Тёмный

PATANISHO: Hata Akifa Mazishi Yake Nisialikwe 

Radio Jambo KENYA
Подписаться 412 тыс.
Просмотров 38 тыс.
50% 1

Jameni mizozo kati ya ndugu wawili ilifikia wapi kiwango cha watoto wa tumbo moja kuchukiana na kuamua kuendeleza chuki hadi kaburini?
Haya yalishuhudiwa hapo jana katika kitengo cha Patanisho ambapo ndugu wawili, Purity na bwana Kim waliwashangaza wengi waliposhindwa kupatana huku wakiwa na misimamo mikali dhidi ya familia yao na wazazi wao wenyewe, huku mmoja akitaka amani katika familia mwingine hajalishwi kamwe.
Kizazaa kilianza wakti Purity alipo omba apatanishwe na nduguye mkuu Bwana Kim, kwani kwa boma lao wakiwa wadogo walikuwa na shida tele, mojawapo ikiwa mama yao kuwa na tabia ya kupigana na babayao.
Purity aliongeza na kusema kwa ajili ya yale, chuki iliingia kwa watoto na baba yao akaoa mke mwingine.
"Juzi ndugu zangu walipigana wakisema watoto wao hawafai kuingia kwa boma za wengine. Kila mtu ako kivyake hakuna umoja katika boma letu na naomba tupatane na ndugu yangu ili pamoja tulete kila mtu pamoja na tupendane." Alijieleza Purity.
"Mimi niko sawa nimekuwa nikishughulikia mama yetu kwa hivyo kivyangu sina shida yoyote na mama yangu kwa hivyo hayo maneno yamenishangaza sana. Hata akifa mazishi yake nisialikwe na mazishi yangu asiitwe." Aliwashangaza wengi bwana Kim huku akigadhabishwa na hatua ya Purity kukiri kuwa hawana umoja katika familia yao.
"Basi hata ukifa sitakuja lakini naomba tuwe pamoja hayo tu." Aliongeza Purity ikiwa ishara tosha wawili hawa wana tofauti kubwa zaidi kabla ya bwana Kim kukata mawasiliano.
Pata uhondo kamili.

Опубликовано:

 

7 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 150   
@aishaelias986
@aishaelias986 6 лет назад
halo wahusika tungeomba maoni ya wasikilizaji pia mtuekee tusikize, tuko mbali..Wapi team Germany hapa? weka like
@flomrembowakenya5524
@flomrembowakenya5524 7 лет назад
pole purity kneel and pray dia..waaah ata Gidi amefeel so sad
@aishaelias986
@aishaelias986 6 лет назад
my mum dumped me cos i was poor, my elder.sisters ware total rich, they used me as a maid , nilichoka na madharau ya mamangu na sisters , nikatoka kwenda kutafuta maisha, mungu kanibariki nikapata husband mjerumani ni football officer..saa hii ndio wananiona mtu , mchweeew siwasamehi..only my young brothers ndio and my late dad, the rest tutakutana mbinguni.
@johnobosh1626
@johnobosh1626 4 года назад
Sure
@gloriatoo22
@gloriatoo22 3 года назад
Forgive them even jesus forgave those who persecuted him, ,but I dont mean you go leave with them but in your heart forgive them.
@aggycherry9400
@aggycherry9400 6 лет назад
Kim ako upande wa mama na dadake yuko upande wa baba na wazazi wanamzozo.Only God to intervene.
@marlotnicenice8912
@marlotnicenice8912 7 лет назад
kusema dada yako as ikuje ukikufa that s nonesense. juu a kuje asi kuje hutafufuka. mwanaume mjinga kabisa.
@susanwairimu6576
@susanwairimu6576 7 лет назад
pole sana purity
@imtherealdeal2367
@imtherealdeal2367 7 лет назад
Notification received patanisho asap 😊 mambo ya familia ni ngumu..
@collinsjuma2088
@collinsjuma2088 6 лет назад
Purity we have also pass through tough times.take heart and great things will happen in future.
