Тёмный

PATANISHO : KWANI HIZO MIAKA ZOTE NIMEKULETA KWANGU ULIKUA UNAKULA MAWE? - KINGSLEY 

Radio Jambo KENYA
Подписаться 417 тыс.
Просмотров 33 тыс.
50% 1

Radio Jambo Kenya | Ongea Usikike | Ni kituo nambari moja Kenya kwa matangazo ya kiswahili. Vipindi vyake vina jumuisha Spoti,Mijadala moto moto na muziki wa Kiafrika
#RadioJamboKenya #gidinaghostasubuhi #patanisho #ongeausikike
Subscribe to RadioJambo RU-vid - bit.ly/39wwc6u
Mitandao ya Kijamii
Instagram - rb.gy/e154d1
Facebook - rb.gy/09d1b9
Twitter - rb.gy/e23220

Опубликовано:

 

5 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 77   
@Waziri77
@Waziri77 6 месяцев назад
wakisii na wakikuyu is the hardest patanisho
@user-wr9fn4ny4i
@user-wr9fn4ny4i 6 месяцев назад
Kwani were ni kabira gani?
@lisazainabu3626
@lisazainabu3626 6 месяцев назад
Nimekiwa wakwanza nipeni like zangu 🎉🎉🎉
@josephngola
@josephngola 6 месяцев назад
Zimetosha
@lisazainabu3626
@lisazainabu3626 6 месяцев назад
​@@josephngolaapana😂😂😂😂😂😂
@ChristineNasambuWekesa-is9qx
@ChristineNasambuWekesa-is9qx 6 месяцев назад
Huyu ni nani mwenye tabia za watanzania kutaka likes😊
@lisazainabu3626
@lisazainabu3626 6 месяцев назад
@@ChristineNasambuWekesa-is9qx wee achana na mimi🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@josephngola
@josephngola 6 месяцев назад
@@lisazainabu3626 mm nataka nikuongezee kwa tikitok ndio upate kakitu huko
@irineadisa7289
@irineadisa7289 6 месяцев назад
Ghost yuko wapi leo,lazima akue anacheka kwa kila sentense,hapo kwa kulewa akiwa mdogo Ghost umetuangusha,ungecheka ndio story ikue tamu.
@lucinahmoranga2358
@lucinahmoranga2358 6 месяцев назад
First time kusikia patanisho y mkisii any kisii in the room pita n likes😂❤
@maureendama1395
@maureendama1395 6 месяцев назад
Zinakuwanga,ukisikiza live utashangaa ni mob
@BridgitNafula-xq7xe
@BridgitNafula-xq7xe 6 месяцев назад
Team hammam like zikam kama zote😂😂
@MargaretAwinja-ls7hx
@MargaretAwinja-ls7hx 6 месяцев назад
Team fulus😂😂
@lucinahmoranga2358
@lucinahmoranga2358 6 месяцев назад
😂😂😂
@josephngola
@josephngola 6 месяцев назад
Tuma kakitu
@emilywilly2306
@emilywilly2306 6 месяцев назад
Here
@susanmuthoni5482
@susanmuthoni5482 6 месяцев назад
Mawe wa just chilling then boom💥💥😂😂😂
@lukasobiria7912
@lukasobiria7912 6 месяцев назад
Ghost. You always make this patanisho lively. Yaani unacheka hata kwa matanga😂😂😂
@Azzobara
@Azzobara 6 месяцев назад
Hapo kuna shinda , uache 24 year old wife kwa nyumba peke yake mpaka saa sita usiku, kijana huna bahati , hii shamba lazima utalimiwa
@sallybethany8460
@sallybethany8460 6 месяцев назад
Radio Jambo saidieni wakaanji wa langata na phenom . watu wa motorbike wamekuwa mungiki wanakataza matatu ziingie kwa estate tunawekwa langata road eti dio wabebe watu kuingia kwa estate na wanatulipisha bei kali sana (sh70) of which all routes za langata kutoka town ni 70. walisema hiyo stage ni yao na hakuna matatu itaingia huko. tusaidieni vile mnaweza coz ata watoto kwenda shule wanaumia sana na sisi wazazi tunateseka pia.
@b.3940
@b.3940 6 месяцев назад
Wah, seriously?
@beryl804
@beryl804 6 месяцев назад
This is very serious and unsafe
@karimimiriti3827
@karimimiriti3827 3 месяца назад
Hope mlisadika jameni Aki hii Kenya imeshakua balaa
@norahmatheka
@norahmatheka 6 месяцев назад
😂😂😂😂panya was just chilling
@Marionwanjiru-s8f
@Marionwanjiru-s8f 6 месяцев назад
Team fulus mpo
@MargaretAwinja-ls7hx
@MargaretAwinja-ls7hx 6 месяцев назад
Tuko ndakas
@MillicentRiziki
@MillicentRiziki 6 месяцев назад
Tuko sana🤣
@miriamchepkurui9257
@miriamchepkurui9257 6 месяцев назад
Tuko kallas jibi
@maryannrose683
@maryannrose683 6 месяцев назад
Kingsley ako n maneno
@consolatamusavi6783
@consolatamusavi6783 6 месяцев назад
Wakisii na makasiriko wakiwachwa
@FredrickodhiamboIla
@FredrickodhiamboIla 2 часа назад
Hope njaa siyo ya chakula
@IgnatiusSanya
@IgnatiusSanya 6 месяцев назад
Wakisi stingy hoyeee😂😂😂
@MelissMburu-wq2ry
@MelissMburu-wq2ry 6 месяцев назад
😂😂😂
@rhodamueni2275
@rhodamueni2275 6 месяцев назад
