Тёмный

PATANISHO : JULIUS - NILIKUWA NA QUARANTINE MPANGO WA KANDO 

Radio Jambo KENYA
Подписаться 422 тыс.
Просмотров 56 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

30 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 159   
@saumumanyara8729
@saumumanyara8729 3 года назад
I just love Ghost Mulei's laugh makes ma day
@edinahkemunto7803
@edinahkemunto7803 3 года назад
Julius ako na mchezo Sana. Elizabeth you are so wonderful
@kenaknrodbrendan1126
@kenaknrodbrendan1126 3 года назад
Ghost your laughter makes this show lit and comical
@KIM_MEDIA_OFFICIAL
@KIM_MEDIA_OFFICIAL 3 года назад
Wagwann gidi....... When i see you're notification on RU-vid....... The laughter starts.......... 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😁😂😂😂
@winniemxupamxupa4349
@winniemxupamxupa4349 3 года назад
napenda patanishooo kbsaa mwanxoo ghost Mii uchekaa tuu listening u all from qatar doha
@moseskaimenyi1801
@moseskaimenyi1801 3 года назад
Am the first one here listening tu Julius story
@jackherrerapower1741
@jackherrerapower1741 3 года назад
Julius yuko tuu sawa..... Bro sahi tafuta wa BBI no body can stop Reggea!!!?
@princesspriscaofficial4823
@princesspriscaofficial4823 3 года назад
Number 1👂👂👂 Happy new month gidi na ghost ad merry Christmas in advance
@beingpatience9370
@beingpatience9370 2 года назад
I love the show it's really encouraging and brings family together and also different lessons. But ghosts vicheko sometimes vinavanya hata mtu haezi jieleza vizuri and becomes like a joking matter sio poa vile.
@njerimelissa1514
@njerimelissa1514 3 года назад
Wow mwanaume kuomba msameha ni vizuri sana
@salomemukani1627
@salomemukani1627 3 года назад
Uyu mama ako Roho safi hongera kwake lakini ww julias chunga sana usikuje kuletea mtoto wawatu ukimwi naiyo tabia yako ya ufisi🙄🙄🙄🇰🇪🇸🇦
@annitabobo5438
@annitabobo5438 3 года назад
Hawa ndio wanaleteanga mabibi mdudu kwa nyumba
@elizabethnyamoita7923
@elizabethnyamoita7923 3 года назад
Kabisa
@jacobjuma1668
@jacobjuma1668 3 года назад
Aki julius alipata bibi...that woman she's so kind
@betty541
@betty541 3 года назад
He doesn't deserve her because he doesn't see her worth. So..
@ramycell9381
@ramycell9381 3 года назад
Waaa nilikiwa nimemiss hii kicheko ya ghost, ghost karibu tena
@kipkoechmutai48
@kipkoechmutai48 3 года назад
Tumepata direction
@cynthiakawira1804
@cynthiakawira1804 3 года назад
Huyu jamaa ni malaya 😏😏 atapelekea bibiye magonjwa 🤦‍♂️🤦‍♂️
@mwendapoleee
@mwendapoleee 3 года назад
Aki a lot of wifes have died because of this issue, i remember a beautiful Lady in Ug died cause the hubby was a community hubby!
@whoiscovee
@whoiscovee 3 года назад
Unfortunately true
@kipkoechmutai48
@kipkoechmutai48 3 года назад
Na vile Bibi ni mpole haki
@yvonnejerotich360
@yvonnejerotich360 3 года назад
Gidi should always be doing this maplayers wakileta patanisho you leave your full names and location pamoja na kazi umulikwe kabisaa
@philo7976
@philo7976 3 года назад
😂😂😂😂kbsaaa
@mumblessed001
@mumblessed001 3 года назад
Hahaha haha haaaa
@loisegitau4897
@loisegitau4897 3 года назад
Mpango wa kando inaharibu ndoa. Kupata bibi mzuri ni MUNGU usimdharau.