@marykawira9266
@marykawira9266 7 лет назад
pole sana Purity, l feel it for u
@periswairimu2255
@periswairimu2255 6 лет назад
Pole sana dada jepe monyo nyanakuta wanandamu su wanyama.maisha aiiiii
@trusilangolo9032
@trusilangolo9032 4 года назад
Huyu msichana amerogwa unapenda mama WA kando unakataa mama yako that one hapana mama ni mama kudos boy mungu atakubariki
@bjay1684
@bjay1684 5 лет назад
Gidi I just come across ur show and u guys are doing great trying 2 reconcile people. This one touch me and got me thinking of having a baby gal. Kama hivi ndivo wasichana wanatetea baba zao ehh. Me and my wife are not getting along at the moment but now I hv 2 make up so I start this process. Hahaa
@jradamsalehvlogs5877
@jradamsalehvlogs5877 7 лет назад
pole Dada mungu yuko nawe
@marykalei8147
@marykalei8147 6 лет назад
Pole sana dada.nilipitia hio mpaka nikatoroka shule.but after kuzaa my aunt akanirudisha shule nikiwa na watoto wawili.hata mamangu humwambia yeye dio amenifanya hivi na brother yangu.niliamua kunyamaza after 3yrs bila kuogea na brother.alikuja kunitafuta mwenyewe pia hi to mamangu ananiheshimu now.tangy mungu anibariki aliwaaibisha kunitesa kunichukia
@selinahmaina5668
@selinahmaina5668 7 лет назад
wah hio.ni.noma aki .pole sana purity
@susanbriken6342
@susanbriken6342 7 лет назад
very sad...pole sana
@annemmbone8326
@annemmbone8326 7 лет назад
pole MUNGU Atakuona purity
@lukasnzomo3876
@lukasnzomo3876 Год назад
Good
@yurinyaga2986
@yurinyaga2986 5 лет назад
Purity keep praying .Don't give up.I feel ur pain.
@vivianrobby2020
@vivianrobby2020 7 лет назад
painful haki mungu alete peace in that family
@yvonnemusimbi2014
@yvonnemusimbi2014 7 лет назад
Tenda wema nenda zako Purity,usilipishe mabaya.Wapende wote,watendee mema Mungu atakulipa.Usichukie babako na mamako wa kambo,wala ndugu zako wakambo kwa sababu ya ndugu yako huyo!Alafu Ghost anacheka wakiulizana kuumwa 😂😂😂😂....God akusamehe.
@taspynfavour7269
@taspynfavour7269 7 лет назад
Oh my God may He intervene 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@chesiretsiret2638
@chesiretsiret2638 7 лет назад
gidi huyu dada anapatikana wapi naomba kuongea naye
@carolynenafula7659
@carolynenafula7659 7 лет назад
huyo kakake anasema hata akifa mazishi hataenda lakini kumbuka damu ni zito kuliko maji ole wako we we mungu akusamee ujiwi ulifanyalo
@christinebelinda3498
@christinebelinda3498 7 лет назад
Pole purity mungu atawapigania; my prayers towards your family may God protect peace among you; Kim he should style up he talks rudely nkt!
@marykalei8147
@marykalei8147 6 лет назад
Wanyamazie watakutafuta pia hio no baraka wanakutafutia.mungu anajua kuulinzia pia anakuona.nilivumia niko sawa Mimi dio sasa boss Yao wote
@saidnoumani7244
@saidnoumani7244 2 года назад
Dada usikate tamaa, amani itakuja ua so smart lady ni bahati mbaya kaka yako ni mjinga..
@ruthmidundo
@ruthmidundo 3 года назад
Kumbe sio kwetu pekee 🤷🏽‍♀️🤷🏽‍♀️🤷🏽‍♀️🤷🏽‍♀️🤷🏽‍♀️
@ciku-ciku7194
@ciku-ciku7194 3 года назад
Hehe, tuko wengi. It’s worse wazazi wakipass. I’m crying listening to this.
