Тёмный

PATANISHO: Ni upuzi tu! Mume afunguka kuhusu kuwa na mpango wa kando. (Episode 15, October 2019) 

Radio Jambo KENYA
Подписаться 419 тыс.
Просмотров 37 тыс.
50% 1

Radio Jambo Kenya | Ongea Usikike | Ni kituo nambari moja Kenya kwa matangazo ya kiswahili. Vipindi vyake vina jumulisha Spoti,Mijadala moto moto na muziki wa Kiafrika
Subscribe RU-vid - bit.ly/2MeQ4ki
Mitandao ya Kijamii
Instagram - rb.gy/e154d1
Facebook - rb.gy/09d1b9
Twitter - rb.gy/e23220

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 103   
@josephsanga474
@josephsanga474 5 лет назад
Sanga from tanzania like zangu za kutoshaa
@agneswanjihia1383
@agneswanjihia1383 5 лет назад
Team kujiamini mpo
@sisterdooo5492
@sisterdooo5492 5 лет назад
Kwani uku watu hufika saa ngapi nipatieni like nko down ni changamke kiasi
@RoroRoserororo
@RoroRoserororo 5 лет назад
Ndo hiyo
@ms.irene.1265
@ms.irene.1265 5 лет назад
That sounds like a sincere apology. Huyu mwanaume asiagushe Bi. Grace tena. kudos to the couple...all the best and may you heal and love.
@maxwelomondi
@maxwelomondi 5 лет назад
Thnx so for bringing this online it really help us
@mercykimani9741
@mercykimani9741 3 года назад
It's a good couple mungu awasaidie
@winnieodhiambo3511
@winnieodhiambo3511 5 лет назад
If u cheat n I choose to 4give u......it might be becoz of economy........nikae tuu u foot the bills while I prepare to move on while with u....then bounce.But Grace is a good woman she sounds genuine...i wish them well.
@aggycherry9400
@aggycherry9400 5 лет назад
I second you,ladies stay when they divorced long time ago but preparing to move out with time...
@knowledgeawakening4328
@knowledgeawakening4328 5 лет назад
😀😁true wanawake hawasemehei...If you brake the trust...sahau amani kwa hio nyumba milele..
@edwinochieng9014
@edwinochieng9014 9 месяцев назад
Peleka umskini kwenyu nyumbani, you should be paying your own bills sio kungojea mwanaume akulipie...that's a useless mentality..
@maggymaggy2926
@maggymaggy2926 5 лет назад
Kazi nzuri Gidi
@yahabibiyahayatiyahayuni7339
@yahabibiyahayatiyahayuni7339 5 лет назад
Team hamam tujuane tukisikiliza hii patanisho
@SaraH-li2jh
@SaraH-li2jh 5 лет назад
Dammam ndani
@nahyialetomia9284
@nahyialetomia9284 5 лет назад
Gidi ni msafi sana, funza hao wanaume wasiojirembesha
@mamatrevor3871
@mamatrevor3871 5 лет назад
Ni pesa dear
@rehemaahamadiahmadi566
@rehemaahamadiahmadi566 5 лет назад
Anae wa kumtunza ndio maana anapendeza😘😘
@king.german
@king.german 4 года назад
Hie patanisho,have been listening to ua programs for quite some time now,I always get entertained.but I am of a school of taught that a times issues between families are known better to them two than pointing accusing fingers in public,most of it paint a picture that everyone wants to look good in public coz of being on air,God judges.let people try to solve their differences together
@kenyanniggar357
@kenyanniggar357 4 года назад
Lidon my classmate
@annasannas6210
@annasannas6210 5 лет назад
Hongereni,,,gidi na ghost
@swashabdul
@swashabdul 5 лет назад
Panatisho is Lit🤝🔥🔥🔥🇰🇪🇶🇦
@sweetmumwake9729
@sweetmumwake9729 5 лет назад
hahaha you are back ulipotelea wapi
@swashabdul
@swashabdul 5 лет назад
@@sweetmumwake9729 kazi kazi mamaa.... niambie vp..
@sweetmumwake9729
@sweetmumwake9729 5 лет назад
@@swashabdul poa sana mtu wangu..Missed u more. pole kwa kazi jikaze aki
@swashabdul
@swashabdul 5 лет назад
@@sweetmumwake9729 shukran maa
@sweetmumwake9729
@sweetmumwake9729 5 лет назад
@@swashabdul welcomed u more
@fatmamacharia3593
@fatmamacharia3593 4 года назад
I love the couple very grow up
@irineatieno8906
@irineatieno8906 5 лет назад
Gidi,eti mpango wa kando wananyonya Kama betin . Hahaha...