@elizabethnyamoita7923
@elizabethnyamoita7923 3 года назад
Wanalibu kabisa kuna mwenye alitaka kualibu kwangu lakini mimi nikasema sitoki kwangu sababu yake
@dionisioewoi5173
@dionisioewoi5173 3 года назад
We Julius shuga Sana hii dunia si msheso
@eunicenbog26
@eunicenbog26 3 года назад
Well come gidi na ghost ,ulifanya aje na unganishow gidi tuelezee wazi pliz
@lucyagollah7671
@lucyagollah7671 3 года назад
waahh mkisii,hao anatosheka cjui na wake 7 hivi
@agastineausteo8943
@agastineausteo8943 3 года назад
that guy knew what he was doing
@moreenmbatha1147
@moreenmbatha1147 3 года назад
ndani
@janewashe7276
@janewashe7276 3 года назад
Shida ya Julius ni hawezi kuishi bila kuonja asali, dawa yake ni achukue bibi yake waishi wote nrb
@firstmumz7460
@firstmumz7460 3 года назад
Lakini Gidi mbona patanisho ya kisii imekuwa swift.
@monyivam9821
@monyivam9821 3 года назад
Ongopa mwanaume mwenye anatuma bibi akakae home huyo ni moto wakuotea mbali
@zuberkalume7053
@zuberkalume7053 3 года назад
Hii ni ya quarantine atafanya nyengine ya BBI
@sheekyle.839
@sheekyle.839 3 года назад
I hope he will change this time.. Coz cheating is a choice, you can choose yes or nah
@alicekmusic3925
@alicekmusic3925 3 года назад
True
@mamjiee3935
@mamjiee3935 3 года назад
Very true
@betty541
@betty541 3 года назад
Well, unfortunately, more often than not, the best indicator of future behaviour is past behaviour.
@christineachieng740
@christineachieng740 3 года назад
For the first time kuona wakisii wenye wanaongea pole pole
@muzungunamalwalinet324
@muzungunamalwalinet324 3 года назад
Ata mimi nimesikia leo
@malukidavid5265
@malukidavid5265 3 года назад
I am still surprised
@sweetmumwake9729
@sweetmumwake9729 3 года назад
Julia's you have good wife.Badilika Wewe nakuomba
@corneliusapara4209
@corneliusapara4209 3 года назад
NILIKUWA NA QUARANTINE MPANGO WA KANDO🔥🔥🔥🔥🎧🎧🎧🎧nikose nichekwee,, Jukius yawah,, change aky uliangukia
@lynelee5846
@lynelee5846 3 года назад
Mwanamke akiwa mang'aa arudishwe kwao, mwanaume akiwa mang'aa apelekwe wapi?? feeling confused 😣😣😣
@quinncordelia4902
@quinncordelia4902 3 года назад
Mimi kama mimi Quinn de Quinn the thing I can n I' ll never do even the last breath is to forgive a cheater not once not twice,no retaliation just devorce pap!!!...
@MrTonyfuns
@MrTonyfuns 3 года назад
Hehee,,,coz mwenye utapata next sio boychild kama huyo utadivorce ama?
@susankomu8978
@susankomu8978 3 года назад
Wakumi leo🥰
@carolwanjiku3690
@carolwanjiku3690 3 года назад
This man hawezi chege
@yahabibiyahayatiyahayuni7339
@yahabibiyahayatiyahayuni7339 3 года назад
Aki wewe Gidi Mungu anakuona, hakuna vile bibi na bwana waishi mbali mbali na hiyo mambo ya mpango wa kando ikosekane
@maxlove2668
@maxlove2668 3 года назад
Hamna kubadilika hapo fisi ni fisi Mama Emma mpenafsi aruke aruke manze take care
@lanafelix8649
@lanafelix8649 3 года назад
🙈Jo huyo Jamaa hajali afya yake
@petermomanyi922
@petermomanyi922 3 года назад
Wah!!