Ata mi siezi rudi kwa mwanaume kama uyu
@realjrstewart
@realjrstewart 6 месяцев назад
Mapenzi ya mtandao ... Hatari sana
@cliffnyariki1513
@cliffnyariki1513 6 месяцев назад
Mwanamke atakuja kuregret later
@mariamfritsi4943
@mariamfritsi4943 6 месяцев назад
Patanisho ya leo kiboko 😂😂 mafuta 10 litre kwa mwezi.
@sadieglam5454
@sadieglam5454 6 месяцев назад
Wueh Chosphat 😂😂😂
@oudesusan
@oudesusan 4 месяца назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@tomkiptenai
@tomkiptenai 6 месяцев назад
This simp will see fire.
@BathshebaMachani-dd8ef
@BathshebaMachani-dd8ef 17 дней назад
Hiyo ndio upunzi sipendi kabisa, kaa na phone yako .mambo na online utakonda pule bro
@EdnaMusumba
@EdnaMusumba 6 месяцев назад
Wapil leo
@FranciscaMutua-m2k
@FranciscaMutua-m2k 6 месяцев назад
Huyu jamaa makosa n yake mwanamke kama hanachakula lazima chat aombe kwa mchepuko
@miriamchepkurui9257
@miriamchepkurui9257 6 месяцев назад
Kweli
@erickmanyara53
@erickmanyara53 6 месяцев назад
Supposed to be Luhya prince wa facebook.
@MourineLipwiko
@MourineLipwiko 6 месяцев назад
😂😂😂kwani unamjua?
@karimimiriti3827
@karimimiriti3827 3 месяца назад
😂😂😂😂😂😂
@emilywangui
@emilywangui 6 месяцев назад
😂😂😂😂😂huyu ni ule jamaa wa tittok ako na dreadlocks 😅
@shamimaoko
@shamimaoko 6 месяцев назад
Gidi unaongea mingi ati AI wewe pata bibi yako aki chat na jamaa kwa FB uone vile uta feel.
@MaryMatereadvicer011
@MaryMatereadvicer011 6 месяцев назад
Eti mafuta ltrs ndio kitu unaambia watu, wakati wengine wana suprise bibi zao na magari jinga sana.
@b.3940
@b.3940 6 месяцев назад
Bwana Gidi, job yako ya kuokoa uhusiana ni ngumu kuliko ya Yesu alikuja kuokoa watu. Jihadhari usisulubiwe Calvary kama Yesu.
@DorisWamalwa
@DorisWamalwa 6 месяцев назад
Ghoodt mleeii god will gudge you wewe job ni kicheka tuuu
@namasopoannete1571
@namasopoannete1571 6 месяцев назад
😂😂
@charlesmaina4560
@charlesmaina4560 6 месяцев назад
Giddi is so biased when it comees to men
@bettytett8116
@bettytett8116 6 месяцев назад
Thank you...saana
@wakiama9609
@wakiama9609 6 месяцев назад
Kijana wachana na simu ya mwanamke tafadhari kwa amani
@janemulwa1059
@janemulwa1059 6 месяцев назад
10 litres for a month aiiii
@beryl804
@beryl804 6 месяцев назад
Wueeeh 😅😅😅😅😂😂😂
@solomonoduor
@solomonoduor 3 месяца назад
nimeskia ati panya.
@tatujuma8781
@tatujuma8781 6 месяцев назад
😅😅😅😅
@karimimiriti3827
@karimimiriti3827 3 месяца назад
Aki ghost Hadi unaclap Am kuff 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@rebeccasongony-ih8iz
@rebeccasongony-ih8iz 6 месяцев назад
Chips fry😅😅😅😅1 litre ama 10 litres😅😅😅😅
@Kipsang-u3p
@Kipsang-u3p 6 месяцев назад
Bibi akimjatisha mwanaume ni kubaya sana si wewe pekee unafanyiwa hivyo kaka but kitu nakuambia umjabe huyo bibi then ufukuxe kwao.
@cindy8588
@cindy8588 6 месяцев назад
Very petty couple
@linetkhavugwi209
@linetkhavugwi209 6 месяцев назад
Nakumbuka nikua na date na mkisii tulipowachana akaniambia nataka palupu 💡 yangu na Arielya tifi hawa watu they don't take device easily 😅😅😅😅😅
@MargaretAwinja-ls7hx
@MargaretAwinja-ls7hx 6 месяцев назад
Palupu😂😂😂😂
@maureendama1395
@maureendama1395 6 месяцев назад
Hizo ni mawhat unatuandikia,fafanua tuelewe😂😂
@user-cg3vf2bl6b
@user-cg3vf2bl6b 6 месяцев назад
😂😂😂atii alitaka nini?palupuu🤣🤣🤣 nimecheka yangu yote
@emilywilly2306
@emilywilly2306 6 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂 niue vile wataka
@MourineLipwiko
@MourineLipwiko 6 месяцев назад
😅😅😅😅😅😅😅aty palupu....eeeeh!
@EricAbega-n1e
@EricAbega-n1e 6 месяцев назад
Gidi wewe uko na bahati kubwa ndoa yako iko sawa,nyweeee.Unataka kusema upate bibi yako akichat na mwanamume mwingine utafurahi,Cheka tu?
@webcamkay
@webcamkay 6 месяцев назад
huyu mtu ni mjinga sana... yeye huwa wanawake wake anawapatanga tuu kwa barabara na anawaleta nyumbani...sheny sana, i am sure ata simu yake haikosi ma-chats he isnt innocent pia
Далее
LOLLIPOP-SCHUTZ-GADGET 🍭 DAS BRAUCHST DU!
00:28
Просмотров 11 млн
Tubonge Bila Kiki. Dan Sonko (Mental Health Warrior)
54:25