lawrencemicheni4807 3 месяца назад
30 years with 6 children kwani wewe ni panya
@Sabrina1977-y
@Sabrina1977-y 3 месяца назад
WAZIMUUUUUU!!!!
@softymoha5484
@softymoha5484 3 месяца назад
si yuko tu sawa...kwani inafaa uzae kama umezeeka?....wacha niwaambie kuzaa ukiwa mdogo ni poa sana,,,then ukifikisha 35...unalea tu...amini usiamini...mwili wako utanawiri zaidi...mtu akikuangalia atadhania ungali mdogo...bt usijidanganye kuzaa na umri mkubwa ni poa. tena unajuwa ukizaa kama ungali,,,bado Ian grow...so hata sehemu zako ambazo watoi walitokea...zitashikana...unakaa fiti...
@softymoha5484
@softymoha5484 3 месяца назад
@@Sabrina1977-y wazimu gani mtu akizaa?
@Sabrina1977-y
@Sabrina1977-y 3 месяца назад
@@softymoha5484HOW MANY DO YOU HAVE?
@Sabrina1977-y
@Sabrina1977-y 3 месяца назад
@@softymoha5484BWANA GANIIIIIIII
Далее
Tubonge Bila Kiki. Dan Sonko (Mental Health Warrior)
54:25
PATANISHO : APIA - NATAKA KUSOMA KWANZA
15:36
Просмотров 11 тыс.
LADIES! PLEASE START DATING GENEROUS MEN NOT RICH MEN
20:19
PATANISHO : HIYO MIMBA SI YANGU..NI YA HUYU MWALIMU...
22:50