@diuckogeto8238
@diuckogeto8238 3 года назад
Nice
@lorraineatieno6544
@lorraineatieno6544 3 года назад
Am just surprised..kuna men wanaeza maudaku ku approach wf wa mtu kumsho hizo story! Balaa. Bt b careful Julius kuna maradhi. Wf unaye mzuri.
@njanbistella
@njanbistella 3 года назад
Huyu ghost anachekeza mtu🥰😂😂
@نورا-خ8ك
@نورا-خ8ك 3 года назад
Gidi na ghost happy new month in advance
@joanoroni4462
@joanoroni4462 3 года назад
Hai hata Mungu alisema divorce is allowed in adultery cases.
@beatriceomino3267
@beatriceomino3267 3 года назад
Mm nikisikia nakupenda na mtu anaenda mpango wa kando na feel tu ni chape slip
@betty541
@betty541 3 года назад
Heheheee...i feel you sister. Love kitu gani?!😡
@carolwanjiku3690
@carolwanjiku3690 3 года назад
Aki wakishii wooiye
@roseatieno6691
@roseatieno6691 3 года назад
Sasa hiyo kucheka itaharibu maneno Jamani
@susanayoti8198
@susanayoti8198 3 года назад
Hapo sawa😅😅😅
@yahabibiyahayatiyahayuni7339
@yahabibiyahayatiyahayuni7339 3 года назад
Wewe Eliza sio Ratio maisha ni Ratio.jambo nowada
@RoroRoserororo
@RoroRoserororo 3 года назад
Kumbe olisikia 🤣🤣
@helenshella6809
@helenshella6809 3 года назад
Team kujuami mko wapi 🇰🇪🇸🇦🇸🇦
@emahokeyo4034
@emahokeyo4034 3 года назад
Tupo
@mamjiee3935
@mamjiee3935 3 года назад
What if quarantine ingeendelea? He couldn’t stop. Usirudi kwa huyo jamaa.
@katejimmy8694
@katejimmy8694 3 года назад
Julius ni wahanyanji
@kiplangatmibeyjulius1179
@kiplangatmibeyjulius1179 3 года назад
Wewe
@kevohwapipelinetransami4351
@kevohwapipelinetransami4351 3 года назад
Some men though ... hii corona itatuonyesha maneno
@stargal906
@stargal906 3 года назад
Nakwambia mkisiii Leo amenyenyekea eeeee si mchezoo😅😅😅😅
@sharonmuhonja6151
@sharonmuhonja6151 3 года назад
Ndio nashangaa mkisii yupi huwa ananyenyekea
@stargal906
@stargal906 3 года назад
@@sharonmuhonja6151 chezea mapenzi wewe😁😁😁😁😁
@andrewmosiere3285
@andrewmosiere3285 3 года назад
Sio rahisi
@stargal906
@stargal906 3 года назад
@@andrewmosiere3285 wakisii Hua vichwa ngumuuuuu😅😅😅😅
@andrewmosiere3285
@andrewmosiere3285 3 года назад
@@stargal906 am a kisii hatuna vichwa ngumu😂😂😂 Ni masculinity inatuaffect
@ivyboyani83
@ivyboyani83 3 года назад
Bibi anakaa wife materials lkn huyu mkebe anaitwa Julii,hmm
@nasraali261
@nasraali261 3 года назад
Ghost unanimaliza na kicheko chako
@mwendapoleee
@mwendapoleee 3 года назад
Kwanini watu wanakaa apart mimi siwezi.
