Тёмный

PATRICK KANUMBA asimulia USTAA ulivyomtesa SHULENI 'Form 6 walinionya nikae mbali na mademu zao' 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 41 тыс.
50% 1

Follow kurasa zetu za mitandao ya kijamii:
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 61   
@blestmum2023
@blestmum2023 Год назад
JJ, we truly appreciate your good work.🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Sultan was well done. Please come back for more.
@janecheptei7196
@janecheptei7196 Год назад
🇲🇼we are proud of you Othman you are hard working and humble guy
@jamesmkanula4625
@jamesmkanula4625 Год назад
Bro SKY noma sana unajua kuhoj yan umemuhoji kulingana na umri wake daa kijanja sana wewe mjanja sana😍
@ChoroTesla
@ChoroTesla Год назад
kwenye suala la kusoma yeye mwenyewe tu alishindwa kujimaster sidhani uigizaji ulimteka sema hakua patient kusubili all in all. bado yukonna chance school is everthing.
@user-kw8bo1ut8s
@user-kw8bo1ut8s 5 месяцев назад
Jamn nimekupenda Bure Patrik wangu
@shebemama7784
@shebemama7784 Год назад
Mim nampend kaka skay anajuw kuhoji 😊
@VexMaizoOfficial
@VexMaizoOfficial Год назад
Jama mi Leo wa kwanza kutoka Msumbij Mozambique 🇲🇿 mkoa Cabo Delgado mjini Pemba Cariaco Sky, esco... Nawapenda sana kwa kazi🎉🎉🎉🇹🇿
@mudimoz9329
@mudimoz9329 Год назад
Okay Wasalimie Dama Mamo Na Dama ija
@asmahassan5661
@asmahassan5661 Год назад
SI kwakujitambulisha uko hak😂😂😂
@Bwenge-minecraft
@Bwenge-minecraft Год назад
yani na mimi na cheka sana PATRICK na kaka sky munanichekesha sana interview mnzuri ❤.
@jastinarts
@jastinarts Год назад
Patrick unajitahidi ku react vizuri a maswali
@_zxq7446
@_zxq7446 Год назад
Patrick kanumba❤❤❤❤
@VexMaizoOfficial
@VexMaizoOfficial Год назад
Ni kweli kabisa ye ni Star pia
@maigajohn5828
@maigajohn5828 Год назад
Skay hongera sana uko sawa kwenye mahojiano
@taswiramedia
@taswiramedia Год назад
DOSARI EP 2 ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-8JX7s5DYwok.html
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 Год назад
Mashallah, bro sky, Gym imekukubali, sasaivi kama kitambi kimepungua hivi, safi sana boss Wetu.
@ARAFATVSHOW
@ARAFATVSHOW Год назад
MANSHALLAH ❤️
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib 11 месяцев назад
Ndio nasikia paka aliwasomesha mimi mwenyewe kuna rafiki yangu kanumba alikuwaga anaendaga. Kumtembelea
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib 11 месяцев назад
Patrriki limempendeza kama la kwake kabisa
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib 11 месяцев назад
Ata mimi napenda kuhekti tamgu mdogo na wengi wananiambiaga nimekaa kusanii
@mrfashion1687
@mrfashion1687 Год назад
Kama Patrik kanumba ndo amefikia hivi, basi mi nimeshazeeka sasa
@esterdoriye8377
@esterdoriye8377 Год назад
Hahahahahaha 😅😅
@masika.zubeda.430
@masika.zubeda.430 Год назад
😂😂😂😂
@mudimoz9329
@mudimoz9329 Год назад
👍👍👍👍
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 Год назад
👋👋
@joycegacheri5177
@joycegacheri5177 Год назад
Team sultan mko wapi citizen tv from 7:30 to 8pm
@sabinamathias-qk7bv
@sabinamathias-qk7bv Год назад
Yaaan Patrick anafanana na kanumba au n mm tu naeliona hili jamaniiiiiiii 🌹
@SaumuIssa-zl1vy
@SaumuIssa-zl1vy Год назад
Othman njaid vs sky ❤❤❤
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib 11 месяцев назад
Patric kanumba na jenifer kanumba
@zabibuamissi1141
@zabibuamissi1141 Год назад
Mansha Allah ameshakuwa 😍😍
@FaheemImlan
@FaheemImlan 2 месяца назад
🔗
@benjaminwabenga9068
@benjaminwabenga9068 Год назад
namkubali huyu ndugu kwa kweli yuko na hekma na ata kwenda mbali kabisa nina imani.
