Nashukuru kwa nafasi uliyonipa Mungu wangu naomba niongezeke na nizalie matunda hapo,niwe na kibali baba yangu japo mambo yanaonekana magumu..My Lord may shame not be part of my story guard me Jealously God.
Umenipa shule najua utalipa ada pia. I just enrolled for my masters and I'm trusting God for provision till I complete my studies. Mungu amenifanyia nafasi hata baada ya kufiwa na baba who was the sole provider.
This servant of God composes very deep spiritual songs,where are you planted child of God,cos even in captivity God instructed the Israelites to pray for that land to prosper,and continue working
I've been forgiven I've been redeemed Am set free The work of the Cross, This is my confession... Experiencing freedom in Christ Jesus What a song,what a revelation...small beginnings breeding into Greatness, Am blessed to be one of you 💝💝
God is in you! That's what I mean!! He came to die for our sins on the cross! And he came to keep us!! Free from our Sins!! Keep serving God!! Until He returns
GUYS TO SHARE ILI WATU WABARIKIWE SANA, ILI WAJUE TULIPO SIO KWA NGUVU ZETU BALI NEEMA YAKE NA KWAMBA SIKU ZOTE YUPO KUTUZIDISHIA KILA TUNACHO FANYA IFANYE IWE INJILI KWA WATU WOTE🥰🥰🥰
Glory to God, umenifanyia nafasi nikuzalie matunda. Asante kwa harusi hii kubwa,asante kwa mke huyu, asante kwa ndoa hii, asante kwa watoto hawa, asante kwa gari hii,asante kwa nyumba hii, asante kwa huduma hii... Umenifanyia nafasi nipamiliki nikuzalie matunda. Thank you Jesus🙏❤
Je suis en Côte d'Ivoire et je te suis j'aime tellement ta manière de glorifier Dieu ... J'ai le cœur soulager juste en écoutant Dieu te bénisse abondamment frère ❤
Yooooo brother unajuwaaa sanaaa also usiwe unamxhirikisha kila mtu angalia uwezo wake wa kuimbaaa 🙌🙌🙌🎧ndio mxhirikishe i know you know brother all the best u are so talentend brooo🎧