@robertsure146
@robertsure146 3 года назад
Mimi apana hapa Kwa hapa heri niuze sukuma Kwa kibada
@kushyjitumeentertainments569
@kushyjitumeentertainments569 3 года назад
Noma Sana gidi na 👻
@jaenixhadazawanda4174
@jaenixhadazawanda4174 3 года назад
Heheheee😂😂😂 aki Gidi eti alikuwa 2 wa Covid😅😅😅😜😜
@pamelamudogo5551
@pamelamudogo5551 3 года назад
Hehehe aki. Wanaume
@shukurushirima8479
@shukurushirima8479 3 года назад
wakenya Ila ss watanzania ss
@alisaalis9218
@alisaalis9218 3 года назад
Huyu Julius n Sharamota wa Nairobi
@valentinenyabonyi897
@valentinenyabonyi897 3 года назад
Gidi bona unaogopa wakisii
@jairusomari1459
@jairusomari1459 3 года назад
Gidi.mwanaume..anapenda.sikati..hapendi.kuka.na.mke.pamoja...anapenda.skati.haimupiti.kwa.macho.yake.malaya.mkubwa..mimi..nilichoka..na.nikatoka..nikamuwachiya.afanye.raha..kushinda.nikaye.na.strss.24.hours
@winniemxupamxupa4349
@winniemxupamxupa4349 3 года назад
mushkraaa mpango wa kandoo
@prettybabygalmichelson6557
@prettybabygalmichelson6557 3 года назад
Uuuuiii Kuchelewa nayo no fote nainii
@bettyoluoch9774
@bettyoluoch9774 3 года назад
Mwanaume kama huyu mmmmmmm tabia ni tabia
@johnanyango9204
@johnanyango9204 3 года назад
Betty
@andrewmbuvi5804
@andrewmbuvi5804 3 года назад
hehehehe julius umemulikwa mbaka home.
@everkwamboka9800
@everkwamboka9800 3 года назад
wanaume wengine wako na bahati mimi siwezani
@royaltywamwangi235
@royaltywamwangi235 3 года назад
If this gender betrayed our messiah sembuse bibi yake 🙄🙄🙄😂😂😂hope he changes for the better,,, he got a good wife
@robertsure146
@robertsure146 3 года назад
Aki mm naeza kutusi Sana umalaya heri ukose pesa nitaelewa bt umalaya waaaaaah
@emilyaholi9009
@emilyaholi9009 3 года назад
Julias ninyangau..anaongea kama malaika..Nkt
@felistamuthui325
@felistamuthui325 3 года назад
Haki hawa wanaume....... dunia simama nishuke.
@sirfrankadahizah8175
@sirfrankadahizah8175 3 года назад
Haha kali sana
@mirynjeri5850
@mirynjeri5850 3 года назад
Mnanifurahishaga sana waaaah.
@jameswere3732
@jameswere3732 Год назад
Ata Hana haibu ya kusema alikuwa n mpamngo wa kando,mabwana n fisi kweli dunia imeomoka n wanaume n mipango ya kando
@itscrow3272
@itscrow3272 3 года назад
kicheko ya ghost 😂😂😂😂😂😂
@zarabati1750
@zarabati1750 3 года назад
Hahahahahaha ATI mpango wa kando
@RoroRoserororo
@RoroRoserororo 3 года назад
Julia's ni cvd na sanitize na quarantine mwenyewe ni team mafisi nlisamehe hadi nikachoka fisi ni tu hawezi batilika
@andrewmosiere3285
@andrewmosiere3285 3 года назад
Julius nyambegera mogaka😂😂😂😂😂
@elizabethnyamoita7923
@elizabethnyamoita7923 3 года назад
😂😂😂sio yeye
@andrewmosiere3285
@andrewmosiere3285 3 года назад
@@elizabethnyamoita7923 😂😂
@elizabethnyamoita7923
@elizabethnyamoita7923 3 года назад
@@andrewmosiere3285 😂😂😂poa
@andrewmosiere3285
@andrewmosiere3285 3 года назад
@@elizabethnyamoita7923 👍👍
@inviolataauma7054
@inviolataauma7054 3 года назад
I ghost kicheko inatuwuuwa
@reinasiata7503
@reinasiata7503 3 года назад
Huyo ni fisi