@JohnMmbaga_
@JohnMmbaga_ 2 года назад
Be strong Purity. You are a good woman.
@marykirika5078
@marykirika5078 7 лет назад
hapo ni Mungu tu aingilie kati but both are disrespectful ....huyu kijana ako na shinda ata si kama wa mama moja
@emmahowour2162
@emmahowour2162 7 лет назад
Purity sio wewe pekee sababu tuko wengi ambao tuna pitia shida kama yako shikana na Marafiki wa Mbali wata simama na wewe kuliko ndugu wa tumbo moja adui ni yule toka ni toke Mama mmoja ikiwa amekataa patanisho endelea na maisha yako.
@josephinemideva2689
@josephinemideva2689 7 лет назад
Emmah Owour yeah tuko Emmah but in all we don't mind coz sio kupenda kwetu but m am strong bcs God is in my side n he still loves me hata Kama dungu yangu anipenda n Mungu alinipenda kaa bado nko tumboni mwa mama yangu ndoa xiko n Mambo mengi but in all tuombe Mungu akutagulie kwa kila jambo maana bila yeye sisi hatuwezi
@happytimes9896
@happytimes9896 7 лет назад
Amen God will never live u be strong siterz
@dorisbonareri8671
@dorisbonareri8671 7 лет назад
woooyie iyo shida ndio iko kwetu but with God I believe nothing is impossible, pole dada.
@josephinemideva2689
@josephinemideva2689 7 лет назад
Doris Bonareri b strong in all schetion Our God is faithful God but ujuwangi kaa utazaliza n dungu ama dada baadaye ifike mahali mkose kuelewana it too painful but we are strong
@josephinemideva2689
@josephinemideva2689 7 лет назад
dada purity be strong in all schetion m too .I have my brother but he never behave like Aman ,,as for m I have no relationship between M and her bt am strong n ukipata kijana mkumbwa wa mboma anayumba yumba ma dia siz there's a problem but b strong hata Kama anasema ukifa awezi kuja mathishi yako don't mind it God still Love's you more r than ahuman being so b strong ma dia siz
@karembojoan9732
@karembojoan9732 7 лет назад
Josephine Mideva hi !
@ms.irene.1265
@ms.irene.1265 7 лет назад
Purity is trying to reunite the family but that man is disrespectful....my prayers to your family! I pass the words that OUR Lord left us.." PEACE I LEAVE YOU" May that peace prevail in your family Purity....Pray Purity! Pray Purity!
@emilyaholi9009
@emilyaholi9009 3 года назад
Too sad..pole sana daa..
@marygwaro2970
@marygwaro2970 5 лет назад
Oh my!!! A brother and a sister 😥😥😥🤔🤔🤔
@annemmbone8326
@annemmbone8326 7 лет назад
waah pole siz
@faustineluva7490
@faustineluva7490 7 лет назад
Pole sister
@paulineshivele3154
@paulineshivele3154 7 лет назад
waaaa mangumu haya mungu ingiliya kati ya family hiyo pole purity
@lillianwanjiru1169
@lillianwanjiru1169 6 лет назад
pole sana dada
@mariefejulian899
@mariefejulian899 7 лет назад
pole sana dada purity
@kelvinnyagah2494
@kelvinnyagah2494 6 лет назад
Pole siz
@kenyanniggar357
@kenyanniggar357 5 лет назад
MOST ladies in a family ,they run into decisions baadaye wanaanza kulia eti bro bro!!!upuuzi
@yvonnevihenda2332
@yvonnevihenda2332 6 лет назад
Usijali purity hayo ni ya dunia tu.
@carolmwendwa9828
@carolmwendwa9828 7 лет назад
Huyo kim ni mrude sana na hana ata tabia. sorry purity Mungu atakusaidia.
