I'm from Nigeria but live in the US 🇺🇸. I don't understand what this guy is saying but I love everything about this song, I'm in tears and I kindly subscribe. One love African people
Mungu nisamehe,nimehukumu watu wangine pasipokujua malanyingine kwa kujua,wimbo wa Usihukumu na sijui kuimba,baada ya kusikiliza naendelea kujifunza mambo mengi jinsi ya kuishi na jamii,ili nimpendeze Mwenyezi Mungu.
😓😓😓😓😓ukweli wengi tumejikuta tukijisahau tuna hukumu tuna laumu na vile vile tuna nungunika ahsante paulo kunikumbusha Eee Yesu nisamehe mm mwenye dhambi😥😥😥😥😥🙏🙏Jahe bless