@ceciliakitonga4039
@ceciliakitonga4039 3 года назад
Kama una uwenzo wa kuishi na mpango bona c mke wako 😏😏😏
@joysorewitindi8542
@joysorewitindi8542 3 года назад
Ungemwambia aje kwenu agharamike
@johnweru5533
@johnweru5533 3 года назад
Hii kicheko yanini ghost
@sarahnemi4593
@sarahnemi4593 3 года назад
Covid19 affairs
@josphatmichori1455
@josphatmichori1455 3 года назад
Aki ghost hiyo kicheko hunimaliza🤣🤣🤣
@gracenjokinjoroge9871
@gracenjokinjoroge9871 3 года назад
Huyo mjamaa pengine alikuwa amewekwa na sugar mami tabia yao hayo na ni wacorn men sana
@jumanatv417
@jumanatv417 3 года назад
Hawa watu wanaitwa Julia's wote wako na matatizo mob. Kuna mwingine alihepa mimba mpaka Kesho hajulikani kama alinja miguu au atarudi 😂
@humbleladymilly9893
@humbleladymilly9893 3 года назад
Julius kumbuka mshahara wa dhambi n mauti plz change your behaviours
@Ruthbosibori-uu7eq
@Ruthbosibori-uu7eq 3 года назад
16
@fatmasalima3847
@fatmasalima3847 3 года назад
CD 19🤣🤣🤣🤣🤣🤣😝
@nancywanjiru6529
@nancywanjiru6529 3 года назад
🤣🤣🤣🤣..... Julius ulizoea huwezi change 😁
@blessedi8138
@blessedi8138 3 года назад
True
@steavemungamunga5792
@steavemungamunga5792 3 года назад
Wewe unajua vile mpango wakando nitamu kuliko house wife
@WanjiruMuya
@WanjiruMuya 3 года назад
This gender that betrayed Jesus is hard to understand them😂😒
@wambugu3752
@wambugu3752 3 года назад
we are polygamous by nature
@joanoroni4462
@joanoroni4462 3 года назад
Mimi hio siwezi l just go my way better to live alone and be safe and healthy than kuumia na mgonjwa
@estheralbrechtsen8999
@estheralbrechtsen8999 2 года назад
Gidi ati huyo alikuwa wa covid🤔🤔🤣🤣🤣🤣?
@janewairimu5809
@janewairimu5809 3 года назад
😂😂😂😂😂
@victoriamukami6510
@victoriamukami6510 3 года назад
Mpango WA Covid..🤣🤣🤣🤣🤣
@bimaisarankamia4153
@bimaisarankamia4153 3 года назад
Covid-19 😂😂
@estherwafula6932
@estherwafula6932 3 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣
@budeskoeddy3642
@budeskoeddy3642 3 года назад
Ati covid enyewe covid_50 is real 😂😂😂😂😂Gaki omonto nabo okorosa pi she is talk like pastor wa SDA 😏
@irenemercy8070
@irenemercy8070 3 года назад
SDA pastor hahahahahahah
@ivyboyani83
@ivyboyani83 3 года назад
Amaene nabo okorosa,,,dad of 3
@jamesgathaiya6450
@jamesgathaiya6450 3 года назад
Covid 19 things enyewe ilikua umetufunga sana we need to to understand this man 😂😂😂😂😂hangevumilia hio njaa yote ya miezi tatu
@atienomhumble2244
@atienomhumble2244 3 года назад
Na wenye wanaishi gulf 2yrs bila waseme Nini
@dianahvuyanzi1600
@dianahvuyanzi1600 3 года назад
Huyu julius n umbwa
@sweetmumwake9729
@sweetmumwake9729 3 года назад
Ujinga mtupu sikia vile anakubali anasema inabidi mpango wakando.Corona imefuncha ndoa Pokea matusi pole pole
@Njogurose4969
@Njogurose4969 3 года назад
Haha 🤣🤣 ghost na kicheko
Далее
Always Help the Needy
00:28
Просмотров 19 млн
The best patanisho ever
24:31
Просмотров 361 тыс.
PATANISHO : SARAH - HUYU MWANAUME ANA UMBEA SANA
20:45
Просмотров 341 тыс.
Always Help the Needy
00:28
Просмотров 19 млн