@annemmbone8326
@annemmbone8326 7 лет назад
waah pole siz that guy needs prayers marrying again is committing adultery God forgive
@mumujey8265
@mumujey8265 7 лет назад
i have the same problem with my mum hadi ilifika mahali aka niabia hanipendi kwa sababu alikua akitafuta jia yakunifukza aka kosa nimestamili yote ila hakuna kitu kibaya kama familia yako ikikutenga thats the bad thing ever our home is our little heaven
@karembojoan9732
@karembojoan9732 7 лет назад
Mumu Jey mm nko saudia na sina hata mmoja wa dada zangu naongea nao;walinibeba kama waru marigiti
@mumujey8265
@mumujey8265 7 лет назад
Karembo Joan heri ww ni dada mm mama yangu my real mother imagine
@karembojoan9732
@karembojoan9732 7 лет назад
Mumu Jey mm mum ndie alianza nikiwa mdogo so now pia wakafuatilia
@karembojoan9732
@karembojoan9732 7 лет назад
nilifikiri ni mambo ya utoto lkn yanaendelea wa leo
@mumujey8265
@mumujey8265 7 лет назад
Karembo Joan aki mi hio story imenisubua aki can i give u my number myb u can help me with 123 nimejaribu kuificha kwa roho but mihuona nikama kitu ilihappen leo but now is like 3 yrs zimepita
@sfgvbnn1443
@sfgvbnn1443 7 лет назад
hiyo boma ni kama yetu kabisa,juu ata babangu ana wake wawili,mamangu mzazi hakuwa anataka kuniona ata nakumbuka siku moja aliniabia niolewe na babangu tuwe watatu its very painful
@Janet_xd-rj5ec
@Janet_xd-rj5ec 6 лет назад
Sorry siz God be with you
@dxbfd8156
@dxbfd8156 6 лет назад
Kim huyu ni kama anatumia bangi, pole purity woiye
@onyangosyprose3220
@onyangosyprose3220 7 лет назад
kaiye....poor Purity
@monicakibs3081
@monicakibs3081 6 лет назад
😢😢so sad .
@sallykanze
@sallykanze 6 лет назад
Huyu purity nimemuelewa,, aliteswa na mamake Kwa sababu ya tabia ya mamake,, sasa huyu mvulana anamtetea mamake ila mwenye kusuluhisha ni mungu.
@voiladarwish7763
@voiladarwish7763 7 лет назад
woiye pole purity
@jemimahnafula9457
@jemimahnafula9457 Год назад
You have to know this is your children's aunt.Just love and respect her as she is.kwa nyuma watu hawafanani.Jamaa Wacha madharau na ni damu ya watoto wakoooo,ole wako Kim
@felkadumas9863
@felkadumas9863 2 года назад
Purity forget that family and move on
@judesammy9643
@judesammy9643 7 лет назад
Kim mungu akusaidie Sana uone ukweli maishani
@yvonnemusimbi2014
@yvonnemusimbi2014 7 лет назад
Huyo Kim ako na ujinga,mtu mwenye anaongelea mambo ya mama mdogo kuwa mchawi ni ujinga.
@magmag4648
@magmag4648 7 лет назад
Wooo
@hellenmurage5939
@hellenmurage5939 4 года назад
Most of those second wives use witchcraft they are very dangerous
@trusilangolo9032
@trusilangolo9032 4 года назад
Wewe ni mama mdogo hawakuangi wazuri italk from experience it's also an abomination before God
@trusilangolo9032
@trusilangolo9032 4 года назад
They are witch night runners jealous and self centered ihate them to my nerves heri mama mzazi hata kama ni mwendawazimu
@karembojoan9732
@karembojoan9732 7 лет назад
c wezi laumu purity;pia mm nimeyapitia kama yake lakini namshukuru Mungu;juzi nishaambiwa nimeita mum mchawi😢😢😢😢
@bohboh7692
@bohboh7692 7 лет назад
Karembo Joan Hope everything is ok now!!
@suelenjo2648
@suelenjo2648 7 лет назад
huyo msichana ana akili huyo mvulana hana akili walai. pole mama
@georgymahi149
@georgymahi149 5 лет назад
Huyo dada ako very unstable!! She needs counseling.