@masika.zubeda.430
@masika.zubeda.430 Год назад
😂😂😂😂it's funny form 2 daah
@patisondidas6720
@patisondidas6720 Год назад
Nakukubali San othuman endelea kukaza umo umo niga
@janetahmed6948
@janetahmed6948 Год назад
sky nambie jina ya hile movie kacheza patric kenya pluzz sio sultana hapa hio movie alikua ndani na kibibi wa huba
@dmak23
@dmak23 Год назад
Sultan inapatikana citizen tv
@ngido255
@ngido255 Год назад
Kipaji chetu tz🔥
@loiceamugune6711
@loiceamugune6711 Год назад
He is the reason I watch Sultana.
@jasmineedamu6089
@jasmineedamu6089 Год назад
Huyu wa mihayo sio kokani kweli😂😂😂😂
@mussamc641
@mussamc641 Год назад
Skay tuletee na mama yake patrik
@charliestyles5535
@charliestyles5535 Год назад
he doesn't talk much
@Igauf3
@Igauf3 Год назад
Njaidi (Baba mdogo) was bad news on Radio ITV none stop music, no commercials.
@ChoroTesla
@ChoroTesla Год назад
bado.dogo manake kamaliza shule majuzi hajafika 25 years bado mdgo
@MuniraShughuli-kc7vj
@MuniraShughuli-kc7vj Год назад
Hahaha naskia Jj hutamuoa Sultan ni kweli??
@benjaminwabenga9068
@benjaminwabenga9068 Год назад
nina ndugu yangu mmoja mimi na yeye tuna itana loketo kwa ajili ya huyu kijana alivyo muwekea kanumba upupu bafuni ndani ya uncle JJ halafu ka mwambiya vipi uncle una cheza kama loketo wakati uncle wake aki washwa na mambo walioyo muwekeya ndani ya maji bafuni.
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Год назад
🇹🇿🇹🇿🇹🇿.👍
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib 11 месяцев назад
Mtitu gemu alikujaga supamaket yetu
@barikishayo7743
@barikishayo7743 Год назад
Sky kasikilize ICU ya rapcha second verse and tuambie kunanini 😂😂😂
@jaelkitwa1621
@jaelkitwa1621 Год назад
Yeye pia nistaa ?
@VikerMunez
@VikerMunez Год назад
Uncle JJ nliwatch 5years ago Sasa nashangaaa Patrick amekua haraka sana😂😂😂😂 Naona kama nmezeka haraka nkitazama Patrick Sasa hivi😂inanichanganya isse
@hassanbakari4525
@hassanbakari4525 Год назад
ANATULIA SANA KWENYE PAZIA,,AKIKAZA NI NEXT STAR..
@justamakena9728
@justamakena9728 Год назад
Kwanza mmi namjua kama patrick bana ,,,nilianza kumtazama kakiwa kadogo
@officialyohana2662
@officialyohana2662 Год назад
Ndo uishi nyumban
@evankya1955
@evankya1955 Год назад
Angemtaja Niffer
@ayubundossi8903
@ayubundossi8903 Год назад
Amuweke niffer
@joetechnology5464
@joetechnology5464 Год назад
like 100 za mwanzo nawapa zawadi ya vocha😂
@meshackkulinda1753
@meshackkulinda1753 Год назад
Haaa, dogo huyu anajua kujieleza , ila kwenye madem sema hapendi sifa za kijinga, syo kama wale wajinga kwenye madem wanajua ni sifa
@asddsa5076
@asddsa5076 Год назад
Yuko na familia bora wazazi imara maaSha Allah 🥰
@hassanbakari4525
@hassanbakari4525 Год назад
DAKIKA YA 18 KAONGEA PUMBA, KUMUONA MWANAMKE KILA MUDA UNAMUONA KAMA ABDALA,,MEANS HUTOOA,,,MANA NDOA NI TOKA NA INGIA.
@amanimanase8798
@amanimanase8798 Год назад
Hajazingua but ameongea uhalisia wake akimaansha mwanamke anayefanya nae kitu kimoja au sehm moja ni ngumu kuwa nae kwenye mahusiano
@user-fs7xc2bb5d
@user-fs7xc2bb5d Год назад
​@@amanimanase8798sahihi
Далее