@beatricekarisa7145
@beatricekarisa7145 5 лет назад
Nice patanisho in short
@laurenmurray9933
@laurenmurray9933 5 лет назад
Thanks God
@monyivam9821
@monyivam9821 5 лет назад
That's nice
@chullakoi1508
@chullakoi1508 5 лет назад
Kusema kweli mipango ya kando huwa ni umasikini unaukaribisha maisha yenyewe ndio haya!
@musicandnewskenya4270
@musicandnewskenya4270 5 лет назад
Iko poa sana leo haina ugumu na pingamizi zozote.
@mumblessed001
@mumblessed001 5 лет назад
👏👏👏congrats madam grace wewe London heshimu ndoa yako nini unaenda kutafuta chenye bibi hana
@stellaloves9879
@stellaloves9879 5 лет назад
Jamani mwarauka Sana mm nilijua nitakuwa wa kwanza Leo kumbe nimechelewa... Lilian njoo
@lilliannelima7009
@lilliannelima7009 5 лет назад
Kuchelewa nayo lakini nimefika baby love
@stellaloves9879
@stellaloves9879 5 лет назад
@@lilliannelima7009 karibu
@gathenyakamau3444
@gathenyakamau3444 5 лет назад
1st viewer!! Feels good.
@jackiendambuki4788
@jackiendambuki4788 5 лет назад
😂 😂 😂 😂 😂 aty chocolate
@stellahmiles2369
@stellahmiles2369 5 лет назад
From keroka patanisho
@valerieachieng2655
@valerieachieng2655 5 лет назад
NAMLESS ME waiting to here... Am here too
@stellahmiles2369
@stellahmiles2369 5 лет назад
@@valerieachieng2655 side ipi
@fauziakitenge8061
@fauziakitenge8061 5 лет назад
Jamani kwani waluya ndo pekee wana shida ya ndoa 😅😅😅...majority ni waluya wanapiga simu
@aggieian4985
@aggieian4985 5 лет назад
Bona hujampe kiapo
@kenyanniggar357
@kenyanniggar357 5 лет назад
na huyu LIDON NI NEIGHBOUR
@malaika4158
@malaika4158 4 года назад
twa twa twa
@diva_mauryn5307
@diva_mauryn5307 2 года назад
Kicheko cha ghost hua inaniundia siku 😂😂
@kenyanniggar357
@kenyanniggar357 3 года назад
Laidon
@kingsdaughter2040
@kingsdaughter2040 5 лет назад
The truth infidelity hurts either way a man or a woman it hurts its like a double edged sword it pains.kusahau si rahisi kwanza akirudia atakumbushwa hadi ile ya kitambo
@queentivermorgan630
@queentivermorgan630 5 лет назад
Niko hapa
@atuyade1
@atuyade1 5 лет назад
Ameshikwa
@mamayao9816
@mamayao9816 5 лет назад
Mchovia asali hachovi Mara moja
@sheilahbarongo3653
@sheilahbarongo3653 5 лет назад
Wananyonya kaaa.....😂🤣😂🤣😂🤣
@edwardaron729
@edwardaron729 5 лет назад
Wale wanao haribu ndio kwa sababu tu ya side kwa kweli hamjui maana ya ndoa.
@marykatua4670
@marykatua4670 5 лет назад
🤣🤣🤣ni ujinga tew,mipango za kando jameni zinatumaliza
@kinyajudykinya1454
@kinyajudykinya1454 4 года назад
😂😂😂😂😂😂aki wanaume wengine noma
@RoroRoserororo
@RoroRoserororo 5 лет назад
Kuna mwanaume mwingine akipatika na mpango wakando anakua mkali sana ataki kuambiwa anakosa huyu wakukubali makosa nimzuri
@bettyoluoch9774
@bettyoluoch9774 5 лет назад
Maneno matamu ni ngumu yawa 😂😂😂😂😂😂😂 mwanaume mwenye ajielewa
@kabwifridah3526
@kabwifridah3526 5 лет назад
Nimengudulika tht so funny why pple cheat coz hizo vitu ziko sawa
@danielmrombo
@danielmrombo 4 года назад
Yap usafi ndo tofauti😂😜😜
@sherineatieno4196
@sherineatieno4196 5 лет назад
Fisi ni fisi
@zarabati1750
@zarabati1750 3 года назад
Faida ya mwanaume kua na mpango wa kando ni Nini?