@rehemaathumani4351
@rehemaathumani4351 6 лет назад
Dada uko kwa kipindi kikubwa sana mungu akupe nguvu simama kwa mungu tu dada na vumilia na na huyo mume uko nae
@alimaalima6016
@alimaalima6016 6 лет назад
Msamaha pia hutaki duuu !!!!!!!...
@josylinefamily3632
@josylinefamily3632 7 лет назад
waxha wapate wokovu. Gidi waombee xana.ebu huyo msichana akuje saudia
@zainafwenah7751
@zainafwenah7751 5 лет назад
Akuje Iraq
@janekubai3158
@janekubai3158 3 года назад
Hata kama, mbona unatetea mama wa kambo, ndio hamsikizanina na kaka yako, , nani hakuchapwa akiwa mdogo? Hasira za kimeru, as long as unatetea mama wa kambo hamtasikizana mi kakako, wakaka wanapenda mama zao sana, hata kama ni mbaya na aliwachapa
@safinahlatina8961
@safinahlatina8961 7 лет назад
aki pole xana purity
@nyambukenyangal1683
@nyambukenyangal1683 7 лет назад
woiye pole xana
@254sexiest4
@254sexiest4 7 лет назад
nyambu Kenyan Gal hahaa ukitoka afro huko wagwan
@nyambukenyangal1683
@nyambukenyangal1683 7 лет назад
lulu daniel niko kila mahali kama bacterial
@chesiretsiret2638
@chesiretsiret2638 7 лет назад
hii maneno niya ukoo na jamii
@joanwanjiru6920
@joanwanjiru6920 7 лет назад
wakale wanajaribu kiswahili...
@bohboh7692
@bohboh7692 7 лет назад
Huyo nduguye Ana kiburi
@carolinetalam5832
@carolinetalam5832 5 лет назад
Waaa hayo ni ma kubwa
@everlynemiheso5144
@everlynemiheso5144 7 лет назад
Uyo dada ako right bt ako faster sana.streaming online from Dubai
@lydiaaruba6670
@lydiaaruba6670 6 лет назад
vita vya kijafamilia hii Mungu awasaidie sana hii ni tenganisho ama ni patanisho! uuuuu!!
@beckybeto4328
@beckybeto4328 7 лет назад
Woiye purity pole
@cathykate6690
@cathykate6690 7 лет назад
Becky Beto pole ndanda yangu mm nakutuma Kwa maombi huko mombasa
@fjdjcj7970
@fjdjcj7970 7 лет назад
pole sana dadangu tafuta Njia za Mungu atende jambo Mpya Kwenu juu kwake ana uwezo wote
@beatricechege1612
@beatricechege1612 7 лет назад
kim my foot nonse huyo dada arikuwa anataka watu wapendane be strong my sister trust in God mambo itakuwa sawa
@ericmayaka7040
@ericmayaka7040 4 года назад
Hiyo boma iko na shida... Ni maombi
@carolynebbwasike9946
@carolynebbwasike9946 7 лет назад
Plz take heart
@happytimes9896
@happytimes9896 7 лет назад
the guy is very rude can't even listen to same advise nkt, purity don't fire u have take your optunint to say sorry but he didn't listen mind your bsns God Almighty will see through you and your family
@zainafwenah7751
@zainafwenah7751 5 лет назад
Ntumien number ya huyo dada mungu purity
@voiladarwish7763
@voiladarwish7763 7 лет назад
hahahahaha niokotwe Meru hahaha hope si boma yetu hio coz nikija nitawatwanga nktiest
@alumasakevin644
@alumasakevin644 7 лет назад
Afanyiwe maombi
@gnmmng4203
@gnmmng4203 7 лет назад
hapa Ghost amekoza cha kucheka .Haki pole kwa mwanadada huyo nduguyo si mtu wa kuskiza
@remecasillas7548
@remecasillas7548 7 лет назад
Purity my sister take courage,life really challenging, your brother has childish behavior...... God will intervene.
