#bango Msabaha siku ya kuhaswa Pendo na Patrick wakicheza nyimbo ya Patrick na Rehema yake Confuser Jay Blessed Melodies Band #zegede Bango music song Traditional wedding Masha Video Production For booking or Support 0740547412
Wimbo mzurisaaana! Ila lugha ya pili yatuchanganya. Je, kunatafsiri kwa kiswahili pekee? Ikiwako, basi iposti mtandaoni, happy tujiinge na tovuti yako. Ubarikiwe na Bwana.
Asante, ni msanii mwenyewe aliimba kwa lugha hio kwa sababu aliimbia Wagiriama lakini kuna nyengine za kiswahili na tutajitahidi kueka tafsiri/ lyrics chini ya video