@aggycherry9400
@aggycherry9400 5 лет назад
Mpango wa kando,,,,,,,,,hii mambo ilitoka wapi haki
@aggycherry9400
@aggycherry9400 4 года назад
@@peaceofmind7036 but now it's the worst calamity in the society,marriages are breaking,diseases,torture of the kids....It's too bad
@nancyruoruo1025
@nancyruoruo1025 4 года назад
Imeharibu ndoa nyinga sana
@sweetmumwake9729
@sweetmumwake9729 5 лет назад
mpango wakando jamani unajaribu ndoa zenu wenyewe tu
@zakayoatambo6547
@zakayoatambo6547 5 лет назад
Brother hauko sure kaa uko na four children
@diva_mauryn5307
@diva_mauryn5307 2 года назад
😂😂😂😂
@annaj7157
@annaj7157 5 лет назад
+964 nambar one karibu pataniso
@nahyialetomia9284
@nahyialetomia9284 5 лет назад
Mpango wa kando wananyonya kama Betin!
@bonfacematekwa7231
@bonfacematekwa7231 5 лет назад
Ha ha ha ha Kenya kuna mambow
@sweetmumwake9729
@sweetmumwake9729 5 лет назад
Number 12 jamani nani amenipokonya number 1 yangu ajitokeleze aseme
@antonyndirangu8613
@antonyndirangu8613 5 лет назад
But unaeza sema ajy unapenda bb yako na unapigana kuni na huko
@nahyialetomia9284
@nahyialetomia9284 5 лет назад
Bwana zuzu
@antonyndirangu8613
@antonyndirangu8613 5 лет назад
Hii maneno ni Solomon alileta anyway wanaume don't be idiot ukiingia kwa nyumba block idiota ooh
@kenyanniggar357
@kenyanniggar357 4 года назад
INASOMEKA Laidon
@ruthnjambi728
@ruthnjambi728 5 лет назад
Mtu anaacha bibi yake anaenda kwa mpango wa kando baadaye ana regret.
@eunicewairimu5015
@eunicewairimu5015 5 лет назад
Hii ingekuwa patanisho ya waluhya Ama wakisii tugecheka hadi mbavu zionekane hao watu Wana drama na upuzi nyingi patanisho haiishi talking too much without bringing any solution,
@lydiaaruba6670
@lydiaaruba6670 5 лет назад
Hawa watu wa kucheka na kuongea pole pole..unashtukianga siku moja umeachwa
@davidmuvea4710
@davidmuvea4710 3 года назад
Ghost kicheko yako inanibamba
@godsfavour5665
@godsfavour5665 5 лет назад
Aki mtu akipatikana n makosa ni ngumu kumuamini tena yani mtu anasemehe tu sababu msamaha ni bure
@beatricenjeri8502
@beatricenjeri8502 5 лет назад
Ukweli
@wacmber2131
@wacmber2131 5 лет назад
Yaani nyie mkishafumaniwa ndio mnajua ni ujinga heeee
@moreenmbatha1147
@moreenmbatha1147 5 лет назад
Number 5
@agneswanjihia1383
@agneswanjihia1383 5 лет назад
Umejaribu
@moreenmbatha1147
@moreenmbatha1147 5 лет назад
@@agneswanjihia1383 si unipe ka Subscribe hapa soon nitakuwa na mazuri
@moreenmbatha1147
@moreenmbatha1147 5 лет назад
@@agneswanjihia1383 ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-8WZ9XaAJTds.html
@beckybeto3781
@beckybeto3781 5 лет назад
Huyu na Terrance wanasema ukweli
@tinahnaitwa9845
@tinahnaitwa9845 5 лет назад
30 nilichelewa nikisalimia Prezzo uhuru ndani ya saudia ..ikuku ya Riyadh..+966 nipeni like tukuendanga khamum
@SaraH-li2jh
@SaraH-li2jh 5 лет назад
Kwani ako saudi xina habari ako Na wapi
@tinahnaitwa9845
@tinahnaitwa9845 5 лет назад
@@SaraH-li2jh Riyadh
@marynjengah2771
@marynjengah2771 5 лет назад
Ati uhuru in Saudi 🤔sijaskia hiyo
@ulimacoxwagichohi
@ulimacoxwagichohi 5 лет назад
Mtasikia wakati Rais WA Saud atasema nyote mrudi Kenya yawa
@marynjengah2771
@marynjengah2771 5 лет назад
@@ulimacoxwagichohi Waaah
@SaraH-li2jh
@SaraH-li2jh 5 лет назад
Sure akimuona anaona ujinga aky Gidi wewe
@benardpaul1247
@benardpaul1247 2 года назад
Haha, ame muhaibisha
@ramak.9587
@ramak.9587 4 года назад
I hate this man who always laugh while people dealing with serious issues
Далее
РЫБКА С ПИВОМ
00:39
Просмотров 311 тыс.
USHAWAI TUMA PESA KWA WRONG NUMBER? BY: PROF HAMO
11:26
РЫБКА С ПИВОМ
00:39
Просмотров 311 тыс.