@ahmedalminshad1211
@ahmedalminshad1211 7 лет назад
eeeh huyu kijana roho mbaya
@hellenmurage5939
@hellenmurage5939 4 года назад
Kim amerogwa
@josephmbuti2828
@josephmbuti2828 7 лет назад
In my view this is a fake show. I am also convinced it is stage managed. Lets analyze the facts presented here.The man (kim) and the lady both agree that their dad is now 40yrs. The lady says she got pregnant when she was 19 yrs and her child is now 7 years. Someone do some simple math here. From this information the lady is 26 years, how is it possible that the dad sired her when he was only14yrs and bear in mind she is not the first born. The man (kim) is the first born from the info given, Could it be that their dad(who is now 40yrs) sired when he was 10years( or about that age)? Not believable!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
@bohboh7692
@bohboh7692 7 лет назад
Joseph Mbuti This is true mbona ikuwe uongo ? that's a radio station , if it's fake c uwatumie message uwandaganye umekosana na mtu then proof urself. usiseme something B4 proofing mmmmmh!
@aishaelias986
@aishaelias986 6 лет назад
Joseph Mbuti story nikama niyaukweli hawa ni primitives hawajui miaka ata yao
@bantuvoicemuchaikinuthia2536
@bantuvoicemuchaikinuthia2536 6 лет назад
Wakenya hujichanganya but the point it's true...
@vinns2088
@vinns2088 6 лет назад
@ END OF DAY THIS IS JUST ACTING????/ BUT ENTER-TING LOL
@ericmayaka7040
@ericmayaka7040 4 года назад
Ghost Ile kicheko yako imeenda wapi!?
@jennykim279
@jennykim279 7 лет назад
Oooh God huyo ndungu yake hana akili
@ericmayaka7040
@ericmayaka7040 4 года назад
Huyu Kim ni bangi Mingi...
@loisegitau4897
@loisegitau4897 5 лет назад
purity ndungu yako ni kichwa malenge, pesa sio kila kitu kim. familia ndio ya maana.
@salimaamir5561
@salimaamir5561 6 лет назад
Ndungu kaka na ndanda kiswahili cha wandu wa mbara ni shindaa
@berniceonegbmusic2324
@berniceonegbmusic2324 4 года назад
Nakwambia wameru wa kishikanishwa nikuteta tu hasira tupu
@user-so8jt7sh2u
@user-so8jt7sh2u 7 лет назад
sikuhizi.hakuna.dada wara dungu.wala.mama.yako.wala.baba.simama.na.yesu. pekee.my.siz
@josphinenjokimwangi4631
@josphinenjokimwangi4631 7 лет назад
Hey gid the guy is very evil and he talking total lies. May God bless her sister
@shigitau5616
@shigitau5616 7 лет назад
huyo Kim ako na roho mbaya kweli
@hadassahjohnty6816
@hadassahjohnty6816 7 лет назад
micii bi doogo
@kimkimutai3916
@kimkimutai3916 6 лет назад
Kim is inhuman! and to Purity be strong dada
@maryawino4166
@maryawino4166 7 лет назад
aki anahate sister yake waaaa
@kenyanniggar357
@kenyanniggar357 5 лет назад
ASIMAME NA BABA WEWE UKIWA WAPI?
@linetkwamboka7947
@linetkwamboka7947 3 года назад
Huyu Kim nikama bibi yake amemharibu kabisa
Далее
PATANISHO : MUME WANGU HAMPENDI MTOTO WANGU
19:04
Просмотров 43 тыс.
KURUNZI YA MICHEZO JACK OYOO
5:32
Просмотров 63 тыс.
Machine Learning for Everybody - Full Course
3:53:53
Les Feldick Daily Live Stream
3:31:17
Просмотров 487 тыс.
ZAWADI MZAZI  EVELYN GIFTS MOM
3:43
Просмотров 6 тыс.